Part_2•KUZIMU NYUMBANI PA WENYE DHAMBI•Ushuhuda wa EMMANUEL AGYARKO WA GHANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @acci6516
    @acci6516 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie Sana

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 5 หลายเดือนก่อน +4

    Tupite ktk mlango ulio mwembamba,tujikane kisha tumfuate Kristo masihi ,ubarikiwe mtumishi Audax

  • @susanilunda
    @susanilunda 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mpira ndugu yangu si mapenzi ya Mungu unatoka kwa adui.Mpira ni udunia na aliye rafiki wa dunia huyo ni adui wa Mungu

  • @ivomhagama9796
    @ivomhagama9796 5 หลายเดือนก่อน +2

    Halooo kuna hatariii mbele.tumtafute Bwana Yesu Kristo

  • @injiliyautakasonakufunguli8190
    @injiliyautakasonakufunguli8190 5 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU wangu nisaidie nitumike siku zote za maisha yangu

    • @josephmutemi7494
      @josephmutemi7494 5 หลายเดือนก่อน

      Dadagu ubarikiwe sana niliupata ushuhuda wako wote BWANA akulinde sana

  • @StephanoGabliel-w2x
    @StephanoGabliel-w2x 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu tusaidie 🙏🙏🙏

  • @FrankMaendeleo247
    @FrankMaendeleo247 5 หลายเดือนก่อน +4

    Wapili leo Kwa ajiri ya Ushuhuuda

  • @angelibrahim5539
    @angelibrahim5539 5 หลายเดือนก่อน +1

    EYesu niokoe Bwana Mimi na famiria yangu Yote na marafiki zangu

  • @AlineMukunda
    @AlineMukunda 5 หลายเดือนก่อน +1

    Munguanipe kumtumikiyavizuri bilakuyumba amen ubarikiwekaka

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 5 หลายเดือนก่อน +2

    Blessd kaka jacktan na Audax n promover tv n ❤❤❤ nawapendaa

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @gracekinyaki2376
    @gracekinyaki2376 5 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Amen

  • @LeonardMahimbo
    @LeonardMahimbo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie bila yeye atutaweza.

  • @ivomhagama9796
    @ivomhagama9796 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kwenye mpira hapo watakamatwa wengi bila kutubu

    • @JacquelineYana
      @JacquelineYana 5 หลายเดือนก่อน +1

      Usikubali kukamatwa .
      Kwa vile umejuwa UKWELI nimuzuri Ku achana navyo.
      Maana Neno la MUNGU linasama NENO ambalo umelisikia ndilo litakalo kuhukumu.
      Usikubali kupotea na YESU amekupa NEEMA.
      USOME : MATENDO :17 : 29-31.
      Na 2PETRO : 3:9. Na
      2KORINTHO: 5:6-9.
      Asante sana na ubarikiwe na Bwana wetu YESU Kristo.

    • @ivomhagama9796
      @ivomhagama9796 5 หลายเดือนก่อน

      @@JacquelineYana Amina, endelea kunipa nondo.nimefurah

    • @AfirenAfiren
      @AfirenAfiren 5 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @JamesDaniel-zt8qb
    @JamesDaniel-zt8qb 5 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee

  • @kennethogonda2947
    @kennethogonda2947 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa niliusoma ushuhuda wake zamani. Ila wakati ule nilisoma kwamba alitaja timu za mpira kama Chelsea, Arsenal, Man Utd, Real Madrid, Barcelona, Juventus, n.k. Nashangaa hizo sasa hazijatajwa hapa. Mimi naamini nikipenda kuona ama kucheza mpira bila kufanya ushirikina ama bila kuupa muda mwingi huo mchezo kuliko muda ninaompa Mungu basi sitakuwa naubudu huo mchezo au kuwaabudu hao wachezaji.

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 5 หลายเดือนก่อน

    Na kuful ipi hyoo? Ambayo m dhambi?? Ya kufungia mlango ama.. ? Cjaelewa hapo kaka Audax

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 5 หลายเดือนก่อน

    Makuful gan kaka Audax??? Nisaidiee nielew

  • @musaluka1056
    @musaluka1056 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ile ya kijota hull iko wap mtumishi?

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  5 หลายเดือนก่อน

      ipi hiyo?

    • @musaluka1056
      @musaluka1056 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@PromovertvTz nilikuona shule moja ya sekondari mkoani singida, kulikuwa na graduation siku iyo mtumishi

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  5 หลายเดือนก่อน

      @@musaluka1056 Oh sawa,itakuja

  • @esperancekwizera8634
    @esperancekwizera8634 5 หลายเดือนก่อน

    F
    S
    ss

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen