Dereva asimulia jinsi alivyomuua muuaji wa Mzee Karume

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 เม.ย. 2020
  • Tarehe Saba ya Mwezi April ya kila mwaka ni kumbukumbizi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume ambapo mwaka huu ni Miaka Arobaini na minane tangu alipouawa.
    Mtumwa Saidi ametukutanisha na aliyekuwa Dereva wa Mzee Karume Hija Hassan Hija ambaye alikuwepo wakati tukio lenyewe linatokea na yeye kufanikiwa kumuua aliyemshambulia Mzee Karume.
    #KarumeDay #KifoChaKarume #AzamTVUpdates
    Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 53

  • @khalidali1130
    @khalidali1130 4 ปีที่แล้ว +5

    Mzee Mungu atakupa kwa ushujaa wako nasi tunashukuru kwa kazi yko

  • @tawakalally9074
    @tawakalally9074 4 ปีที่แล้ว +13

    Huyu Mzee kama bado anaishi maisha magumu, ukilinganisha na unyeti wa kazi alokuwa akifanya, na jambo kubwa alofanikiwa kufanya

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 4 ปีที่แล้ว +16

    Mzee wetu,alitakuwa atunzwe vizuri na Serikali.....

  • @alhabibsudi7997
    @alhabibsudi7997 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani Zanzibar mtihani kweli hata mtoto wa Karume alipopata Uraisi kweli ameshindwa kumsaidia huyu wakati wa Madaraka na Ndio mtu aliemuua
    Muuaji wa mzee wenu, dah

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc 3 ปีที่แล้ว +6

    Duh mzee kachoka sana mapinduzi daima ulikuwa uthaminiwe kama seif ali iddi ila kula inakushinda apo ulipo

    • @kombokombo829
      @kombokombo829 3 ปีที่แล้ว

      😑😑😑...Dah pole sana mzee

  • @user-eu2zc1nr4f
    @user-eu2zc1nr4f 4 ปีที่แล้ว +9

    Mzee atunzwe vzr jamani

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 ปีที่แล้ว +5

    Babu hongera sana

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว +8

    Mbona hamuwajaligi majemedari kama hawa wazee maana hawa ndo walikuwa katib naniwalinzi wa mzee karume.

  • @suleali839
    @suleali839 ปีที่แล้ว +2

    Si amepewa fulana ya CCM, mlitaka atunzwe vipi?

  • @alirashid3239
    @alirashid3239 3 ปีที่แล้ว +8

    Serikali hii cjuwi ninani kairoga vioja vitupu mzee kama huyu nimtu wa kuenziwa hawa ndo wanajuwa uchungu wa znz huyu niwakuenziwa ifike mahala hata kumuona kwake basi iwe nitabu kwa umuhimu uliyo kuwa unastahili kupewa huyu mzee huyu ndo mwanaume wa shoka

  • @robertservas1953
    @robertservas1953 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for your service

  • @umojaafrika2447
    @umojaafrika2447 4 ปีที่แล้ว +6

    Kazi nzuri ndugu yangu

  • @diegohija1804
    @diegohija1804 3 ปีที่แล้ว +6

    Yani serekali yetu huyu alikuwa atunzwe daa cio poa

  • @khamismohd8616
    @khamismohd8616 3 ปีที่แล้ว +4

    Ccm ukimaliza kazi huna samani

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 4 ปีที่แล้ว +8

    Maskini muasisi huyo na hali yake ndio hio taabani

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว +2

      Asaidiwe na serikali huyu muasisi na shujaa haswaaaa

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 3 ปีที่แล้ว +2

      Inasikitisha sana..sijui wakimsaidia watafilisika??

  • @prophetmunuo9317
    @prophetmunuo9317 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbona hawasemagi ni akina nan walimuua Karume?

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 3 ปีที่แล้ว +2

    Aliempa mbinu kuwauwa wazanzibar uyouyo ametoa mbinu auliwe alieuwa wazanzibar hatimae n yeye alisema atafika mwaka wa 2000 hajafika Allah awaeke panapo stahiki 🙏🏻

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 3 ปีที่แล้ว

      @@marthamalila8630 nieleweshe japo kwa ufupi or n wewe hujielewi kama mimi??

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 3 ปีที่แล้ว +3

    Ingelikua nchi wanao jielewa mzee kma huyu engekua mnamaisha mazuri ila Zanzibar fanya wema uende zako

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 ปีที่แล้ว +8

    Znz uyu mzee mmemtupa ivi kweli?

    • @khamisali5978
      @khamisali5978 ปีที่แล้ว +1

      Hii nchi hata ufanye jema gani huwezi kupata matunzo, ww ufanye tu lkn usitaraji malipo

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz 3 หลายเดือนก่อน

    Kahare huko elezea kwanini kauliwa karume

  • @suleimansaid7486
    @suleimansaid7486 2 ปีที่แล้ว +2

    Sijapata kumsikia mtu mwongo kama huyu.
    Hizo ni ndoto za mwendawazimu

    • @coolson2925
      @coolson2925 5 หลายเดือนก่อน

      muongo kivipi na anaonesha mpaka alikopigwa risasi

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 ปีที่แล้ว

    Kazi yote hiyo alio ifanya lakini mzee wawatu anaishi maisha magumu

  • @deogratiusnjau1744
    @deogratiusnjau1744 ปีที่แล้ว

    Mzee kaongea kwa hisia kali sana.

