HISTORIA YA HUSSEIN MWINYI, UDHAIFU, MTOTO WA KISHUA "KUAMINIWA NA MAGUFULI, JK", KUONGOZA JESHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2020

ความคิดเห็น • 262

  • @kennedysalanomashairi7187
    @kennedysalanomashairi7187 4 ปีที่แล้ว

    Congrats Hon. Hussein Mwinyi. Wishing you all the best.

  • @samsonmwanawadaudi2098
    @samsonmwanawadaudi2098 4 ปีที่แล้ว +55

    Kama na ww uliamini Mwinyi atapita twende pamoja

    • @fugameza6011
      @fugameza6011 4 ปีที่แล้ว +1

      Kama waleeee unamuamini wewe tuu

  • @conjestambuya4354
    @conjestambuya4354 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Mungu akutangulie unaweza kufanya mambo makubwa

  • @samsonramadhansalehe7115
    @samsonramadhansalehe7115 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana MZEE mwinyi mtoto usiyekua na kashifa katika wizara zote alizopitia ana sifa zote zakua rais kula yangu ungeipata kama nigekua mkazi wa zanzibar

  • @hamistemba5612
    @hamistemba5612 4 ปีที่แล้ว +1

    Well spoken... namkubali sana mwinyi, Jeshi linamuelewa sana.

  • @masalagulangwa3702
    @masalagulangwa3702 4 ปีที่แล้ว +3

    Mh. Hussein Mwinyi huyo kiongozi Ana upendo sana mwonekana wake ni thabiti sana huwa nampenda sana nimefurahi sana Mungu akutangulie kushika kijiti cha Dr.Shein utaweza kwa msaada wa Mungu

  • @ammygalby9921
    @ammygalby9921 4 ปีที่แล้ว +5

    hongera sana kaka, ALLAH akufanyie wepesi katika jukumu hili ulokabidhiwa. Na ndugu zangu niwaambie hili jambo ni kubwa na tumuombee sana kwa ALLAH ampe subra na uvumilivu na hekima ktk kuyaendea majukum yake...

    • @mwamvitamfinanga2454
      @mwamvitamfinanga2454 4 ปีที่แล้ว +1

      Hongeraaaaaa . Kidumu chama cha mapinduzi, na zidumu fikra za viongozi waasisi wa nchi hii ya Tanzania.

  • @simonbangu4627
    @simonbangu4627 4 ปีที่แล้ว +1

    Born to be a leader nice hussen

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 4 ปีที่แล้ว +3

    Mtoto wa nyoka ni.... ! Twende kazi kaka ya mzee wa ruksa. 👍🏽👍🏽👍🏽💪

  • @jacksontulito969
    @jacksontulito969 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka Mwinyi

  • @suleymanially974
    @suleymanially974 4 ปีที่แล้ว +8

    Doctor mwinyi nakuomba umchague mbarawa kuwa makamu wa raisi wazanzibar yule atakusaidia kazi vzr sana

  • @salehejongo2799
    @salehejongo2799 4 ปีที่แล้ว

    Nice Ccm.

  • @mathewtwimanye92
    @mathewtwimanye92 4 ปีที่แล้ว +11

    Ni kweli anaunyenyekevu sana he is for all people

  • @SalimAlly
    @SalimAlly 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ambarik na ampe nguvu aendelee kutusimamia wazanzibari na watanzania kwa ujumla

  • @shufaasarahan4389
    @shufaasarahan4389 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuezeshe kua kiongozi mwema na kuitetea nchi yako ya zanzibar na wananchi wako na kua mzalendo mzuri

  • @uhaitanzania1620
    @uhaitanzania1620 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutangulie. Akupe afya Njema

    • @seifabdallah4161
      @seifabdallah4161 3 ปีที่แล้ว

      Jamani vp tena mtu mwenye shahada ya udaktari apewe mkuu wa mjeshi tena awe raisi hivo tunakwenda wspi watanzania.

