Sakata la kupotea alokuwa mgombea wa ndani Uwakilishi CCM Chaani- Familia yasema kuna mkono wa mtu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ส.ค. 2024
  • Sakata la kutoweka kwa aliyekuwa mgombea uwakilishi ndani ya chama cha CCM jimbo la Chaani, Bwana Juma wa Juma Makame limechukua sura mpya baada ya wanafamilia kupaza sauti wakitaka kujua kilichompata ndugu yao na kuvitaka vyombo vyenye mamlaka kutoa majibu yanayoeleweka.

ความคิดเห็น • 68

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว +2

    Poleniii sanaaa. Mungu tuuu atahukumu. WATUUUU JAMANI KHAAA

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +4

    poleni.sana Allah awape subira

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 ปีที่แล้ว +1

    Binaadamu unampoteza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya pesa? ALLAAH atupe mwisho mwema. Ameen

  • @alexmosha9979
    @alexmosha9979 ปีที่แล้ว

    Poleni sana kwa uhuni wa ccm ambayo ninyi mlifurahia ilivyowauwa watu miaka yote ni vema mjue hampo salama kuwa ccm au kuwa rafiki na mwana ccm, wapingeni kama ukoma hawafai

  • @mwigaadam1179
    @mwigaadam1179 ปีที่แล้ว +4

    Mapinduziiiiiiiiiiiiii, daima mbeleeeeee,na kwabahati mbaya Hadi walioapa kuyalinda na kuyatetea kwa nguvu zao zote potelea mbali.Yana wapoteza mbali duu,,,, hatar

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 ปีที่แล้ว +4

    ولا تحسبن الله غافلا عما يعمل الظالمون انما يؤخرهم ليوم تشخص فيه الأبصار

  • @saidyussuf2291
    @saidyussuf2291 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji anajua , hana ubabaifu , yupo vzr , Mungu afanye wepesi

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 ปีที่แล้ว +1

    Asante msomaji umeeleweka vzur

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 ปีที่แล้ว +3

    Madaraka ulev mbaya Sana

  • @hamynas
    @hamynas ปีที่แล้ว

    zanzibar ina watu asilimia 99 waislamu misikiti kama yote kila mtaa
    vikofia na vikanzu kila mtu
    inshallah inshalla na salaam alaykum kama wimbo..LAKINI MAUWAJI UWONGO UJAMBAZI UWIZI NA KUKOSEKANA UTU NI JAMBO LA KAWAIDA KABISA..HII INASIKITISHA SAANA

  • @komboalirashid9651
    @komboalirashid9651 ปีที่แล้ว +2

    Laaa yazidu dhalimiin ila khasara

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 ปีที่แล้ว +1

    Mapinduzi daima,hio ndio benefit ya mapinduzi, sisi wapnzani hayo kwetu ni kawaida tu tumeshayazoea

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว +2

    Tumbili akimaliza miti huja mwilini!wangapi wamepotea lkn hawakuhojiwa?hayo ndiyo mapinduziiiiii!Daiiimaaaaa!

    • @alliyrubea5731
      @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว

      Na hili ni fundisho kwa wale wanaowaadhibu na kuwapoteza wapinzani wanapoyafurahia matendo haya,maana mke wa mpoteaji amesema kama na ww uliyefanyiwa mtu wako hivi je ungeonaje?sasa vp wale waliopotezwa kabla yake walionaje?ni uchungu juu ya uchungu na majonzi juu ya majonzi!je nani mchawi?kabla ya kadhia hii kutokea na wengine kufikwa na haya vp familia ya Juma aliumizwa vp na hili?suluhisho ya mambo haya ni moja tu!kuiondoa CCM madarakani maana wameshafanya kiburi utawala na kujifanya wao ni wao na kuandaa kundi maalum la Kiharamia na kuumiza wengine kwa matamanio yao tena ni wa chache akina Juma hawamo wao wanapakwa mafuta tu ma kurambishwa asali kidogo ili nao waone wamo!