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 ปีที่แล้ว +1

    ZINADNDELEYA KUTUMIWA NA WANCHI UCHAFU MTUPU UTASEMA HAKUNA SERIKALI KUMBE SHENI NA ALI IDI WA
    NAKULA WAKINYA TU NA KUWAFUNGA MASHEH WA UWAMSHO 😇🇹🇿🇹🇿🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹

  • @fatumanasoro5057
    @fatumanasoro5057 2 ปีที่แล้ว

    Dah pole mze wang sirikali imekutelekeza lakini nayo imetelekezwa kutoka mikononi mwa waarabu kwenda kwa wanyamwezi hahaha bora yenge bakia kulekulee

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 2 ปีที่แล้ว

    Kweli CCM kiboko , mmeshindwa kumtunza kamanda huyu duuu

  • @deogratiusnjau1744
    @deogratiusnjau1744 ปีที่แล้ว

    Kuna sehemu kama nchi tunakosea kwa kuwaacha hawa wazee

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc 11 หลายเดือนก่อน

    Mzee ukifa upelekwe makumbusho

  • @nyandwijacobcleo3672
    @nyandwijacobcleo3672 2 ปีที่แล้ว

    Serikali imsaidie mzee huyo na kumuenzi

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 หลายเดือนก่อน

    Subiri ahera umeuwa ww

  • @ibrahimsuleiman1644
    @ibrahimsuleiman1644 ปีที่แล้ว

    Siomchezowabao nimchezowadhunna

  • @himidomarhimid7759
    @himidomarhimid7759 4 ปีที่แล้ว

    saf mzee lkn pole

  • @josephmarabe572
    @josephmarabe572 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mzee upo maeneo gani hapo.

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 3 ปีที่แล้ว +1

    Katika kitabu cha Kwa Heri Ukoloni Kwa heri Uhuru kiliibua data mpya kuwa Humud Barwani hakumuuwa Karume..akina Babu ndio walitumwa na Nyerere na ndio alipokimbilia Bara Nyerere alikataa kumtoa kwenda Zanzibar kuhukumiwa..maana siri ingefichuka..
    Nyerere ndio alikuwa Master Mind..
    Na siasa zake zinawatafuna Zenji hadi kesho!

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 3 ปีที่แล้ว +1

      Baada ya mapinduzi Karume binafsi ndio aliwataka kina Abdulrahman babu na Hanger ili aende nao Zanzibar . Sasa Nyerere anahusika vipi na Vinyongo vya Wazanzibar na wapemba!!!??.Kuna kitu mnakificha kupitia Nyerere.

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 3 ปีที่แล้ว

      Kama Nyerere hahusiki kwa nini alimtoa Hanga lakini akampakata Babu?
      Nyerere alimtumia Karume awamalize wasomi wote waliokuwa karibu yake ili njama zake za kummaliza Karume zitimie na alifanikiwa.
      Hivi jana nimebahatika kupata nyaraka za serikali ya UingerezaMarekani kumbe wao ndio walimtumia Nyerere aimeze Zanzibar (kwa kutumia muungano) kwa kuhofia wimbi la ukomnisti uliokuwa tayari umeingia Zanzibar toka Urusi na China..(kama misaada ya kiaskari nk)..

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 3 ปีที่แล้ว

      @@mzuvendi Kuwa mkweli,Tanganyika baada ya uhuru iliegemea West German na Israel. Karume akamshawishi Nyerere waegemee Usosharist .Kosa la Nyerere ni kutaka East Africa iungane kuwa shirikisho.Athari zake ni kama zilizopo leo ktk Jumuiya mpya ya East Africa.Mwinyi mrufiji,Karume Mmalawi ,Maalim seif mpemba,Jumbe Mzanzibar,Sheikh Kulwa mnyamwezi.Kifo cha Karume kina ni mkono wa mapinduzi. Rejea hotuba za Marehemu Haroub Othman.Tanganyika na Zanzibar lao moja Waingeleza wanalijua hili.Ndio maana alipeleka askari wakiganda na Kenya Zanzibar kuhofia mapambano .

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 3 ปีที่แล้ว +1

      @@uledimtumwa2406 Kweli Nyerere alikuwa rafiki wa Chancellor Helmut ila Israel sidhani kwa kuwa alikuwa karibu na Jamal AbdulNasser...
      Kuna baadhi ya mtizamo wa Haroub mi siuamini..
      Ukweli upi unataka? Waliokuwa wanaujua ukweli wamelala makaburini mi na weye tunanukuu hapa na pale..Nyerere alimuuwa Karume Mmalawi..
      Jumbe kizuizini mji mwema hadi kaenda ahera..
      Maalim Saif kizuizini hadi alipata ahueni baada ya Nyerere kufa..
      Soma kitabu kinaitwa "The Africans" utamjua nani Nyerere..

    • @marthamalila8630
      @marthamalila8630 3 ปีที่แล้ว

      @@mzuvendi ulikuwepo k...wewe nyerere nyerere muache apumzike

  • @111dudi
    @111dudi หลายเดือนก่อน

    Dereva kuwa na bunduki?

  • @mbaroukhamza5002
    @mbaroukhamza5002 4 ปีที่แล้ว +1

    Ufisadi tunautengeneza mwenyewe tukimuona mdogo wake raisi kachoka basi tunamlaumu raisi, mzee alikuwa kwenye kazi yake cc tunalalamika wakati mtu alikuwa anatimiza wajibu wake. Serikali imfanye nini au imjengee gorofa?