HABARI MBAYA ILIYOTUFIKIIA USIKU HUU WOTE WAFARIKI, ALIYENUSURIKA KIFO AFICHUA YAKUTISHA WIZI WA P..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • HABARI MBAYA ILIYOTUFIKIIA USIKU HUU WOTE WAFARIKI, ALIYENUSURIKA KIFO AFICHUA YAKUTISHA WIZI WA P..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .#HABARIMBAYAILIYOTUFIKIAUSIKUHUU
    #WOTEWAFARIKI #ALIYENUSURIKAKIFO #AFICHUAYAKUTISHA #BREAKINGNEWS #TIKITV

ความคิดเห็น • 179

  • @eddyderrickmail66
    @eddyderrickmail66 10 วันที่ผ่านมา +4

    Jamani tumsamehe na tumuombee duwa asrudi tena huko ndomana mungu kaeka toba ametubu tusimuunge mkono ss ni nani nawashanga wengne wanasema bora naye engekufa tu ama akalanika ikiwa mungu amesema atamsamehe yoyote atakae muomba msamaha na kurudi kwake leo ww unamuapiza huenda hizo lana unazo muombea zkakupata ww mana kma kuibiwa ata mm ninae tuma hii sms nilishaibiwa mengi na watu kma hawa lkn mm nme msamehe huyu ndugu yangu na mungu amsimamie maisha yke yote asipate majanga na kurudi tena alipotoka tusemeni amini kwa wanao amini dini na wenye imani za kidini tusemeni amina

  • @HadijaThabit
    @HadijaThabit 21 วันที่ผ่านมา +10

    Mali za dhuruma sio nzuri . Ujui mtu kaipata kivipi na mbaya kuiba na pia kuwajerui watu. Mungu atakusimamia rudi kwa Allah

  • @GeorgeErasto-s7q
    @GeorgeErasto-s7q 22 วันที่ผ่านมา +11

    Mshukuru sana MUNGU anakusudi na ww hivyo kubali kubadilika ndugu Yangu

  • @Mwana-d1u
    @Mwana-d1u 21 วันที่ผ่านมา +6

    Kaka mwenyezi mungu ni mwingi wa rehma. Kama umenusurika na hayo yote rudi kwa mungu tubu sana fanya ibadan sana mungu atakusamehe kwa yote. Daaah ila Pole sana

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 22 วันที่ผ่านมา +29

    Ww ni.muislam iladaa unarohombaya. Allah akuongoze.utubu kwayote hayo nauwache.mambo hayo uwemchaa mungu uswali swalatano naswalazausiku umlilie Allah akusamee

    • @SifaeliMelitta
      @SifaeliMelitta 20 วันที่ผ่านมา +1

      Waislam roho mbaya wanazaliwaga nazo

    • @randomtube3002
      @randomtube3002 20 วันที่ผ่านมา

      @@SifaeliMelittamwambie huyo mshamba mtumwa wa dini kila mtu anapaswa kuwa mwadilifu hata kama hana dini usidhani dini flani ndio inawatu wema njoo huku kwetu uone hao kina abdallah wanavyotoa 0713.... fala kweli

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 19 วันที่ผ่านมา

      Kina Osama hawa

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 18 วันที่ผ่านมา

      @@SifaeliMelitta jahili hili sijui lawapi roho mbaya inadini. Ww unachuki na uislam. Utajifia maana tunampenda nawengi maashaallah ndiyo diniya haki. ....kazikwako.

  • @SisoPotashiumz-c7n
    @SisoPotashiumz-c7n 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mwandishi umehoji vitu vya msingi mno asee hongera saana

  • @user-gj6ie7kl6g
    @user-gj6ie7kl6g 22 วันที่ผ่านมา +19

    Allah mwingi wa kusamehe tubu sana kijana maisha ya Dunia ni mtian sana

  • @Jahra2023-gm1qp
    @Jahra2023-gm1qp 22 วันที่ผ่านมา +8

    Mungu anakupenda Sana ludi kwa Allah utubu

  • @SiaKim-n2l
    @SiaKim-n2l 22 วันที่ผ่านมา +14

    Jessica la police wanatakiwa kumchukua mtu kamahuyu atawasaidia sana mbinu zauhalifu...kwaushauli wangu

