SNURA ATANGAZA Kuacha MUZIKI/Amuomba SHILOLE MSAMAHA/Ahamia KWENYE KILIMO cha NYANYA/HAMISA na MAMA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe TH-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

ความคิดเห็น • 358

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g 2 หลายเดือนก่อน +34

    Mashahallah ongera cn Snura kwa kuacha mzingi mungu Akubariki cn

  • @NauriaKhamis-mz4il
    @NauriaKhamis-mz4il 2 หลายเดือนก่อน +55

    Yyt yule ambae Mwenyezi Mungu humpenda Bc humeelekeza katika dini ......Allah akulinde insha Allah❤

    • @BilluAmour
      @BilluAmour 2 หลายเดือนก่อน +2

      Aminy

    • @HadijaJuma-h5t
      @HadijaJuma-h5t 2 หลายเดือนก่อน +2

      Allah akufanyie wepesi inshaallah

    • @ablashaffy2860
      @ablashaffy2860 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kwahyo kuna wat Mungu hawapend?

    • @Raissaabdoul
      @Raissaabdoul 2 หลายเดือนก่อน +2

      🥰🥰

  • @MuniraMussa-c5h
    @MuniraMussa-c5h 2 หลายเดือนก่อน +17

    Alhamdulillah, Allah azidi kutuongoa na atupe mwisho mwema,
    umetugusa wengi ndio kwanza leo nicomment

    • @KassimShora
      @KassimShora 2 หลายเดือนก่อน

      Amiin amiin amiin

    • @Raissaabdoul
      @Raissaabdoul 2 หลายเดือนก่อน

      💕💕

  • @hamidamussa593
    @hamidamussa593 2 หลายเดือนก่อน +56

    Ushauri wangu Kwa da snura.... Usiruhusu interview nyengine fanya mambo yako baki na familia yako ,epuka mitandao na kuhusu nguo zako za Zamani usizitupe wala kuzichoma moto baki nazo vaa ukiwa ndani mwako (ukivaa ukiwa na shemela mambo yatakua ni fire) ukitoka piga baibui lako maisha yaendelee

    • @hawamohamed8598
      @hawamohamed8598 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hongera sana

    • @mrfashion1687
      @mrfashion1687 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hiyo ni fire kumbe ulikua unamaani ni faya, samahani nimeisoma vibaya

    • @HawaSaidi-y8r
      @HawaSaidi-y8r 2 หลายเดือนก่อน

      Masha Allah

    • @Assiya39
      @Assiya39 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli izo interview sio nzuri ibilisi anapiga mule mule

    • @Raissaabdoul
      @Raissaabdoul 2 หลายเดือนก่อน

      ✨✨

  • @SafiaOmar
    @SafiaOmar 2 หลายเดือนก่อน +69

    Hii ndio maana sahihi ya Mwenyezi Mungu humuongoa amtakae

  • @shafiyaazri6494
    @shafiyaazri6494 2 หลายเดือนก่อน +22

    MashaAllah umechaguwa njiya ya haki Allah kakupenda

  • @MariamHamad-f3e
    @MariamHamad-f3e 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mashallah dada snura ❤❤hakika Aya za Allah zimebainisha kumuongoa amtakae , Allah akupe husnilhatima

    • @ablashaffy2860
      @ablashaffy2860 2 หลายเดือนก่อน

      Kumbe kuna wat Mungu hawatak?

