NI NOMA! ALI KIBA ALIVYOIMBA UTU BILA BEAT KWENYE HARUSI YA HASHEEM IBWE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 มี.ค. 2022
- Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
NI NOMA! ALI KIBA ALIVYOIMBA UTU BILA BEAT KWENYE HARUSI YA HASHEEM IBWE
#Bonatv #Exclusive - บันเทิง
Japokuwa niko upande ule mwingine lakini siwezi kuacha kusikiliza nyimbo nzuri, your the Real king
Jamaaa anajua sauti hatareee Mashaa Allah
🤣🤣🤣🤣
Kabisa kipenz tupo wengiii😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo ndo maana ya kupenda music na si mtu
Aise jamaa anasauti nzuri karibu kwenye ufalme wa Mungu kwa ajili ya kumtukuza Mungu kwa njia ya gospel
Ukweli goma la utu linanikosha Sana hongera king kiba mung akutangulie Sana Kwa kazi zako nzuri
King kiba nakupenda Sanaaaaa unajua balaaa. Na nimesoma comments hunaga comment mbaya jamani 🙌🙌🙌 ni nadra kukosa wanaokuchukia ila we umetisha
Daaah king ni king 2 natamani niwe ata msanii wake
Huyu msenge anaimba daah 🙌🏽🙌🏽
Natural talent, hapa hakuna mafundo kabisa. Ukweli usemwa kabisa 👏👏👏❤️😍🙌
Jamaa anajuwa imba huyu kabisa
King unajua unajua afu unajua tena 💃💃💃💃
saut ndio ipo saaaaaaaaaafi yan salutee
Aisee hapa ndio huwa naamin huyu jamaa ni mwamba, yaan anacho kiimba live nisawa sawa na nyimbo ilio kamilika, King km King
Huyu jamaa anajua kumamaae khaaaaa hii ndio nembo ya Tanzania 🇹🇿
Alikiba nakukubali aslimia mia 💪💪💪
Nakubal sana wendowangu King 🤴kiba
Mwamba fundi sana we mtu fundi sana kibaaa Yee baba
Sina Shaka na kipaji chako nakupenda Sana king kiba
Yaani Allykiba ni mstarabu sana siwaona wala awashobokei hao mabinti
King forever
Kiba mziki anaujua and I do love him
Dah? Nature voice man.congraturate king
I Love u kiba
😘😘😘😘 kiba myaka miya wekiboko
Loveeeee u king kibaaaa 😍😍😘
Huyu mtoto ako na sauti hata kuliko ngoma yenyewe
Mamamaeeeeh 😀😀😀
Kumamamake🤣🤣🤣🤣🤣 Ili jamaa limenyooosha salute to u King
Ukitaka kumjua king mpe mic bhana hakuangushi siku zote
The only king
King 🤴 👑 ni mmoja tu,
Ila kiba anajua jamani tuondoe uteam.
Yaan hapo enyewe ushakuwa chawa
King kam king 😍 anajiheshima san huyu kaka Tanzania inapenda sana
Muheshimu mungu wako muheshimu kila mtu sali sana ila kamwe HUSIUSEMEE MOYO wa mtu tuache tunaomjua sio kumjulia insta au youtube
@@Adeen.1 rudia kusoma
Amesema tofauti na wewe ulivyoelewa
@@godfreywilliam9673 rejea wewe kusoma yawezekana hujaelewa nilicho kiandika pia
sana sanaa
Nimejikuta vimachozi vinanitoka cjui kwa nini......King kiba😍
Huyu mshikaji wa kipekee sanaa
Shobo zinakusumbua
@@masudimillanzi994Daaah... 😁
Me mwenyew kidog nilie at sjui what happen
Sema huyu jamaa anaimba sana mzee
King kama king we love u forever!!!.Na utabaki kuwa king no one like u
Exactly
Kweli king in king tu
Yani unaimba wewe lkn nais Raha Mimi sauti nzuriiii Yani dah...king🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
New nasheed video 👇...
th-cam.com/video/ZsJURMICYaA/w-d-xo.html
yaan mpk nmepiga kelele alovyoanA tu m nmpenda kiba jmn🤣🤣😍
Sauti aichuji iko good sana 🥰🤩
Mungu akupe afya njema umri mrefu na akujaalie furaha hapa duniani na kesho akhera amin mm ndugu yako nasser ally niko shinyanga hii rasmi kwa Ali kiba
I also feel the vibe for Alikiba
Mwenye muziki wake King Kiba
Wallah kiba www ni King niko oman nainjoy voice
King Kiba nakukubali.
King haitaji nguv ya chawa kizur chajiuza
Maashaallah uyo mkaka nampenda adi bass
Alikiba forever 😍🤩🤩🤩🤩
Imeshereheshwa mizigo
Ali kiba is always on his own level... King🤴
Kiba unajua unajua unajua tenaaa mungu akuweke utupe vituu vizuriii🔥❤
Alikiba anajiheshimu sana
Hiii ndio maana halisi ya KING
Tuendelee kujifukiza,UFALME UTABAKI KUWA KWAKO SIKU ZOTE 👑
Nampenda kiba mimi nibasituuu kabisa
Mpiga piano maandazi Kabisa, alitaka kuharibu mririko wa melody ya wimbo.
