HOTELI YA BILIONEA MREMA ARUSHA ILIYOUZWA, VITU VYA NDANI VYAPIGWA MNADA "INAVUNJWA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 139

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +5

    R.I.P Boss wangu Mr Mrema, dah dunia tunapita saaana, nimejifunza mengi, hasa mbinu yake ya kufanya kazi usiku kucha na kulala mchana kutwa.

    • @mgayamgaya
      @mgayamgaya 3 หลายเดือนก่อน

      😀😀😀😀usiku watu wakilala ndo muda mzur wa kutafta pesa maana hamna msongamano

  • @user-tt7cu2et1x
    @user-tt7cu2et1x 4 หลายเดือนก่อน +10

    Jqmni😢😢😢😢 aisee kuna binadamu wanapenda wenzao wakishindwa kimaisha wallah

  • @leylascherer3111
    @leylascherer3111 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ihave good memories Impala ❤ you will be missed 😢

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 4 หลายเดือนก่อน +16

    Huyu jamaa majibu yake tu ni mshenzi kabisa

  • @elibarikmafie7490
    @elibarikmafie7490 4 หลายเดือนก่อน +12

    huyo jamaa ana dharau sana utadhani ataishi milele mjinga sana pua inaangalia chini

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys 4 หลายเดือนก่อน +9

    Hivi uchafu unaweza ukauzwaa, matumizi mabaya ya lugha. Tutumie lugha vizuri hapa Duniani sio petu , tu wapitaji tu jamani.

    • @zaynabkarama178
      @zaynabkarama178 4 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu ni jambazi la siku nyingi atajua lugha saa ngapi mjinga sana huyu

    • @Muuzambuzi
      @Muuzambuzi 3 หลายเดือนก่อน

      Yani dar

  • @user-ts6mk3um2r
    @user-ts6mk3um2r 4 หลายเดือนก่อน +11

    Huyu nae ushuzy mtupu tuonyeshe kwako nyau wewe

  • @user-vc5it8uo6q
    @user-vc5it8uo6q 4 หลายเดือนก่อน +14

    Uyo aliye ita uchafu alaniwe atakuwa masikini sio muda

    • @mokeya
      @mokeya 3 หลายเดือนก่อน

      Bado hujatembea . Hayo sy maneno yake ndo mabos wenye pesa zao huwa wanasema hv mwenyew ni shuhuda wa hayo . Tena hotel zingn huwa wanavigawa bure kabisa wanaita uchafu maana anataka kuweka vyake vipya

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 4 หลายเดือนก่อน +16

    Mbona huyu anaehojiwa anajibu kwa dharau hivi, yaan km alikuwa na bifu na marehemu.. 😭😭😭

    • @barikilangoy4737
      @barikilangoy4737 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mara mbwa anakua mkali kuliko mwenye mbwa hapo ana kiburi kama yeye ndio amenunua

    • @mgayamgaya
      @mgayamgaya 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@barikilangoy4737ni kawaida ya madalali wa arusha ,ukimkabidhi kazi anajiona yeye ndo tajir

    • @johnphilipo6760
      @johnphilipo6760 4 หลายเดือนก่อน +3

      Yamaa Fala sana et kuuzwa uchafu uliopo ndani "nikakasirika ghafla"

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nashangaa eti uchafu pumbafu zake

    • @user-ks7zc6kd7u
      @user-ks7zc6kd7u 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hana akili na hana chochote ndiyo maana anaongea upuuzi

  • @nth3512
    @nth3512 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duh, MASHA ALLAH, kuna watu wanaela, yani mtu ananunua dude la mabilioni na hana shida nalo, anabomoa anaweka lake.

