Mashaallah 🥰 allah awazidishie mapenzi ya dhati mfe mzikane inshaallah kwa uwezo wa allah kila la kheri na kila siku muwe wapya msisahau na allah yy ndo kila kitu kwenu 🥰😍
Hakuna kitu kitamu kwenye maisha ya Ndoa kama Mume au Mke kuwa proud na mwenza Wake hakika nimeuhisi msisimko kabisa wa mwili wangu pindi Gabo alipokuwa akidondosha chozi na kukiri kuwa my everything ni vyake oooh Mashaallah Allah awape kheri na Maisha marefu na Upendo wenu ubaki au kuzidi siku zote nawapenda sana 💖😊❤
Kwakweli hongera wanandoa nyinyi na hongera mke mwenye upendo mpende zaidi mumeo zaidimno mm Ray bint wazenji nmependa saprais yk mwanamke jasiri mashaallah 🎉❤😊
Hongereni Gabo na mwenzio lakini jueni kwamba kuna wengi wanatamani kuwa kama nyie ivo jitahidini msipoteze hii nafasi ya pekee mliyojaliwa Mungu awabariki sana
Kumbe team JUNE bhana , mwez wa watu fulan hiviii.Am so proud kuzaliwa mwez mmoja naww GABO ZIGAMBA MWANAUME wa TZii unaejielewa .7/6 nikazaliwa mim apa raha sana
Ukiona wenzio hivyo unatamani kuolewa lakini olewa ww mwenye gundu zako ukutane na mwanaume wa hovyo kuliko maisha yako mungu awabari kwenye ndoa yenu muzidi kupendana Mzee wote mzikane inshaa allah
Tatizo mnawaombea watu ujinga mshaurini amrudie mkewe aliyeanza naye maisha hadi alijenga nyumba kwa pesa ya mkewe na kununua gari kwa pesa za mkewe alizo pata urithi toka kwa wazazi wake mke
Tatizo mnawaombea watu ujinga mshaurini amrudie mkewe aliyeanza naye maisha hadi alijenga nyumba kwa pesa ya mkewe na kununua gari kwa pesa za mkewe alizo pata urithi toka kwa wazazi wake mke
Kaka angu Gabo nakupenda kwa ajili ya Allah SW Allah akujalieni maisha mazur hapa duniani na kesho Akhera pia kujaalieni husnil hatma kwa sote inshallah Mashallah
Kwanini wanaume na isiwe wote tungekua hivi...wanawake wengi ka si wote ni wa binafsi sana kwenye mahusiano yani nyie mwaona ndo wakufanyiwa kheri tu na si nyie kutufanyia sie pia. Tujitahidi sote kuwa responsible kwenye mahusiano na isiwe kazi ya mume tu au bibi tu.
Mashaallah wanangu nawatakia maisha marefu yenye furaha, amani, upend, na awajaalie kizazi chema Chenye kujali kalma ya laillah hailallah muhammad Rasurulah
Gabo una mke mbunifu nakimbuka mwaka jana alikudanganya kuna viwanja vinazwa uliporudi nyumbani ukakuta watu wamejaa seblen kwako. hiyo ilikua supries ya birthday yako, leo kaamua kukusaprais studio safi sana
Of course, yuko vizuri sana, namkubali, mfano wa kazi niliyotokea kuielewa sana na kuipenda ni BADO NATAFUTA pia SAFARI YA GWALU,,. Big up sana brother 💪!
Namkubal sana huy mwamba daah anajua mbka anajua tena🎉🎉❤❤❤
Mashaallah 🥰 allah awazidishie mapenzi ya dhati mfe mzikane inshaallah kwa uwezo wa allah kila la kheri na kila siku muwe wapya msisahau na allah yy ndo kila kitu kwenu 🥰😍
Huyu BROTHER namkubali sana na hajawahi kufel katika maigizo yake Maashaallah Allah amfanyie wepesi katika kazi zake..na sisi pia inshaaallah
Ebwana ata mie namkubal sana clip zake nazisikiaga naomba namba zake km unajua zinapo patikana
Aamin yaarab
Ana itwa nani vile
Kwema wazee aisee brother gabo ni kwiki sana ananipaga changamoto sana za kufanya kazi ya sanaa natarajia kufanya kazi moja na gabo, JB na ben
Hakuna kitu kitamu kwenye maisha ya Ndoa kama Mume au Mke kuwa proud na mwenza Wake hakika nimeuhisi msisimko kabisa wa mwili wangu pindi Gabo alipokuwa akidondosha chozi na kukiri kuwa my everything ni vyake oooh Mashaallah Allah awape kheri na Maisha marefu na Upendo wenu ubaki au kuzidi siku zote nawapenda sana 💖😊❤
Sana yaan
Amen Amen 🙏 ❤
Daaah ad nimeona wivu jamniiii 💓 Mungu wa mbinguni awatunze
Kwakweli hongera wanandoa nyinyi na hongera mke mwenye upendo mpende zaidi mumeo zaidimno mm Ray bint wazenji nmependa saprais yk mwanamke jasiri mashaallah 🎉❤😊
Happy birthday gabo,🎂🎂🎂 mungu awajalie kuishi Maisha ya amani na upendo amin
Mashallah.