  • @emanuelhassani6141
    @emanuelhassani6141 4 ปีที่แล้ว

    very nice

  • @ranqueen4483
    @ranqueen4483 3 ปีที่แล้ว

    Nampenda kwasabb ana khofu yamungu

  • @ayshakayeko2043
    @ayshakayeko2043 4 ปีที่แล้ว

    Hongera yke

  • @sniper93999
    @sniper93999 4 ปีที่แล้ว +1

    Welcom zanzibar

  • @gabrielmushi2813
    @gabrielmushi2813 4 ปีที่แล้ว +7

    Angesubiri Tu ...
    Aje Awe Rais Wa Tanzania Magu Akitoka Madarakani ...
    Namkubali Sana Huyu Mwamba ...

    • @akshaydavid159
      @akshaydavid159 3 ปีที่แล้ว +1

      Awe Raisi wa Tanzania kwa misingi ipi, acha undezi ww hii nchi sio ya kurithishana, Kwanza huko Zanzibar kwenyewe kushinda mwaka huu ni ndoto. Hata wakiiba haitawezekana yet kuwa Raisi.

    • @zenarupia544
      @zenarupia544 3 ปีที่แล้ว

      @@akshaydavid159 ameshakua sasa rais unakipi cha kutuambia?

  • @einsteinisaac6391
    @einsteinisaac6391 4 ปีที่แล้ว

    real amazing presid..!

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 4 ปีที่แล้ว

    Safi sanna

  • @linnamlay3643
    @linnamlay3643 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera tena Mwinyi ulistahili

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana Dr Hussein mwinyi.

    • @mohammednaeem2734
      @mohammednaeem2734 4 ปีที่แล้ว

      Amchaguwe mbarawa kwani ana tamaa yakuwa Rais ?

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyo mtu mstarabu mpaka basi Mungu amuinue tu

  • @sankybadeetz4512
    @sankybadeetz4512 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubari uwe raisi%

  • @seif3488
    @seif3488 2 ปีที่แล้ว

    Good statement

  • @sarllemmtunze405
    @sarllemmtunze405 4 ปีที่แล้ว +7

    Acheni ujinga mnaolalamika suala la usultani sijui upuuzi gani. Nendeni kapekueni uraisi wa Marekani ulipoanzia hadi sasa familia ngapi zimeiongoza Marekani kunako kiti cha uraisi? Wale waengereza hakuna cheo cha uraisi pale kwa sababu wana Raisi wa kudumu kutoka familia moja ya kifalme. Tuache siasa za maji taka mtu Kama ana uwezo wa kuongoza haihalisi anatoka familia gani la msingi uwezo wake kuongiza

    • @othmanomar7570
      @othmanomar7570 4 ปีที่แล้ว +1

      Ss ikiwa leo sarllem Mtunze unajua thamani y usultani n historia yke kwnn wapinzani zanzbar mnawambia wakitawala watarudisha usultani? Naomba jawabu maana methali z kiswahili zinamaana “Nyani halioni kundule”

  • @hajivuai3454
    @hajivuai3454 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah amjalie hekma aje kuwafikiria wale mashekh ambao wapo mahabusu hadi leo maana kama angepata Masauni wasingetoka abadan

    • @alvinbenito9115
      @alvinbenito9115 4 ปีที่แล้ว +2

      Basi powa powa atuangalie watu wa chini hasa mifumuko ya bei it's hate to much this shit!!

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 4 ปีที่แล้ว +1

      Hapana kitu hapo, wapenda dunia tu awo, izo sifa mbele ya Mwenyezi Mungu ni sawa na majivu matupu

    • @user-dt7bx
      @user-dt7bx 3 ปีที่แล้ว

      @@alvinbenito9115 bio

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว +20

    It was planed for a long time, nothing new on this, now, they're just painting & decorating with attractive colours & apperance.

    • @msetikebwasi6895
      @msetikebwasi6895 4 ปีที่แล้ว +1

      True!!!!!!.

    • @hamzarumela1784
      @hamzarumela1784 4 ปีที่แล้ว +2

      Can you tell us when was it planed? Was you there? Stop this nonsense comments.

    • @emilehaule8790
      @emilehaule8790 4 ปีที่แล้ว +4

      Nothing was planned. Kwani nyerere hana watoto, mbona hawajawah kugombea urais? Kwani Magufuli hana watoto mbona hata hatujui wanafanya nini na wako wapi... ni sawa mtoto wa kigogo akikutwa anafanya kazi BOT watanzania tunaanza kulalamika, kwahiyo mtoto akiwa wa kigogo akasoma vzuri akafauru vzuri na gpa kali haruhusiwi kuajiriwa bot sababu ni mtoto wa kigogo?

