MZEE ALIYEDHULUMIWA NYUMBA YA MILIONI 100 NA MWANAJESHI ASHINDA KESI APEWA NYUMBA “ALINITEKA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 84

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 4 หลายเดือนก่อน +14

    Mungu atabaki kuwa Mungu,ni Mungu wa baba Yetu wa Imani Ibrahim na Isaka na Yakobo na ni Mungu wetu sote ,Mungu wetu ni Mungu wa haki Mungu anabaki kuwa Mungu wa haki

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 4 หลายเดือนก่อน +10

    Kanari unaliaibisha jeshi inaonyesha wengi wanafanyiwa nani kama haya ila hawana watetezi wa kweli mshukuru sana Mungu

  • @mparewaujerumani
    @mparewaujerumani 4 หลายเดือนก่อน +14

    BWANA atawapigania ninyi nanyi mtanyamaza kimya.
    Kutoka 14:14

  • @edwingideon3606
    @edwingideon3606 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu akufunike kwa damu yake, ikiwezekana samehe kodi uanze maisha upya. Shukuru Mungu

  • @alexmwalingo5020
    @alexmwalingo5020 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee pole sana kwa yote kuna watu wanafanya mabaya hapa duniani kana kwamba hawatafaliki lakini wanasahau kuwa pua zao zinaangalia chini na ni lazima watafaliki tu na kuzikwa chini, jitahidi sana mzee kwenye hiyo nyumba usikae huyo canali anaweza kuja kulushia bomu hiyo nyumba ukiwa ndani na familia yako kwa sababu tayali sio mtu mzuri hata kidogo hata jeshini hafai kuwepo anaweza kugeuka na kuwa upande wa maadui, Mungu msimamie mzee huyu mpe mwongozo wa maisha yake ili asiteseke tena

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 4 หลายเดือนก่อน +7

    We mzeee samehe iyo kodiiii achia iyo kitu ww baba utaxua mengine wee tulia aaa shukuru Mungu sanaaa

    • @magrethmeela154
      @magrethmeela154 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe muache mzee adai vyake.

  • @mgawerevocatus8582
    @mgawerevocatus8582 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana mstaafu mwenzangu mshukuru sana Mungu Kwa jinsi alivyo kupigania.
    Hiyo Kodi achana nayo uza hapo Rudi Mwanza jirani na kwenu Musoma uishi Kwa Amani

  • @omarymbaraj8072
    @omarymbaraj8072 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wala usishukuru Serekali Mshukuru Mungu tu. Miaka 2umeteseka sana

  • @verynicemonyo8671
    @verynicemonyo8671 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ambariki hakim aliyehukumu

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 4 หลายเดือนก่อน +7

    😭😭😭Hongera sana Babaangu kweli mungu amesikia kilio chako 🤲🤲

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu/MUNGU sio mungu

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@Zaburi- kwa hiyo ni Nani aliemsaidia katika sala zake? Kama sio mungu 🤔🫵🏾

    • @BilalMuhammad-jt6sq
      @BilalMuhammad-jt6sq 4 หลายเดือนก่อน

      Anamaanisha uwandike kwa herufi kubwa MUNGU​@@AfricaQueen

    • @JosephMilinga-nl4zh
      @JosephMilinga-nl4zh 4 หลายเดือนก่อน

      @AfricaQueen alicho Manisha neno Mungu uwa linaanza na elfu kubwa

  • @barikimoshi4443
    @barikimoshi4443 4 หลายเดือนก่อน +2

    Daaaah, binadamu ni kiumbe wa ajabu Sana. Hiyo jeuri ya kumfanyia huyo mzee yote hayo ni hiyo afya njema aliyo nayo tu baas. Tufanye hata Mh Rais hawez kumuuliza kitu au hata Cdf asimuulize halafu Mungu amuondolee afya njema awe anaishi ICU. Anaringia asicho kimiliki.

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mkubwa ni Mungu tu ndo maana amesimama na wewe
    Pole sana

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 4 หลายเดือนก่อน +5

    Umepata nyumba yako sasa uza utapata hela nzuriiiii utoke hpo pashakuwa na dosariiii hutakaa kwa amani

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 4 หลายเดือนก่อน

      Sana maana hawawatu siwaxuri.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hatakiwi kuhama ni kukimbia tatizo, tatizo ni kukabidhiana nalo

  • @tibakabanda6583
    @tibakabanda6583 4 หลายเดือนก่อน +1

    Millard Ayo! Mbona hakutueleza kilitokea Nini! Umeshindwa kumuongoza tukamuelewa.