    • @Raissaabdoul
      @Raissaabdoul 2 หลายเดือนก่อน

      💓💓

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 2 หลายเดือนก่อน +5

    Sijambo Rahisi kwakweli Mashallah Allah akuzidishie Subra usirudi huko tena

  • @fatmamasafu8606
    @fatmamasafu8606 2 หลายเดือนก่อน +5

    mashaAllah tabarakaAllah Allah azidi kukuongoa na atuongoe wengi na Mimi pia nnae andika ujumbe huu InshaAllah 🤲🤲

  • @FaudhiaMohamed-m1t
    @FaudhiaMohamed-m1t 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ukisikia hofu ya mungu ni hii sasa❤ hongera sana my dear sister allah azidi kukutangulia ktk maisha yako yote na akujaalie mwisho mwema inshaallah 😘🙏

  • @MagrethKhalifa
    @MagrethKhalifa 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allahu Akbar, Allahu Akbar.....umefanya uamuzi sahihi ndugu yangu katika imani, Allah SWT akuongoze usimame katika imani yako na kumtegemea Allah..Takbiiiir
    kweli umepata nafasi ya kipekee

  • @NassLee-g3t
    @NassLee-g3t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbn unarejea rejea kumuliza vitu ambavo kashavitolea maelezo dada etu kaeleweka maashallah ❤❤❤

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tumuombe dua sana dada etu Allah amsibitishe kweli kwenye dini maana alikuwepo mzee yusufu na akaenda hadi hijjah baadae akamkimbia Mungu

  • @KulwaMbeko
    @KulwaMbeko 2 หลายเดือนก่อน +12

    Mume akiwa bora mara nyng humfany mke kuwa bora❤❤❤

    • @KhairiyaKombo
      @KhairiyaKombo 2 หลายเดือนก่อน

      Maa shaa Allah ❤

    • @Raissaabdoul
      @Raissaabdoul 2 หลายเดือนก่อน

      💖💖

  • @Kautharkabanga
    @Kautharkabanga 2 หลายเดือนก่อน +21

    Mungu akujalie maisha mema mapya ulioyaanzisha na mola akujalie mwisho mwema snura

  • @ArianaPaul-t7e
    @ArianaPaul-t7e 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah mungu wangu nakuomba niwe miongon mwa wtu wema Inshaallah

  • @SheryhaaMussa-pg6ih
    @SheryhaaMussa-pg6ih 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah Allah azd kukuongoz da snura allah akupe kher na akupe pepo ukifika mbele yake inshaallah

  • @Aisha-o4v
    @Aisha-o4v 2 หลายเดือนก่อน +2

    Alhamdllah mashaallh hongera sana bihaloo nimefurahi sana ulipo jibu swali uliloulizwa kuhusu unahitaji mngeni ngani nyubani kwako

  • @khuzaimasuleiman
    @khuzaimasuleiman 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallh dada angu, Allah akuongoze ktk njia sahihi

  • @PatriciaSongoro
    @PatriciaSongoro 27 วันที่ผ่านมา

    Snura ASA alaykum,,,Allah akuhifadh akudumishe katika njia uloichagua inshaallah nasi kwa Rehma zake atutie katika njia sahihi kwa Rehma zake inshaallah

  • @avatarthebossman74639
    @avatarthebossman74639 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allahu Akbar mungu akupe Afiaa fi dunia wal khera Allahuma amee Kenya 🇰🇪

  • @amneahmed9791
    @amneahmed9791 2 หลายเดือนก่อน +2

    Alhamdulillah Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi wa rizki yako na akutilie barka,Wssalaam Warahmatullahi Wabarakatuh Barakallahu Fiiq.Mwenyezi Mungu atakusamehe Inshaallah na pepeni Firdaus makazi yako.

  • @aishaabdalla7624
    @aishaabdalla7624 2 หลายเดือนก่อน

    Maashaa allah! Tabaaraka llah m'mungu azidi kukuongoza ktk maamuzi yako na ajaalie maamuzi hayo iwe ndo sababu ya wengine kukufatia

  • @ZahraLyene
    @ZahraLyene 2 หลายเดือนก่อน

    Amina Inshallah Allah atujaalie na awajaalie na wengine tumrudie M/Mungu tuogope hasira zake Inshallah

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 2 หลายเดือนก่อน +18

    Nakupenda sana kwa ajili ya Allah,na namuomba Allah akuongoze kwenye njia iliyonyooka,lakini nakupatia wazo,baada ya maamuzi yako tafadhali itoshe mambo ya vyombo vya habari,umeshajieleza na tumeshakusikia na umekua jasiri sana kuioatia dunia mgongo,waandishi wa habari wakikuita achana nao usiende tena na ikiwezekana badilisha namba zako za simu tataly.