    • @msetikebwasi6895
      @msetikebwasi6895 4 ปีที่แล้ว

      I s'y t''t planted t ''t guy

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว +1

      Najuwa limewaumiza sana huu ni uteuzi sahihi kwa wakati sahihi.
      Limepangwa vipi wakati taratibu zote za Uteuzi zimefuatwa tena kwa uwazi. Kwenye CCM hakuna hiyo kitu pamoja na kasoro nyingi zilizopo lakini kwa hili la kupata Viongozi wake "...... wanastahili sifa waliyoiasisi CCM na kuilea".

  • @hadijasaleh2042
    @hadijasaleh2042 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana rais wetu mtarajiwa allah akujaalie wepesi ishaallah

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 4 ปีที่แล้ว

    I love this

  • @stanleyomary6247
    @stanleyomary6247 4 ปีที่แล้ว +4

    Yani tangu yule maasai apige B7,
    Saiv kila mtu jina lake laiza
    Ushamba huo,
    Watu tulikuwa tunawasikia miladi ayo , saiv utasikia nani nani laiza Ayo
    Ni ushamba, watu wanatafutia kiki jina laiza

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 4 ปีที่แล้ว +2

    Watu wengi wanalaumu eti uongozi wa usultani, wa kurithishana.Jamani tuache wivu, km MTU ana vigezo na nidhamu na ameiva kisiasa kwa nini asichaguliwe? Record yake iko vizuri na kwa kifupi huyu mazingira yake kimaisha yalimuandaa hata hiyo nafasi inamfaa.Tusifoc kufanana na watu lazima tuwe tofauti.Neema ya Mungu iko juu yake.

    • @akwiliniqawoga.w3690
      @akwiliniqawoga.w3690 4 ปีที่แล้ว

      Dr.mwinyi hongera sana
      Waokupinga ni wivu tu.nakutamani uwe Rais wangu.

  • @sabrinaali9750
    @sabrinaali9750 4 ปีที่แล้ว

    Wazanzibari mmekwishi kwisha kwisha kabisa kifo cha mende mlie tu mcheke mna mbavu

  • @danielsimeon9556
    @danielsimeon9556 4 ปีที่แล้ว +1

    atari

  • @ezapesambili2130
    @ezapesambili2130 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo ilikuwa wazi

  • @naslee1010
    @naslee1010 4 ปีที่แล้ว +1

    kweli hela inatembea kwenye hela wakishua ataishi kishua tu kubali kataa

  • @magrethmeela2519
    @magrethmeela2519 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera dr Mwinyi tayari wewe ni Rais wa zanzibar.

    • @saifysaid7556
      @saifysaid7556 4 ปีที่แล้ว

      Bila uchaguzi au znz hamna chama chochote kinashinda zaid ya wizi tu

    • @husseinibrahim530
      @husseinibrahim530 4 ปีที่แล้ว

      @@saifysaid7556 ahhhhaaah yaakhe hata kwa bao la mkono nishindwe mie H?

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar3738 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa Ni smart

  • @mohamedmohemed6459
    @mohamedmohemed6459 4 ปีที่แล้ว +7

    Maisha Yote Mwenye Nacho huongezewa tu !

  • @asharamadhani4641
    @asharamadhani4641 4 ปีที่แล้ว

    Yuko vizur

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 4 ปีที่แล้ว +1

    ni mtoto wa kishuwa ila amejiweka katika maisha ya kawaida sn nakama humjui vizuri huwezijuwa kama ni mtoto wa kishuwa, amejuwa kuishi na watu ndiomana nimskivuu sana

    • @eischerschwederm7876
      @eischerschwederm7876 4 ปีที่แล้ว

      Ana dini ukiwa na dini haijalishi umezaliwa na nani na unatoka tabaka gani

  • @philipoinzag2379
    @philipoinzag2379 4 ปีที่แล้ว

    Sasa nchi ishapewa jeshi kazi kweli kweli

  • @pascalmsechu6874
    @pascalmsechu6874 4 ปีที่แล้ว

    Mzalendo kweli kweli...apewe nchi tena ni vile John yupo ungefaa uwe Raisi wa Jamhuri

  • @AthumanLuwaga
    @AthumanLuwaga 3 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa dr

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว

    Hajazaliwa Zanzibar uwongo

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 ปีที่แล้ว

    Jiandaeni (mahaini )mwaka huu hakuna kurudia uchaguzi n'gombe atakavyo lala ndivyo tutakavyo mchinja tutagawana nyama, mkitaka kuendelea kutuona wadhaifu tunaapa mara hii Wallah Wabillah Watallah hatutokubali n'gooo tutapambana hadi tuone mwisho wa Zanzibari na wazanzibares hapo sasa rabda uje kutawala miembe na mikarafuu.