Mi namuelewa saaana huyu jamaa.
Allah ampe umzi mrefu wenye baraka tele na mwisho ampe kauli thabiti.
Happy birthday to you big bro ( mdigo) wetu tanga moja mashallah 🤲😍❣️👏👏👏✔️
Gabo truly loves his wife the way she speaks.He looks direct to his wife's eyes.God bless you both.Happy wife,happy life.
Hongereni Gabo na mwenzio lakini jueni kwamba kuna wengi wanatamani kuwa kama nyie ivo jitahidini msipoteze hii nafasi ya pekee mliyojaliwa Mungu awabariki sana
masha Allah ndoa yenu idumu mzidi kupendana mvumiliane kwashida naraha, true love ❤️😍😍😍😍
Gabo umenipa funzo hongera kwakuwa na msimamo mkubwa katka ndoa yenu God bless you all
Maa Shaa Allah ❤️❤️ Happy birthday Gabo,, marriage works guys
Nawapwnda.mno.mapenz yenu.yanaonekn tu hat.kwa macho.mn kila.mtu ana hisia.na.mwenzake...Alla awajaalie.mzeek pamoj❤❤
nimewapenda Sana MUNGU awabariki wote... HAPPY BIRTHDAY GABO Msanii wetu Bora kabisa.
Raha sana kuona wanandoa wanapendana namna hii❤❤
Kwetu dua mungu awape umri mrefu wenye afya muendelee kufurahia maisha yenu🤲🤲
ILike Salim ahmed Allah akujalie khery katika kazi zako u the best actor
Kumbe team JUNE bhana , mwez wa watu fulan hiviii.Am so proud kuzaliwa mwez mmoja naww GABO ZIGAMBA MWANAUME wa TZii unaejielewa .7/6 nikazaliwa mim apa raha sana
ManshaAllah ManshaAllah tabarakallah Allah awazidishiye mpnz ya dhati
Aamin yaarab
Ukiona wenzio hivyo unatamani kuolewa lakini olewa ww mwenye gundu zako ukutane na mwanaume wa hovyo kuliko maisha yako mungu awabari kwenye ndoa yenu muzidi kupendana Mzee wote mzikane inshaa allah
We dada umejua kunichekesha
Salma Athumani 🤣🤣🤣unatukatisha tamaa
Salma siku zote tanguliza maombe yako kwa Allah muombe bila ya kuchuka ipo siku utapata unachokitaka Inshallah
Ukione cha mtema Kuni😁😁
Hahaha acha tu
Allah akupen umri mrefu umezaliwa siku moja na mamangu Allah awarahishie mthian..,,akupen Afya njema
Tatizo mnawaombea watu ujinga mshaurini amrudie mkewe aliyeanza naye maisha hadi alijenga nyumba kwa pesa ya mkewe na kununua gari kwa pesa za mkewe alizo pata urithi toka kwa wazazi wake mke
Tatizo mnawaombea watu ujinga mshaurini amrudie mkewe aliyeanza naye maisha hadi alijenga nyumba kwa pesa ya mkewe na kununua gari kwa pesa za mkewe alizo pata urithi toka kwa wazazi wake mke
Huyu kijana namkubali sana, anaigiza vizuri sana.Niunganishieni niigize nae kama mama yake ili nitimize ndoto yangu.
