KESI ya MIRATHI ya MREMA ilivyomalizwa, aliyepewa usimamizi na nafasi ya MJANE, MWANASHERIA afafanua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
    Subscribe kwenye channel yetu ya WhatsApp
    whatsapp.com/c...
    Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

ความคิดเห็น • 116

  • @kiatu
    @kiatu 11 หลายเดือนก่อน +19

    Huyo mjane inaelekea ana roho nzuri na angefaa kuwa mmoja wa wasimamizi kwa kitendo cha kuwakumbuka watoto wengine. Na mapadre walifungishaje ndoa na huku wao wenyewe ndoa zao hazivunjika mpaka….?

  • @mwanjinzara8009
    @mwanjinzara8009 11 หลายเดือนก่อน +8

    Doreen alijibebea uvundo kwa nia ya kunufaika na mirathi yaan ela hizi 😢😢😢😢

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 11 หลายเดือนก่อน

      ila ww jamani kwann unachekesha wenzio 😂😂😂😂

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 11 หลายเดือนก่อน

      NIMECHEKA KWA SAUTI 😅😅😅😅ETI UVUNDOO 😁😁😁😁😄😀🤣🤣🤣

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 11 หลายเดือนก่อน

      😢

  • @AnnaSanga-bs7pl
    @AnnaSanga-bs7pl 11 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke.pambana..tafuta.mali.zako.mwenyewe.unaolewa.na.babu.yako.kisa.mali.haya.uNadal.urithi.wakati.hujatolea.jasho.huyo.aSizewell.chochote

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 หลายเดือนก่อน +6

    Je Mahakama itakubalije ndoa ya kwanza imevunjikaje bila uthibitisho?Hakimu umekula mpunga nini?

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 หลายเดือนก่อน

      Tena ndoa ya kanisani, lazima watangaze siku 21, hakuna mtu aliyejua kama bado yuko kwenye ndoa? Ndugu zake na ndugu za mume na rafiki zao

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa hiyo yule mtoto wa msanii akibadilishwa jina kwa hasira baadae hatatambulika? 😢

    • @agustinohizza1395
      @agustinohizza1395 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa sababu unawaona
      Wale wa tatu tu ,naona Hana uhakika kama niwakwake

  • @childrengospelmissiontanza1474
    @childrengospelmissiontanza1474 11 หลายเดือนก่อน +18

    Hiyo yote ni umasikini tu. Mtu au watu wakiwa na mali zao hizi habari za kusubiri kurithi vitu vya marehemu na kupata aibu hizi za kukataliwa zisingekuwepo

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 11 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @Sabrina1977-y
      @Sabrina1977-y 11 หลายเดือนก่อน

      👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ni mwizi Tu huyu mwanamke,,,anataka kupiga pesa Tu...wanaume tuache kuowa

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 11 หลายเดือนก่อน +2

    Baba zetu ni shida,wanaoaoa uzeeni,mwisho wa siku wanaleta mitafaruku,mtu anavuna Mali ndani ya miezi 05,wakati Mali hiyo imetafutwa kwa muda mrefu.

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kwenye Uislam haifai mtoto kumpa mtoto jina jengine ambalo sio babaake....na mtoto wa nje ya ndoa harithi

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 11 หลายเดือนก่อน

      Sheria ya Tanzania hurusiwi kumbagua mtoto wa nje ya ndoa. Ana haki kama watoto wengine. Cha msingi mwache kuzaliana nje ya ndoa.

  • @godsson5954
    @godsson5954 11 หลายเดือนก่อน +1

    MRITH WA MALI ZETU NI WATOTO WETU TU WANAWAKE MKAE MKIJUA HILO

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g 11 หลายเดือนก่อน +2

    Viongozi wanatushauri tewetunaandika wosia,lakini MTU kama Mrema na nafasi zote alizokua Nazo huwezi kuamini hakuandika wosia,na Huyo mwanamke ni mbumbumbu anakubali kuolewa na mzee kama baba yake bila wosia!,hii inaonyesha aina ya viongazi tulio nao wakifa ni Aibu tupu.

