Part1_KITABU CHA 1HENOKO Sura ya 1-15|Walinzi,Malaika walioanguka(Wanefili)na Hukumu ya Mungu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 41

  • @gracekinyaki2376
    @gracekinyaki2376 2 หลายเดือนก่อน +8

    Tutengenezee hiki kitabu tafadhal.

  • @EDGARNDOSSI
    @EDGARNDOSSI 2 หลายเดือนก่อน +2

    VERY VERY INTERESTING,,,,,,,,,,,,,,, Huwa napenda sana hiki Kitabu Nashukuru sana umekiweka hapa kwa Swahili,,,,,,, Wazungu walikitoa kisifahamike na wote ila Mungu anazidi kutumia watu wake kudhihirisha yote.... Thanks PROMOVER

  • @user-fk2qh2yh9t
    @user-fk2qh2yh9t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sanaila hata na kitabu hiki hakingekuwa upande wangu huwezi niambia mtu alietembea na Mungu myaka miya 300 ashindwe kuandika kitabu jinsi kuna vitabu vingi havikuingizwa kwenye Biblia piya kuna wa nabi wengi hatuvioni vitabu au unabii walioutoa.Barikiwa kbs

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen hii lazima nitafatilia kujifundisha baadaye.

  • @faithe4063
    @faithe4063 2 หลายเดือนก่อน +3

    Amen nitapata je hiyo kitabu

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 2 หลายเดือนก่อน +2

    asante kutupa kitabu cha Enoko

  • @julianamhenga1712
    @julianamhenga1712 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo kujifunza mwanzo mpaka mwisho..✍️✍️✍️✍️

  • @Esthernyenyezi3
    @Esthernyenyezi3 2 หลายเดือนก่อน +2

    I needed this in Swahili

  • @ZaifathAhmadnapokea
    @ZaifathAhmadnapokea 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen barikiwa

  • @MteuleMabuku
    @MteuleMabuku 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jibu comments @promovertv namna ya kupata kitabu kwa lugha yetu Tz

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @dionisithomas6765
    @dionisithomas6765 2 หลายเดือนก่อน

    Una maneno mengi Sana, aaaghh

  • @truth7796
    @truth7796 2 หลายเดือนก่อน +1

    The book of Enoch is in play store but in English version.. To those who need different version.. The message is same with this

  • @tynahopmollel5897
    @tynahopmollel5897 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru Sana kwa ujumbe mzuri je hiking hiking kitabu tuta kipataje???

  • @ambokilegwakisa3526
    @ambokilegwakisa3526 2 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru kw ujumbe

  • @asanthlewanga3941
    @asanthlewanga3941 2 หลายเดือนก่อน

    Asante ila ningependa nikisome

  • @tumainigeofrey9702
    @tumainigeofrey9702 2 หลายเดือนก่อน

    Asante.

  • @DavidMwaiswelo-gl1sd
    @DavidMwaiswelo-gl1sd 2 หลายเดือนก่อน +3

    How can i have this book servant

  • @gaitamaemmanuel
    @gaitamaemmanuel หลายเดือนก่อน

    Hiki kitabu ni mpango wa Shetani kuvuruga imani...enock wakati anaishi kulikua hakuna myahudi wala mgiriki na ukisoma bibilia 9nasema baada ya ghalika Mungu ndipo akaleta lugha mbalimbali pale alipozima jaribio la nimrodi kumuasi Mungu...kawaida ya uongo hauna consistency Hao WASOMI wanasema maandishi ya kwanza yaliandikwa uko Egypt ya kale miaka kabla ya kristo sasa inakuaje hapo kwamba Egypt ilikuwepo kabla ya ghalika!?..
    Alafu wamepita watu wengi sana ambao walipelkwapaka mbinguni, watu kama wakina yohana, Paulo, lakini kwemye maandishi ya hawajawai kukitumia icho kitabu, na ata hawajawai kuonueshwa na roho kwamba palikua na iko kitabu na zaidi ata Yesu alikua na tumia maandiko sehemu nyingi kufundisha vipi iki kitabu hakuwa anakifahamu.....HUU NI MPAKA WA SHETANI USOMI NA WA DUNIANI HAUUSIANI NA NA HEKIMA YA MUNGU NA KAMA KUANDIKWA VITABU ANGEANDIKA ADAMU.... SOMA BIBLIA INAJITOSHEL3ZA

  • @marryshamale2882
    @marryshamale2882 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nitapata je kitabu cha Henock kiswahili?