    • @abdallahiddy6333
      @abdallahiddy6333 16 วันที่ผ่านมา

      wana watumiaga kama ma informar

    • @D.P.O
      @D.P.O 5 วันที่ผ่านมา

      Sio Jessica ni Jeshi la polisi

  • @nassorowaziri3076
    @nassorowaziri3076 21 วันที่ผ่านมา +5

    Aisee Hongera Sana bro Kwa uamuzi WA kuachana na Uhalifu

  • @GrceLaurentkaboigora
    @GrceLaurentkaboigora 22 วันที่ผ่านมา +14

    Sio umasikini ni unyama uliojiunga nao

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 22 วันที่ผ่านมา +7

    WEWE MKAKA ACHA KABISA WIZI MUNGU AMEKUACHA ILI UTUBU DHAMBI ZAKO. TUBU USAMEHEWE. ILA ACHA ROHO MBAYA

  • @Najmabn
    @Najmabn 22 วันที่ผ่านมา +6

    Allaha akuongoz kikubwa sote tuombe mwisho mwema

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 21 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu kijana ukimtazana usoni angepata nafasi akiingia jwtz angekuwa kiboko ktk kuongoza mapigano ya kivuta.

    • @roberttagaya9098
      @roberttagaya9098 9 วันที่ผ่านมา

      Kwahiyo jeshini ndio wanaenda vibaka sio?

  • @ayk20
    @ayk20 21 วันที่ผ่านมา +5

    Nilichogundua baadhi ya wamama wengi wanajua matukio ya watoto wao ila wanakaa kimya na wao ndo huwa front kwenye matukio ya watoto wao

    • @dismanManota
      @dismanManota 15 วันที่ผ่านมา

      Ndio lakini hawezi kusema au kumtangaza mtoto wake ila tu lazima amkanye

    • @eddyderrickmail66
      @eddyderrickmail66 10 วันที่ผ่านมา

      Uclamu sna kusu hlo mzazi hawezi kumuacha mwae ata awe vp tatzo ni ss watoto mzazi anacheza nafasi yake kma mzazi

  • @rosejohn8494
    @rosejohn8494 21 วันที่ผ่านมา +6

    kelvin shayo uwe unaoneka kweny picha wasikilizaji na watazamaji huwa tunapenda kumwona mwandishi

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂Anakimbya usumbufu wa Amina juma 🙌

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 22 วันที่ผ่านมา +8

    I miss you my brother Kelvin japo umenichunia hongera kwa majukumu🎉🎉🎉

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 19 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-iu9bq5fm6b
    @user-iu9bq5fm6b 14 วันที่ผ่านมา +1

    Tulikutana segerea mwaka huo nimemkumba mimi nilikuwa asikar selo namba tano

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 22 วันที่ผ่านมา +3

    Ahsante sana hubby Kelvin 🎉🎉🎉🎉

  • @rajabukabogi4492
    @rajabukabogi4492 8 วันที่ผ่านมา

    Hii kitu sikia kwa wengine ila wizi sio kitu kizuri sema aya maisha tu.....walikufa mungu awapumzishe mahari wanapostaili mlibaki tubuni sana.

  • @akonaaybaha9107
    @akonaaybaha9107 22 วันที่ผ่านมา +12

    Afanye Toba ya kweli Allah ni mwingi wakusamehe

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 22 วันที่ผ่านมา +5

    NYIE WASHEZI SANA HAMNA HURUMA MNAUA WENZENU SABABU YA TAMAA ZENU. MUNGU ANGEWAUA WOTE AU ANGEWAKATA MIKONO HIYO MNAYEULIA WENZENU. EEE MUNGU WALANI WEZI WOTE NA VIZAZI VYAO.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 22 วันที่ผ่านมา

      Jamani ukiwa hukupata malezi bora kwa wazazi wako basi usiilaumu Serekali. Wizi kama hawa siwalaumu wakati wanatiwa moto. 🔥

