Yani hz shuhuda zimekuja kwa wakati sahihi kwenye maisha yangu hakika nisemehvi;; KWA MSIKILIZAJI WA HAPA KWENDA JEHANAM NI WW KUTAKA ILA KILA KITU KIMEFUNULIWA......BADO NNA IMANI NA YESUKRISTO MNAZARETI ATAMBADILISHA MAMA NA BABA YANGU WAONDOKE RC CHURCH WAOKOKE
Finally nimeweza kupata part 3 ya shuhuda hii.nafwatilia,na nitazidi kusema wabarikiwe wanao pata neema ya kunena na yesu,au malaika ili kutujuza yaliyo mema na yanayo faa katika ufalme wa mungu,na kuyaacha mabaya.asante mr jacktan msafiri kwa nukuu zako.hakika nazipenda sana.🙏
Roho mtatifu tunaomba utusaindie, maana Dunia inawaya waya, nzuri linaitwa mabaya baya linaitwa nzuri 😪😪😪yesu ingili kati peke yetu hatuwezi kushinda dhambi🙏🙏wasilami katoliki hataki kuibali kweli, baro hao wengine wokole wanamkbali yesu lakini kwa ajiri ya tamaa ya dunia wanamuasi mungu😪😪
@@peninahkariuki4679 usiseme uongo hujakosa kitenge a gauni la kuvuka walau Goti la kuvaa mbee za wanaume wadhaifu wa miili Africa,kwa Wazungu naona miili yao ilishakufa ganzi wakiona hawatamani
Mtumishi wa Mungu kaka Jactani mbona ushuhuda unatisha sana chris oyakhilome na Tb joshua daaaaah Mungu tupe macho na masikio Chris Oyakhilo mwaka juzi 2020 walikuja Zanzibar kusambaza kitabu chao kiitwacho Rapsodi ya uhakika wakasema hicho kitabu kina nguvu zaidi ya bilble la watumishi wa Mungu ambao waliokuepo kwenye kikao kile walipinga vikali semi yao ile MUNGU AKUBARI KAKA nataka kukupigia simu
Yeyote anaye Nena ubay juu ya T b Joshua ananivunja Moyo Sana ...hebu Bwana jactan waambie hawa Dada waingie Kwa Roho zaidi wajue T b Joshua ni mtumishi wa Mungu hakika
Ndugunilikua naamin kama wewe lakin kuna mengi Sana Roho alinifundisha kuhusu eye ndipo nilipotubu na kuomba msamaha kwa kusikiliza Roho zidanganyazo sitaki hata kuisikia chanel yake.Hawa so wait wanaoona bali Yesu mwenyewe aonae ndipo huyafunua haya na bado tunaweka shingo ngumu hivi wewe unampenda Yesu kweli?Hebu piga magoti muulize akujibu ungali hai usije potea milele
Na je vipi kuhusu lile andiko la kuwa simpi ruhusa mwanamke kufundisha je kulikua na maana nyingine au kama ilivoandikwa ndio maana yake maaana kila mtu anasema lake
Ni vema kuzipima hizi roho, wakati mwingine shetani hujigeuza kuwa malaika wa Mungu na kuleta confusion kwa waamini. Kama watumishi wa Mungu wakubwa wanaoaminika kiroho wanachafuliwa ni nani atakaeaminika zaidi? Tuzipime shuhuda kabla ya kuziamini wapendwa nyingine
Shetani humtumia yeyote hajali kuaminika kwake kwa wanadamu,kasome Isaya 30:1,unapopata wasiwasi ya kitu kinachosemwa na watumishi walioenda kuzimu na mbinguniii kamuulize Mungu.
Tafuna kujifunza zaidi kuliko kusikia ndipo utaweza pambanua sauti za kweli na zauongo pia. Ukisikiliza tu watu ukatumia akilizako hautapata kuitambua njia ya kweli
Amen sambazen zaidi katika social media nying kuponya Roho nyingi
Mungu awabariki promover TV
Ee BWANA YESU ahsante kwa kunipa kibali kusikia ujumbe huu ahsante babaangu mwema 🙏❤
Amen 🔥😭😭😭🙌🙌
God have mercy upon me for all times have been ignoring you voice😭😭forgive me Lord 🛐
Yesu nakupenda nitoe roho ya tamaa za kidunia nataka nikutumikie Kwa moyo wangu wote
YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine
Ee Bwana Yesu utusaidie. Peke yetu hatuwezi. Tunakuhitaji wewe na nguvu zako.
