WANANCHI WAFUKUA KABURI, MTU ALIZIKWA MUDA "WALIOHUSIKA WALIROPOKA BAADA YA MAOMBI" POLISI WATINGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @kiri5807
    @kiri5807 5 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa police waliharakishaje kusema mumzike . Mtoto mara anaweza kua sio wake .

  • @ImmaBudazon-xm1pl
    @ImmaBudazon-xm1pl 5 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani huenda akawa Baba angu na Mimi ni mzaliwa WA manyara sijamwona Baba angu miaka 12

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asee poleni. Sana mngu awafariji

  • @user-gw4vv5uh9z
    @user-gw4vv5uh9z 5 หลายเดือนก่อน +4

    Poleni sana polisi wengi wa Tanzania elimu yao ni ndogo na vyombo vyote vya dola Mahakama Magereza polisi na Uongozi mzima wa Serikali ilyo madarakani kwa umjula

  • @talents7934
    @talents7934 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nomaa😮

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mnasababisha uchungu mara mbilimbili jamani.sasa mliruhusu wazike kwa nini?ni vizuri kufanya kazi kwa weledi na akili ya kuzaliwa +akili ya shule kuliko kusubiri kusimamiwa kila wakati kama punda mbeba mzigo.

  • @ImmaBudazon-xm1pl
    @ImmaBudazon-xm1pl 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kweli ni Baba yenu mana na Mimi Baba angu kepotea pia jamani huenda ni Baba angu

  • @ErickEvarist-en7ye
    @ErickEvarist-en7ye 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mm sitaweza kushiriki huu upumbavu

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 5 หลายเดือนก่อน

    Daaah 😥

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan huu upumbavu upo tanzania tu jmn hawa police kama hawana akili

  • @ezekialalika884
    @ezekialalika884 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwenyekiti mbn sura sio ngeni😅 kijiji chake inaomekana ni kisanga

  • @user-xr5wg3hm6p
    @user-xr5wg3hm6p 5 หลายเดือนก่อน +1

    Aliekufa amekufa uwo uchunguzi muje kuufanya leo mbn munamtesa mwenzenu kashaomzika mnaanza kumuangaisha tena

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 5 หลายเดือนก่อน

    Hiyo n kutesa ndungu scku hiyo walikua wp hao Mahakama,wa Tanganyika,tutakomeshwa,

  • @evancetilya167
    @evancetilya167 5 หลายเดือนก่อน

    😢.

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 5 หลายเดือนก่อน +8

    Nchi ina heka heka jaman mweee hakuna kupumzika 😢😢 ivi wakifukua ivo hawakuti mwili umeharibika vibaya na kutoa harufu ?

    • @pendo8082
      @pendo8082 5 หลายเดือนก่อน +1

      Unakua umesha haribika😢

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 5 หลายเดือนก่อน

      @@pendo8082 duh aiseee basi Kuna Kazi ngumu jamani nyie sasa apo daktari ndo anaenda kuupima ?! Mweee 🙌🏻🙌🏻

    • @pendo8082
      @pendo8082 5 หลายเดือนก่อน

      @@ashurajengela3926 ndio wanapima

    • @jacquelineeliasmollel5260
      @jacquelineeliasmollel5260 5 หลายเดือนก่อน

      Duuuuh 😢😢😢

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 5 หลายเดือนก่อน

      Madactary poleni saana Kwa Kazi ngumu kuhudumia Hawa wanadamu

  • @user-fe2zi9py1j
    @user-fe2zi9py1j 5 หลายเดือนก่อน

    duu hii🌍😥

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 5 หลายเดือนก่อน +2

    ama watu hawaogopi maiti daah mtihani

  • @funnuelmwalukasa4506
    @funnuelmwalukasa4506 5 หลายเดือนก่อน

    Mnajifanya mlimpenda marehemu wakati amekufa upumbavu mtupu na uchawi huo mnataka nini mwache apumzike

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 4 หลายเดือนก่อน

    Mulimuona mbaka meno jamani ni hatari sana

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 5 หลายเดือนก่อน +1

    Upuuzi mtupu

  • @joharikitundu
    @joharikitundu 5 หลายเดือนก่อน

    Hakuna nchi ambayo haijawahi tokea Ili hata huko ulaya ndio sana muwe mnafuatilia matukio
    Na hii usaidia sana ktk familia zitaridhika hara na na kufarijika sana .DNA lazima

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi tukishazika najua tumemaliza habari za kufukua trna mnikome sitataka kushiriki hizo habari mfyuuuu,kwanini huo utaalam usingefanyika kabla hajazikwa mnataka wana ndugu wawe wanaweweseka na wakati walishakua wanaanza kupata afuan ya moyo

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj 5 หลายเดือนก่อน

    Jmni mm hao wazee ambao wanaomba kwa mila mtangazaji niunganishe nao nashida yamuhimu sana plz plz 😢😢

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj 5 หลายเดือนก่อน

    Mlete mrejesh wahili sasa😢😢

  • @Jibu-cheka
    @Jibu-cheka 5 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi😂😂😂😂😂the first

  • @user-ef6tl6fy1g
    @user-ef6tl6fy1g 5 หลายเดือนก่อน

    Mnapenda tu kuzizalilisha maiti hata mkipima sampuli atarudi hamujui tu hukumu yake kwa mungu