    • @eddyderrickmail66
      @eddyderrickmail66 10 วันที่ผ่านมา

      Unakosea sna kusema hvo mana hata manabii waliwasamehe walokosea kusu dini na mwisho wa siku ndio wamekuwa viongozi wa dini walipigania dini mpaka kufa kwao wamekufa kwa 7bu ya kiitetea dini kumbuka hao hao waliwahi kuu mfano alo muuwa hamza unajuwa yy ndio alokuwa ana peperusha bendera ya dini ya kiislam

    • @eddyderrickmail66
      @eddyderrickmail66 10 วันที่ผ่านมา

      Huyu Leo anaweza kuwa shehe mkubwa na akasimama kwenye dini ndomana ikaekwa toba Tena usimseme vbaya ametubu haijalishi kafanyann huko nyuma huyu namtabiri atakuwa kiongozi Aiza wa dini au wa jambo lolote lile lenye mafundisho na kuelimisha kwanza mpaka hapa tu amesha waelimisha watu nikiwemo mm

  • @moseskatega8441
    @moseskatega8441 21 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera zenu Tik TV

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 22 วันที่ผ่านมา +11

    Usidubu kwa wanadamu Haina kikubwa tubu kwa MUNGU

  • @muuibrahim1805
    @muuibrahim1805 13 วันที่ผ่านมา

    😢daaah Allah nusuru kizazi changu huu ugonjwa mmbaya sana.

  • @johnnewton1237
    @johnnewton1237 12 วันที่ผ่านมา

    Story na cover ni tofauti sitizami video zako tena

  • @user-fd8ce8ct2m
    @user-fd8ce8ct2m 22 วันที่ผ่านมา +4

    Mie wala sikuamini hata kidogo Lila mungu ndie atakae kuhukumu

  • @user-mg9pf9qz6r
    @user-mg9pf9qz6r 22 วันที่ผ่านมา +5

    huyu bado mwizi

  • @SamooMohammed-bt6mg
    @SamooMohammed-bt6mg 21 วันที่ผ่านมา +1

    Habari mbaya usiku huu na hayo mahojiano yamefanyika mchana we jamaa muongo kamba hio . 😂

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 22 วันที่ผ่านมา +4

    Tulibahatika kwenda segerea

  • @user-si9bm1cn9z
    @user-si9bm1cn9z 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ila dar wez wanakufa kweli juz mmoja alichomwa na pkpk yake alipora smu

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mshukuru mama anakupenda

  • @masweto
    @masweto 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa sehemu kubwa sana wazazi na sisi tunachangia kuachana kunsababisha kwa sehemu kubwa watoto kukosa malezi mema nao watoto huharibika sana na kujiunga na makundi hatarishi

  • @ReginaKaizirege-sd3hn
    @ReginaKaizirege-sd3hn 20 วันที่ผ่านมา +1

    Nilikumiss sana Kevin

  • @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
    @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 22 วันที่ผ่านมา +3

    Hivi kelvin mbona unajificha mm nakutaka wew sio huyu. Basi utakuta mtu anaingiza neno apo

    • @catherinensemwa3907
      @catherinensemwa3907 21 วันที่ผ่านมา

      Kama namuona Amina Juma

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 20 วันที่ผ่านมา

      Sauti ni yake kelvin

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@catherinensemwa3907😂😂😂😂watu wa Mbeya sana jamanii

  • @swabiaa1489
    @swabiaa1489 14 วันที่ผ่านมา

    Kikubwa umejua kosa na umeelimika mungu azid kukuongoza

  • @christopherkateti3797
    @christopherkateti3797 21 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu dogo niliwahi kufanya nae kazi pale M.M miaka ya 2015-16. Kisa chake ni darasa kubwa sana

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 22 วันที่ผ่านมา +5

    Umeacha wiziii?