Yani hz shuhuda zimekuja kwa wakati sahihi kwenye maisha yangu hakika nisemehvi;; KWA MSIKILIZAJI WA HAPA KWENDA JEHANAM NI WW KUTAKA ILA KILA KITU KIMEFUNULIWA......BADO NNA IMANI NA YESUKRISTO MNAZARETI ATAMBADILISHA MAMA NA BABA YANGU WAONDOKE RC CHURCH WAOKOKE
Finally nimeweza kupata part 3 ya shuhuda hii.nafwatilia,na nitazidi kusema wabarikiwe wanao pata neema ya kunena na yesu,au malaika ili kutujuza yaliyo mema na yanayo faa katika ufalme wa mungu,na kuyaacha mabaya.asante mr jacktan msafiri kwa nukuu zako.hakika nazipenda sana.🙏
Amen barikiwa pia
🙏🙏Amina mungu taupe nguvu 🙏🙏
Yesu nisaidie nitoe kwene mapambo
Ubarikiwe sana Mungu wangu
Amen sasa tamaaza za mwili basi
kaka jack unasomeka vema kabisa Mungu akubariki kwa usomaji mzuri na uzidi kuinuliwa Kiroho na kimwili pia,Yesu atukuzwe
Amen
Amen asante kaka Jacktan kwa ushuhuda huu . Naomba Mungu atupe nguvu ya kumshinda shetani
Roho mtatifu tunaomba utusaindie, maana Dunia inawaya waya, nzuri linaitwa mabaya baya linaitwa nzuri 😪😪😪yesu ingili kati peke yetu hatuwezi kushinda dhambi🙏🙏wasilami katoliki hataki kuibali kweli, baro hao wengine wokole wanamkbali yesu lakini kwa ajiri ya tamaa ya dunia wanamuasi mungu😪😪
Haakuna aliye adui isipokuwa tuu kunaukengeufu mkubwa uliopo kwenye madhehebu yote ikianzia na katoliki hata imani nyingine i
Aminaaa ee yesu kristo nisaidie
MIMI NIPUNGUWE UTUKUFU WA MUNGU UONGEZEKE...
Ushuhuda mzito, Roho wa Mungu awe nasi mpaka mwisho
Way!this is very very dangerous. I hope this testimony will reach these prosperity preachers
Kweli kabisa hiyo ndio kweli kabisa. Ubarikiwe sana.
Nikujinguza kila wkt Mungu wetu atusaidie,barikiwa kaka Jacktan,Mungu akutie nguvu mpya siku baada ya nyingine
Mungu akubariki zaidi kwa viwango vya juu na huduma yako
Amen
We love you jacktan🌺.And you will reach far by the power of the holy ghost.Amen
Amen
Kuwa makini helms ghost maana yake ni mzimu,,,,,mzimu hawezi akawa holy,,,,zaidi karibu Kanisa la YESU ni BWANA na Mwokozi wa mataifa yote Amen
@@jakelema6325mmh hapana akisema holy ghost haimaanish mzimu😊😊😊
Amen 🙏🙏♨️♨️
Mungu AKUBARIKI MTUMISHI
Be blessed too Mr Jacktan, still following from 🇰🇪🙏
@Izack Mgaya nibariki na iyo kitenge ndugu yangu mtakatatifu mtanzania nitashukuru saana
Amen
@Izack Mgaya Tanzania sijui kama tunasikia yanayohubiriwa ?kila uchafu upo kwetu tunaosema tumeokoka
@@peninahkariuki4679 usiseme uongo hujakosa kitenge a gauni la kuvuka walau Goti la kuvaa mbee za wanaume wadhaifu wa miili Africa,kwa Wazungu naona miili yao ilishakufa ganzi wakiona hawatamani
Amina
Nikumbuke namimi Bwana pia
Mtumishi wa Mungu kaka Jactani mbona ushuhuda unatisha sana chris oyakhilome na Tb joshua daaaaah Mungu tupe macho na masikio
Chris Oyakhilo mwaka juzi 2020 walikuja Zanzibar kusambaza kitabu chao kiitwacho Rapsodi ya uhakika wakasema hicho kitabu kina nguvu zaidi ya bilble la watumishi wa Mungu ambao waliokuepo kwenye kikao kile walipinga vikali semi yao ile
MUNGU AKUBARI KAKA nataka kukupigia simu
Amen karibu sana
Mmm hakuna kitabu zaidi ya Bible tayari ni ushetani
Mshirikishe MUNGU ZAIDI kuhusu TB.Joshua Akupe Macho
Mbarikiwe sana
Amen
Eeh Mungu tuhurumie, tujazwe Roho mtakatifu tuwekwe huru.
