"MUME WAKO NILIMUONYA HAKUSIKIA, ANATEMBEA NA MKE WANGU, ILITUMIKA SIMU YAKE" MKE WA MWENYEKITI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.พ. 2024

ความคิดเห็น • 380

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 5 หลายเดือนก่อน +39

    MAMA UMEONGEA VIZURI SANAA. NA NIMEKUPENDA KWA UJASIRI WAKO. MUNGU AENDELEE KUKUTIA NGUVU.❤❤❤

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 5 หลายเดือนก่อน +19

    Mama ni jasiri sana ndio wanawake wanatakiwa wawe hivi na ni ana akili sana yuko smart angepiga yowe na kuanza kulia angeuwawa labda Na huyo muuwaji,

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 5 หลายเดือนก่อน +25

    Nyie wabongo mnadhani kila kijiji Tz hii kuna polisi, kuna maeneo police wapo mbali sana tembeeni hii nchi kubwa sana

  • @anithiajohn9209
    @anithiajohn9209 5 หลายเดือนก่อน +14

    Wanawake pia wanachoka matukio ya kwenye ndoa uyo mam mme wake angekuwa na mapenzi ya dhat leo asingepata ata nguvu za kuongea tujitaid kuwa waamnifu

  • @user-yy9sz3lv2s
    @user-yy9sz3lv2s 5 หลายเดือนก่อน +42

    Unauwa mwanaume mwenzio kwa sababu ya umalaya wa mkeo?utauwa wangapi?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 5 หลายเดือนก่อน +5

      Lazima nicheke 😂😂😂
      Acha kutoa roho ya mwanaume mwezio, akileta umalaya fukuza weka mwengine, ila tatizo litakuja ule mgao wenu 50 kwa 50, utajenga na kugawa nyumba ngapi 😂😂😂
      Ahh!! Kwa hivyo bora uwa tu.

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@Sheba4651andika mali zote jina la mama ako, weka safe Mali zote za kwako, kisha ishi, mwanamk akizingua tupa nje, mpe kidogo akajikidhi kimaisha, usikubal akukware kila kitu au hata robo ya nguvu zako unless una uwakika kaweka robo ya hivyo vitu, usiue mwanaume mwenzio, tupa nje hyo kahaba

    • @roggoyacny
      @roggoyacny 4 หลายเดือนก่อน

      Hatar sana 😭

    • @user-zv2ng6ov2k
      @user-zv2ng6ov2k 4 หลายเดือนก่อน

      thank you

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 4 หลายเดือนก่อน

      Hatari sana. Damu ya mtu ni issue

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mama jasiri alienda bila kuogopa kuwa na yeye angeuawawa!!! Mama ana hekima sana sana!!!! Mwingine akiambia tu maneno angemvaa huyo mwanamke. Yeye kamuuliza tu kama ni kweli anatembea na mume wake!!! Mungu akutie nguvu mama na akuwezeshe kukabili haya maisha peke yako.

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 5 หลายเดือนก่อน +25

    Duuuh mama unaujasiri wa hali ya juu zaidi .
    Pole sana 😢

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ameshachoka natabia za mume wake, kashakuwa sugu 😢😢

    • @paulmafuru7283
      @paulmafuru7283 4 หลายเดือนก่อน

      Inakatosha tamaa ukioa kuwa na heshima kwa mke ,Kama alishaonywa lkn akusikia basi Mungu amejibu maombi ya mama huyu

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 5 หลายเดือนก่อน +5

    Pole mama ,umeshuhudia kifo kichungu cha mumeo😢😢😢

  • @hopesefue9068
    @hopesefue9068 5 หลายเดือนก่อน +6

    Yaani uwii nitembee na wauaji fimbo ,panga ,nilidhani huko mbele angekimbia maana kama si nae kuuwawa basi angebakwa ,huu ni ujasiri mkubwa aisee

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 5 หลายเดือนก่อน +64

    Watu Wengi Wanamuona Uyuu Maama Kma Ana Roho Ngumu Ila Watu Wanashindwa Kuelewa Kuwa Uyuu Mama Amepokea Kesi Ngapi Za Mumewe Kutokuwa Mwaminivu Kwenye Ndoa Yake Uwenda Uyuu Mama Alichoka KUchitiwa Ndio Maana Unamuona Kma Hana Majuto Kwenye Msiba Huu Wa Mumewe Kwa Kesi Ya Kijinga Kma Hiii Hili Hali Alisha Mkanya Mume Wake Juu Ya Mke wa Mtu Ila Mume Alijifanya Mwamba Mnataka Uyuu Mama Atoe Machozi Ama Alie Mbele Ya Camera Sasa Ata Akilia Mbele Ya Camera Machozi Yake Yatabadilisha Nn Ili hali Tayari Mumewe Ameuwawa

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 5 หลายเดือนก่อน +12

      Point na moyo wa mwanamke ukichoka acha kabisa

    • @sixmundleonard2135
      @sixmundleonard2135 5 หลายเดือนก่อน +4

      Iyo ndyo dawa unajikuta mwamba kwa mke wa m2

    • @SefrozaMafuru
      @SefrozaMafuru 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @bintiwayesu2226
      @bintiwayesu2226 5 หลายเดือนก่อน +3

      kabisa huyu mama anampenda sana mume we ila anaonekana alivumilia sana kuchitiwa mpaka akasema bora liende too bad, dhambi ikikomaa huzaa mauti