  • @user-nj9ij5so2x
    @user-nj9ij5so2x 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mtihan wallah tubia kwakweliy😢 safar nzito

  • @MerryRenatus-ck4lz
    @MerryRenatus-ck4lz 14 วันที่ผ่านมา

    Mm nachukia wezi mm sikupendi hata kidogo ww kaka😢

  • @user-lx2jt1ej7w
    @user-lx2jt1ej7w 12 วันที่ผ่านมา

    😢matumbo yetu yana zaa jmn MUNGU baba tusaidie jaman

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 22 วันที่ผ่านมา +2

    Toba haikubaliki mpaka ukaombe msamaha kwa watu uliowadhurumu,roho zao na Mali zao.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 22 วันที่ผ่านมา

      Na'am

    • @funnycomedyvines1467
      @funnycomedyvines1467 21 วันที่ผ่านมา

      Huyu anasema hajawahi kuua

    • @shamzone388
      @shamzone388 21 วันที่ผ่านมา +2

      Milango ya toba ipo wazi bado……
      Inakubalika toba ya mtu yoyote ikiwa amekubali kutubu si lazima kumuomba uliomkosea maana ikiwa humjui unaongeza kutubu…

  • @user-ug1nv3xl4d
    @user-ug1nv3xl4d 17 วันที่ผ่านมา

    Nyie kupigwa mliumia mlivokua mnapiga wenzangu bila uruma na kuuwa daah mtu bu sana mngu awasamehe

  • @DerickDerick-s6w
    @DerickDerick-s6w 9 วันที่ผ่านมา

    Alone haaaaaaa haaaaaaa haaaaaaaa😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😮😢

  • @John-q8w2i
    @John-q8w2i 3 วันที่ผ่านมา

    Mundishi wahabali unahalibu ujui kazi

  • @user-fu7zs9cd1x
    @user-fu7zs9cd1x 22 วันที่ผ่านมา +4

    Awanaga uruma hao wanakula mbandandu awaelew awalud nyuma anachosema apo yote kweli aya magroup yote kaish nayo wala sio muvi

  • @user-qw4yf5my9q
    @user-qw4yf5my9q 19 วันที่ผ่านมา

    Allah anasamehe ukitubu

  • @hmedoggftherljih199
    @hmedoggftherljih199 15 วันที่ผ่านมา

    KeepOn fire 🔥

  • @brysongodfrey9090
    @brysongodfrey9090 13 วันที่ผ่านมา

    Ko sasahivi anafanya kazi gan kama sio mwizi maana wizi ni tabia

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 15 วันที่ผ่านมา

    duuuu, hatali sana duuu, 😢😢😢😢

  • @HappyAyubu
    @HappyAyubu วันที่ผ่านมา

    MUNGU akuponye katika hilo

  • @fabianbenardngatunga2713
    @fabianbenardngatunga2713 19 วันที่ผ่านมา

    Nawaona watu wengi wanamwambia atubu akati toba ya kweli kuambiwi wala hulazimishwi mana utatubu oungo tu

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj 22 วันที่ผ่านมา +4

    Bloo umeacha wizi au umepumzika

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 22 วันที่ผ่านมา

      "Bloo"??😢

    • @user-xm5xg1tt6d
      @user-xm5xg1tt6d 22 วันที่ผ่านมา

      Sema bro

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-xm5xg1tt6dnaona kma yupo likizo

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 21 วันที่ผ่านมา

      Kapumzika tu huyu mwizi kuacha mtihani nawaogopa

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 21 วันที่ผ่านมา

      Kuacha hawezi

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 16 วันที่ผ่านมา

    Upewe pole wakati mmeuwa watu kwa wizi wenu?

  • @fasantafapeter3043
    @fasantafapeter3043 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu akulaani maisha Yako yote. Mtoto wa dada yangu mlimpeleka kumuua poli la Chanika mpaka Leo hatujaipata maiti yake. Simnge chukuwa pikpik tu? Mashetani nyie

  • @KamojaAmri
    @KamojaAmri 9 วันที่ผ่านมา

    Umeacha kweli wizi?

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 22 วันที่ผ่านมา +2

    Hii hatari yarabi jamani munamuwa mtu kwa kuibiya kitu kidongo iman ipo wapi kesho akhera mtu anaweza kulipa nafsi ya mtu muongopeni mungu mimi nishatapeliwa pesa tele lakini kwa yoyote lakini nimemuwachiya mungu alhadulilah nashukuru kuwa hai mpaka saihivi pesa inatafutwa lakini uhai jee ni shida

    • @user-mu1uf2rl4x
      @user-mu1uf2rl4x 21 วันที่ผ่านมา

      Mwizi anapokuja ni ufe ww au achukue Mali zako je ww mwizi angekuua ingekuwa je?