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u 4 หลายเดือนก่อน +4

    yanimshahara wanowopata wanajeshini.mkubwamno lakinikwatamaa narohombaya nado

  • @verynicemonyo8671
    @verynicemonyo8671 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu yuko nawe baba

  • @ivyroses9019
    @ivyroses9019 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba fanya uuze ujenge mahala pengine uishi na familia yako kwa Amani...
    Si mahala salama kwa mazingira ya Kesi yako ilivyokua awali.

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 4 หลายเดือนก่อน +4

    Uza nyumba baba kajenge pahali pa kukupa utulivu

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 3 หลายเดือนก่อน

    Acha Mungu aitwe Mungu

  • @tato8979
    @tato8979 4 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana baba yangu 😢😢

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u 4 หลายเดือนก่อน +2

    asantenisana wanashariya kwakuwasaidiya wanyo gewalokuzomeys sasaaibutu rohombayailikuwainawasumbuwa

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allhamdulillah.kwakupata hakiyako

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hao watu walikuwa walitaka kumtapeli baba wawatu nyumba wauze wagawane pesa, na sio pikipiki jamani haowatu sio watu wazuli wachukuliwe hatuwa tu ili hata kama kunawengine wanafanya ivo waache kabisa.

  • @dottomarikatv780
    @dottomarikatv780 4 หลายเดือนก่อน

    Daa, hatari sana, cheo cha kanari kumdhulumu masikini sio vizuri

  • @jemadarimimi1642
    @jemadarimimi1642 4 หลายเดือนก่อน

    pole sana ,haya ndio maisha ya maskini

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u 4 หลายเดือนก่อน +4

    kunawatuwanalaanahuyomwanajeshi nishetanisana

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mze ila Mungu ametenda uzidi kubarikiwa😭😭🙏

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i 4 หลายเดือนก่อน +2

    Natamani nitafute hii kesi ilipoanzia huenda nijesahau au nilipitwa maana tz yetu kila siku mapya

  • @ramadhanzenj9111
    @ramadhanzenj9111 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe umebahaisha tu mzee kuna dada aligongwa na gari akaendesha kesi akashinda ikatakiwa bima wamulipe mpaka sasa ni miaka zaidi ya kumi hajapata haki yake ameshapita ngazi karibu zote hadi kwenda Ikuru lakini wapi.

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo mjeshi akiri.hana kabisa

    • @gordondavid6063
      @gordondavid6063 4 หลายเดือนก่อน +1

      wanajeshi hawajawai kuwa na akili

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u 4 หลายเดือนก่อน +1

    alihdulilah

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 4 หลายเดือนก่อน +3

    Aibu mkubwa kuangaika kudhulum maskini.

  • @collincarlos7433
    @collincarlos7433 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee ameulizwa nin kiltokea lkn anazngk tu..pole sana baba

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo kanari ni tapeli kama matapeli wengine ...aibu sana kwa taifa...watu kama hawa hawafai kuwa viongozi....angekuwepo magu
    Huyo ameshatumbiliwa...Pole sana mzee na hongera

  • @faharikhamisi3091
    @faharikhamisi3091 4 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia shikamoo Mama hongera sana nakupenda sana vijana wako wanapambana sana watu wapate haki,juzi nimeona nyumba ikivunjwa,leo mahakama imemrudishia mtu haki,mama mimi baba wa family uwezi wafurahisha watu wote, pia naomba makonda aendelee na ile ziara inchi ilichangamka mama

    • @user-fr7jj1bo7y
      @user-fr7jj1bo7y 4 หลายเดือนก่อน

      mama Samia anausikaje hapa?? Samia nchi imemshinda hakuna umeme, hakuna maji sasa hata sukari imekuwa shida maisha yanazidi kuwa magumu chini ya utawala wake

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-fr7jj1bo7yjinga sana Kila kitu Samia uchawa ni njaa mbaya sana

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o 4 หลายเดือนก่อน

    Ushaurii uzaaa apoo ihiii dunia watuuu kaamaa aoo wapooo wengi apaaa Tanzania wanatumia cheo Chao

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 4 หลายเดือนก่อน

    Polesana Mzee haki ya MTU ni haki tu

  • @newbornhaule
    @newbornhaule 4 หลายเดือนก่อน

    Nmemkumbuka huyu Mzee Mungu ni mweza wa Yote

  • @zablonnyanda6095
    @zablonnyanda6095 4 หลายเดือนก่อน

    Duuu?? Tanzania tumefikishana hapa?? Mh! Muogopeni Mungu jamani. Hayo majumba mtayaacha tu! Kumbukeni kuna maisha baada ya haya hapa duniani? Tatizo nn nyie watu😂?!!