Wooooow i love gabo happy birthday
Kaka angu Gabo nakupenda kwa ajili ya Allah SW Allah akujalieni maisha mazur hapa duniani na kesho Akhera pia kujaalieni husnil hatma kwa sote inshallah Mashallah
Ila wanaume Mungu anawaona mkeo yule wa Mwandege yuko wapi au ulimuonaa mshamba hawezi leta cake hapo unapohojiwa
Mashallah Gabo mm nishabiki wake toka awali 🇧🇮🇧🇮🥰
Maashaallaah mungu awape maisha marefu amin yarabilalamin mpendane milele amin
Hongera Sana gabo mungu akupe Maisha marefu na kukulinda siku zote Linda familia yako na mungu awabariki
🥰🥰🥰🥰🥰🥰Mungu aibariki nakuilinda ndoa yenu nawapenda sana
Nawapenda sana 💖💓💕💗💖 mungu ababariki sana 💓💕💗💖😛
Ooooh raha saaan ili penz mungu namm nipe mwema
Mashaallah mashaallah tbarakallahu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤hadi raha
Mashallah mdumu kwa amani na furaha ibilisi apite pembeni.
Hata akiwapitia MUNGU awape nguvu ya kuomba,kuvumilia na kusuluisha
Mashallah wanaume wote wangekuwa hivi akuna mwanamke angelia
Ya ndani huyajui
Ata na wanawake majangiri wapo dear
Kwanini wanaume na isiwe wote tungekua hivi...wanawake wengi ka si wote ni wa binafsi sana kwenye mahusiano yani nyie mwaona ndo wakufanyiwa kheri tu na si nyie kutufanyia sie pia.
Tujitahidi sote kuwa responsible kwenye mahusiano na isiwe kazi ya mume tu au bibi tu.
Mwenyezi Mungu awasimamie ktk maisha yenu ✍️✍️mewapenda mno I can say this is true love ❤️👋
Hongera gabo na mkeo
Allah awalinde awaepushe na hassad
Amin thumma amin
💋💋❤❤gabo hongeraa kwa wife mzuri nawependeni buleee
Masha Allah mungu awajaalie maelewano zaidi nawapenda Sanaa 💕🌹💖❤️
Mashaallah wanangu nawatakia maisha marefu yenye furaha, amani, upend, na awajaalie kizazi chema Chenye kujali kalma ya laillah hailallah muhammad Rasurulah
❤upendo wa dhati ni Raha iso mfano walakini Siri ya moyo ingekuwa Kila mtu anajua yaliyomo sirini Kila mtu angepata mtu sahihi ktk maisha haya❤
Brother upo juu sanna wallah mungu azidi kukufungulia ameeen
Maneno Matam kwa umpendaye mashallah ♥ Allah awazidishie mapenz inshaallah
Jamani watu wa June sita tujuane , mwenyez mungu awalinde mzidi kupendana...
Mimi pacha wangu
Mtoto wangu 6 / 6/ 08
❤❤june6 apaaa
Kwa manamke kama huyu huwezi waza kumiliki siraha 😂😂😂😂
He! Kumbe mnamiliki siraha kwa ajil ya wake zenu
Jamaniiii mungu awatunze kwenye ndoa yetu upendooo uzidi kila dakika 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Nawapenda sana Mr and Mrs Gabo Allah awape kila hitaji lao lililo la kher
Hongera zenu Kwa kuw ndoa njema mungu azid kuwalinda n maadui ♥️♥️♥️♥️💐
Happy birthday to you Gabo mwenyez mungu awapambanie kwenye maisha yen wew na family yako 💯💯💯♥️♥️🥰
Happy birthday bro Gabo, Allah akupe maisha marefu yenye kumpendeza yy
Nikweli ukimuomba MUNGU anakupa kilicho sahihi
Jamni huyu kaka namkubali sana nomba nipate no zake ili nimfanyie mshangao mume wangu hii kitu nimeipenda sana na nimeikubali sana
❤hongera gabo
Masha Allah Mola awahifadhi katika ndoa yenu jamani gabo nakupenda bure ww na mkeo
Huyu mwamba namkubaliiii vibaya munoooo yes
Tunaotamani haya maisha tuendee kumuomba Mungu 😄😒🙏
In shaa Allah
Tutasubir sn, hahaha
@@jescajulius8023 imani tu Mungu atajaalia 😅
MPAK LINI
Amina
Happy birthday Gabo more blessings ishii maisha marefu wewe pamoja na familia yako 🎂🎂🎂 millard ayo kazi njemaa
Mungu na ss atupe tuwapendao na kupendana..
Inshaallah
all the way from CANADA. nawakubali sana watu wangu wa nguvu.