  • @Joseph-tf8sc
    @Joseph-tf8sc 2 หลายเดือนก่อน

    Brother umenenepa punguza kula

  • @derickrangimoto1709
    @derickrangimoto1709 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmh alikuwa anajua kuandika kweli? Na ilikuwa rugha gani

  • @elizabethedwin6424
    @elizabethedwin6424 2 หลายเดือนก่อน +2

    Biblia nzima ilikuwa na vitabu 80 pamoja na henoko. Miaka ya 1800 wakaviondoa watu weupe ili kuweza kuwakandamiza watu weusi. Maana vitabu hivyo vilivyotolewa vina kweli nyingi. Na kuonyesha wazi kwamba watu wote kwenye biblia ni watu weusi. Naamini biblia ni kitabu cha historia ya watu weusi

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 2 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi kabsa 🥂

    • @veronicanestory1662
      @veronicanestory1662 2 หลายเดือนก่อน

      Mwenyezi Mungu ni Mungu wa wote wenye mwili, hivyo neno lake halichagui linamgusa kila mwanadamu haijalishi ni langi gani au kabira gani, sema tu walitoa hivyo vitabu kwa agenda zao za uharibifu juu ya wote wanaomwamini Mungu na kushika sheria zake…. Tumuombe Mungu atupe mwisho mwema 🙏🏻

    • @MapangaleMusa-hp1ke
      @MapangaleMusa-hp1ke 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka napataje kitabu

    • @gaitamaemmanuel
      @gaitamaemmanuel หลายเดือนก่อน

      Dada kwa Mungu hakuna rangi wala lugha...ukiona unawza mambo ya rangi ujue Yesu hayumo ndani mwako...alafu ata ata hap wazungu wale walimpokea Yesu katikq roho na kweli, hawako ivyo unavyozani wapo, waungu waliookoka KWELI, ata nguo fupi na za ajabu hawavai so dhambi ni kitu universal kama unavyoleta ubinafsi kwamba biblia na ya watu weusi ata wao nao wapo wanaowaza hivyo...na ata ukienda Japan, wakatoriki wa kule wao wanamechora Yesu na maria wenye asili ya kijapani ata malaika wamewachora kijapani..

    • @gaitamaemmanuel
      @gaitamaemmanuel หลายเดือนก่อน

      VITABU VILIVYOMO KWENYE BIBLIA VINAJOTOSHELEZA VINA KILA KTU UNACHOTAKA KUFAHAMU...JICHANGANYENI ...ATA SHETANI HUJA KAMA MALAIKA WA NURU

  • @ngombegeorge3577
    @ngombegeorge3577 2 หลายเดือนก่อน

    tukipata play store au pdf leader

    • @acadatz
      @acadatz 2 หลายเดือนก่อน

      Ninacho full pdf ( English )

    • @user-bz4xn4jy7s
      @user-bz4xn4jy7s 2 หลายเดือนก่อน

      Tutumie sasa

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi Naona Hicho Kitabu ni cha Uongo ingekuwa kweli Mungu angeruhusu kiwemo ktk Biblia au Yesu ktk Uinjilishaji wake angekizungumzia kila mara alikuwa anasema ktk Hamjasoma ,akimanisha Torati ,Zabuli na Manabii,au shetan mwenyewe alipo mjalibu Yesu hakutoa maandiko ktk kitabu cha Henoko bali Biblia,

    • @lucasmongo8462
      @lucasmongo8462 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hivi ww hujasoma maandiko ya kitabu cha mwanzo sura ya sita kuhusu malaika walioasi bado hujaona kama sura hiyo ilinakiliwa kutoka kitabu cha henoko

    • @lucasmongo8462
      @lucasmongo8462 2 หลายเดือนก่อน +1

      Pia huoni maandiko mengi yanafanana na kitabu cha daniel na ufunuo.

    • @phinescah7353
      @phinescah7353 2 หลายเดือนก่อน

      How would a God who is perfect in all things fail to include this book of henoch in the bible if this book is perfect as he is perfect ? I don't believe it but that is my opinion.
      If all scriptures are inspired by him being perfect, I don't think how he would leave this book not included in the bible.

    • @JosephBigabwa-wo2bf
      @JosephBigabwa-wo2bf หลายเดือนก่อน

      Kila kitu Mungu ana sababu...mbele yaku judge hakikisha Mungu ame Ku fungua macho

  • @avitusrwegoshora939
    @avitusrwegoshora939 2 หลายเดือนก่อน

    Enoko aliishi kabla ya gharika. Baada ya gharika, vitu vyote viliharibika. Akaponea chupuchupu Nuhu na familia yake. Sasa, enoko aliandikaje kitabu hiki?
    Na umekwishasema kimeandikwa karne ya tatu. Huoni ni stori zilizotungwa na mapokeo ya wayahudi??😮😢

    • @patrickyuda3906
      @patrickyuda3906 2 หลายเดือนก่อน

      Kumbuka Henoko alikuwa nabii na nuhu ni mjukuu wake