  • @ZalhaMustapha-yj4os
    @ZalhaMustapha-yj4os 2 หลายเดือนก่อน +13

    Nataman na mm swala zanguu niwe na mume Wang na watt wang kama Snuraa jmn ❤❤❤ Mashaallah 🙏

    • @AbdullahOmar-be4wy
      @AbdullahOmar-be4wy 2 หลายเดือนก่อน

      Inshallah utapata

    • @Assiya39
      @Assiya39 2 หลายเดือนก่อน

      InshaAllah zidi kumuomba Allah huwenda anakuchelewesha ili akupe mtuu Sahihi

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 2 หลายเดือนก่อน

      Inshaallah ALLAH akutakaabalie DUA ZAKO

    • @ablashaffy2860
      @ablashaffy2860 2 หลายเดือนก่อน

      Kama umepangiwa utaolewa mama

    • @ZalhaMustapha-yj4os
      @ZalhaMustapha-yj4os 2 หลายเดือนก่อน

      @@AbdullahOmar-be4wy Aamiin 🤲🙏

  • @SophiaMsuya-s9r
    @SophiaMsuya-s9r หลายเดือนก่อน

    Insha Allah Mw. Mungu akuongoze dada yetu

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 2 หลายเดือนก่อน +22

    Nilikuwa sio shabiki yako, sasahivi mimi ni shabiki yako ❤❤❤🙏

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallaah watabarakaallah allah akuzidishie Imani dadangu Allah atujalie mwisho mwema sisi waja Amiiiiiiiiin Amiiiiiiiiin

  • @HawaJuma-e4b
    @HawaJuma-e4b หลายเดือนก่อน

    Mashaallah allah akulinde dada snura

  • @AshaSalum-e2x
    @AshaSalum-e2x 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akusimamie ktk maisha yako yalobak na akulinde na vishawish zidi kuisoma dini ili usije kutetereka

  • @ayshasalum7396
    @ayshasalum7396 2 หลายเดือนก่อน

    Maasha llah Allah Azidi kukuhifadhi na machafu kipenz changu

  • @khadijajuma3887
    @khadijajuma3887 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah sw akufanyie wepesi hadi nimelia hongera dada Allah akusimamie naamini kweli umeamua kila siku tunaambiwa tuombe khusnilkhatma na wala usimkatie tamaa mtu yoyote yule Allah sw akitaka kumuongoza mtu anamuongoza alhamdulilah Allah sw atujaalie mwisho mwema

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah akuzishiye umri wakufaya❤❤❤ibada kuacha sio umasikini ni kutafuta radhi za allah❤❤❤

  • @zainabumilanzi2909
    @zainabumilanzi2909 2 หลายเดือนก่อน

    Umengusa moyo wangu na Mimi natamani kua Kama wewe mungu akulinde akusimamie kwa Jambo la hery❤❤❤❤

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 หลายเดือนก่อน +7

    ❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢ALLAH ATAZIDI KUKULINDA SNURA WANGU

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Inshaallah uwe mfano kwa wengine😭kikwel ndo nakujua sasa Dada angu ata sina Nyimb nnayoijua Na wala ilikua sijui kama Kuna Snura msanii mwenzenu😭Alhamdulillah Alhamdulillah Mume akiwa mwema Ni rahis kumshawish Mke kuwa mwema na vile vike kwa uoande wa mke akiwa mwema Ni rahisi kumfanya Mume kuwa mwema Al3atufanyie wepes inshaallah Atuonyeshe hakk tuwez kuifata na bateil tuwez kuiepuka🤲🤲Mashallah Alf mabrook Allah akuvue hil na jengine😭🤲