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 21 วันที่ผ่านมา

    Sasa wamepata faida gani wamekufa na moto juu wamechomwa nakilakituwameeacha. Naazabu wanapewahuko kama kunawatu walowauwa au kuwatia kipema. Mtihani wanao wezi.

  • @richmkemia4822
    @richmkemia4822 19 วันที่ผ่านมา

    Huyu bado mwizi kaanaee mkini

  • @GrceLaurentkaboigora
    @GrceLaurentkaboigora 22 วันที่ผ่านมา +1

    Bro bora ungekufa

  • @JumaSemindu
    @JumaSemindu 12 วันที่ผ่านมา

    Chizi ww mnashindwa kufanya kazi za halal mpaka mnawaua watu kwa tamaa zenu

  • @djparasite2556
    @djparasite2556 16 วันที่ผ่านมา

    Kumbe kwenda segerea ni kubahatika🙆😅😅

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 22 วันที่ผ่านมา

    Vijana kama hawa ni jela ya MILELE.... ni wabaya sana kwenye UMMA.

  • @NeemaMpagike-k7i
    @NeemaMpagike-k7i 19 วันที่ผ่านมา

    Yani Mimi ninge mkuta huyu kaka ninge mumwagia kitu aunguwe maana mume wangu alivunjwa meno napikipiki ilienda

  • @MikidadiChamwande
    @MikidadiChamwande 21 วันที่ผ่านมา

    Uyuu jamaa kauwa san m2 wengi ndio maana anawasisasi sana machoni mwake

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 22 วันที่ผ่านมา +1

    Tubia kwa allah na ujutiye na uwambiye vijana wafanye kazi zulma inarudi na mwisho ni kuuwawa

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 22 วันที่ผ่านมา

      Ndugu Juma Allah andika kwa herufi kubwa Shukran

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa 22 วันที่ผ่านมา

      Allah akulipe jakallAhu Khairan inatakiwa nitowe maoni au ushauri Allah ukamilif ni wa AllAh

  • @user-ij3vu5zs3r
    @user-ij3vu5zs3r 21 วันที่ผ่านมา

    ww ni muuwaji kaka tubu kwa Allah

  • @GaspaChinzwe
    @GaspaChinzwe 9 วันที่ผ่านมา

    Uwo ndowamuzi saihi

  • @johntamba2982
    @johntamba2982 21 วันที่ผ่านมา

    Huyu badfo ni jambazi na ni muuaji sugu hapaswi kusikilizwa zaidi, ningekuwepo hapo ningeanza nae, kuna ndg zetu wengi sn wameuwawa na hawa majambazi.

  • @jaffarichimbuvu9409
    @jaffarichimbuvu9409 21 วันที่ผ่านมา +1

    Weee snitch tu nyohosha maerezo,tunamtaka mwenye noha

  • @Antoniahaule
    @Antoniahaule 18 วันที่ผ่านมา

    Pole

  • @eliasmyamba4767
    @eliasmyamba4767 21 วันที่ผ่านมา

    Mludie mungu ndugu

  • @maryammo-gd3me
    @maryammo-gd3me 20 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli mtihani Allah nusuru na vizazi vyetu

  • @user-hv5bk5tr1j
    @user-hv5bk5tr1j 20 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi ni wezi sugu na mulikua munafaa muuwawe

  • @mikelkea1531
    @mikelkea1531 7 วันที่ผ่านมา

    Sasa hii ni muvi au

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 21 วันที่ผ่านมา

    NAJUA UMU WEZI WAPO,,NA MPUMBAVU MWENZENU ANAWAPA MOYO...ILA SKILIZENI;;KAMA UMECHAGUA KUIBA TARAJIA HAYA MAWILI;;;KIFO AU JELA

  • @user-cv4yx4uf8u
    @user-cv4yx4uf8u 22 วันที่ผ่านมา +1

    Kichaa hapon kabisa ,angalia pochi mtangazaji

  • @antidiuskalugira6727
    @antidiuskalugira6727 14 วันที่ผ่านมา

    Dah 😭😭😭😭😭😭😭

  • @mage5371
    @mage5371 16 วันที่ผ่านมา

    Wewe ungedungwa likichwa likapasuka, jambaz sugu pumbavu mkubwa

  • @RucyMakapa
    @RucyMakapa 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu ata kuwa anaumwa mwili wake kutokana na vipigo ndio maana ata saut yk inakuwa ndg mbvu zinamuuma

