VIDEO: MCHUNGAJI NA WAUMINI WACHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA WANANCHI KISA KUPINGA KAMCHAPE KIJIJINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 352

  • @user-ky5wu4gc9g
    @user-ky5wu4gc9g 4 หลายเดือนก่อน +31

    Pole sana mchungaji naamin kuanzia sasa kanisa lako litajaa waumini kwakua imani yako imekuponya japo umepitia changamoto kama hiyo ilo ni jaribu lako na umeshinda mtihani hao wananchi wote walioamini lambalamba watakua waumini wako wapya jina la yesu libarikiwe!! Amina

    • @whiteangelhomedecorations2230
      @whiteangelhomedecorations2230 4 หลายเดือนก่อน +4

      Sifa heshima na utukufu ni kwa Kristo Yesu Bwana, ikiwa serekali ya dunia huwaweka watu katika nafasi fulani, na kumlinda ili alifanikishe kusudi fulani la kiserekali, basi ni wazi kuwa serekali ya ufalme wa Mungu hutenda zaidi, katika kuwalinda watumishi wake na kuwaokoa dhidi ya hila za yule mwovu, Mungu awalinde na kuwathibitisha watumishi wake kwa ajili ya utukufu wa jina lake.

  • @aksamsemula3525
    @aksamsemula3525 4 หลายเดือนก่อน +18

    Pole sana mchungaji ,wewe ni mwamba imara umeipigania Iman, mungu ashughulike nao

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 4 หลายเดือนก่อน +11

    Mchungaji usiofu kwa lolote Mungu mkuu atashulika nao hao. Uko kigoma kuna nini hadi Watumishi wa MUNGU MKUU wanavamiwa ?. Ninyi ninyi haya Mungu amewaona na atashulika nanyi. Amen. Ungeomba Rehema ya kutiwa upofu hao wahuni mbona mamlaka mnayo. Poleni sana Mtumishi. Mungu mkuu awatetee. Amen.

  • @sparamcuthbert4530
    @sparamcuthbert4530 4 หลายเดือนก่อน +5

    Bwana Yesu Kristo yeye mwenyewe atalilipa hili Roho ya uhalibifu itawaingia wao na familia zao.
    YESU mtie nguvu Mtumishi wako.

  • @jeckobass7502
    @jeckobass7502 4 หลายเดือนก่อน +34

    Daaaaah pole sana pastor MUNGU anakupenda sana

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani haya mambo yanatokea Tanzania kweli nilijuwa ni nchi ya amani na watu wakarimu

    • @lumulyimage4826
      @lumulyimage4826 4 หลายเดือนก่อน +1

      Amen. Mungu ni mwema sana.

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 4 หลายเดือนก่อน +31

    Mbona wenzao wenye ngome ya shetani wako wengi kwanini wasiwape hela za kuzimu huko,,ila kweli wewe ni mchungaji wa kweli Ashukuriwe Mungu aliye kulinda

    • @hamisimkoma7380
      @hamisimkoma7380 4 หลายเดือนก่อน

      Wenzao akinan ??

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 4 หลายเดือนก่อน

      @@hamisimkoma7380 hao wavamizi wanamtandao mkubwa walazimishe kanisa lichange iyo ela ,kwann??

    • @ZachariaMichael-tl5rs
      @ZachariaMichael-tl5rs 4 หลายเดือนก่อน

      Mmojawapo ni wewe mwenyewe unaye uliza swali

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu yu mwema,pole mchungaji na wenzio wote damu ya Yesu Kristo izidi kuwalinda na kuwapigania

  • @annamussa185
    @annamussa185 4 หลายเดือนก่อน +27

    Wote wana kijiji wakamatwe walipishwe faini nyumba kwa nyumba,walipe kila kitu wali choharibu

    • @kyannickk2be
      @kyannickk2be 4 หลายเดือนก่อน +1

      kosa la kuchoma majengo au vitu sio la faini, adhabu ni kubwa sana miaka nadani si chini ya 20

  • @NeemaKipande-hr9rz
    @NeemaKipande-hr9rz 4 หลายเดือนก่อน +13

    Pole Sana mtumishi MUNGU akuponye na hongera Sana kwakusimamia Imani hatimae wananchi waona uongo wakamchape

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy3653 4 หลายเดือนก่อน +25

    Ndo raha ya kumtumikia MUNGU kwa uaminifu

  • @gililwise
    @gililwise 4 หลายเดือนก่อน +9

    nimelia sana hakuna mtu ambaye amefanya huu unyama atapona yupo Mungu asiyelala wala kusinzia.