    • @bahatishabani1392
      @bahatishabani1392 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hana roho ngumu ni jasiri tu

  • @user-vt4vd5rh8u
    @user-vt4vd5rh8u 5 หลายเดือนก่อน +22

    Mama una ujasiri Mungu akusaidie tuweni waaminifu kwenye ndoa zetu

  • @halimasuddy9294
    @halimasuddy9294 5 หลายเดือนก่อน +9

    Innallillah wainnalillah rajiun 😢 MUNGU TUPE MWISHO MWEMA

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 5 หลายเดือนก่อน +5

    Ila mama ana ujasiri😢😢😢😢wooiiyeee .mama pole tena

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 5 หลายเดือนก่อน +17

    Daah 😭😭amekufa Kwa maumivu makali mno,pole sana dada,mwisho wa dunia umefika jamani

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 5 หลายเดือนก่อน +6

    wee mungu wanguu mama pole unaujasiri sana wewe superhuman wewendioukonauchungu kuliko yule anaeliakwakelele wewe unalia ndaniyamoyo polesana

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mama Pole sana..But Mama mbona kama anaona Sawa kwa kilichotokea..hii ni kutokana na Kuchoshwa na Tabia za Mume

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 4 หลายเดือนก่อน +4

      Huyo ni mama wa kiiraki huwa wanaujasiri sana

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 5 หลายเดือนก่อน +7

    Huyo marehemu kifo alichokutana nacho ni halali yake! Mke wa mtu kutembea naye sio habari njema hata kwa mungu! Hata kama ulimpenda vipi mme wake akigundua akakufuata nakukuonya! Achana na mke wake na umwombe msamaha!

    • @husseinkonz5192
      @husseinkonz5192 5 หลายเดือนก่อน

      Mke wa mtu sumu ndio hii sasa

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa mwanangu, mke wa mtu mheshimu sana

    • @patrickrueben5585
      @patrickrueben5585 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo ni kujifanya weye ni mtombaji mzuri kuliko mwnye mke, faide ndo hyo alioipata akati alishakuonya......

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 5 หลายเดือนก่อน +9

    Hii kalii na kuna anaewatch hapa na bado anakaa na mke wa mtu😂😂😂😂

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mama alichoka Sana na tabia za mume.

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x 2 หลายเดือนก่อน

    Mama pole sna mungu akulinde na akupe faraja

  • @paskalinamassawe5283
    @paskalinamassawe5283 5 หลายเดือนก่อน +9

    Jaman nawafahamu mbona aibu omg rip sadiki

  • @user-bz7gk2pu4m
    @user-bz7gk2pu4m 5 หลายเดือนก่อน +18

    Mungu nilindie mume wangu

    • @Bmsecret
      @Bmsecret 5 หลายเดือนก่อน

      Mruhusu aoe mke mwingine akihatija usiwe na shida asije akatoka nje ya ndoa

    • @bintiwayesu2226
      @bintiwayesu2226 5 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@Bmsecretsio kweli wapo wameoa wengi na bado vimada kibao nje, Mungu tu aturehemu basi

    • @Bmsecret
      @Bmsecret 5 หลายเดือนก่อน

      @@bintiwayesu2226 mruhusu mume aoe bila hivo Anna nusura utakuwa na mwenza tu

    • @bintiwayesu2226
      @bintiwayesu2226 5 หลายเดือนก่อน

      @@Bmsecret sio mm wa kumruhusu au kutomruhusu kiapo chake anakijua mwenyewe hiari yake kukiishi au kukivunja

    • @Bmsecret
      @Bmsecret 5 หลายเดือนก่อน

      @@bintiwayesu2226 uislam hauna Kiapo lazima ana nafasi tatu

  • @khasianussamson6227
    @khasianussamson6227 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mama Mungu ampe nguvu katika kipindi iki kigumu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mwandishi kiswahili shida , mama anasema tukio la kwanza lilikuwa linaonekana la kweli lkn serikali yakijiji hawakulitatuwa kwa haki , ndio maana likatokea hili la pili . according to nilivyomuelewa. Usikimbilie tu swali jingine ksbla haujaelewa jibu ulilopewa juu ya lakwanza.