  • @kautharkhatib9075
    @kautharkhatib9075 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongoze ufanikiwe ktk uchaguz na uwe kiongoz mwema wanzanzibar tuna imani na wewe

    • @Amani715
      @Amani715 4 ปีที่แล้ว

      Mungu atamuongoza na tuzidi kumuombea ili alete Zanzibar mpya pia

  • @salehejongo2799
    @salehejongo2799 4 ปีที่แล้ว

    Ccm hoyeeee

  • @rashidsleman5545
    @rashidsleman5545 4 ปีที่แล้ว +12

    Usultani bado unaendelea kaondoshwa al-said halafu
    al-karume sasa al-mwinyi

    • @eddimalon6051
      @eddimalon6051 4 ปีที่แล้ว

      Baadae atakuja Al_sheni.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว +5

      Kuchagua na kuchaguliwa ni HAKI ya kila Mtanzania haijalishi unatokea familia gani. Na hii sio Zanzibar tu hata USA kulikuwa na Al - Bush, Al - Regan pia Kenya kuna Al - Kenyatta.
      Binafsi nimependa kwa vile hakutokea Kusini wala Kaskazini ya Unguja wala ya Pemba ambapo mara nyingi hujengeka Ukanda. Pia namkumbuka Al - Karume ambae kwa maoni yangu kaongoza vizuri katoa ajira nyingi (hakuna aliyesomea fani akakosa ajira ya fani yake), kapandisha mishahara, kaanzisha Chuo Kikuu (kabla yake hakukuwa na Mwalimu wa Degree "O level" darasani leo hadi std 1 wapo, uwezo wao ni mjadala), kajenga miundo mbinu ya barabara, kaeneza simu za mikononi, kajenga Maofisi ya Serikali badala ya kutumia nyumba za watu, ukistaafu unalipya chako hapo hapo, kaboresha hali ya kisiasa kupunguza uhasama (Sasa umeongezeka maradufu) nk.
      Kama kweli unazungumzia "Usultani" mbona humshangai Mgombea wa ACT ambae alikuwa Waziri Kiongozi wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi miaka 36 iliyopita na leo bado hii anaonekana kwenye "Ballot papers" anagombea Urais na mtoto wa Boss wake.
      Usultani zaidi ni upi hapo? Ana lipi jipya ambalo ataifanyia Zanzibar na hakufanya hivyo "has no legacy" akiwa Kiongozi mkubwa muandamizi wa SMZ akiwa Mjumbe NEC CCM, Waziri Kiongozi, Makamo wa 1 wa Rais. Hata CUF alikoondoka ambako alikuwa "Account Officer" Katibu Mkuu kwa zaidi ya miaka 25 chama kikiwa na ruzuku, michango ya wanachama, misaada ya nje na ndani nk siku anaondoka anaimanisha watu CUF haina mali yoyote, wala CHOCHOTE.
      Dr. Mwinyi kateuliwa na chama chake kwa utaratibu waliojiwekea kwa Uhuru na uwazi.
      Mimi nitamchagua Dr. Mwinyi naomba kura ya NDIO kwa Wazanzibar wote kwa Dr. Mwinyi.

    • @nestrysondegod3499
      @nestrysondegod3499 4 ปีที่แล้ว

      Acheni upumbavu kuwa mtoto wa rahisi sio kushindwa kuwa raisi nawewe

    • @mwamvitamfinanga2454
      @mwamvitamfinanga2454 4 ปีที่แล้ว +1

      Na wee kuwa kiongozi ili mwanao naye akakanyage nyayo zako. Uongozi unatoka Kwa Mungu. Hivyo kuna spirit huwa inafuatilia.soma historia vizuri

    • @mwamvitamfinanga2454
      @mwamvitamfinanga2454 4 ปีที่แล้ว +1

      @@eddimalon6051 Kama mtu Hana coment ya maana atulie asome za wengine spate uzoefu.