  • @user-wt5li6cy4c
    @user-wt5li6cy4c 21 วันที่ผ่านมา

    Mbaka katoka kwenye nyomi ya watu boss alikuwa kajipika vizur sio bule au siku yake haijafika ila boss kukaa kizembe haswa kwa kazi km hyu hyo sio kwer

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 22 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe bado Mimi niliibiwa sana pikipiki sjikuachi jichanganye

  • @jaytone5
    @jaytone5 22 วันที่ผ่านมา +3

    Macho ya mwizi ukitaka kumjua huwa hayatulii huyu bado n mwizi

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 22 วันที่ผ่านมา

      Ikiwa bado ni mwizi basi karibu sana na wewe yatamkuta mabaya.

  • @AminaAfrican
    @AminaAfrican 16 วันที่ผ่านมา

    Badilika kaka bado hujachelewa

  • @kibiritizuberi9361
    @kibiritizuberi9361 22 วันที่ผ่านมา

    Jitahidi sana kutubu Kwa mola wako

  • @user-nu6ge7rg7n
    @user-nu6ge7rg7n 22 วันที่ผ่านมา

    Hahah ww mtangazi kiboko kumbe wizi so mzuli Leo uyo umemuweza eti ongea yote mala toa sauti hahah wizi jau sana

  • @mwanaidimohamed1757
    @mwanaidimohamed1757 20 วันที่ผ่านมา

    Huyo hawezi kuacha ndo tabia yake atatulia kwa muda tu.

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 20 วันที่ผ่านมา

    Mwizi ni mwizi 3

  • @MayaAlamari
    @MayaAlamari 21 วันที่ผ่านมา

    Allah akuongozee wewe nasie jutia na tubia Allah atakusamehe

  • @isayarevelian9698
    @isayarevelian9698 21 วันที่ผ่านมา

    Nishawai kuibiwa pkpk mbili huyo ningemkmmata ningeua kabisa

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 15 วันที่ผ่านมา

    Huyu afungwe

  • @MariamuAhmadi
    @MariamuAhmadi 20 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @GabrielyMathias-e1b
    @GabrielyMathias-e1b 21 วันที่ผ่านมา

    Kwa hiyo anaona sifa kuwa mwizi?

  • @user-cv7vm1mx9d
    @user-cv7vm1mx9d 20 วันที่ผ่านมา

    Duh

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 21 วันที่ผ่านมา +2

    Waisiramu wote wanaro mbaya sana

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 21 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe kumbe ni mjinga kiasi hiki nilikuwa sijuwi kama akili zako za ovyo

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 21 วันที่ผ่านมา

      Hakuna waisramu. Ila waislamu

    • @fuigtyyu1919
      @fuigtyyu1919 21 วันที่ผ่านมา +1

      Na wale waliyom'baka binti wa yombo pia waisilamu?

    • @TatuRajabu-cz6jz
      @TatuRajabu-cz6jz 20 วันที่ผ่านมา

      Bwege wee

    • @OmaryMasambiro
      @OmaryMasambiro 20 วันที่ผ่านมา

      Yesu anaenda choni wakristo

  • @calvinmasawemasawe4230
    @calvinmasawemasawe4230 8 วันที่ผ่านมา

    Mung anakup nafax yakutubu

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 21 วันที่ผ่านมา +1

    Aisee aijutii bando landu, story imemenivutia nmetazama mwanzo mwisho.

  • @AllyIjengo
    @AllyIjengo 21 วันที่ผ่านมา

    Aliebakwa,nawatuwatano.dodoma

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 22 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbe ndio nyie mlinikaba

    • @JfourHumbi
      @JfourHumbi 21 วันที่ผ่านมา

      Mwaka Gani 12/13ulikuwepo mjini wewe

  • @EsterMarwa-eu7sb
    @EsterMarwa-eu7sb 18 วันที่ผ่านมา

    Umecha au bado