Pt4_Tulivyoweza kushambulia kanisa|USHUHUDA WA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA WACHAWI|Oscar wa Ivory Coast

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @christinemwakio7870
    @christinemwakio7870 9 หลายเดือนก่อน +3

    Yes Mungu atusaidie sana.. tuelewe vita vya kiroho pamoja na kuvishinda na kuwa washindi daima🙏 God bless promover Tv, God bless Arnold Kisanga, God bless Jactan Msafiri, God bless the entire crew of Promover Tv🙏🙏🙏.....🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @juniorkalinge5861
    @juniorkalinge5861 9 หลายเดือนก่อน +3

    Jameni wakristo tuombeane sana kila siku, bila kukoma.from 🇰🇪

  • @JustinaBoniphace
    @JustinaBoniphace 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe watumishi, Mungu awape macho ya rohoni wazazi wetu wa kiroho watusaidie kwa habari ya mapambo

  • @YefthaKornelio
    @YefthaKornelio 9 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu atusaidie san

  • @MathewBasso
    @MathewBasso 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki promover Kwa kuleta injili karibu.kila mtu na atambue kuwa anao wajibu katika kristo yesu kuujenga ufalme wake.

  • @AmeldaKavishe-ry9ow
    @AmeldaKavishe-ry9ow 9 หลายเดือนก่อน +3

    Niwambie shetani uwa amfati mtu bali mwanadam ndie utafuta shetani😢kama uamini kaa bila yeye kama atatakutafuta😢kwaza uwe nasadaka tam naumwongopei kama unavyo mwongopea mungu😂nakumwapia bure manyumbani makanisani maakaman😢pia atujui mamlaka😢tuliio pewa na mungu Someni mwazo mungu alivyo umba dunia navyote😢utagundua sisi nani nashetani ni nani

    • @aurelianmassao4974
      @aurelianmassao4974 8 หลายเดือนก่อน +4

      1 Petro 5:8
      Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, AKITAFUTA mtu ammeze.

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@aurelianmassao4974umejibu vyemaaaaa. AKITAFUTA mtu ammeze. Shetani anatafuta mtu na watu. Biblia ipo clear. That's why bible says watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa. Yaan kukosa kujua neno la Mungu

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atusaidie kanisa ukiimba ukimtaja Yesu ,kwenye huo wimbo usitaje jina shetani,Mbarikiwe Promover

  • @charlesmbena9121
    @charlesmbena9121 9 หลายเดือนก่อน +2

    Niliokoka kupitia shuhuda na sitaacha kusikiliza shuhuda nafurahi na promover tv endeleeni kwa hii huduma.

  • @joshuaImani-hy8jn
    @joshuaImani-hy8jn 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante Sana MUNGU awe nanyi promover.
    Mengi mengi mengi Sana makubwa na magumu nimeyajua kupitia promover MUNGU anisaidie kuyaishi.
    amen

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kwenye maombi hapo nimejifunza maombi bila kunukuu vifungu vya biblia ni kupigana bila upanga kwa kuwa upanga wa Mungu ni neno lake.

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atutie nguvu za maombi,ili tuushinde ulimwengu wa giza

  • @rerisamba
    @rerisamba 9 หลายเดือนก่อน +1

    Glory to Jesus Yesu asante kwa kunidumisha kwa wokovu hii ni 2024

  • @rispermoki4687
    @rispermoki4687 9 หลายเดือนก่อน +2

    Eeeeeh Mungu wa mbinguni, tusaidie sana

  • @Israeli-o1c
    @Israeli-o1c 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwesan reta mwenderezo

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 9 หลายเดือนก่อน +1

    Haaaaahaa wanakuwa watatu kitandani sitaki kucheka Mungu Anisamehe.. Huuhuu

  • @Pendo-r6k
    @Pendo-r6k 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tusaidie tuenende katika njia yako

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 9 หลายเดือนก่อน +1

    Blessed watumishi wa MUNGU....

  • @PericyKiko
    @PericyKiko 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu atusaidie

  • @EsauBakari
    @EsauBakari 9 หลายเดือนก่อน

    shuhuda hizi nazipenda sana zimesaidia roho yangu zimenipa kumwogopa mungu

  • @IsayaNyingi
    @IsayaNyingi 9 หลายเดือนก่อน

    Da!Mungu tusave namambo ya sirini tusiyo yajua ameni bless na hii media yako Jesus

  • @DanielIbtp
    @DanielIbtp 9 หลายเดือนก่อน

    Amina nawafata toka Congo

  • @calvinceogara2088
    @calvinceogara2088 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa Mungu . Mungu atusaidie sana kama kanisa

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe huu..hakika tunayo bahati kubwa kujua haya wengi watashutuka siku za mwisho kusikia haya

  • @susanilunda
    @susanilunda 9 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU Asante kwa ufunuo huu

  • @rabecamapunda6389
    @rabecamapunda6389 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Thiiology ni ya shetani, hawa wachungaji wanaoenda kusomea biblia nimakosa, wanatoka huko na Thiiology, lazima wapindishe neno, w

  • @JudithElias-ig5nb
    @JudithElias-ig5nb 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mubarikiwe promover

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe Sana promover

  • @goodstar4790
    @goodstar4790 9 หลายเดือนก่อน

    Mbalikiwe sana promover mungu awapandishe zaidi

  • @ElizabethJuma-e4z
    @ElizabethJuma-e4z 9 หลายเดือนก่อน

    Eeeeh tasaitie sana ututie ngufu ya maombi

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 9 หลายเดือนก่อน

    Hapa kwenye mafuta sijaelewa anamaanisha mafuta yale ya kimiminika? Au la? Maana shuhuda nying zimekataa matumiz ya mafuta...aliyeelewa naomba anieleweshe

  • @christianmulunga5504
    @christianmulunga5504 9 หลายเดือนก่อน

    Amina amina, Mungu akubariki sana🙏

  • @zakariaalex9149
    @zakariaalex9149 9 หลายเดือนก่อน

    Dah

  • @GodfreySilvesta
    @GodfreySilvesta 9 หลายเดือนก่อน

    Mm naamini hayo ila mungu anipe nguvu zaidy maana utakatifu na imani ndo silaha kubwa

  • @PCharlzy-rr2iv
    @PCharlzy-rr2iv 9 หลายเดือนก่อน

    Ooh Bwana Yesu 😢😢😢

  • @LucyKapinga-fg4dk
    @LucyKapinga-fg4dk 9 หลายเดือนก่อน

    Mathayo 22,9,10

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika nimepata jibu vilivyyo wekwa wakfu na shetani usivitumie

  • @dadafrida9202
    @dadafrida9202 9 หลายเดือนก่อน

    Amina