  • @lembriskivuyo9178
    @lembriskivuyo9178 4 ปีที่แล้ว

    Mwinyi ni mpole sana

  • @rukky4169
    @rukky4169 4 ปีที่แล้ว +10

    Ajue tu km Allah anamtizama kwani kila mchunga ataulizwa kwa alichokichunga.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว

      Yeye tu au Maalim Seif anahusika? Naona hiyo aya ipo zamani na Maalim alikuwa Waziri Kiongozi miaka 36 iliyopita, Mjumbe NEC CCM miaka 40 iliyopita, Makamo 1 wa Rais miaka 6 iliyopita, Katibu Mkuu wa CUF kwa miaka 25 akipokea ruzuku kutoka Serikalini, michango ya wanachama, misaada ya ndani na nje nk na alipoondoka anatuambia CUF haina mali yoyote na hujamfikishia aya hii tukufu inayohitaji kuzingatiwa na kila aliyeamini uwepo wa Mungu kupitia Mtume Muhammad SAW.
      Tena hivi sasa Zahra ulitakiwa ufurahi sana na umpigie kura ya NDIO Dr. Mwinyi hao ndio wenyeji wenu Unguja. Bila Rais Ali Hassan Mwinyi usingepajuwa Unguja, hii kujifanya ni Wazanzibar zaidi kuliko mliotukuta mnaitowa wapi? Zanzibar ni Unguja SIO Pemba. (ZANZIBAR AND PEMBA PEOPLE'S PARTY) Hilo ni jina halali la chama cha siasa kilichotafuta ridhaa ya kuongoza Serikali ikijuwa vyema Pemba SIO Zanzibar na mkizidi kero mtafukuzwa.

    • @hashirhamad2977
      @hashirhamad2977 4 ปีที่แล้ว

      @@hajihassan5433 oya kijn juuu umeanza uzuurii ila chini naona unaropokwa 2

    • @abdullahjuma141
      @abdullahjuma141 3 ปีที่แล้ว

      Nitafute zahra 0778911880

  • @abdallahmbonabona8860
    @abdallahmbonabona8860 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa alisoma misr primary school 1984 _1985 misr akasoma secondary akasima utiruki utabibu mwaka wa 1985 mtangazaji hii video yako imo mistake

  • @hamedabdallah6728
    @hamedabdallah6728 4 ปีที่แล้ว

    Zanzibar bana we acha tu hio ndio faida ya mapinduzi

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว

    Hatutaki Feraoh

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 4 ปีที่แล้ว +4

    Hes so smart. Ccm safari hii wametuletea raisi wa uhakika msomi wa nguvu na kijana mshupavu kwa kweli nimefurahi sanaaaaaa.

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 ปีที่แล้ว

      Kila mtu ana mawazo yake ,lakini kwa Zanzibar bado maendeleo yetu ni madogo sana kwa upande wangu mimi inanisikitisha sana ,hakuna kiongozi ambae anafuatilia mambo kwa karibu na kuhakikisha yanafanyika kwa uhakika ,mfano ujenzi wa barabara ,barabara ni nyembamba kisha pia ubora wake ni mdogo sana ndani ya miezi sita barabara imeshaanza kuchimbika na kufanya mashimo na mambo mengine mengi tu ambayo sijayataje ,hali hiyo inasisononesha sana hasa nikienda miji ya nchi jingine .

  • @yohanamagogo3460
    @yohanamagogo3460 4 ปีที่แล้ว

    Fm

  • @joycedaniel6127
    @joycedaniel6127 4 ปีที่แล้ว

    Dynasties dynasties dynasties after Hussein Mwinyi Ridhiwan Kikwete will be the Next president of Republic of Tanzania,January Makamba, we need new names in politics,

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว

    Mmesahau tulishaambiwa tangu awamu yapili ya sheni kuwa akimaliza anakuja huyu ilibakia kudhihirishwa 2 hongera kwake tunaomba salama inshaallah awe na imani na huruma na atakao waongoza

  • @zarunaamwanajimba1950
    @zarunaamwanajimba1950 4 ปีที่แล้ว

    Anafaaa kweli!!!!

