RAIS MWINYI 'ASHTUKIA' WAFANYABIASHARA WANAOFICHA CHAKULA "TUTAWASHTAKI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2023
  • RAIS MWINYI 'ASHTUKIA' WAFANYABIASHARA WANAOFICHA CHAKULA "TUTAWASHTAKI"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 26

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana rais wangu hakika wewe ni muungwaana sana

  • @abednego3876
    @abednego3876 ปีที่แล้ว +2

    Asante huku bara runa kivuli tu

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kama hivyo vyakula vipo kwanini wafanya biashara wanaendelea kuuza kwa bei wanazotaka wao??? Hili ni Tatizo la serikali na sio wafanya biashara.

  • @mullestv2680
    @mullestv2680 ปีที่แล้ว +1

    Sjaona facts ht moja hojaj zko pumba hazina mashiko sasah km hko Pakistan ndo umepanda bei kwann kusiwe na free port ya mchle unga na mafta ta kul ili kulta unafuu kw raia

  • @kiwangodaniel1302
    @kiwangodaniel1302 ปีที่แล้ว

    Mitigation please. Stop many words.

  • @dengepandu9734
    @dengepandu9734 ปีที่แล้ว +1

    Muheshimiwa rais wafanyabiashara wa znz wakiona mwenzao anauza rahisi chakula wanakinunuwa wao chote wauze wanavotaka wao

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa unanifurahisha sana kwasabu wakati huku bara tunahangaika na kumpiga marehemu na watu wake wew unahangaikia maisha ya masikini

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 ปีที่แล้ว

      Mawazo yako finyu hayo na utateseka sana Hussein Mwinyi ni bora ila Mh. Samia bora zaid,i sasa nakushauri utateseka sana na Mama Samia anaupiga mwingi sana tena Allah ametupa tunu Rais wetu.

  • @suleimanrashid8238
    @suleimanrashid8238 ปีที่แล้ว +1

    Mh.rais tunakukubali kwa kila hali kwa hatua unazopitia kwa ajili ya wananchi wako..
    Point yangu ipo hapa...
    Fungeni mipaka kama awamu ya maguful mchele usitoke nje ya Tanzania kwa kipindi hichi cha upungufu wa mchele...
    Mukishirikiana kufunga mipaka all is all mchele unaweza kupatikana kwa wingi na bei nafuu.
    That's among the good ways to avoid that disaster ☝️

  • @saiditunda-bi8pw
    @saiditunda-bi8pw ปีที่แล้ว +1

    Sasa kwanini serkali isiagize chakula nje kwa ajili ya wananchi

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 ปีที่แล้ว

      Wafanya biashara wapo why serikali ishindane na wafanya biashara,ila kama watakuwa wanamagumashi hapo serilali wanaweza kufanya kama unavyosema

  • @khairatkhamis5845
    @khairatkhamis5845 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa hataki kuswemwa mfalme huy

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 ปีที่แล้ว

      Msemeni kwa yalio ya kweli na sio kuyazusha yasio ya kweli ,hakuna anaependa kusemwa kwa mabaya yasio ya kweli

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว +1

    Pembe bei gani kwani..

  • @zanzibarcosmetics6416
    @zanzibarcosmetics6416 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndio maraisi tunao wahitajii

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 ปีที่แล้ว

    Haya ndio matatizo ya sekta binafsi yajayo ni makubwa zaidi serikali ikiendelea kuweka mikono nyuma

  • @sarayanlukumay3271
    @sarayanlukumay3271 ปีที่แล้ว

    Mmeruhusu maindi kuuzwa nje mnasema kosa sio la kwenu

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 ปีที่แล้ว +1

    Yahni samiya angekuwa anatujalj km uyuu raic wa zenji aseee naumia sana kuwa na raic asiyea jali wanyonge na kuambatana na matajiri tu

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 ปีที่แล้ว +2

      Wewe unateseka na udini na sio Mh.Samia na utaendelea kuteseka sana maana bado yupo yupo sana Mama Samia.

    • @froma3732
      @froma3732 ปีที่แล้ว +1

      Basi hamia huko unapofikiria utapata nafuiu

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 ปีที่แล้ว +2

      @@froma3732 mwambie huyo ila kwa upande wangu mimi namshauri aondoe chuki na Mh.Samia kwani atateseka sana bado yupo yupo sana.

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 ปีที่แล้ว +1

    We raisi Fanya unavojua hao wanaokukosoa wote niwashenzi vilevile

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว

      Twambie ushenzi wao ni upi..

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 ปีที่แล้ว +1

      @@AbdillahSOthman uoushenzi wa kukosoa kila kitu wauona mdogo ww

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 ปีที่แล้ว

      Wana roho mbaya tu chuki na choyo

  • @NadeemKhan-zo8dc
    @NadeemKhan-zo8dc ปีที่แล้ว

    Huyo BIBI anatembea tu hajali watu wke anakula yy anashiba nyi mfe tu