  • @josephk90
    @josephk90 4 หลายเดือนก่อน +5

    Dah! Ila kifo😢😢😢

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 4 หลายเดือนก่อน +5

    Tena vuq hiyo rosari aisee nimejisikia kukasirika tu..na majibu yko

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 4 หลายเดือนก่อน +9

    kama ni uchafu simtupe pumbavu wewe kwahiyo unaona sisi tuna nunua uchafu

  • @joharimtango4986
    @joharimtango4986 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi serikali haiwezi kuingilia suala hili ili kuokoa uchumi wa kitalii?! Hiyo Hotel nzuri ya kisasa haiwezi kujengwa sehemu nyingine? Dah! Tanganyika yangu .😢😢

    • @edwardlesian9318
      @edwardlesian9318 4 หลายเดือนก่อน +3

      alienunua anataka kuvunja upande moja na kujenga upya sema tu anehojiwa anajibu kindezi tu

  • @michezotanzaniatv
    @michezotanzaniatv 4 หลายเดือนก่อน +7

    Shabiby kainunua Impala anaivunja anajenga upya hela kitu nyingine

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤ hongeraa kwake si yule tajiri wa mabati SHABIBY

    • @valentineshembilu1256
      @valentineshembilu1256 4 หลายเดือนก่อน +2

      Dah hivi ni shabiby ,jamaa ameingia kwa kasi kwenye biashara ya hotel,ana morena hotel na royal village dodoma ,morogoro ana morena pia,dar ameinunua travertine hoteĺ magomeni sasa inaitwa royal village

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 4 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani ilikuw nzuri sn nilifanya kz hapo muda sn apumxike kwa aman

    • @Muuzambuzi
      @Muuzambuzi 3 หลายเดือนก่อน

      Vp ngurudoto urifanyi pia

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman mbn hiyo hotel ni nzuri 2😢😢

  • @aclassservices2245
    @aclassservices2245 4 หลายเดือนก่อน +7

    nimewahi kulala hii hotel 2006 ilikuwa Best hotel in Arusha. Kweli mtu akifa na mali yake inakufa.

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 4 หลายเดือนก่อน +3

      Vitu vingi siyo vya haki mwisho ndo kama hivi

    • @frankkessy1260
      @frankkessy1260 4 หลายเดือนก่อน

      @@melanialeonard4031 hayati hakuwandaa warithi/wasimamizi vizuri

    • @ahadizabiblia5825
      @ahadizabiblia5825 3 หลายเดือนก่อน

      Watoto wake wamepishana kauli, kila mtu anataka mali

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hadhi ya nyota ngapi m sijui😂😂😂😂😂😂

  • @njiaya6833
    @njiaya6833 4 หลายเดือนก่อน +3

    TAFUTA MALI INAYODUMU TOKA KWA BWANA MUNGU ZINGINE NI ZA MDA TU. USISUMBUKIE YALIYOANZIA DUNIANI BILA KUWA NA MUUNGANIKO WA MBINGUNI NI HASARA TUPU.NADHANI MMENIELEWA

  • @richytarimo4656
    @richytarimo4656 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa mtu kanunua hotel af anataka kubomoa kujenga mpya,,,,, yeye anaona uchafu kwake, sawa na mtu ananunua nyumba then anabomoa anajenga nyumba ya kisasa

  • @brandsmedia4861
    @brandsmedia4861 4 หลายเดือนก่อน +3

    sawa tunakuja

  • @alicehaule1306
    @alicehaule1306 4 หลายเดือนก่อน +2

    Basi kama ni uchafu mngetoa nje muache anaetaka ajichukulie kama ni uchafu unauzia watu yakazigani mxieeew

  • @ahadizabiblia5825
    @ahadizabiblia5825 3 หลายเดือนก่อน +1

    Watoto wanagombea mali, iliuzwa kulipa madeni ya kampuni, kilichobaki wagawane, kila mtu apite njia yake 😅

  • @leonardjackson269
    @leonardjackson269 4 หลายเดือนก่อน +9

    Eti uchafu ulioko ndan watu bana

    • @aloycesamba998
      @aloycesamba998 4 หลายเดือนก่อน

      Ni mjinga sana

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂
      Huyu Mwamba Mjeuri hatari

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wa Kenya na Lugumbashi waje kubomoa na kuuza nyumba Tansania hii kweli hali????