  • @annamussa185
    @annamussa185 11 หลายเดือนก่อน +2

    Haya ukistaajabu ya Mlema utayaona ya mobeto na mond😴

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 11 หลายเดือนก่อน +4

    Wanawake bhana ,,mnajua kuvizia wanaume wazee ,,,unajua kabsa maji ya shingo ,unajitega upate milasiiii,,

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 11 หลายเดือนก่อน +9

    Wajane wa Tanzania wanaongoza kwa hekaheka zao kuja mitandaoni, why 😮

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kupata Mali yoyote tu kwake ni ushindi mkubwa

    • @janifajani8875
      @janifajani8875 11 หลายเดือนก่อน

      Umeonaeee ilototo limeaibika mali zimemvuwa utu

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani nafasi kubwa sana serikalini, kupambana na matendo maovu, in short ni VVIP kwenye hii nchi, unakufa hujaweka utaratibu wa utambuzi wa wanufaika wa mali yako? Khaaa;;;;; ushamba kabisa huu. Sasa mwanasheria wa Mrema alikuwa na kazi gani kwenye maisha yake?

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mpeni uyo mwanamke AlfTatu aondoke😢😢

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 11 หลายเดือนก่อน +4

    Vizuri sana mtoto wa mrema kuchagua kuwa msimamizi.

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 11 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu Mzee amesharudi kwenye mahakama ya haki atalipa kwa uchugu sana alivyo wafanya waislamu

    • @shabanihassanikabelela2839
      @shabanihassanikabelela2839 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@abduljuma7807aliwafanyaje
      Tena

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 11 หลายเดือนก่อน +2

    Inauma saaana unatafuuuuuta unadhani umepata peaa mwisho unakufa wanagawana watu waajabu tu

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 11 หลายเดือนก่อน

      Kwn alililazimishwa kumuoa?

  • @Erico-e3o
    @Erico-e3o 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kuzaliwa nje ya ndoa ni msiba kama misiba mingine.Yaani kila rangi utaiona wazazi wasipokuwa na hekima na busara.wewe utabeba mizigo ya matendo yao

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 11 หลายเดือนก่อน +3

    Daah sio fea miezi5 ndani ya ndoa unadai milasi😂

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 11 หลายเดือนก่อน

      Hata ikiwa mwezi mmoja ana haki ya kupewa,halafu ni mirathi sio milasi

    • @issazalala4907
      @issazalala4907 11 หลายเดือนก่อน

      @@NR-ll4sr mbona umepaniki 😅

  • @rofinkitali3765
    @rofinkitali3765 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu msomi ni kama comedian ukisikiliza anavyongea. Haweki ule msisitizo wa mwana sheria.

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 หลายเดือนก่อน +4

    Wanaumme kuandika Mirathi ni kitu cha muhimu sana, kwani bila kufanya hivyo siku ya kutangulia mbele za haki hakutakuwa na pumziko jema .Sidhani kwa machungu haya huyu anapumziko maana ni vita juu ya vita .

    • @teachingtruthmission2140
      @teachingtruthmission2140 11 หลายเดือนก่อน +2

      Hata ukiandiia ni kazi Bure kTika nchi hiiii...hujas8kia ya Mengi wa ITV?

    • @pendomushi6351
      @pendomushi6351 11 หลายเดือนก่อน +1

      Umesema vyema ndugu yangu inasumbua watu wengi kwenye familia sanaa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 11 หลายเดือนก่อน

      @@teachingtruthmission2140 Inategemea ujue kwenye kipingamizi huja pale ambapo inasadikiwa alieandika alishinikizwa kutokana na matatizo ya kiafya .Ndio maana mwenye kuandika Mirathi anatakiwa asiwe mgonjwa ambae hajui anafanya nini asiwe na Dimension awe na utambuzi wa analolofanya .Maana kuna kushinikizwa kuandika Mirathi sio Mke tu inawezekana ikawa Mtoto au hata ndugu pia kwa kutaka kujipatia mali yeye binafsi. Mahakama ikigundua kuwa haikuwa Urithi wa haki inaweza kutengua mirathi hiyo na ikaamua yenyewe.
      Kikubwa inatakiwa Sheria za mirathi hasa kwenye ndoa zibadilishwe, kwa kuwa unakuta anaolewa Binti na Mzee mwenye watoto sawa na huyo Binti kakuta mali alizochuma Mzee aidha na mtalaka mke wa kwanza au marehemu alafu mda mfupi Mzee anafariki huyo nae anadai urithi. Kuwe na kiwango flani cha kumtafutia machozi na kama atakuwa na watoto Serekali pia iweke haki hapo sio kukomoa watoto aliowakuta ambao wao wanajua historia ya hizo mali kuliko huyo mjaji .

