ZITTO AACHA MAWASLI MAGUMU KWA RAIS MWINYI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.พ. 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 58

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 ปีที่แล้ว +2

    Dah kwa mungu kuna hesabu kwl kwl

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 ปีที่แล้ว +3

    Na kl anaetudhulumu wallahi hatumsamehe mpk kwa Allah

  • @alhudhaify7810
    @alhudhaify7810 ปีที่แล้ว

    Mashaallah umeongea vizuri ila kuna mambo mawili nakupinga.
    👉 Kuhusu Denata ni kampuni nzuri inayotoa huduma kote Duniani.
    👉 Kuhusu kuteremsha mzigo Zanzibar ni zaidi ya $7000 si kweli ushuru wa Zanzibar ni mdogo sana kutofautisha na nchi nyengine ndio mana hata vitu vya biashara vinavyokuja Zanzibar moja kwa moja kutoka nje ni rahisi sana.

  • @alhudhaify7810
    @alhudhaify7810 ปีที่แล้ว +1

    Tsh 5B pesa zitakazotumika kujenga bandari ya Pemba sijaiona Pemba kufunguka.

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว

    Greetings via 101 !!!

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw ปีที่แล้ว

    Kama Zanzibar inajisimamia na Wazanzibar wenyewe mbona viongozi mnachaguliwa na wa bara Dodoma.

  • @twahirmohd1058
    @twahirmohd1058 ปีที่แล้ว +3

    Zanzibar tuachie wenyewe usitumie nguvu nyingi katika kuongea. Utakuja kujamba Bure. Zanzibar itasimamiwa na wanzanzibar wenyewe . Bless Zanzibar . Free nation

    • @omarjuma3678
      @omarjuma3678 ปีที่แล้ว +3

      Usifanye chuki kwa kila jambo. Hebu jaribu kusikiliza ayo maneno ya kweli au uongo....

    • @omarjuma3678
      @omarjuma3678 ปีที่แล้ว +4

      Mm si Ccm wala Act lkn napenda kusiliza ili nijue nini kinatakiwa kuwekwa sawa ktk jamii ilo ndp jambo muhim mkuu... Hakuna mkamilifu.

    • @jumayusuf1694
      @jumayusuf1694 ปีที่แล้ว

      @@omarjuma3678 sema tu we ACT

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 ปีที่แล้ว +3

    Sawasawa kiongozi in shaa allah zanzibar kamili yenye heshma yke yenye pesa yke yenye passport yke na yenye utamaduni wake kwa uwezo wa Allah itasimama tena in shaa allah.

  • @yassirgiya6743
    @yassirgiya6743 ปีที่แล้ว +3

    Ccm miaka 60 bado wao wanadeal na bara bara tu🤣

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Aise hii ki2 inaniuma sn miaka 60 barabara, skuli na hospital inauma sn wapumbavu wakijengewa barabara wanafurahi sn jinga hiii

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว

    Ukweli usema kiongozi wetu mungu awali nde awatiye nguvu muweze kutusaidiya

  • @rashidmohamed1903
    @rashidmohamed1903 ปีที่แล้ว +4

    Huseni mwinyi yupo Zanzibar kwa ajali ya kuimaliza zanzibar

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +2

    Uyu anaye sema anafanya uchochozi eti zanziba haimuhusu mbona weye inaye kuhusu husemi ukweli wewe hujielewe kama wajielewa usinge sema hivyo hunakazi tuuu

  • @khamishemedsaid2134
    @khamishemedsaid2134 ปีที่แล้ว +2

    Apo umeongeya Mweshimiwa 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 ปีที่แล้ว

    Nakupongeza kwa ushauri wa wazi.
    Ila usiwe wa kupotosha.

  • @rayasalum5392
    @rayasalum5392 ปีที่แล้ว

    Watu wengi Sasa wanashusha container zao Zanzibar

  • @saidmakamo8764
    @saidmakamo8764 ปีที่แล้ว +1

    Mnawaburudisha tu hamna lolote nyinyi

  • @rayasalum5392
    @rayasalum5392 ปีที่แล้ว +1

    It's True

  • @balahaunadir2769
    @balahaunadir2769 ปีที่แล้ว

    DAAAH KUMBE SIO POWA JAMANI CCM WANAVYO TUFANYIA, NILIKUA NAPATA IMANI KUHUSU CCM ILA MMMH KUMBE MANYAGO MATUPU.