  • @HawaJuma-e4b
    @HawaJuma-e4b หลายเดือนก่อน

    Mashaallah allah akulinde dada snura 27:57

  • @Zainaburamadhani-rk7en
    @Zainaburamadhani-rk7en 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera sana dada mungu akufanyie wepesi

  • @faridafaridaa4618
    @faridafaridaa4618 2 หลายเดือนก่อน +8

    Alhamdulillah Allah qareem ummat Muhammad

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akuongoze❤❤❤🙏

  • @abumussabnassor6141
    @abumussabnassor6141 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada angu allah akufanyie wepes akukubali sana amefanya maamuz mazur kama nyimbo zako zinafutika kwenye utubu futa

  • @smsu05
    @smsu05 2 หลายเดือนก่อน +2

    Great decision .. May Allah SW continue to strengthen your iman and guide us all towards the right path. Allahu Akbar 🙏

    • @ZenaBaridi
      @ZenaBaridi 2 หลายเดือนก่อน

      Amiyn🤲🤲,🙏🙏

  • @SalminSaidi-dg3fq
    @SalminSaidi-dg3fq 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allah akulinde dada jitahidi

  • @farjallahubeydabdulrahman4845
    @farjallahubeydabdulrahman4845 2 หลายเดือนก่อน

    Alhamdu lillaahi Allah Akuongoze kwa njia iliyonyooka wasanii wengine hamjachelewa hakika Allah Anamuongoza Amtakae Allah Akuhifadhi Akupe umri mrefu wenye baraka ni mfano mwema katika jamii

  • @mayatione6
    @mayatione6 2 หลายเดือนก่อน +1

    mwenyezi mungu akufanyie wepesi na akupe riziki ya halali na yenye kua na wepensi inshallah.

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 2 หลายเดือนก่อน

    Maashaa Allah ww ulikua unasali kweli mana lengo la sala ni kukufanya uache maasi❤

  • @Maryam-s6e
    @Maryam-s6e 2 หลายเดือนก่อน +9

    Allah akufanyie wepes inshallah

  • @Ashoora2
    @Ashoora2 2 หลายเดือนก่อน +10

    Allah humuongoza amtakaye Mashaa'Allah Allah azidi kukusimamia na akuongoza katika kheri ❤

  • @rahmaihucha8577
    @rahmaihucha8577 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uliposema Insha Allah mungu akuepushe kurud kwenye mziki baaas Eeeewaaaa! Hapo umenkosha kabsa co kwa ajil yang ila nmependa vile umemueka M/mungu awe mwangalizi ktk hayo maamzi!,,Masha Allah, Masha Allah!!, mola akusimamie wew na familia yako,,atusimamie na sisi pia na familia zetu katk misingi ya dini Insha Allah. Amiiìin

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuongoze na atuongoze na sisi inshallah. Na mungu akutie nguvu Kwa uwamuzi uwo..

  • @ibrahimthani6685
    @ibrahimthani6685 2 หลายเดือนก่อน

    MashaALLAH ALLAH akufanyia wepesi akuhidi inshaALLAH❤

  • @mwanahijamaliti8335
    @mwanahijamaliti8335 2 หลายเดือนก่อน

    Maasha Allah da snura Mungu akuongoze usje ukabadilika ❤

  • @YassirRashidjuma
    @YassirRashidjuma 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hatujapenda jinsi tangazo la ulevi likipita hapo wakati wa interview ya Dada yetu katika uislamu

  • @umadham5151
    @umadham5151 2 หลายเดือนก่อน

    Manshallah TABARK RAHMAN ALLAH ATAKUFANYIA WEPESI INSHALLAH KWA MAAMUZI YAKO ALLAH GHAFUR RAHIM 🤲ENDELEA NDUGU YANGU USI RUDI MYUMA ❤