Amina. 🙏🙏
Amen.Barikiwa sana
Yeyote anaye Nena ubay juu ya T b Joshua ananivunja Moyo Sana ...hebu Bwana jactan waambie hawa Dada waingie Kwa Roho zaidi wajue T b Joshua ni mtumishi wa Mungu hakika
Hakuwa nabii wa Mungu kabisaa usivunjike moyo ndugu
Ndugunilikua naamin kama wewe lakin kuna mengi Sana Roho alinifundisha kuhusu eye ndipo nilipotubu na kuomba msamaha kwa kusikiliza Roho zidanganyazo sitaki hata kuisikia chanel yake.Hawa so wait wanaoona bali Yesu mwenyewe aonae ndipo huyafunua haya na bado tunaweka shingo ngumu hivi wewe unampenda Yesu kweli?Hebu piga magoti muulize akujibu ungali hai usije potea milele
May God bless His own name
JINA LA BWANA LIBARIKIWE USHUHUDA HUU KUTUFIKIA
ASANTE kwa simulizi nzuri yenye mafunzo mengi hakika kuna mengi twajifunza mbarikiwe sana
Amen
Amen Asante kwa hii ushuhuda
Tunabarikiwa
Mungu funua yote yalio fijwa ilitujuwe kweli alleluyah🙏🙏
Amen Amen Ameeeen
Munguba
Mngu akubariki Sana Kaka jakitani
Amen
🙏
Wa tatuuu😍😍
Part 4 please
Roho mtakatifu tunaomba utusaidie
Mbona Katoliki na akina Mwamposa,Akina Nabii Mkuu hujasema??na wengine wengi Tanzania
Sikiliza vizuri. Amesema kuhusu katoliki
Dhehebu gani ni sahihi kusali?
Na je vipi kuhusu lile andiko la kuwa simpi ruhusa mwanamke kufundisha je kulikua na maana nyingine au kama ilivoandikwa ndio maana yake maaana kila mtu anasema lake
Hilo kanisa lililo mpendeza Bwana Yesu liko wapi?
X Tell
No English sub titles🙄
Uwiii😳😳
aya kijana pambana
Had wasabato jamani 😭😭😭😭😭
Ni vema kuzipima hizi roho, wakati mwingine shetani hujigeuza kuwa malaika wa Mungu na kuleta confusion kwa waamini. Kama watumishi wa Mungu wakubwa wanaoaminika kiroho wanachafuliwa ni nani atakaeaminika zaidi? Tuzipime shuhuda kabla ya kuziamini wapendwa nyingine
Shetani humtumia yeyote hajali kuaminika kwake kwa wanadamu,kasome Isaya 30:1,unapopata wasiwasi ya kitu kinachosemwa na watumishi walioenda kuzimu na mbinguniii kamuulize Mungu.
Hakika MAANA pia Shetani ni MJANJA SANA MUNGU Atupe Machoi kuhusu TB joshua
@@lindabaraka822 haswaa
Yethuuu😭😭😭
I m confused
Amina Mungu tuwezeshe
Tafuna kujifunza zaidi kuliko kusikia ndipo utaweza pambanua sauti za kweli na zauongo pia. Ukisikiliza tu watu ukatumia akilizako hautapata kuitambua njia ya kweli
Jaman naomba kujua je huyu William Marion Branham ndo nabii wa kizazi kweli???
Jamani mimi nasali Roman catholic,naenda motoni au?
Ukweli ni kwamba kuabudu sanamu ni dhambi biblia inakataa muombe Roho Mtakatifu akuongoze
Rosemary okoka na uishi maisha matakatifu
Toka Ukoo Simama na Wokovu Okoka Tatizo ukoo Roman Catholic Inamachukizo Mengi Kwa Mungu
KANISA LA KWELI NI LIPI JAMANI NISAIDIENI
Dada kanisa la kweli ni wewe mwenyewe tu, yesu anasema hamutamwabudu mungu katika mlima hu wala yerusalem bali mtamwabudu mungu kwenye myoyo yene.
Kwamaana hiyo tusiabudu makanisani?...
Kanisa la kweli ni wokovu na kuishi maisha matakatifu
Eldoret Kenya UDA Ruto Tosha
🤣🤣
Ushuhuda Kwanza
😆😆Wrong comment on the right post
Amina