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 ปีที่แล้ว +2

    yan mweny kuipend ccm mm cielew nimchukuliej hv haon

    • @hamidomar7474
      @hamidomar7474 ปีที่แล้ว

      Hawa ccm wote wajinga tu

    • @muhammedmwalim9592
      @muhammedmwalim9592 ปีที่แล้ว

      Mara nyingi ukiwafatilia utagundua ni watu maslahi binafsi na uwongo

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Mtanganyika na Cuf wapi na wapi hahahaha Nguruwe sili ila Nchuzi wake Nanywa

  • @steventeophil7775
    @steventeophil7775 ปีที่แล้ว +1

    Ni mmoja wa wanasiasa wenye tamaa sjapata kuona

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 ปีที่แล้ว +1

    Bandari mpya inajegwa Mangapwani mzee usiongee vitu ambavyo hauvijui ,Kuna Bandari la kimataifa linavurumishwa Mangapwani tuombe uhai tu

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Una uhakika iyo bandari ishanza kujengwa ndugu na tulikua wapi miaka 60 ilopita mpaka leo tupo nyuma hivi miaka 60 ya CCM bd tunajenga barabara, skul na hospital hiii ni aibu kisiwa kidogo sn hichi miaka 60 bd tunajengewa barabara na skuli aibu

    • @hasbunakhamis487
      @hasbunakhamis487 ปีที่แล้ว +1

      Hamnakitu nihadithi tuu

  • @jumayusuf1694
    @jumayusuf1694 ปีที่แล้ว +1

    Halafu utasikia mwinyi mbara hatumtaki sasa huyu sijui anawaongoza hapa mpemba

    • @yassirgiya6743
      @yassirgiya6743 ปีที่แล้ว +1

      Mpumbavu ww hujielewi wala hujui nn kinaendelea bora tu ukae kimya

    • @jumayusuf1694
      @jumayusuf1694 ปีที่แล้ว

      @@yassirgiya6743 ila uhalisia nahis mpumbav n wewe ambae ndani ya chama chako mnaongozwa na mbara

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 ปีที่แล้ว

      ​@@yassirgiya6743 Mkiambiwa ukweli hayo ndio maneno yenu ,,,,Nyinyi hamuwapendi Watanganyika huyo Ni wa Kutoka wapi?Pemba au

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว +1

      Bro icho ni chama yy hataki Urais wa Zanzibar yy ni kiongozi wa chama na sisi tupo apo ili tufike safari ye2

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      @@rajabmsinzia1715 tatizo sio kuwachukia watanganyika sisi tunachotaka ni mamlaka ya Znz uyo ni kiongozi wa chama cha siasa sio kiongozi tunaetaka awe Rais wa Zanzibar yy na Lipumba ni sw sw

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 ปีที่แล้ว +2

    Usitusemee Mambo ya Zanzibar Hayakuhusu hiyo fitna na uchochezi

    • @hamidomar7474
      @hamidomar7474 ปีที่แล้ว

      Ww msenge kweli asiseme kwann

    • @allysaid5800
      @allysaid5800 ปีที่แล้ว

      Fala ww kwenda uko

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว

      Sema ww basi

    • @pembaspices377
      @pembaspices377 ปีที่แล้ว

      Watu wataka c.c.m. tu
      Sio maendeleo
      Nchi za kiafrika tumelala sana

    • @feisalboy6702
      @feisalboy6702 ปีที่แล้ว

      Midude km hii ndio iliyokunywa maji ya bendera

  • @hasbunakhamis487
    @hasbunakhamis487 ปีที่แล้ว +1

    Nikwel umeongea point mh zitto

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 ปีที่แล้ว

    Yaani wewe ndio nilijua unaweza kuongea hoja za msingi ila ni wale wale ,bro Hata Dubai Airport yao wamewapa Danata so unazijua huduma zinazopatikana Dubai? hao wazawa hawawezi kushindana na Danata ,wazawa wapo kienyeji sana wana uammi mwingi hawapo serious na wanachokifanya miaka 60 sasa wapo nini wamefanya zaidi ya kuharibu tu ,Sehemu ya kuchukulia mabegi unayasubiri kwa toroli la kienyeji yaletwe na wahuni tu hata Uniform hawana ,,,Zanzibar we need changing bro...Hongera sana Muheshimiwa Hussein Mwinyi kwa kutosikiliza maneno kama haya ya kutaka kukukatisha tamaa ila kwa waelewa watakuelewa tu nini dhamira yako.

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว +2

      Dhamira yake kwa kuleta Donata ni kupata commission yake tu hakuna jipya

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 ปีที่แล้ว

      @@kassimali2273 Tatizo Wazanzibari walio wengi wamezowea maisha ya kukariri na mazowea yaani hakuna kitu hawapendi kama Mabadiliko hayajaalishi yawe mazuri yawe mabaya..Wazanzibari walikuwa wanahita aji Raisi aina ya Magufuli ila Wakae sawa .

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 ปีที่แล้ว +1

      ​@@rajabmsinzia1715 Airport y zamani wangepewa Danata wangefanya huduma kama wanavofanya hi mpya??

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 ปีที่แล้ว

      @@gangmore9091 Wasingefanya

    • @makamekhalfan5968
      @makamekhalfan5968 ปีที่แล้ว

      shekh mm siipend ccm sw na watatulip haki zet t tutakufa sot kw mung hamn zulma anachimba mchang kweny ardh zet bil malip ss anatondoa kweny makaaz yet nyumb nzim kil kit unapew milion 5 utaifanyia nn ss tunazikataa na mung yup na ss kiam hakip mbal

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews ปีที่แล้ว

    Pumzika wewe

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 ปีที่แล้ว +1

    Unsama fitna wakati Mambo yako wazi