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 11 หลายเดือนก่อน

      @@pendomushi6351 Sana kuna familia moja huyo Bint aliolewa na mtu wa makamo umri wa huyo Binti ulikuwa sawa na mtoto wa nne wa huyo mtu.Huyo Bwana aliachana na Mke wake wa kwanza na kwenye kugawana mali alidai anabaki na watoto na mali za watoto Mke akaondoka mikono mitupu.Baadae huyo Bwana alifariki na huyo Mke mdogo hataki watoto wa huyo Bwana wakanyage kwao anadai ni kwake na watoto wake. Ni hatari sana

  • @kelvinmacha1663
    @kelvinmacha1663 11 หลายเดือนก่อน +6

    Binadamu wajifunze kuwa waaminifu ktk watoto, Umezaa mtoto andika Taarifa halisi, usipindishe pindishe taarifa, Life is like a dice, Hakuna gharama ktk kuandika taarifa za Kweli, You never know life shall give what to Him/Her😎😎

  • @simonballu1124
    @simonballu1124 11 หลายเดือนก่อน +2

    kumbe kununua mtu nilyezaa nje ni sh100 basi ngoja nijitahidi nipate hata watoto wa buku.

    • @JOSEPHINESKITCHENCOURT
      @JOSEPHINESKITCHENCOURT 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka mno kah

  • @Jmedia_Tv
    @Jmedia_Tv 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ila wanawake!!!kama wanaume hatujifunzi kwa haya matukio hata siku ya hukumu tutaulizwa ina maana hamkuelewa nini na niliwaonyesha kwa matendo kabisa na mkaona kwa macho yenu,sema MUNGU anatupenda sana wanaume na anatuonyesha tunaishi na viumbe wa namna gani ila vichwa ndo vigumuuu.

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Bundala. please nisaidie nipata information za huyo Saduni
    Niko na maswali nimlize please 🙏🏻

  • @felicianfrancis9895
    @felicianfrancis9895 11 หลายเดือนก่อน +11

    Asante sana kaka Bundala kwa kutuletea Saduni ambaye anatufungua sana kujua mambo mengi ya kisheria. Hakika tunapata kujifunza mengi kupitia elimu inayotolewa. Good job sns

  • @eugenejr.8844
    @eugenejr.8844 11 หลายเดือนก่อน

    Another WOMEN down😅😂. WANAWAKE huu ni Mfano mwingine. Badilisheni mkakati. Over Over

  • @seniezekiel5495
    @seniezekiel5495 11 หลายเดือนก่อน

    Hapo Kuna mianya ya rushwa kwani huyo mke na marehemu apate uridhi kwa kukaa na marehemu miezi5 tu,hata mali ya mremahaijui vipi mawakili tunaomba ufafanuzi

  • @lightnesselirehema1464
    @lightnesselirehema1464 11 หลายเดือนก่อน +1

    Science ipo wanaweza kupima DNA

  • @fatimammowa8312
    @fatimammowa8312 10 หลายเดือนก่อน

    Mwambieni Hamisa mobeto asije kubadilisha jina la baba yake yatakaa sawa tuu😊

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 11 หลายเดือนก่อน

    Ndomana jamaa kesha badili majina na ubini wa watoto wake kuna mtu ataumbuka akipeleka cheti cha mwanae hola nikiwa hai nitachekaaa

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 11 หลายเดือนก่อน +1

    alikua anajua atachukua mali subutu kupenda wazee 😅😅😅😅 tamaaa

    • @hamisaally968
      @hamisaally968 11 หลายเดือนก่อน

      Kwani umeambiwa atakosa wakati alikuwa mke

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 11 หลายเดือนก่อน +9

    mwanasheria anajua sana sgeria anajua kuchambua big up kwake

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 11 หลายเดือนก่อน

    Mamdogo atulie familia imfikirie ila sokudai , miez mitano nimichache ila ujui alikua ana mhudumia vp, kama shukran wampe ata baskel, nayee asidai kwa mikiki

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani mpaka wasomi wana matatizo ya L na R ,Tanzania?

    • @crytonsijaona6164
      @crytonsijaona6164 11 หลายเดือนก่อน

      Duuu!!! Tunaenda wapi ???😮

  • @Gemen.
    @Gemen. 11 หลายเดือนก่อน +1

    In the Era mitochondrial DNA paternity testing, this Tanzanian Judge should know better than that. What a shame!!! That's ignorance of the highest order on the Part of the judge.