Atabaki kuwa king tu....sauti safi sana hamna mkwaruzo wala nn
The best bongo artist ktka tz, so much from kenya
Shemu wetu wanguvu tunakupenda sana from Kenya
999qaa
Kabsaa
Kabisa
love you jiraniiii from tz
Unamjua😂😂
Talented musician from Tanzania,unajua sana king kiba yeeeee baba
Fact
Nipigwe niuliwe namfagilia sanaaaa king 😍😍❤️
Na watakuua kina Baba levo na Masha love😂😂
Tuko wot sina msani mwengine ninaempenda kama kiba
Hawamuwezi kiba
Yan kama mm
Hujapigika vizur anyway au basi
Jamani Ally anajua sana huyu Jamaa hakuna wakufananae bongo hii kabisa
Hakika namkubali sana ali kiba
King❤️❤️❤️
Uko vizuri kiba twawatakia ndoa njema yenye kheir na baraka💕💕💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Salute sana Alchama napenda io effort
Rkelly wa east africal king kiba
Hii ndio maana ya msanii wa music lazima ujue kuimba akapelela Yani bila bits
King kiba kila siku nakuangalia upo tofaut na wale majamaa tatuu huna macheni shingon,mikononi wala maurembo yeyote huna unavaa vizur nguo za kawaid tu huna nkupend sana.
🔥🔥🔥😂👑💪👍👍Huy jama hanaga mapambano
@@abdulaabdula2631 hata saa hap nimeangalia hana angekuwa kina wale mbk choon eti anaingia na nazo vidole vyot machuma shingo lot macha mwili mzima umechorwa matatuu mbk kelo sas meno mbk yanabadilishwa ukiangalia wanajiita majina y kidini mala salamu zao wanajifny salama alekhum, sas kama mond siku hiz anavaa mbk msalaba ila watu ndo wanaona pes anazo kumbe upuuz tu.
Hata nywere yake hainaga mambo
@@padorsmart6249 ndio nguo zak tu hana anaingiz pes kimy kimy nmpnd san mung amweke milele
New nasheed video 👇...
th-cam.com/video/ZsJURMICYaA/w-d-xo.html
Respect the king 👌😊😊✊
Hahaha eti baada ya kutoka listen part nimemkuta mkewangu amekalili verse ya kwanza
Oyaa m n team mond ila kiba daaaah kipaji Cha kweli hiki aseee.. nimemvulia kofiaaa mamaaeeee... lijamaa Lina sauti aseee duuuu
Uyu jama anakipaji cha namna gani mbona kali sana ivo sio kila mwana mziki anaweza ivo Ila hacha mungu amuhongoze
the king himself
Jamaa hanaga majivuno yupo tofauti sana
Nikisema live music Alikiba ndio anafaa kutuwakilisha mnaon huwa naongea kiushabiki hyo saut ni kama music wenyewe
King atabaki kuwa king jaman
Cc daima tunapendaga Ali anavyotubembeleza na nyimbo zake ukitaka za kuluka luka amia upande upendayo muache alikiba akitubembeleza nasauti yake
Wish I can get a Tanzanian man,napenda kiswahili ya tz sana for real
Welcome ZANZIBAR
Daaah ,,kiba anaimba aseee
Duh sauti ile ile mweee kaka na kipaji uyu🙌🙌
Kiba anajipaj kikubwa sana
Hongera kama unaendesha harrier cc3600 ila hekima kumbe huna....
Wow very naturally Ali Kiba nice voice
Siyo Vibaya Kusema Wewe Ndiye Baba Wa Mziki Wa Bongo Fleva Utaki Acha Kuimba Nyimbo Za Kutambia Ngoma🤣🤣🤣 King 👑 Ni Mmoja2 King KIBA
Nakupend san una saut nzur mnoo😘
Ila huyu Braza anajua sana
King ni mmoja tu
Ila nyie alikibaaa anajuaaa💥💥
Anajua sana
Woooow nakupenda bure Ali
Tunakupnda shemeji yetu king kiba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
New nasheed video 👇...
th-cam.com/video/ZsJURMICYaA/w-d-xo.html
Utabaki juu daima,,napenda mziki wako sanaaaa,,natamani kama Tanzania nzima ubaki ukiimba wewe tu.mziki mzuri,ujumbe mzuri pia video nzuri.
Yeah we love king😍😍😍👏👏👏
One love Ali....Barikiwa zaidi ututulize na nyimbo nzuri
Hata kapua hujakagusa kweli we noma. Asante
KING OF
Hatariiiii alikibaaaaa
The best song, apart from mac muga and cinderrella, you av ever made..big up
Utafauti wa king na chasifa unaonekan
Ongela hashimu
Ukomavu wa alikiba wasanii weng wanashindwa kuimba nyimbo zao liv
Once a king always a king,,,!@king kiba band man kiba
nakbaliiii san king kibaaaa
From kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