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว

    Hana mpya

  • @carolinesumary1671
    @carolinesumary1671 4 ปีที่แล้ว

    😍

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว

    Mbona hamsemi alikua kwenye bunge la Africa mashariki

  • @akshaydavid159
    @akshaydavid159 3 ปีที่แล้ว

    Huyo Mwinyi ni chaguo la mafisiem sio Zanzibar, na mwaka huu kamwe haitawezekana.

  • @jumannephares7997
    @jumannephares7997 4 ปีที่แล้ว

    baraka mangufuli

  • @fatmawillis3073
    @fatmawillis3073 4 ปีที่แล้ว

    Ibrahim sio mtoto wa mam jamila. Ni mtoto wa mke wa kwanza wa hussein mwinyi.

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 4 ปีที่แล้ว

    Kila lakhr ila atende haki tu akitenda haki tutamunga mkono ila asipotenda haki tutamlani allah akusmamie bana

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 4 ปีที่แล้ว

    Moyo wangu upo saaafiii kwa huyu jamaa kushika nafasi hiyo

  • @mrmahmoud1278
    @mrmahmoud1278 4 ปีที่แล้ว

    Msimuliaji ungejifunza kiswahili kwanza kama umeamua kusimulia makala zako kwa lugha ya kiswahili.... KWAHANI ni ngumu ila hata ALI huwezi kuitamka!

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +3

    #Mbio za vijiti #ccm oyee #mapinduzi daima

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 4 ปีที่แล้ว +1

    Sijui kwa nini nafsi yangu ilikuwa inamtaka Makame Mbarawa , lakini sina sababu yyt , simjui hanijui , basi tu nilikuwa napenda awe yeye .

    • @sheryphamwenevalley6124
      @sheryphamwenevalley6124 4 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli hata mm nilipenda awe Mr Mbalawa, tatizo CCM wanabebana wao na familia zao wamemuacha.kiongozi mahili dah

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 ปีที่แล้ว

      @@sheryphamwenevalley6124
      Yaani acha tu .

    • @tibasaid3169
      @tibasaid3169 4 ปีที่แล้ว

      Unishindi mimi nilivyokuwa nilivyokuwa nampenda makame mbarawa basi tu

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 ปีที่แล้ว

      @@tibasaid3169
      Mimi kwakweli nilitamani awe Professor Mbarawa , ila ndio hivyo tena haikuwa rzki yake , basi awekwe popote achape kazi .

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 4 ปีที่แล้ว +1

    MWINYI anatishaa, nimtu asie jiskiaa napia anaishi najamii zote hata za halinya chini sna

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 4 ปีที่แล้ว

      Akishakuwa rais wa Zanzibar yote atayaacha hayo

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว

      @@aishamuhammad7785 Ndio eti, Rais haiwezekani acheze kijiweni. Mimi ninamatumaini nae sana atafanya vizuri kama Rais Mstaafu Amani Karume.

  • @masoudjoel5008
    @masoudjoel5008 4 ปีที่แล้ว

    Milad naomba mawasiliano kunakazi

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 4 ปีที่แล้ว

    Letu jicho

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว

    Misri kwa pesa za wananchi

  • @hamudseif
    @hamudseif 4 ปีที่แล้ว +11

    Huyu ilkuwa tupewe pale mnazi mmoja atibu wagonjwa, lkn ndo siasa inauwa field za watu

    • @ramadhankambalame4681
      @ramadhankambalame4681 4 ปีที่แล้ว +1

      Man of principles

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata Maalim Seif ilikuwa tumpate pale F. Castro tuna upungufu mkubwa wa Walimu wa Geographia Form six.

    • @abuelolongavida7261
      @abuelolongavida7261 4 ปีที่แล้ว

      Madaktari unaweza kupata kwingine ila kiongozi sio rahisi sana...