    • @esthermatisho2604
      @esthermatisho2604 11 หลายเดือนก่อน

      I'm telling you,stupid judge 😒 DNA does exist in Tanzania

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 10 หลายเดือนก่อน

    Nime isikiliza kwa makini ila huyu mama kajitokeza kutaka asimamie kwa sababu yahuyu kijana alitaka awabague wenzie ndio maana huyu mama takataka kuwsimamizi ili awasaidie

  • @ambakisyemallango3911
    @ambakisyemallango3911 11 หลายเดือนก่อน

    Mbona alisema hataki mali wakati anaolewa??. wanaume tijifunze hapa.

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 11 หลายเดือนก่อน

    Cheti cha kuzaliwa kwa Tz miaka hiyo ya 60s hadi 90s hazikupewa umuhimu kihivyo

  • @Kokafamil
    @Kokafamil 10 หลายเดือนก่อน

    Dah dunia hii ukifa mali zako zina gombaniwa kwa watu hata jasho hawajalitoa 😢

  • @pendomushi6351
    @pendomushi6351 11 หลายเดือนก่อน

    Asa si watoto wapo yeye miezi mi 4 anata miradhi alooh! 😢

  • @soniaingabire3134
    @soniaingabire3134 11 หลายเดือนก่อน

    Munisaidiye contact ya huyu lowyer pls

  • @simonmwakifuna1287
    @simonmwakifuna1287 11 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwa Nini kuandika wosia ni ngumu sana? Coz wengi hawaandiki hata wenye uekewa mkubwa

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mume wa kwanza atoke asema ukweli kama ndoa yao ilivunjika au haikuvunjika

    • @felicianfrancis9895
      @felicianfrancis9895 11 หลายเดือนก่อน +2

      Mi nadhani pengine ile ndoa ya kwanza pengine haikusaijiliwa RITA

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 11 หลายเดือนก่อน

      @@felicianfrancis9895 Watoto wa Mrema wanatakiwa wachunguze

    • @ashminaabdulla8946
      @ashminaabdulla8946 11 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂💃💃naelekea RITA

  • @almasially6509
    @almasially6509 11 หลายเดือนก่อน

    NDO HAYA HAYA YA VICKY KAMATA, NA JACKLINE MENGI! WANAWAKE BANA

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mstulete habali izo za ndani ya familia zawatu

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 11 หลายเดือนก่อน

    Hiyo siyo WANAWAKE TU ndo WAACHE kubadili majina ,BALI WABABA WANAPOWEKA MIMBA KWA MABINTI / WANAWAKE WAJUE NI WAJIBU WAO KULEA KILA MIMBA WALIZOWEKA ,MAANA KAMA MUNGU KASEMA MPENDE MKEO KWA NINI KUMZALISHA NA KUMKIMBIAN, HIVYOBSOMO HILI NI KWA WOTE ME NA KE ,MWISHO MTOTO ANATESEKA 😢

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 11 หลายเดือนก่อน

      Mkeo ni yule uliefunga nae ndoa. Huyu uliekutana nae nje hawezi kuwa mkeo maana hujafunga nae ndoa

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa warifunga ndo ya serekari ao doa yawa kristo?

  • @stevkaliona4107
    @stevkaliona4107 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dam

  • @ibrahimmbilizi1726
    @ibrahimmbilizi1726 11 หลายเดือนก่อน

    Jomazara yakuowa uzeheni

  • @ihrtdrew
    @ihrtdrew 11 หลายเดือนก่อน +1

    Darn...

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 11 หลายเดือนก่อน

    At list she got the bag Kkkkkk 😢 she was not smart enough to secudue well the old man 😂 to write her like msimamizi Kkkkkk huyo anaafadhali but Vicky kamata she was real kichaa kajizalilisha sana😢

  • @salamahchirume5552
    @salamahchirume5552 11 หลายเดือนก่อน

    Wow hapa nimepata kitu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 11 หลายเดือนก่อน

    Wanawake km hawa washenzi sn,wapo wengi na bado wanaume hawajifunzi!

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 11 หลายเดือนก่อน

    Maswala ya miradhi hapana kbs baba pumzika kwa amani

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wanawake wanatuchezea akili na wanatutumia,,,maana wanajua Sisi wanaume tunakufa mapema

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 11 หลายเดือนก่อน

    Unasema Ukweli mtupu

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 11 หลายเดือนก่อน

    Kukimbilia kibabu kwakjua atapt mirathi 🤣🤣Safi sheria kwa kufat haki

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 11 หลายเดือนก่อน

    Yaani tamaa mpaka Mavini.