  • @nafuutayb8452
    @nafuutayb8452 ปีที่แล้ว +1

    LAILLAHA ILAHUWA HAPANA ATAEBAKI ILLA-LHWAHU ILAHUWA,DUNIA NIMAPITO

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว

    WAMEMPOTEZA UYOOO. SIASAAAA JAMANI. DAAA HADI LEO?? M. WATUUU SISIII SIO WEMAAA

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 ปีที่แล้ว +2

    Huyo nadir wala hahusiki na upotevu wa juma uchunguzi uanze kwa viongozi wa ccm kuanzia mabodi mana kimya chao kinaonyesha wanajua kinachoendelea

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 ปีที่แล้ว

      WW una uhakika gn km hahusiki?

    • @yasminjuma9146
      @yasminjuma9146 ปีที่แล้ว

      @@seifabdulwahid4579 na wewe una uhakika gani hata ukasema hivo

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 ปีที่แล้ว

      Kaa usikilize hotuba zake km mabodi baada ya kumalizika huo uchaguzi walioufanya yy na wenziwe

  • @robertmapinda1866
    @robertmapinda1866 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndiyo halisi wakati wa uchaguzi hapa Tanzania lakini ipo siku Mungu atatenda

  • @suleimanbadru819
    @suleimanbadru819 ปีที่แล้ว

    Yuko anaejua kilichotokea atajibu kwa Allah kesho na djambi hiyo itamueka pby

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 ปีที่แล้ว

    Sasa atawahi vipi na kashakufa au kashauliwa. Na pia mwenyewe hayupo hata mkimsemea uongo hawezi kujitetea! Hao hawaharakishi uchunguzi maana si ndugu yao huyoo
    😇😇😭😭😭😭

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 ปีที่แล้ว +1

    Wamemkigoma na kumkolimba

  • @omarabdallah3883
    @omarabdallah3883 ปีที่แล้ว +1

    MTANGAZAJI KASEMA WAMEMUONA AKITOKA KUOGELEA BAADA YA HAPO HAWAKUMUONA TENA,UNASEMA KAFA BAHARINI,BAHARI IPI HIYO? SIKILIZENI KWA MAKINI TAARIFA INAPOTOLEWA MSIKURUPUKE TU KUTOA MAONI.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 ปีที่แล้ว

    Allah anajua kama mtu kashiri atujuana naye….sisi utatuziba macho mola jeee 😯😯😯😯

  • @salyali7807
    @salyali7807 ปีที่แล้ว

    Baraka kakosea chupuchupu

  • @hassanmakame4382
    @hassanmakame4382 ปีที่แล้ว

    Tutulieni2 wanachi hawa ccm watapigana nakuuwana wenyewe hao maana waponzani wanaposema wanaambiwa ccm daima

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว

    ZAMBIIII. DAMU NZITOOO. WATOTOOO JAMANI NYIEEE HAAA KWERIII.

  • @ahmedmassoud8758
    @ahmedmassoud8758 ปีที่แล้ว

    Watajuana wenyewe watu wamuungano

  • @ahmedhamad2410
    @ahmedhamad2410 ปีที่แล้ว

    Mapinduzi yamefanya kazi yake

  • @mansourameir3605
    @mansourameir3605 ปีที่แล้ว

    Umetudanganya tuu kaskazini hakujawahi kuwa na mwenyekitii anoitwa mula acha uongo mbwaa wewe

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว

    CCM daima mbere kwambere

  • @kisa6022
    @kisa6022 ปีที่แล้ว

    Yetu macho tu

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 ปีที่แล้ว

    Kama alikwenda kuogelea labda kazama baharini mbona watu wengi wanazama baharini poleni bahari haichagui mtu poleni mungu amuweke panapo stshiki

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +2

      Bahari haiweki kitu, ingekuwa amezama maiti yake ingeonekana tu kwenye ufukwe

  • @masshaka
    @masshaka ปีที่แล้ว

    Uwaneni ccm. Shenz wakubwa

  • @salumjuma3152
    @salumjuma3152 ปีที่แล้ว

    Kwani Hiyu si tulisikia alipotea baharini au vp

  • @simbabbq4427
    @simbabbq4427 ปีที่แล้ว

    Itakua kazama baharini

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

    Zanzibar kamili mnaniboa mara mpo hewani mara mnapotea kwanini?