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u 4 หลายเดือนก่อน +1

    anamdhurummtu alojihagaikiya akayenafamiliyayake laanamkubwa

  • @ChikuOmmary-ii2xf
    @ChikuOmmary-ii2xf 4 หลายเดือนก่อน

    Hii Dunia Jamani kweli piki piki kuuzwe nyumba hata Mimi ningelipa Hilo deni jamani Dunia tunapita maskin tunateseka

  • @tumainijohn
    @tumainijohn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbota jmn i was there

  • @yasinramadhan7315
    @yasinramadhan7315 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mmoja tu

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 4 หลายเดือนก่อน

    AIBU NA FEDHEHA SANA KWA HUYO AFISA WA JESHI.

  • @leonardjackson269
    @leonardjackson269 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wabaya sana daa bas tu😢😢😢

  • @Serenawilson11
    @Serenawilson11 4 หลายเดือนก่อน

    Daah sad 😢

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 หลายเดือนก่อน

    Uza hapo uwamie mbali asipajue huyomjeshi kwani nimdhumati uwezijua anakupanguanini kakosanyumba. Kinachooendelea. Jinusuru rohoyako Baba

  • @yakfizahran4536
    @yakfizahran4536 4 หลายเดือนก่อน

    Uza nyumba mzee uhamie sehem nyengin

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 4 หลายเดือนก่อน

    Wale waiokucheka sura zao wataweka wapi? Leo nyumba imerudi kwa uwezo wa Mungu

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 4 หลายเดือนก่อน +1

    Acha mungu aitwe mungu mzee wangu

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 4 หลายเดือนก่อน

    Watanganyika wengi wamekuwa wezi wahuni sana hasa wenye vyeo flani..... Haki haipotei..

  • @ZainaKisengo
    @ZainaKisengo 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa Mahakimu kesho Watakuwa kuni

  • @emmylightbrian2497
    @emmylightbrian2497 4 หลายเดือนก่อน

    Sauti kama Lowassa kwa mbali 😅😅😅

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGUNGU NII MUNGU TUU

  • @ibrahimhodabaksh3939
    @ibrahimhodabaksh3939 4 หลายเดือนก่อน

    MAMA UNAYAONA HAYO

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u 4 หลายเดือนก่อน +1

    sotetumefurahkwakuwonaumepata.hakiyako babawasijekukuuwatu

  • @jamespetro3014
    @jamespetro3014 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani hiii ninyumba ya M100 mmmmh msituchanganye bhc

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 4 หลายเดือนก่อน

    Uza kwa mkubwa na kuhama ...watu wa mtaa wako sio wema kabisaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

  • @kelvinnjawike1808
    @kelvinnjawike1808 4 หลายเดือนก่อน

    Mapoti wanajonaga ndo Miungu huku duniani

  • @Clex-f5s
    @Clex-f5s 4 หลายเดือนก่อน

    Atajwe tusambaze ujumbe awajibishwe😢

  • @ramadhanzenj9111
    @ramadhanzenj9111 4 หลายเดือนก่อน

    Hii inchi ina watu wanaweza kuminya haki yako hadi ukafa bila kuipata sema tu utakutana nayo Mbinguni

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u 4 หลายเดือนก่อน

    tenahuyohakim nimtukatijawatu

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huku duniania Baadh ya wanadamu hua wanahis hakuna laana au maombi ya anaedhulumiwa.
    Niseme TU kwayeyote ambae amedhulumiwa kama huyu bwana iaminike yakuwa Dua yake hy nibomu Kwa aliedhulumu Ukanali sio kitu chochote. Majibu nkwamba dhulma haidumu Bali kinachodumu ni hasara. ..
    Kwamana hiyo Jamaa ajiandae kanali itakuwa udhalili.

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u 4 หลายเดือนก่อน +1

    wivutuunawasumbuwa

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 4 หลายเดือนก่อน

    Aibu kwa mjeshi fek huyo s wa JWTZ

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 4 หลายเดือนก่อน

    Khaki ya mtu haipotei bure

  • @tumainijohn
    @tumainijohn 4 หลายเดือนก่อน

    Yani we n muongo 🤣🤣🤣 vtu vingine uliuza mwenyewe tunakujua wew ulivo mkatili pia

    • @totonata5384
      @totonata5384 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ameuza nini? Ukatili gani alonao? Ama nawe ni mmoja wapo ya watekaji na wazulumaji??

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      Uanamjua?

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts 4 หลายเดือนก่อน

      Waandishi wa habari hufanya kazi kubwa sana ktk jamii, ni kama Maaskari wapelelezi na watendaji

    • @user-yk1ug4bq7c
      @user-yk1ug4bq7c 4 หลายเดือนก่อน +1

      Achana na Mali ya watu wewe!,ukihitaji kununua Mali ya mtu acha kumzunguka zunguka

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe hii nchi ina wahuni bado?
    Mimi nisingeweza kuvumilia miaka miwili.
    Sijabarikiwa na subra

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGUNGU NII MUNGU TUU