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mtu akifa na mali zake zinamfata aisee

    • @saverampangwa5731
      @saverampangwa5731 4 หลายเดือนก่อน

      Zaburi 49:16-17
      16. " usiogope mtu atakapopata utajiri, nafahari ya nyumba yake itakapozidi.
      17." Maana atakapokufa hatachukua chochote; Utukufu wake hautashuka ukimfuata." Tumtumikie MUNGU kwa kuwaheshimu wengine, na kuwasaidia wenye uhitaji ili tukapokufa tuishi na bwana YESU milele.
      Duniani ss sote ni wasafiri.

  • @leahsamwel1931
    @leahsamwel1931 4 หลายเดือนก่อน +9

    Iki kimbwa cha boss kinadharau sana.....
    Mwanaume kuwa na dharau za waziwazi uo ni umama😏😏😏😏😏😏

    • @ubuntubantu2404
      @ubuntubantu2404 4 หลายเดือนก่อน

      Dharau ipi kaonesha? Una kisirani cha nini? Mimba?

    • @jskconceptscreativity1575
      @jskconceptscreativity1575 4 หลายเดือนก่อน +1

      Lea Samwel

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mama yako ndio ama dharau?

  • @nicksonnewton1540
    @nicksonnewton1540 4 หลายเดือนก่อน +4

    asee hii hotel 5 star asee inauma asee

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli tusilinge na pesa tuta acha tunacho lingia halafu badae wataita uchafu ulio achwa na marehemu

  • @josephatilunde9329
    @josephatilunde9329 4 หลายเดือนก่อน +3

    Anadharau sana anaita mali ni uchafu, hafai hata kujiita Mkurugenzi!

    • @gracegeorge4848
      @gracegeorge4848 4 หลายเดือนก่อน

      Labda mkurugenzi wa nyoko

  • @YusuphMarcOgaga
    @YusuphMarcOgaga หลายเดือนก่อน

    Sasa kama vingine ametoa hataki kuuza utalalamika kwamba mbona hauzi zote😂😂😂

  • @emmalyanga3726
    @emmalyanga3726 4 หลายเดือนก่อน +1

    Morena shabiby tajiri kawafikia wa Kaskazini

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mrema yupi Lyatonga au mwingine

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 4 หลายเดือนก่อน

      Nooo... Hii ni Ars, mrema wa Impala Hotel

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nilishawahi kufanya kazi hpa jaman so sad😢😢😢😢😢

    • @ntopangonyani6964
      @ntopangonyani6964 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndivyo hivyo tena mtu akifa na kila kitu hufa, Marehem Faustine Mrem alifanya kazi kubwa kujenga haya maeneo Impala na Naula spring hotel lakini sasa kila kitu kinapotea.

    • @hildajoel5
      @hildajoel5 4 หลายเดือนก่อน

      @@ntopangonyani6964 yaani mwenyewe huko aliko kama anaona nasikitika. Nguvu zake zote zimepotea bure

  • @opportunities2767
    @opportunities2767 4 หลายเดือนก่อน

    Duniani kila kitu kina mwisho😢
    Tulikia tunapita apo nje kuna ulinzi wa hali ya juu

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uchafuuliokua ndani😢

  • @user-th3lj1sl2o
    @user-th3lj1sl2o 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa sio mtu.ni mnyama namuombea agongwe hata na Gari.mtu gani Hana loho mbaya kiasi hivyo

  • @IMANWILLIAM-bl2ui
    @IMANWILLIAM-bl2ui 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ahmed shabiby ndo anabomoa na kujenga hotel nyingne ya morena

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 4 หลายเดือนก่อน

      Shabby ndio kanunua hii?

    • @IMANWILLIAM-bl2ui
      @IMANWILLIAM-bl2ui 4 หลายเดือนก่อน

      @@judyngowi391 c umesikia jamaa anasema kampuni ya morena hotel ndo imenunua hapo, Morena hotel ni ya shabiby mzee

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 4 หลายเดือนก่อน

      Ooh kumbe? Sikuwa najua Morena ni ya Shabiby! Hao ndio wawekezaji wenye akili waliobaki nchi hii! Tatizo la Mrema aliendekeza makonyagi mpaka yakaharibu Figo akiwa mdogo tuu