    • @hamudseif
      @hamudseif 4 ปีที่แล้ว

      Haji Hassan: Maalim Seif ana degree ya politics asa kwa geography so mzr km rais sheni amewafungulia chuo cha politics bas maali anafaa vzr

    • @hamudseif
      @hamudseif 4 ปีที่แล้ว +1

      Abuelo Longavida: mnaonaje kutokana na uzoefu mkubwa na umahiri ktk field ya udaktari angetibu wagonjwa wenu af maalim seif alosomea siasa na pia ni mzoefu ktk uongoz mkampa jukum la kuongoza

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 ปีที่แล้ว +1

    Kifo cha mkapa bado hakijalipa deni la Ngamia (4455) kwa kila marehem mmoja ni Ngamia(99) watulipe sisi wafiwa tumsameh, hawataki kutulips hatumsameh ng'ooo.

    • @sponcersaita2599
      @sponcersaita2599 4 ปีที่แล้ว

      Siyoo muslim ww anae kufanyiaa bayaa bhac mlipe mema acha ugombanish ww kwanza niambie una miaka mingap usiwee unahadisiwaa tyuuu

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona wizara ilimshinda si ndiye huyu ambaye ni waziri wa ulinzi,mbona ujambazi ulikuwa mkubwa sana mabank yalivamiwa mpaka vituo vya polisi vilivamiwa hakuna kitu hapo labda abadirike la sivyo hiyo kazi ni mzigo kwake.

    • @ewardnestory258
      @ewardnestory258 4 ปีที่แล้ว +1

      Unazungumzia majukumu ya waziri wa Mambo ya ndani na yy alikuwa waziri wa ulinzi Ni wizara mbili tofauti.

    • @msetikebwasi6895
      @msetikebwasi6895 4 ปีที่แล้ว

      kwa hiyo yy haikumuhusu..

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 4 ปีที่แล้ว

    Mashehe waliofungwa kama wanamakosa wahukumiwe nakama hakuna makosa wa achiwe

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว

    Aende hospital akatibu wagonjwa charity

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 3 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mpole sana Zanzibar haiwezi kwa ilipo fikia anatakiwa mtu kama Magufuli

  • @mhojamsafiri2273
    @mhojamsafiri2273 4 ปีที่แล้ว

    Sula yake tu inatosha kuzihirisha kuwa yeye ni rais.#HAPA KAZI TU

  • @rajabujuma4976
    @rajabujuma4976 4 ปีที่แล้ว

    Huyu Huseni Mwinyi natamani angekua raisi wa Tz bara alafu aongoze nchi kama alivyo ongoza Baba yake wapambanaji tujae minoti kama wale waliofurahia maisha enzi za mstaafu Baba yake

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa hiyo wanawekana to mana zanzibar imekuwa kama mwanamke malaya kila mmoja aje kujifundishia kuwaweka watu na njaa kali na mji mbovu na wiz

    • @asalasaad7568
      @asalasaad7568 4 ปีที่แล้ว

      Kwani mpaka huyu pia ni mwizi,kwani pia ana njaa we umekosea njia sana. Huyu labda atimize ndoto zake tu na sio kama fikra zako pesa kwao hawa sijui lini zitaishi tena za utumishi tu serekalini sio za dhana yako mzee haji shikamooo mzee

  • @mauthamani
    @mauthamani 4 ปีที่แล้ว

    Kuna maeneo hayajakaa sawa kwa huyu msimuliaji haswa matukio katika miaka

    • @abuufauzaanmohd447
      @abuufauzaanmohd447 4 ปีที่แล้ว

      Anaekubali kuwa wazanzibari tumekwisha agonge like

  • @amirjuma7983
    @amirjuma7983 4 ปีที่แล้ว +1

    Zanzbr hkuna Rais anae mueza Magufuli.

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว

    Hana nafasi wazanzibarian wenyewe watamchagua nani atakuwa kiongozi bora

  • @felisterchimtunga7011
    @felisterchimtunga7011 4 ปีที่แล้ว

    Nilichokipenda jana upigaji kura wao ulikua live hakuna kukatwakatwa wala wala siri ni ushindi wa halali kabisa

  • @hamadchilala5365
    @hamadchilala5365 4 ปีที่แล้ว +5

    Wacfu umetumwa kwa kukurupuka, ina makosa mengi. Kwa mfano mwaka 1984 hadi 1985 baba yake alikuwa Rais wa Zanzibar na c balozi nchini Misri

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kwa nn Zanzibar inatawaliwa na madokta? Swali jengine mwinyi utafuata nyayo za baba yako au utafuata nyayo za Ali Mohd sheini

    • @Amani715
      @Amani715 4 ปีที่แล้ว

      Zubeir Salum muombee aongozwe na bwana na asaidie wana Zanzibar

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 4 ปีที่แล้ว

      Kwani madokta ni magaidi?