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge 4 หลายเดือนก่อน +11

    Daah!Mungu alituma malaika zake waje wakuokoe.ahsante sana Yah

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 4 หลายเดือนก่อน +7

    Safi Kiongozi tunawaombea Sana Ubarikiwe kufungua shetami ameshindwa kwa Jina la Yesu Kristo Aliyehai

  • @user-qy9ce3ez9q
    @user-qy9ce3ez9q 4 หลายเดือนก่อน +2

    Imani yetu ni nguvu yetu Yesu kristo akiwa mbeleyetu tutashinda na zaidi ya kushida. hongera baba kwa kuilinda Imani.. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki. Amen

  • @user-kt6wc6ci8m
    @user-kt6wc6ci8m 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amin Mung akuzidishie iman zaid n nguvu ya kusimama zaid n neno la kristoooo

  • @gesha4759
    @gesha4759 4 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu akupe neema ya kwenda viwango vingine

  • @alicemonyo5717
    @alicemonyo5717 4 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wanguwanaangamia kwa kukosa maarifa😅the funny thing ni apo wanajufanya wamefunguka lakin ukishakuwa n mtu wa kuamini iman za kishirikina n ngumu sana kushauriwa usikie 🤷🤷May God continue to strengthen you servant of God

  • @user-eu4ml4gu2z
    @user-eu4ml4gu2z 4 หลายเดือนก่อน +7

    Pole sana pastor waganga wanaeneza chuki katika Jamii wakati familia zao haziko shwari zina matatizo kibao.

  • @user-mn4os3wu6m
    @user-mn4os3wu6m 4 หลายเดือนก่อน +27

    Ivi izi Mambo za kamchape serikali imeshindwa kuzibiti tumechoka aiseee from KIbirizi

    • @geofreysadok4823
      @geofreysadok4823 4 หลายเดือนก่อน

      Una mzigo ndani?? 😅

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 4 หลายเดือนก่อน +1

      Serekali iko bussy. HATA panya road wako bussy matapeli wako bussy wezi VIBAKA ni ubussy tuuuu hakuna msaada

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 4 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa kamchape unataka serikali ifanye Nini? Iende kwa mganga? Nendeni Ibaadani acheni ushamba.

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂​@@geofreysadok4823

    • @user-wu3ld2ti1k
      @user-wu3ld2ti1k 4 หลายเดือนก่อน

      Serikali haijashindwa tatzo wananchi Walio wajinga ndio chanzo

  • @gtgmediaproduction764
    @gtgmediaproduction764 4 หลายเดือนก่อน +14

    Nimkakati wa shetani kuya dhoofisha makanisa hata mwamgongo wanamtishia mchungaji leonidas kumuua kiss kawakataa kamchape

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ni mtu wa Mwamgongo?

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nimesomea mwamgongo

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 4 หลายเดือนก่อน +7

    Siku hizi kabla hujafanya tukio la ovyo ogopa media kuliko polisi😂😂

  • @kabonakabona8121
    @kabonakabona8121 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni mwaminifu pole sanaa mchungaji asante mungu kakuachia uzima

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuu 😭😭pole Sana mchungaji Ktk kitabu Cha Yoh 1:4-5 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima nao uzima ulikuwa Nuru ya watu nayo Nuru yang'aa gizani Wala Giza halikuiweza.Hakika Giza na Nuru haviambatani.

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 4 หลายเดือนก่อน +6

    Pole sana mchungaji Eliudi Mungu akulinde

  • @amedeusfredrick1614
    @amedeusfredrick1614 4 หลายเดือนก่อน +6

    Waha mnapenda sana uchawi

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 4 หลายเดือนก่อน +3

    Bwana Atajitukuza hii ni Vita ya kumtangaza YESU KRISTO Aliyehai Atajitukuza kitaeleweka kuwa kuokoka Ni lazima Wakati umefika Sasa Tinaongeza Maombi Zaidi poleni Sana

  • @Charlesray-sv2lm
    @Charlesray-sv2lm 4 หลายเดือนก่อน +11

    Mungu ni mwema hakika jina yesu litukuzwe

    • @shebbythespyro5393
      @shebbythespyro5393 4 หลายเดือนก่อน

      Yesu 😂 sio baba

    • @josephmussa0625
      @josephmussa0625 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@shebbythespyro5393wewe unataka nini simamia Imini yako ndugu. Amini unachojua

