KUZIMU NYUMBANI PA WENYE DHAMBI•Ushuhuda wa EMMANUEL AGYARKO WA GHANA•Part_1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 20

  • @SabinaEzekiel-vb5nh
    @SabinaEzekiel-vb5nh 17 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu naomba utusaidie tuishi maisha Matakatifu.

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 3 หลายเดือนก่อน +4

    Shetani halali mh,kila sekta ameishika Kanisa tuchangamke,tuombe Mungu atupe macho ya rohon

  • @Gracemsomba-ic2xp
    @Gracemsomba-ic2xp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu a nisaidie kuwA mwaminifu

  • @pharesgervas3141
    @pharesgervas3141 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ujumbe mzur unaponya njia mbayaa

  • @user-iw1yq3op8f
    @user-iw1yq3op8f 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ameen and ameen mtumishi ubarikiwe sana naomba mungu aliye mbinguni anisaidie na kuniepusha kwa mambo hayo ya kutisha

  • @BkBjk
    @BkBjk 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna wa kushindana na Mungu duniani

  • @rowenalilie993
    @rowenalilie993 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Bwana Yesu kwa ufunuo huu

  • @rowenalilie993
    @rowenalilie993 3 หลายเดือนก่อน +2

    Atukuzwe sana Bwana Yesu Kristo

  • @RodahAdonice-dz4sm
    @RodahAdonice-dz4sm 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu utupigania kila wakati ni sisi sasa nae kumtukuza na kufanya yaliyo sawa na sheria zake

  • @uwimanadady6563
    @uwimanadady6563 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu tupe mwisho mwema

  • @ivomhagama9796
    @ivomhagama9796 3 หลายเดือนก่อน +2

    Halooo Tumtafute Mungu maana unaeza hisi ni hadithi,kumbe ni ukweli unaomngoja Kila asie amini.

  • @user-fu6fx8if6w
    @user-fu6fx8if6w 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen, Mwenyezi Mungu atuhurumie sana.😢

  • @gracekinyaki2376
    @gracekinyaki2376 3 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa

  • @user-tt7cu2et1x
    @user-tt7cu2et1x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Blessd kaka jacktan na Audax n promover tv ❤❤

  • @AfirenAfiren
    @AfirenAfiren 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana, ninalo swali, je ni watumishi wote wanaotumia prayer clothes sio vizuri au vipi?

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 3 หลายเดือนก่อน +1

    YESU tuokoe na kuzum

  • @nunyabizactually6928
    @nunyabizactually6928 3 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @rerisamba
    @rerisamba 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waa kumbe kuna makeup kwa waganga