Hivi ndivyo Mzee Karume alivyouawa kwa risasi! Sikiliza simulizi ya Mzee Shamte

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 เม.ย. 2019
  • Leo ni miaka 47 tangu kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume kitokee. Azam TV imetembelea eneo ambalo Karume aliuawa kwa kupigwa risasi na bunduki aina ya Short Gun, sikliza simulizi ya mzee Baraka Shamte akielezea kilichotokea siku hiyo.
    #KarumeDay #AzamTVUpdates #Legend

ความคิดเห็น • 73

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 ปีที่แล้ว

    Hatuto sahau maisha yetu kutuulia mzee wetu na nchi yetu itabaki mikononi mwetu milele kama. Walimuua ili lengo waendelee kututawala hapo wamefeli Allah mrehem mzee wetu karume amin 🤲🤲

  • @LoloLolo-on8ej
    @LoloLolo-on8ej 2 ปีที่แล้ว +1

    Pumba tupu yani maisha yote ukweli lazima ufichwe yani duu kesho kwa ALLAH kuna kazi sana yani

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Mzeee Shamte mzarendo wa kweli.

  • @reyjosee9390
    @reyjosee9390 5 ปีที่แล้ว +1

    na hiyo baiskeli jeee,asanteni

  • @francisnyaji5000
    @francisnyaji5000 5 ปีที่แล้ว +3

    Uyo humudi anabalaa kumbe ni captain wa jeshi duu

  • @ariphkimani3790
    @ariphkimani3790 4 ปีที่แล้ว

    Historia nzuri

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 5 ปีที่แล้ว +2

    Kauliwa kwa Subra machinegun sio bastola. Humudi alikuwa na sababu ya kuuliwa babake na Nyerere akaongeza

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

    Yeah! Kumefanyika dhulma sana Z'bar so, haya mambo si ya kuyashangaa sana. Afu mnalia na muungano wakati msingi wa muungano ulifanyika toka 64 kwa damu zilizomwagwa.

  • @BESTTV1LIVE
    @BESTTV1LIVE 5 ปีที่แล้ว +8

    Kizazi cha sasa tungependa kujua nini kwani ?! Kulikuwa na nini kilichopelekea humudi kuchukua maamuzi hayo ??!

    • @fugameza6011
      @fugameza6011 4 ปีที่แล้ว

      Ndugu zetu wa damu

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 ปีที่แล้ว

      Aliua zanzibari kwa nyerere NA slisabisha maauaji ya elfu ishirini wazanzibari NA wengine NA kwa hakika zanzibari lazima iwe NA mamlaka peke yake hivyo ndio haki kuongana kwa makubsliano sio kwa nguvu NA ungereza NA nyerere kutoka bara emeiteka zanzibari kwa sababu ya utajiri ya zanzibari

  • @danieljoseph6309
    @danieljoseph6309 5 ปีที่แล้ว +2

    Akapiga about turn😂😂🙌🙌 msimulizi katisha

  • @abrahamhassan351
    @abrahamhassan351 5 ปีที่แล้ว +5

    Alichokipanda ndio kavuna Karume hahaha kauwa wananchi wa zanzibar wengi tu wakati anaipinduwa serikali ya halali ya wananchi wa zanzibar iliyoshinda uchunguzi wa mwaka 63 hahaha

  • @aliyissa9857
    @aliyissa9857 2 ปีที่แล้ว

    Luh

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭Hizi Historia lazima zielezwe kwa vizazi vyetu ili wazanzibari tulio halisi tue wazalendo na taifa letu

  • @hamadamaani2516
    @hamadamaani2516 5 ปีที่แล้ว +3

    Balaa hii walotufanyia hatusahau

  • @prophetstories1284
    @prophetstories1284 3 ปีที่แล้ว +1

    Sina shaka na mauaji lakin na mashaka nikwajinsi gani aliuwawa , msimuliaji anaonyesha ukuta ulivyotoboka kwa risasi, swali alikuwa anakwepa au

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 4 ปีที่แล้ว +1

    Humud alituchelewesha hata hivyo maana ilikuwa walio kuwepo pale woote ilikuwa iwe kama January 12 juwa kuchomoza Zanzibar huru jina Tanzania yaani wa pumbaav hata siku haikutimiya washa nyang'anywa zamaaani na wa Tanganyika shenz twice lililo baki sasa kila siku wanzuwa ujinga tu mara vitambulisho yaani miaka 56 bado hawajuwani shenz kabisaa

  • @giliadimlavwasi4028
    @giliadimlavwasi4028 3 ปีที่แล้ว

    Pumzka kwa Aman mzee wetu

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว

    Ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @zuzubehanafi4892
    @zuzubehanafi4892 4 ปีที่แล้ว

    Wana ccm sindo hao hao mungu atazidi kulipa siombali

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 ปีที่แล้ว

    OKELO ANAJIFANYA KIDUME KAKIMBIA 🥺🥺🥺 MSIMCHEZEE MWENDA KIMNYA BE AWARE

  • @maikovicent8594
    @maikovicent8594 5 ปีที่แล้ว +1

    Aliwafanyann jaman mzeewetu

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว

    Kuna nini kilichosukuma watu hao kutekeleza hilo? Walirubuniwa? Au walikua wapinzani? Au tatizo nini?

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 ปีที่แล้ว

    OKELO ANAJIFANYA KIDUME KAKIMBIA 🥺🥺🥺 MSIMCHEZEE MWENDA KIMNYA

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 5 ปีที่แล้ว +1

    Siku zote nlizani walikua wamekaa jamvini kumbe ilikua viti.