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 4 หลายเดือนก่อน +2

    Serikali iwachukulie hatua kali za kisheria kwa hawa wahalifu.
    Tanzania isivumilie vitendo hivi viendelee.Mungu ibariki Tanzania. 🙏🙏

  • @eliasmeshack7237
    @eliasmeshack7237 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nilshasema kwamba hao kamchape ni waongo sana pia ni wachonganishi je ni kwanini serikali inawavumilia watu hao?je Kwani serikali yetu imeshindwa

  • @user-in4vo4vu7h
    @user-in4vo4vu7h 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana baba hivi ni vita vya imani yaani huu wakati (kipindi cha utawala wa shetani ) simama na Mungu:

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 4 หลายเดือนก่อน

    Sehemu kama hizo zinahitajika.karama za miujiza ya kudhibiti uchawi.hivi hivi.watu hawawezi kuamini.kanisa kunamchungaji Tukuyu mbeya alikuwa anashea uwanja mmoja na ngoma za asili nao wanategemea sana uchawi mchungaji kaalika mkutano.ngoma wakaalika mchungaji akawaomba wakakataa mchungaji akawashitakia kwA Mungu siku zote walizopanga kucheza ngoma mvua ilikuwa inanyesha palepale uwanjan vitu vyao vikaharibika vyote mpaka leo ngoma ilikufa.limebaki kanisa na uanja jAmani Mungu atusaidie sehemu zlizokaliwa na ushirikina Mungu atupage karama za miujiza

  • @jameskasimba2084
    @jameskasimba2084 4 หลายเดือนก่อน

    Polen sana mtumishi wa Mungu, hakika katika hilo Mungu anataka kusema jambo na hao wananchi,,Mungu atengeneze njia kwa upya

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana askari. Hawana ushirikiano wowote. Wakirsto. Tusimame imara yesu atatutetea yupo nasi. Aliahidi hatatuacha.

  • @pillyogola6499
    @pillyogola6499 4 หลายเดือนก่อน +3

    Poleni sana watu wa Mungu 😢Mchungaji pamoja na wazee wakanisa Mungu aendelee kuwalinda.Hizi Imani zingine ni za kishetani kabisa

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mchungaji kuna vitu vingine sio kupigana navyo hata yesu mungu animwambia yesu kimbia unatafutwa kuuwawa tunaishi na mijitu inayotembea ni mashetani barabarani

  • @agnessvincent1736
    @agnessvincent1736 4 หลายเดือนก่อน +1

    Acha Mungu azidi kujitukuza mwenyewe ..mataifa na makabila yote yapate kumkili yeye aliye juu ya miungu yote. Na madhabahu zote

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana mchungaji hao ni sawa na mjambazi sheria ichukue mkondo wake bila kuogopa

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 4 หลายเดือนก่อน

    Kaneno kakifala sana eti....KAMCHAMPE!!!! Pole Sana Mtumishi wa Mungu.

  • @user-hb1sd2ur5j
    @user-hb1sd2ur5j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Pastor Serikali iwasake wote wakaozee ndan

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน

      huku ndiyo inawatuma Wakachape

  • @romainehabamungu8547
    @romainehabamungu8547 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mucungaji , Mungu wetu ni muzima pia mwenye gufu sana.

  • @alexmwalingo5020
    @alexmwalingo5020 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu mwema mchungaji umetetewa jina la bwana litukuzwe, pole sana hao watu wakamatwe wote kamati yao yote walipe vitu vyote walivyohalibu pamoja na waliochanga hela wote wawekwe ndani ili iwe fundisho na kwa wengine

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 4 หลายเดือนก่อน +3

    Asikar wachukuliee hatuwa polisi niwazembee sana

  • @user-du8pu1gp2f
    @user-du8pu1gp2f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole.sana.mchungaji.mungu.akusaidie.

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 4 หลายเดือนก่อน +3

    Serikali inahuska kuwalinda na kuwatetea hao kamchape. Polis hua wana subili watu wapoteane kwanza ndo wafike

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni nchi gani hiyo😢 Enzi ya Mwalimu huu upuuzi haukuwepo Hata Enzi ya Pombe Hii ilikua haikubali

  • @tomasokaniki5253
    @tomasokaniki5253 4 หลายเดือนก่อน +5

    Wahusika wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho kwa wengine.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 หลายเดือนก่อน +2

    Subuhanallah. Hivi kipindi wanaendakumfanyiamtu unyamahu. Wanafikilia kweri. .kama baadaekitatokea nini. ,

  • @MsanjilaTena
    @MsanjilaTena 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hapa ndio nimemkumbuka Magufuli Akh wangejua hawajui

  • @alicemlelwa1981
    @alicemlelwa1981 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mchungaji. Mungu atawashighulikia

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 4 หลายเดือนก่อน

    Pole mungu akutangulie mchungaji

  • @user-jt3fi6bk8w
    @user-jt3fi6bk8w 4 หลายเดือนก่อน

    Imani yako ni kubwa Mungu akuzidishiee

  • @christianchando7041
    @christianchando7041 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mtu wa kwanza kukamatwa hapo anapaswa kuwa mwenyekiti wa kijiji na mtendaji, kwanini aliwaruhusu?