Ila iki kipindi wamechaguana tu watangazaj wa kiume mahandsome wote uyo frida ndo kabis karemb mashallah😍
Ivi mme sahau kuwa gabo nimuigizaji 😂alafu anaria mna kubari 😅
Lakini ongereni sana ❤❤❤❤🎉
Mashaallah! Allah awajaalie masikizano n awazidishie mapenzi kwenye ndoa yenu🤲🤲🤲Ameen
Wow the words that she wrote for Gabo brought me to tears.May God bless your marriage😍
Amin Amin Amin
Me too, amin
🔥🔥🔥
Daaaah Allah nakuomba ndoa yangu iwe kama hii ndoa yangu changa Wallah nakuomba Allah sasa sana
Aminaaaaaaa
True love 💞💞💞 . Nakukubali sana bro gabo🙏
Hongera sana gabo
Mashaallah Allah awabarik upendo na furaha uvumilivu maisha yenu yote muwe pamoja. 💕💕
Happy birthday Gavin my favorite actor ❤❤❤❤❤
Mashaa Allah hadi nmependa Allah awazidishie
My favorite happy birthday Gabo❤️👌
Gabo una mke mbunifu nakimbuka mwaka jana alikudanganya kuna viwanja vinazwa uliporudi nyumbani ukakuta watu wamejaa seblen kwako. hiyo ilikua supries ya birthday yako, leo kaamua kukusaprais studio safi sana
Hongera sana brother!
Mashaallah! Mashaallah! Mashaallah! Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki, muishi kwa raha milele daima. Ameen!
Mashaallah mungu awajaalie maisha marefu ,happy birthday Gabo
naomba mungu awalindie ndoa yenu
Gabo😗😗😗hakika Mungu awajaliye kwenye doa yeni faraha ya milele.
Sio doa ndoa😂😂
Mashallh nawapenda sana❤❤❤❤
Maa Ashaa Allah ,,,♥️♥️Allah awajaalie mapenzi ya kheri ,,,,shari zimiepuke In shaa Allah ♥️♥️♥️
Hongera sana millard Ayo kwa utayarishaji wa vipindi
Upo kimya saaana kumbe unafamilia hongeraaa saana brother Mungu awape upendo huo huduma muwe wa mfano jamaniii,nakubali kazi zako be blessed with God
I m ricpect Mr Gabo mwenyez akuongezee Mais ha marefu
Bismillah Masha Allah, Tabaraka rahman Allah awadumishe ktk ndoa yetu mpk raha,
Allah anijaalie nami nipate mume mwema mwenye imani ,mwenye huruma
Amiin
Masj Allah..Allah Ibariik..awadumishe ktk .Mawarda..
Mashallah namkubali sana gabo tunaomkubali gabo gonga like hapa
Mwenyezi mungu mwingi rehma awasimamie kwa kila hali vipenzi vya Allah nawapenda sana
Mashallah mubarikiwe woote kwakweli hongeren sana
Hadi nimeona kawivu. Mungu awalinde na penzi lenu lizidi kushamiri
Hongereni sana Allah adumishe upendo wenu Inshaallah ❤
Of course, yuko vizuri sana, namkubali, mfano wa kazi niliyotokea kuielewa sana na kuipenda ni BADO NATAFUTA pia SAFARI YA GWALU,,. Big up sana brother 💪!
Mr romantic nampenda huyu broo aseee namkubal knomaa
aise Mungu awazidishie upendo wa dhabi
safi sana brother
Huyo dada lazima ampende gabo gabo mdam anamashine kubwa nimesha lala naee gest moja ipo
Happy birthday blazers yani nimejikuta naliya wa Allah
Happy birthday my fave Actor 🖤
Duwa nyingi kwako mungu akuweke kaka ila usisahau kusadia wasiyo jiweza amiina
Asimsahau mke aliyeanza naye maisha mwandege na watoto wake
Wow nimependa sana❤
Kupendwa raha sana nampenda sana uyo kaka kwa kazi zake nzuli
Maanshaallah Allah awazidishie mapenzi milelr
Oya gabo fanya mpango nitoe ulipotoa.. Na mmi. Namtaftaga mwanamke wa hivi au basi ngoja nikae my
Hongera gabo
Nimetokwa na machozi 🥺 she is very lucky kumpata gabo 🥰
In Shaa Allah nawe utampata Bora kuliko
Nawe utampata kingwendu usihofu
@@michaelhwago1499 😅jmn
@@michaelhwago1499 dah umeuwa🤣🤣🤣🤣🤣
@@michaelhwago1499 🤣🤣🤣nilijua gwegwedu 🤣