    • @IMANWILLIAM-bl2ui
      @IMANWILLIAM-bl2ui 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@judyngowi391 kwel kabisa warabu sio wenzetu kabisa

  • @JlmwinukaOnlineTv
    @JlmwinukaOnlineTv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jl mwinuka online tv

  • @allenmwambuch3689
    @allenmwambuch3689 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maden tena😅😅😅😅😂

  • @user-dt6us3wd7c
    @user-dt6us3wd7c 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mgonjwa

  • @stanchi138
    @stanchi138 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jeuri ya pesa du,,,inavunjwa,,,duuiih

  • @user-zr9sj8sf3w
    @user-zr9sj8sf3w 4 หลายเดือนก่อน +2

    Fala kwl ww na ujitambuhi kbsa tafut chako na ww uone kam ni uchafu bwege ww

  • @stanchi138
    @stanchi138 4 หลายเดือนก่อน

    3:50

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ubwa wewe kama ni uchafi c mtupe naomba mungu mshinndwe kumalizia muishiwe

    • @user-ur7pw9ek6s
      @user-ur7pw9ek6s 4 หลายเดือนก่อน

      Nimeshangaa eti uchafu alafu uchafu huo wanaupiga mnada nani atanunua uchafu? Wapeleke dampo😂😂😂.

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 4 หลายเดือนก่อน

    Aaaaaa selikali inanufaika zoote kodizawananchi Sasa kwanini mszikwe nahizo Mali mungu kiboko ya mataperi

  • @felixhaule7071
    @felixhaule7071 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kanunua Morena means Shabiby,ok

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 4 หลายเดือนก่อน +2

    Familia,watoto wameshindwa kuirudisha Hotel hyo

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b 4 หลายเดือนก่อน +2

      Familia zenyew hiz za magomvi Mungu atusaidie tu.

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 4 หลายเดือนก่อน +2

      Tatizo jamaa alikuwa na wake wengi na watoto kibao

  • @frankdismack7760
    @frankdismack7760 4 หลายเดือนก่อน

    Ipo sehemu gan

  • @yazidijumanne5195
    @yazidijumanne5195 4 หลายเดือนก่อน +2

    Marehemu hufa na chake pigana upate chako

  • @ahadizabiblia5825
    @ahadizabiblia5825 3 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi hajui kuhoji

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 3 หลายเดือนก่อน

    Uchafu??huyu jamaa kweli kichwan hamna kitu

  • @ArafaSaidi-dg7ii
    @ArafaSaidi-dg7ii 2 หลายเดือนก่อน

    1:14 1:14 1:16

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 4 หลายเดือนก่อน +3

    huyu ni msenge ana dharau na hana hela yeyote....

    • @georgenkanawa7156
      @georgenkanawa7156 4 หลายเดือนก่อน

      hela anayo

    • @bushbabytz
      @bushbabytz 4 หลายเดือนก่อน

      @@georgenkanawa7156 najua mpaka alikopanga...awadanganye ninyi tu sio mimi

    • @georgenkanawa7156
      @georgenkanawa7156 4 หลายเดือนก่อน

      @@bushbabytz Anakaa Kinondoni Mzee, Mimi namfahamu na nishafanyanae kazi. Ni mtu POA✓

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mrema yupi

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 4 หลายเดือนก่อน

      Lyatonga

    • @emmalyanga3726
      @emmalyanga3726 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ulikuwa hujazaliwa

  • @user-ks7zc6kd7u
    @user-ks7zc6kd7u 3 หลายเดือนก่อน

    Yeye ndiyo mchafu alikuwa jambazi huyo nashangaa anatopoka hovyo

  • @gloryr9497
    @gloryr9497 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi huo uchafu hapo usoni mwake arusha hakuna saloon

  • @juliusndule4016
    @juliusndule4016 4 หลายเดือนก่อน

    Wachaga mapenzi yenu kwenye utajiri yanamaliza utu wenu asee

  • @mustafanassoro-zv8fc
    @mustafanassoro-zv8fc 4 หลายเดือนก่อน

    Hyo jamaaa anajidai anasimamia mnada anapenda umpe Hela kidogo azuie kitu kizuri

  • @rofinkitali3765
    @rofinkitali3765 4 หลายเดือนก่อน +3

    Morena ya mbunge wa
    ...wapi.