  • @evanestharold5079
    @evanestharold5079 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa baba Mungu akutie nguvu.

  • @user-in9ui2ro6k
    @user-in9ui2ro6k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kuku imarisha uwe jiwe juu ya mawe mchungaji

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mchungaji mungu akulinde

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 4 หลายเดือนก่อน +1

    Umefanya vema kufungua Mtumishi kwa Jina la Yesu Kristo Aliyehai Tumeshidaaaaaa

  • @daudic.mpinga4606
    @daudic.mpinga4606 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji wew wala usijali mshukulu MUNGU ,,maana naamini MUNGU ndye atakaye shughurika nao

  • @philipokusekwa7395
    @philipokusekwa7395 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani jamani shetani yupo kazini asante sana mchungaji

  • @user-de1wm3of2l
    @user-de1wm3of2l 4 หลายเดือนก่อน

    Amina roho mtakatifu nimwamifu ndo maana kakuficha kumtumikia mungu awezi kuku acha

  • @VumiDavid-lo1cl
    @VumiDavid-lo1cl 4 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji majalibu ni mtaji hakika umepata mtaji mkubwa sana mbele za mungu, mungu azidi kukupipigania

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 4 หลายเดือนก่อน

    Pole mtumishi wa MUNGU. Wapo watu wanaishi kwa kuwategemea watu wenzao. Neno la MUNGU linasema, amtumainie mwanadamu amelaaniwa. Hao waha MUNGU anawaona sasa wataokoka, hata siku moja HAKUNA USHIRIKIANO KATI YA NURU NA GIZA. Hawana kazi ya kufanya kila siku kamchape, kamchape kufanya kazi hawafanyi, MUNGU hawana ndani yao. Wataona sasa, wamegusa mboni ya jicho la MUNGU. Kosa mali upate akili.

  • @user-mr6uk3lv1b
    @user-mr6uk3lv1b 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu tupo siku zote endelleaje kumtumukiya kwa uaminifu mchungaji😊

  • @AnaniaBulaya-rc3jv
    @AnaniaBulaya-rc3jv 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo wakamatwe Kijiji kizima wajenge hiyo nyumba.

  • @munnyadrian9067
    @munnyadrian9067 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa Uhuru Mama alioutoa nchini ni lazima kuna watu wengine wataumia sana.
    Maana hii issue ni ya mda mrefu. Ilitakiwa Polisi watumie nguvu kudhibiti haya mambo. Ila Nadhani siasa zinawakwamisha.

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 4 หลายเดือนก่อน +5

    Wale matapeli TU dawa Yao wachezee moto TU hao wanaleta uchonganishi

  • @magrethedward5635
    @magrethedward5635 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen......! Hallelujah

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ila jamani kigoma uamsho unahitajika Kigoma

  • @RehemaMatowonambarikisanamungu
    @RehemaMatowonambarikisanamungu 4 หลายเดือนก่อน

    Polenisana.mchungaji.Munguakutie.nguvu

  • @malakisilas6523
    @malakisilas6523 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shida ni Elimu ,nakuamini mambo ya Ajabu,Pongezi Kwa mchungaji wa kanisa na Jeshi La police.

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli huwezi kumtoa shetan kwa shetan mwenzake yesu ni njia pekee ya kuepukana na ushirikina

  • @faustineedward2425
    @faustineedward2425 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka Kuna siku mheshimiwa makonda alisema wananchi amukeni mnapigwa wajikuta wajuaji, Sasa wapelekea madhala kwa mchungaj

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wampe yesu maisha ila kamchape kanisani hawausiki kabisa giza na nuru havichangamani waumini wanapenda uganga hawajatofautisha ndo wanaowasababishia mabaya wachungaji kama wacha Mungu wote mna msimamo wanarogana wao kwA wao kama mtume paulo alivosema watadanganyana wao kwA wao

  • @user-jj3yt1ex5c
    @user-jj3yt1ex5c 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atawalipia

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 4 หลายเดือนก่อน +1

    +MUNGU+ ni MWEMA MILELE ISAYA 54:10🙏🙌🙌

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 4 หลายเดือนก่อน +2

    Polisi wapo na wapelelezi wapo na usalama wapo na wanajua na sisi tunajua kuwa kamchape ni uhalifu lakini wameshindwa kudhibiti, kamchape wanaendelea kutamba. Ni wazi vyombo vya usalama kigoma vinahusika na vina maslahi katika hili.