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU amfanye kuwa mtwala kwa wazanzibar wote. Cc ccm tushapigia kula ya ndio

  • @edyhasan9071
    @edyhasan9071 4 ปีที่แล้ว

    Yupo zanzibar kwa masilahi yake na kuna watu hapa znzibar hawajielewii kwa mfano alio maliza kusoma tu faidi aliipeleka tanganyika mbona hakuja hospital yetu ya mnanzi moja kuseidia wanzibar alienda hospital ya tanganyika kaja zanzibar kwa ajali ya kimaslahi na mijitu wengine ndio hivo wanashangalia huyu sio mzalendo bali ni kwa zanzibar kwani faida yske ya kiekelimu aliitumikia tanganyika na sio zanzibar

  • @muhsinnainoabdullah1539
    @muhsinnainoabdullah1539 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha jifurahisheni lakin Kwa kura zanzibar uyo hapiti kama uchaguzi utaenda kihalalai mana wazanzibari ccm ushatutosha yani sisi wazanzibar kipenzi chetu bana maalim seif tuuu msituzonge sisi hatutaki wakuja bana vp nyinyi machogo

    • @valentinesyekeye6846
      @valentinesyekeye6846 4 ปีที่แล้ว

      Apo faulo lazma

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 4 ปีที่แล้ว

      Si wajomba wanawachochea hivyo wakitaka kurudi tena Zanzibar. Wazalendo lazima wajitawale.

  • @alvinbenito9115
    @alvinbenito9115 4 ปีที่แล้ว +7

    Sawa ni mtoto wakishua,dizain ya watu hawa hawajawahi kupitia though life so it's so hard kujua maisha ya uswahilini ,hawezi kutatua matatizo ya walalahoi cause njaa haijui but any way .

    • @mohamedkilemile3058
      @mohamedkilemile3058 4 ปีที่แล้ว +2

      Labda hujui tuu, huyu Dr. Mwinyi kakulia uswahilini waliishi tandika mtaa wa kivungo

    • @ammygalby9921
      @ammygalby9921 4 ปีที่แล้ว

      @@mohamedkilemile3058 swadaqta

    • @johnsonkiwia6577
      @johnsonkiwia6577 4 ปีที่แล้ว

      Hata mie nina doubt. Kwani hakuna wazanzibari wengineo? Jimboni kwake huko unguja alifanya nini labda

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu ndio mzuri manake hata anza kujilimbikizia Mali

    • @athumansaid796
      @athumansaid796 4 ปีที่แล้ว

      Mashallhaaaaaa inallhahaaa maaswabilinaaaa

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 4 ปีที่แล้ว

    Aha rais wa baraza la mapinduzi znz vizur.

  • @nurisahim7898
    @nurisahim7898 4 ปีที่แล้ว +2

    Cc watoto wa madereva daladala na wauza mitumba hizi CV tutazisikia tu

    • @emmanuelelius7768
      @emmanuelelius7768 4 ปีที่แล้ว

      😥😥😥 acha tu ndg yang

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว

      Mipango ya Mungu acha tu. Unaweza ukajikuta uko juu bila hivyo vyeti. Hebu fikiria tu Leo Laizer alivyo na anasema hakusoma

    • @kiyabolnjemu9646
      @kiyabolnjemu9646 4 ปีที่แล้ว

      Usijilemaze, fuatilia historia ya JPM ili ikutoe ulemavu akilini

    • @bahatimadilisha2487
      @bahatimadilisha2487 4 ปีที่แล้ว

      @@kiyabolnjemu9646 nimekuelewa mkuu, tatizo letu ni akili

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 4 ปีที่แล้ว

      Elimu ni bure km ukishindwa kusoma sasa somesha wanao kwa hasira awamu hii. Dereva wa daladala ana pesa hashindwi kununua madaktari na sare za shulu kwa mtoto.

  • @amoscharz5606
    @amoscharz5606 4 ปีที่แล้ว

    Wakisure huyu hajui shida

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว

    Shahada ya udhamini ni nini