  • @Jonnibo
    @Jonnibo 3 หลายเดือนก่อน

    Maisha ni ubatili mtupu😮

  • @annamussa185
    @annamussa185 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahiyo sikuizi uchafu unauzwa kumbe

    • @user-ii6gs2jg4g
      @user-ii6gs2jg4g 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio ndugu. Je makopo si uchafu huo😂😂😂😂

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 4 หลายเดือนก่อน +1

      Alaf awasemi 😂😂😂

    • @esthergasper4815
      @esthergasper4815 4 หลายเดือนก่อน

      Ameonyesha dharau mbaya sanaaaaaaaaaaa, sijui mwenye navyo angekuwepi apo maneno pia yangemfyatuka kama hv kweli!! Inaumizaa

    • @nicholausmasese6337
      @nicholausmasese6337 4 หลายเดือนก่อน

      NA MUUZA UCHAFU SI KAJITAJA!

  • @user-lq2bx9ox5b
    @user-lq2bx9ox5b 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa uchafu unauzwa

  • @stewartsylvester2353
    @stewartsylvester2353 4 หลายเดือนก่อน

    Uchafu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @PriscaMwingizi
    @PriscaMwingizi 4 หลายเดือนก่อน

    Uchafu😂😂

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 4 หลายเดือนก่อน +1

      Prisca kumbe nawe umeckia uchafu.Tumuone kwake anapolala.

    • @user-dt6us3wd7c
      @user-dt6us3wd7c 4 หลายเดือนก่อน

      Mgonjhwa

    • @user-ur7pw9ek6s
      @user-ur7pw9ek6s 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-dt6us3wd7camakweli mgonjwa alisikia wapi uchafu unapigwa mnada? Asili ya uchafu ni dampo ndo mahala pake😂😂😂.

  • @davidlyimo8079
    @davidlyimo8079 4 หลายเดือนก่อน

    We una usonji wa mtindio wa 🧠 una madharau yalipitilizaa wakati hapa Dunian unaviachaaa....Shame upon yuh😡

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 4 หลายเดือนก่อน

    Takoooo tu nyoooo dharau mbayaa utakufaaa tu na wew🤬

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu msenge nini uchafu ndio nini

  • @denismaleo406
    @denismaleo406 4 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa majibu yake dah!. Eti uchafuu

  • @user-bl4sy5ei1k
    @user-bl4sy5ei1k 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanaume ukipata hela chonde chonde usimbato hovyo hovyo na usizae na baa medi maana nguvu zako zote ulizotumia kutafuta hela itakuwa bure.

    • @josephk90
      @josephk90 4 หลายเดือนก่อน

      Funguka kidogo

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe alizaa na mabaamedi? Unajua nimewaza sana kweli angezaa na watu wa maana labda wangekomboa hizo mali! Alikuwa anzaa na wahudumu wa hotel wale wazuri wazuri! Mmojawapo ni dada mmoja tulisoma nae alikuwa mzuri kweli! Nikasikia alizaa na jamaa!

  • @shedrackpallangyo4004
    @shedrackpallangyo4004 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanini unauza uchafu

  • @cutesemeni6516
    @cutesemeni6516 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani nimefanya fild hapo

  • @iddykwangaya2794
    @iddykwangaya2794 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa hana zalau wala nini, ni misemo ya mbele iyo,,misemo yakawaida kabisa,, ukiwa ugaibuni ndo tunavyoongea hivyo, sio kama zalau jamani,

    • @ikokijuma-zv7wd
      @ikokijuma-zv7wd 4 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 4 หลายเดือนก่อน

      Mbona ughaibuni🖐

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 4 หลายเดือนก่อน

      Ughaibuni wanauza uchafu

    • @sarahmselle8562
      @sarahmselle8562 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli n lugha ya ugaibuni😅😅😅

    • @shedrackpallangyo4004
      @shedrackpallangyo4004 4 หลายเดือนก่อน

      Kama ni uchafu si ukatupwe