  • @siliviamrema4359
    @siliviamrema4359 11 หลายเดือนก่อน

    Polewe

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 11 หลายเดือนก่อน

    DNA ifanyike 😮

  • @sifuabdallahmkamba6102
    @sifuabdallahmkamba6102 11 หลายเดือนก่อน

    Hii ya kubadilisha majina kwa watoto ipo Sana upande wa Kaskazin . Yani Babu ndy anakuwa baba

  • @joshuakibale1371
    @joshuakibale1371 11 หลายเดือนก่อน

    Mahakama Hoyeeeeeee

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 11 หลายเดือนก่อน +3

    Haya mimi niliyaona ,uyo mwanamke alifuata mali tu kwa mlema , wewe mtu alikua anaumwa hajiwezi alafu mwanamke anakubali kuolewa nae ,alishajua mzee akifariki nayeye atapata fungu ,haya makesi ya mirathi mda mwingine ni kujitakia tu.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 11 หลายเดือนก่อน

      Kukubali ni hiari ya mtu na wote walikuwa na akili timamu. Huyo Mrema yeye alifuata nini, unajuwa kinakokaa hata jua halifiki.

    • @isdorchuvu6280
      @isdorchuvu6280 11 หลายเดือนก่อน

      @@hajihassan5433 kaka familia nyingi huwa zinasambaratika kwa staili hii , mtu tayali Ni mzee una watoto wakubwa alafu unaoa tena ,Yani hata Kama uishi naye mwezi mmoja halafu ukafa tayali yeye ana haki kwenye Mali Kama mke ,ndo maana wazee wengi wenye umri mkubwa wanaojitambua huwa wanajiongeza hawaoi wanalinda maslai ya watoto zao na inayogawanywa Ni Mali ya mwanaume tu hapo.

    • @isdorchuvu6280
      @isdorchuvu6280 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@hajihassan5433 kaka familia nyingi huwa zinasambaratika kwa staili hii , mtu tayali Ni mzee una watoto wakubwa alafu unaoa tena ,Yani hata Kama uishi naye mwezi mmoja halafu ukafa tayali yeye ana haki kwenye Mali Kama mke ,ndo maana wazee wengi wenye umri mkubwa wanaojitambua huwa wanajiongeza hawaoi wanalinda maslai ya watoto zao na inayogawanywa Ni Mali ya mwanaume tu hapo.

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 11 หลายเดือนก่อน

    Mie nilifahamu Kwakua ndoa ni halalai hata masaa kadhaa baada ya ndoa mmoja akafariki ! basi mwanandia aliebaki ni mrithi halali

    • @tareqhilal6750
      @tareqhilal6750 11 หลายเดือนก่อน

      Kuna namna ya kukokotoa kiwango Cha Mali hapo, itaangaliwa pia kama kwa muda huo mliingiliana au la..p

    • @ChristinaOnditi-el3xo
      @ChristinaOnditi-el3xo 11 หลายเดือนก่อน

      @@tareqhilal6750 eeeh🥺!!!!!!!!

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 หลายเดือนก่อน

    Mahakama zetu

  • @ibrahimmbilizi1726
    @ibrahimmbilizi1726 11 หลายเดือนก่อน

    0:32 0:36 0:41 0:41

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 11 หลายเดือนก่อน

    👊✌👍.

  • @JansanMokiwa-hr6hl
    @JansanMokiwa-hr6hl 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawake wa kichaga kwa Tamaaa za Mali Yaani miezi mitano tu unasema Mali mmechuma wote . Kwakweli Mimi sioi MCHAGA🌜🌜🌜

  • @imeldastephano9221
    @imeldastephano9221 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada amewatetea hao watoto Ili apate nguvu
    Ila Dorice alufata Mali

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amelamba dodo😂😂😂❤

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi pia nilibadilisha jina la mtoto nilivyo gombana na baba wa mtoto,kadi ya kriniki jina alilo toa baba yake na jina la cheti cha kuzaliwa jina la kwangu nililo mpa mimi,lakini jina la baba anatumia ilo ilo adi la ukoo sijabadililosha,na kwao anajulikana kwenye ukoo wote na pia anashinda kwa baba yake na shule baba yake ndio kampeleka kwa ujumla anajulikana,sasa sijui nayo nimakosa,ila nimejifunza

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini huyu wamkubalie kama mke halali na vick wamkatalie? Inabidi nao judges wawe na standard wasiongozwe na hisia zao

    • @merinankullua5874
      @merinankullua5874 11 หลายเดือนก่อน

      Kwa Vick mke wa kwanza bado hupo hai