  • @ahmedelalawi6143
    @ahmedelalawi6143 4 ปีที่แล้ว +2

    Baaada ya kuuuwawa kwa karume kidogo ilitupa afuweni sisi warabu maana tulikuwa tunaumia snaa kutoka moyoni mwetu ,kwasbabu ameuwa familia zetu nying mno tena kinyama baada ya kuuwawa kwake warabu tulifurahi sana na allah amelipa hapa hapa duniani aone na yeye machungu ya kuuliwa

    • @allykigatta7564
      @allykigatta7564 4 ปีที่แล้ว

      ..mi sifaam...kwani karume aliuwa familia nyingi za nyinyi waarabu kwa sababu gani??..

    • @salimsalum7728
      @salimsalum7728 4 ปีที่แล้ว +1

      Sasa na si mngalirudi kwenu

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 3 ปีที่แล้ว

      @@salimsalum7728 kwani huyo karume kwa nini na yeye asirudi kwao

    • @jamilamwangia4643
      @jamilamwangia4643 3 ปีที่แล้ว

      Yeye hakuwa chizi mbona nyiny mliwatoboa wa afrka mtumbukize minyororo pili mliwatesa sana kwaiyo mlikuwa na haki yakufanyiwa mlicho fanyiwa nandomana hata huyo muuaji akuchukua dk maana mungu pia alitaka kumuonyesha zawadi ya msaliti rip karume

    • @hhonest9553
      @hhonest9553 2 ปีที่แล้ว +1

      @@jamilamwangia4643 huna unachojua ww.Umekaa ukalishwa history fake ndio inayokupa kiburi??Hawakuuliwa waarabu tu.Ata wangazija na waislamu wasio kuwa na hatia.kuna watu wazee wao walikataa kushiriki dhulma licha ya kuwa waswahili na wameishi zama izo hawakuwahi kuona ila na unyanyasaji unaouzungumza.Chuki zako Zitakutokea puani

  • @ahmedadan1915
    @ahmedadan1915 3 ปีที่แล้ว

    Humudi alikuwa sawa kwamana karume alitesa watu sana pia aliuwa watu karume alistaili kuuliwa

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 ปีที่แล้ว

    MWENYEZI MUNGU MKUBWA HAKI ANALETA WAKATI WOWOTE MSIJISAHAU

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 ปีที่แล้ว

    HAKI HAIPOTEI DAIMA

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 ปีที่แล้ว

    OKELO LADY KAKIMBIA 🥺🥺🥺

  • @barwani890
    @barwani890 ปีที่แล้ว

    Kwanini mnaficha ukweli mnamtukana humud kama tudiin tu Daan

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว

    Ameuwa na yeye amenyang'anywa haraka sana

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 3 ปีที่แล้ว

    Ilikuwa majira ya saa ngapi mzee kapigwa risasi?

  • @barakakazumari8573
    @barakakazumari8573 5 ปีที่แล้ว

    Hahahahahahaha eti ccm wasasa wanajifanya kwamba hawatambui kama nyerere ndoaliomuuwa

  • @mrok284
    @mrok284 2 ปีที่แล้ว

    Sasa huo nkweche wafanya Nini humo ndani😂

    • @stn4873
      @stn4873 2 ปีที่แล้ว

      Vipi amiii wataka upewe uende nao mferejini?

  • @nasserjabri4717
    @nasserjabri4717 3 ปีที่แล้ว

    Humudi simba

  • @saadsalum3253
    @saadsalum3253 5 ปีที่แล้ว +1

    Alitaka auliwe sindio faida hiyo ya muuganiko wanchi mbili yeye kafa na wazanzbr kawauwa lakn ataenda kujibu mbeleni huko

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

    Malipo hapa hapa duniani ameuwa n yeye ameuliwa tena n rafiki yake kipenzi alompa chama adi kumuweka madarakani🤣🤣🤣😅 chezea Nyerere

    • @regnaemanuel5331
      @regnaemanuel5331 ปีที่แล้ว

      acha hzo wew. huyo aliuliwa na humud.. ambae humud Baba yake aliuwawa kwa sababu ya hayo mapinduzi. so humudi akalipiza kisasi

  • @omarysaid5407
    @omarysaid5407 5 ปีที่แล้ว

    Kwan yan uyo jamaa angekuwepo mbaka sasa sisemi

  • @mbaroukmohd1391
    @mbaroukmohd1391 3 ปีที่แล้ว

    Wewe ilikuepo wap

    • @mbaroukmohd1391
      @mbaroukmohd1391 3 ปีที่แล้ว

      Wakat karume kafarik spital baada ya kipijwa

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 ปีที่แล้ว

    uon'go mtu wewe mpumbavu m'kubwa...

  • @dennismsele6692
    @dennismsele6692 5 ปีที่แล้ว +1

    KARUME ALIKUA MWOGA TU ACHENI UNAFIKI WA KUMPAISHA KARUME MBONA HAMUMTAJI JOHN OKELLO? ACHENI UNAFIQ KARUME HAMNA KITU

  • @aliyissa9857
    @aliyissa9857 2 ปีที่แล้ว

    Luh

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว

    Ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 ปีที่แล้ว

    OKELO ANAJIFANYA KIDUME KAKIMBIA 🥺🥺🥺 MSIMCHEZE SIMBA MWENDA KIMNYA BE AWARE

  • @francisnyaji5000
    @francisnyaji5000 5 ปีที่แล้ว

    Uyo humudi anabalaa kumbe ni captain wa jeshi duu

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 ปีที่แล้ว

    OKELO ANAJIFANYA KIDUME KAKIMBIA 🥺🥺🥺 MSIMCHEZE SIMBA MWENDA KIMNYA BE AWARE

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 ปีที่แล้ว

    OKELO ANAJIFANYA KIDUME KAKIMBIA 🥺🥺🥺 MSIMCHEZE SIMBA MWENDA KIMNYA BE AWARE