RAIS MWINYI NA BABA YAKE (MSTAAFU MWINYI) WAMZIKA HASSAN MWINYI, MTOTO WA MAREHEMU AONGEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024
  • RAIS MWINYI NA BABA YAKE (MSTAAFU MWINYI) WAMZIKA HASSAN MWINYI, MTOTO WA MAREHEMU AONGEA
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 56

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 2 ปีที่แล้ว +6

    اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว +1

      Amiin amiin amiin

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 2 ปีที่แล้ว +5

    Allah amlaze malazi mazuri amin yarabiiiiiii ndungu yetu Hassan. Kila nafsi itaionjamauti. Allah akupeni Subra wafiwa nyote .familia.

  • @furahamwajeka7463
    @furahamwajeka7463 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni na msiba familia Ila najifunza makubwa khs rais mtaafu na rais wa Zanzibar jaman tusomeshe watoto

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amlaze mahali pema peponi amin

  • @fatmayusuf1656
    @fatmayusuf1656 2 ปีที่แล้ว +6

    Inna lilahy waina ilehy rajioun

  • @GasperAloyce-p1x
    @GasperAloyce-p1x 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu ailaze mahali pema peponi sheikh wetu

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 7 หลายเดือนก่อน

    INNANLLIH WAAINNA ILLAHI RAJIUUN

  • @HadijaAbeid
    @HadijaAbeid 7 หลายเดือนก่อน

    INNALILLAH WAINNA ILLAHIRAJIUUN

  • @zuberymustapha8466
    @zuberymustapha8466 2 ปีที่แล้ว +4

    Innalillah wainna ilaih rajiun

  • @ZainabuAdamu-c5v
    @ZainabuAdamu-c5v 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu amlaze mahal pema xo twarejea

  • @dokasalim943
    @dokasalim943 2 ปีที่แล้ว +4

    Innalillahy wa innaillahy rajiun 😢

  • @hamisimdoe8254
    @hamisimdoe8254 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu amlaze mahali pema peponi

  • @irenelunguya5592
    @irenelunguya5592 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu ailaze mahali pemapeponi

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana wanafamilia

  • @binamour9925
    @binamour9925 2 ปีที่แล้ว +2

    Innaa lillah wainnaa ilaih rajiun.

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 2 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah waina ilaihi rajiun Allah ampe kauli thabit

  • @husseinmasangya1272
    @husseinmasangya1272 2 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah waina illah rajoun

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 2 ปีที่แล้ว +7

    Poleni Wamwinyi😭😭😭

  • @arafatjuma828
    @arafatjuma828 2 ปีที่แล้ว

    Ina lilahi WAINA ILAIHI rajiun

  • @mudasina6968
    @mudasina6968 2 ปีที่แล้ว +4

    Innalillah wainailah rajiun Allah amsameh makosa yake na ampe kauli thabit Amiin

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaaah Ebu jalibu kuandika vzl caption zieleweke jmn Aiseeee Adi mtu uelewi

  • @MarymwitaMwita
    @MarymwitaMwita 6 หลายเดือนก่อน

    Apumzike kwa Amani

  • @zuberimkuba2324
    @zuberimkuba2324 2 ปีที่แล้ว +1

    Polen saan kwa msiba familia ya mwinyi

  • @soberkaleya5148
    @soberkaleya5148 2 ปีที่แล้ว

    Mathayo 22:13b ".....ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.14 Kwa maana waitwao ni wengi, bali wateule ni wachache.*MUNGU ATUPE NEEMA TUWE MIONGONI MWA HAO WATEULE WACHACHE KWA JINA KUU LA YESU!!!*

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna kusalimika km utaendelea kumshirikisha Allah/Mwenyeezi Mungu.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 ปีที่แล้ว

      Huyo yesu naye, mmerogwa na wazungu nyie, ati yesu. Ushamba tu.