    • @dangomc_niger
      @dangomc_niger 4 หลายเดือนก่อน

      kuna ck ilitokea pia kiukwr polisi walichokifanya kwenye kile kijiji kiukwr mtu akiongelea kamchape watu watamuua walifanya balaa soo naamn huo mtaa watu watajuta kwa hilo

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 4 หลายเดือนก่อน +3

    Haaaaleluuuuuyaaaaa Yehova

  • @user-rd3hk5qt5p
    @user-rd3hk5qt5p 4 หลายเดือนก่อน

    Pole mtumishi wa YESU KRISTO ALIE HAI yeye ni mwaminifu

  • @gloryleonard1563
    @gloryleonard1563 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu muumba wa.mbingu na nchi mlinde huyu mtumwa wako wote waliohusika nyoosha mkono wako kwao maana wewe unaweza.

  • @user-oq7jw6kp6w
    @user-oq7jw6kp6w 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana ndugu mchungaji,ila nimeumia sana jamani

  • @chany9950
    @chany9950 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema jmn🙏🏾🙏🏾🙏🏾 pore baba yetu

  • @user-kg4jd8zj8g
    @user-kg4jd8zj8g 4 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana mchungaj mungu Yuko pamoj na wewe usimuache mngu wako😢😢😢

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mchungaji

  • @gama_liely
    @gama_liely 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa jina la Yesu nuru yako imekuzukia una kwenda kua mtu mkuu sana

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ndugu zangu

  • @hamujames8200
    @hamujames8200 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mchungaji

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 4 หลายเดือนก่อน +1

    From Singida Tanzania

  • @user-xf8yo1od4n
    @user-xf8yo1od4n 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu hamuachi mtumishi wake aangamie kabla ya wakati wa Mungu kufika

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 4 หลายเดือนก่อน

    Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Na hatimae Mungu kaamua kuwadhihirishia wananchi. Nini kinachofanywa na hao matapeli

  • @jailosibrahim88
    @jailosibrahim88 4 หลายเดือนก่อน

    Ukionyesha iman kwa Mungu nae Mungu hujionyesha kwako

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hv serikali imewashindwa hao

  • @amedeuskimario8895
    @amedeuskimario8895 4 หลายเดือนก่อน +1

    Watumishi ndo wanateseka sehem kama hizo maana watu wa huko wanawakubali kwel hao jamaa wanawapiga hela tu na hii niukosefu wa elimu

  • @samwelnaal7952
    @samwelnaal7952 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ndugu zangu Kigoma somesheni watoto ili kuondoa huu ujinga
    Kigoma tutatoka lini kwenye huu upumbavu
    Watu ni wajinga mpaka wanakera

  • @alfrednyamnini7352
    @alfrednyamnini7352 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni kweli hawa kamchape kigoma serikali imewashindwa
    Mkuu wa mkoa yupo kamanda
    Mkuu wa wilaya yupo na makamanda wa police mkoa na wilaya wapo mapolice wapo Raia wanateseka kwa kuibiwa pesa zao. Na kunyanyaswa .
    Mama samia ingilia kati hali ya kigoma si shwari
    Hali hii haikubariki

  • @mchangweje
    @mchangweje 4 หลายเดือนก่อน

    E pole sana mchungaji

  • @neemaryan9947
    @neemaryan9947 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kinachoniuma zaidi ni pale sheria inapochelewa kufuata mkondo wake

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo nawe pastor

  • @pastoreliwkimaroni8332
    @pastoreliwkimaroni8332 4 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana Ila wavhukuliwe hatua ya kisheria maana wanajulikana

  • @deogratiussaru3074
    @deogratiussaru3074 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mchungaji wangu

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 4 หลายเดือนก่อน

    Kinachoniuma nikwamba hii laana itaenda had Kwa watoto na vizazi vyao hata visivyo na hatia😥😥 Mungu tunaomba rehema zako

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 4 หลายเดือนก่อน

    Hatari saana