    • @ZanzibarKamiliTV
      @ZanzibarKamiliTV  ปีที่แล้ว

      Hatupotei siye tupo tu. Ni mapumziko mafupi tu huwa tunafanya kupumua. Asante kwa kuwa nasi🙏

  • @muhamadhusein5260
    @muhamadhusein5260 ปีที่แล้ว +3

    Kwa vyovyote vitakavyosemwa ila hapana shaka huyo mtu ameshauwawa tena kauliwa na ccm wezake

    • @AaAa-vm8bb
      @AaAa-vm8bb ปีที่แล้ว +1

      Wanauchu wa madaraka sasa wanauwana wenyewe ccm wamekua wachawi wanakula wa wenzao halafu wenyewe kwa wenyewe

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 ปีที่แล้ว +3

      @@AaAa-vm8bb kweli wenyewe kwa wenyewe hao bora lkn mana wakifanyiwa wapinzani wanafurahia waone uchungu na wao

    • @alliyrubea5731
      @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว

      Hii ni laana inawarudia na hao waliofanya hili nao watafanyiwa maana historia hujirudia,kama walikuwa wanawateka wapinzani wao kisiasa na wengine kuwauwa na sasa wanatekana wenyewe kwa tofauti za kugombea tu ndani ya chama chao!nini tufikirie watashindwa kufanya?ipo siku watekaji watapewa amri ya kuteka na kuuwa familia zao bila khofu,maana inasemekana kuna vijana maalum huvutishwa bangi na kupewa vilevi kila aina kwa kazi hii tu!

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

    labda amezama baharini

  • @stonetown578
    @stonetown578 ปีที่แล้ว

    So sad, Allah atakufanyieni wepesi wana familia.

  • @khamissalum3588
    @khamissalum3588 ปีที่แล้ว

    Wamemkolimba!Hili si ajabu kwa ccm!!!

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 ปีที่แล้ว

    Tushafaham na tushasikia hizi taarifa.

    • @ZanzibarKamiliTV
      @ZanzibarKamiliTV  ปีที่แล้ว +2

      Basi pita tu ngoja ambao hawajasikia wasikie🙏

    • @gwajimagwajima
      @gwajimagwajima ปีที่แล้ว

      Kama umezisikia tuliza kijambio chako,choko ww

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 ปีที่แล้ว +1

    Mlio mkwenye mamlaka msijisahau kuwa kuna mamlaka ya mbinguni inaona mpaka chembe ya mchana iliyo ktk kiza kizito, jamani jamani jamani mliopo ktk ccm uhalifu dhulma mnayoifanya mkumbuke kuwa kuna mamlaka iko mbinguni na kuna mahakma ya mbinguni na hakimu wa mahakama hiyo ni mwadilifu hana sifa ya kudhulumu viongozi wengi wa ccm kwa asilimia 99 ni madhalimu lkn mnayoyafanya hayasahauliwi ktk ufalme wa ALLAH viongozi qa ccm mnatamba ktk ardhi lkn akhera mtadhalilika sana kwa dhulma mnazofanya

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb ปีที่แล้ว +1

    Mtu mzima hapotei either killed or went to UK

    • @w4058
      @w4058 ปีที่แล้ว

      Hata UK hayupo angekua keshaonekana

    • @w4058
      @w4058 ปีที่แล้ว

      Wee Tadeo wacha unafiki mbwa mmoja wewe unasema unafiki tuu loo

    • @w4058
      @w4058 ปีที่แล้ว

      Poleni sana familia yake Allaah atawasaidia na ukweli mtaupata tutakuleteeni dua zitawasaidia

    • @w4058
      @w4058 ปีที่แล้ว

      Subhanallah namjuwa kama pesa kilo mponza ni kuwa mkewe Samira kwa kwa sababu ya mama mkwe wake kuwa alikuwa mpinzani Laysa laha mindunillahi kashifah tusomeni sana sote kwani ni Mzanzibari mwenzetu huyu tuweke mbali vyama

    • @w4058
      @w4058 ปีที่แล้ว

      Kwenda Mula mnafiki wewe