  • @sulaimansalim8086
    @sulaimansalim8086 2 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe wangu Kwa Wanaume wa kiislam wanawake wengi wapo loyal Sana wanahitaji sisi Wanaume tuwe na msimamo tuache kuwaghilibu wanawake na kuwaharibia maisha kwani na sisi Wanaume tupo na bint zetu utakavyo panda ndivyo utakavyo vuna Allah atufanyie wepesi

  • @AminaJuma-r4v
    @AminaJuma-r4v 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹
    Habibty 🌹 ALLah mtukufu akulipe badal
    Kwakufata njia iliyo myooka
    ALLah akupe mwesho mwema

  • @abdullhafidhmohd7944
    @abdullhafidhmohd7944 2 หลายเดือนก่อน

    Maasha-Allah !!! Tabaarakallaah !!! Allah akuzidishie kukuongoza ww na si pia . Hongera sanah

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kwel dadangu alkua unasema unatafuta rizki kutumia kalio lako ila mashallah niljua una iman moyoni sema ubinadamu Allah atuogoze ktka njia sahihi

  • @mussarashdy7923
    @mussarashdy7923 2 หลายเดือนก่อน

    mashaallah dada yang nakupenda kwa ajil ya Allah

  • @hamisisalmah8764
    @hamisisalmah8764 2 หลายเดือนก่อน

    Alhamdhulilah in Sha Allah M😢Mungu atakusimamia in Sha Allah

  • @maryam4va538
    @maryam4va538 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah. Allah azidi kukuongoa

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mashaalla Allah akuswameh akuongoze rudi kwa dht ya moyo wako

  • @zaynabsaid365
    @zaynabsaid365 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah unajibu naswali vizuri saana. Allah akuongoze ktk hili

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 2 หลายเดือนก่อน +9

    Maa shaa llaa snura natamani nikuone uso kwa macho

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Sana kwajili ya allah..mungu nasisi atuongoze inshallah..namim nataman sana nibadilike...mungu atulinde na atuongoze na atuongoke..na mungu akuongoze na akusimamie sana inshallah..namim mungu atupe mwisho mwema sisi na familia nakizazi changu...amin amin amin mungu akuongoze

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah ampe wepesi InshaAllah..... Alhamdullilah

  • @MussaMussa-gf4hv
    @MussaMussa-gf4hv 2 หลายเดือนก่อน

    mashaallah Allah akuongoe habbty nakuomba ujisitiri hivo hivo wewe ni muislamu ,ila habbty ubadilike kweli usiache kichwa wazi hata kidogo na usijali kuhusu watu hata wakasemaje kama wewe hujaacha na habbty Allah ashakusamehe il ukirejea tena ndy mthn,Allah akuongoe na sisi piaaa na atujaalie tuingie peponi inshallah, na ujue Allah anakupenda habbty kil kheri dada angu

    • @Oli-lk1gp
      @Oli-lk1gp 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa nini afiche uso wake? Hata katika swala na Hijja kuficha uso ni haramu. Qur'an iko wazi hamuongezi ugumu kwa alichoamua Mungu.

  • @SamiraAbushir
    @SamiraAbushir 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akufanyie wepec taupe mwisho mwema

  • @MwashaMwash
    @MwashaMwash 2 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah ALLAH anaweza Alhamdulillah ALLAH akuzidishie san ndugu yang 🎉

  • @ZiadaAmisse
    @ZiadaAmisse 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujaliye inshalla snula

  • @HawaJuma-e4b
    @HawaJuma-e4b หลายเดือนก่อน

    Allah akuongolee ndoa yako na ss pia

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ma sha Allah
    Mungu humwuongoza amtakaye
    Ma sha Allah Allah atudumishe ktk dini
    Hakika shaytwan huwapoteza watu jamani tumwuepuke Audi ambaye yeye anatuona SS atumwuoni

  • @YusuphmazolaMazola
    @YusuphmazolaMazola 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu amekuongoza katika njia iliyo nyooka usije ukarudi nyuma kama mzee yusuph