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 2 ปีที่แล้ว +1

    Polen saana ila cjajua ni yupo huyo mtt wa mzee mwinyi ni ypi?wa nyumba ya saateni au?

  • @sniper93999
    @sniper93999 2 ปีที่แล้ว

    Inna lillah wainna illaih raj uun

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni familia yeny busara ccm

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 2 ปีที่แล้ว +1

      Familia ya dhulma namichongo kwaraia,kufifisha ukweli,

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว

      @@josephmakutano7067 ALLAH anatosha kua shahidi

    • @ramaspain5024
      @ramaspain5024 2 ปีที่แล้ว

      @@Awatee anasumbuka na chuki binafsi huyooo

    • @ramaspain5024
      @ramaspain5024 2 ปีที่แล้ว

      @@josephmakutano7067 chuki na hasad vinakusumbua mwombe Sana mungu akutoe huko

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว

      @@ramaspain5024 Mtihan ALLAH atuhifadhi

  • @linuscleophace3681
    @linuscleophace3681 2 ปีที่แล้ว

    Polen jamani kila kitu twamuachia mung

  • @bamurwakana5452
    @bamurwakana5452 2 ปีที่แล้ว +1

    Hayo majina yenu vipi mbona hatuelewi ipo siku mmoja wao hatajiapisha kama rais

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 2 ปีที่แล้ว +1

    Alla ampe nuru na kumsamehe makosa yake,sema majina yenu yanachanganya yamejirudia mno

    • @coyancodavao4004
      @coyancodavao4004 ปีที่แล้ว

      Huyo ni Hassan Mwinyi kaka yake Hussein Mwinyi

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 2 ปีที่แล้ว +2

    Tumewachoka wamwinyi mwinyi ata atuelewi nimwinyi yupiuyo

    • @juliethgabriel4537
      @juliethgabriel4537 2 ปีที่แล้ว

      We kweli ni mautundu mmewachoka wamwinyimwinyi😂😂😂 Huyo ni mtoto wa mstaafu Al Hasan Mwinyi ni kaka wa Rais Mwinyi wa Zanzibar.

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 2 ปีที่แล้ว

      Nyinyi na chuki zenu mtaishia maskini wenzenu wanakula Maisha. Halafu wewe hata ukiwatukana haisaidii chochote wao washawini Maisha nyie mnakuna makalio yenu tu na kufukuza nzii usoni kwenu.

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว +3

      Mtoto wa aliyekuwa Rais wa awamu ya pili Tanzania Bara Ally Hassan Mwinyi ni pacha wake Rais wa Zanzibar Husein Mwinyi Hassan mkubwa kisha Husein mdogo ushaelewa kwao Mkuranga Pwani ndy chimbuko lao lilipotokea

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 2 ปีที่แล้ว +3

      Marehemu alikuwa mtoto wa Raisi wa awamu ya pili ya Tanzania, anaitwa Hassani Mwinyi. Na alikuwa kaka wa kuzaliwa wa Raisi wa sasa wa Zanzibar, Husein Mwinyi.

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว

      @@abi-onlinetv4181 we nae ka chizi umevurugwa na maisha nn, mwenzio kauliza vingine unajibu vingine....!!!

  • @qaseem7660
    @qaseem7660 2 ปีที่แล้ว

    Ni rais wa pili wa Tz au

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 7 หลายเดือนก่อน

    Huna lolote unakula dhulma tu nahao mamwinyi wezako

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 ปีที่แล้ว

    Hata huyu kijana anabusala sana

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 ปีที่แล้ว

    MKO SERIKALI KWA NJIA ZA DHULMA , TENDENI HAKI WACHENI KUWATESA WAZANZIBARI, IKIFIKA SIKU MTARUDI KWENU MKURANGA.

  • @mukhsintwaha5909
    @mukhsintwaha5909 2 ปีที่แล้ว +3

    Innalillah wainnaileihy rajiuun

  • @suleimanrashid8238
    @suleimanrashid8238 2 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainna illaih rajioun