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akurinde akusame makosa yako sister Sali sana dini ndo kila kitu dunia mapito atuwezi kuishi hapa duniani maisha yetu yote

  • @aminauwimana9976
    @aminauwimana9976 2 หลายเดือนก่อน

    Masha'allah mamy nakupenda kwa ajili ya allah allah kakuchaguwa sirahisi

  • @lissamsalu12345
    @lissamsalu12345 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaalh mwenyezi mungu atuongoze sisi wote na atupe mwisho mwema

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 2 หลายเดือนก่อน

    Manshallah mngu akusimamie inshaallah ❤

  • @makame186
    @makame186 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallha mwenyez Mung akuongoze inshallah

  • @AbduSomo-b1n
    @AbduSomo-b1n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah kareem akuhifadhi na kurudia tena Aamin

  • @AliFadhil-o6j
    @AliFadhil-o6j 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akulinde na atupe mwisho mwema

  • @rukiajumaan1980jumaan
    @rukiajumaan1980jumaan 2 หลายเดือนก่อน

    allahu akbar mola akutoe hapo na pengineqlhamdulillah snura jazakzllahul kheir

  • @badruahmad4277
    @badruahmad4277 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah,snura mungu akuo ngoze,usifa nye tena interview ss wape watu maneno ya kimaani na lengo letu ss binadamu wa kuwepov hapa dunian

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana. Utaepukana na majanga❤❤🎉🎉

  • @allykihogo3359
    @allykihogo3359 2 หลายเดือนก่อน

    Assalaam alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Dada angu ALLAH akuwafikishe kwenye Haqq si jambo jepesi mfano wa maamuzi yako

  • @MuhidiniRajabu-p9i
    @MuhidiniRajabu-p9i 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi sana ndugu snura

  • @SaraKidot
    @SaraKidot 2 หลายเดือนก่อน

    🤲🤲🤲 ya Allah awaongoze na wengine wote

  • @Swehahabibtiy
    @Swehahabibtiy 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah akufanyia wepesi dadangu endelea na msimamo huo huo

    • @Swehahabibtiy
      @Swehahabibtiy 2 หลายเดือนก่อน

      Na inshqllah iwe mifano kwa wengine Allah kishakupeda ❤mashallahu hongera namumewo mudumu kwa zaidi na ww mtangazji maswala mengine mpaka mtu anawaza vibaya endelea kuongoka tuko pamoja kw du

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 2 หลายเดือนก่อน

    Ma Sha Allah, Allah atujarie mwisho mwema

  • @hawa6052
    @hawa6052 2 หลายเดือนก่อน

    Allah atuongoze sote ❤

  • @HaibaAyubu
    @HaibaAyubu 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallh mungu akufanyie wepesi

  • @mozamoza3960
    @mozamoza3960 2 หลายเดือนก่อน

    Tuombe mwisho mema masha Allah

  • @Siamin-zh6ui
    @Siamin-zh6ui 2 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana dadangu mwenyezi mungu akupe afya njema na familia yako

  • @wemakalama6458
    @wemakalama6458 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi na akutangulie snura umechukua maamuzi sahihi.

  • @enterenter7798
    @enterenter7798 2 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah hongera Sana nimekupend ❤❤Allah akuongoze

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Mungu akupe mwisho mwema
    Binafsi nilitaraji hilo Mungu azidi kukuongoza

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu nasisi atupe mwisho mwema innshaala inshallah inshallah

  • @AishaMbega-mg9fo
    @AishaMbega-mg9fo 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallaah Allah akupe pepo yake inshaallaah Alhamdulilahi dada umetoboa. Hakika Allah kakunusuru wallahi

  • @nassramohd2510
    @nassramohd2510 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaa Allah

  • @GutaAbdallah-ml5bh
    @GutaAbdallah-ml5bh 2 หลายเดือนก่อน

    Inshaalah allah atupe mwisho mwema