  • @hasaniabdalah6148
    @hasaniabdalah6148 5 หลายเดือนก่อน +3

    Da!! Mama mungu akuongoze na akupe faraja kwa kuwa wewe ni mama shujaa . Maisha yana mitihani mingi tunapaswa kujifunza mengi kutoka kwa maelezo ya mama huyu .😢 Ila nikirudi kwa walengwa wakuu wanaume hawa 2 . Muuliwa na na muuaji tukianza na muuliwa hayupo ila wawakilishi wake sikieni hili unapo tembea na mke wa mwenzio tambua maumivu mwenzio anayo pitia kwa kuonekana fala asie na lolote mbele ya jamii yake sishabikii jinai ila jiulize ingekuwa ni mkeo ungejisikiaje moyoni ?. 2 na huyu alie ua binafsi

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 5 หลายเดือนก่อน +1

      Na huyu Alie ua binafsi namhurumia kwa tendo ovu la kutokana hasira japo mke auma moyoni na utadhalaulika lakini heri maumivu ya kudhalilishwa usubirie hukumu ya Mungu kwa hyo mbaya wako kuliko kumhukumu wewe maana asaivi japo umeona umemalixa hasira yako lakini utaishi kwa majuto kuliko hata ungemwacha mke au ukamwachia Mungu akuhukumie jambo lako

  • @user-xm6je1jw9v
    @user-xm6je1jw9v 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mama anabusara za kutosha.pole mama

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mama anaongea kwa ujasiri alicho nifuraisha ni kauli yake ya kuwa kilicho mpata yuko tayari kwa jambo lolote litakalo mpata mbele

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 5 หลายเดือนก่อน +5

    Rombo kijana mmoja alimwambia mke wake,mpigie hawara yako mwambie aje mimi cpo.Mke skafanya hivyo hawara akaja akaingia ndani akijua atajivinjari na mke wa mtu,hawara akashambuliwa na mapanga akafia palepale tena mbele ndani.Mnaitwa tu mnaenda km kuku.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 5 หลายเดือนก่อน

      Kafanya vizuri shenz

  • @ariphkimani3790
    @ariphkimani3790 5 หลายเดือนก่อน +5

    Watu wa manyara na singinda wanajua sana pande za Dunia,mashariki,magharibi,kaskazini,kusini

  • @jenipherjackson3826
    @jenipherjackson3826 5 หลายเดือนก่อน +13

    sk zingine ndugu zangu watanzania ujasiri wa hivi tusije tukarudia kuufanya tena ujue ata uyu mama tungekua tunaomboleza misiba miwili sasa wangemuua je😮😳😳😳😳so sud

    • @user-xx8jx6tb7d
      @user-xx8jx6tb7d 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli yaan alvyomuuliza una nifaham angesema tu ndio wangemuua ila yey alimjib hapana skufaham, daaa maskin

    • @jenipherjackson3826
      @jenipherjackson3826 5 หลายเดือนก่อน

      @@user-xx8jx6tb7d Hana uzalendo wa kitz uyu mumama🙄🥺🙌

    • @muddywatown
      @muddywatown 4 หลายเดือนก่อน

      Yani huyu nae alikua anauwawa

    • @ubongosahihi
      @ubongosahihi 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kwa Neema tu za Mungu 😢😢

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 4 หลายเดือนก่อน

      Alipaswa afatwe na watu nyuma yake

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wenyeviti walio wengi wanakula wake za watu. Kuua sio sawa ila maumivu ya kuchukuliwa mke sikia kwa magazeti tu........ Tupinge ukatili wa aina zote wakuana na kuchukuliana wake.. Pande zote Story zimeniumaaa

  • @user-mc8rz4yp4r
    @user-mc8rz4yp4r 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo ni wivu ya maendeleo, mpaka pikipiki,amemuonea baba wa watu, Kuna watu wako hivyo, Sasa ataishi Tena na huyo nwanamke, ni kwamba watafia jela,

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 5 หลายเดือนก่อน +2

    Pole my dunia inatisha sana sk hizi

  • @user-oq6hb9hh2b
    @user-oq6hb9hh2b 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi naona tunako elekea watu wataheshimu mahusiano y wtu mimi nimeshuhudia mahusiano ukiambiwa acha mahusiano y mke wangu hebu wacha usiendelee kutembea na mke wa mtu jamani musikiage mtu akikuonyA acha kama umefanya kweli watu hawaogopi

  • @GoodluckAmos
    @GoodluckAmos 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mama amehojiwa hadi akajichanganya jmn et nina miaka 20 kwenye ndoa, mtoto wetu wa kwanza ana miaka 25.. Wewe mama ni jasiri, leo inatakiwa iwe siku yako special. Maneno ya hekima mno dah Ubarikiwe sana

    • @steveanthon5523
      @steveanthon5523 4 หลายเดือนก่อน +2

      Walizaa nje ya ndoa baadae wakafunga ndoa, hakujichanganya amesema ukweli wake

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 4 หลายเดือนก่อน +1

      Cha ajabu kipi,alimzaa kabla ya ndoa yao

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 5 หลายเดือนก่อน +7

    Pole sana mama

  • @mjukuuhotelitv7736
    @mjukuuhotelitv7736 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mke wa mtu sumu hivi hamuelewagi nini

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 4 หลายเดือนก่อน +2

    Binadamu tuna mioyo ya ajabu sana.Kuna haja gani ya kumuua mwanaume mwenzako kwa sababu ya mwanamke aliyekubali kuvua chupi mwenyewe kwa hiari yake? Ukijua kuwa mtu anakuchapia bora kumuachia tu huyo mwanamke,ubaki na amani yako.

    • @paulmafuru7283
      @paulmafuru7283 4 หลายเดือนก่อน

      Shida inakujaga mtu anakuchukulia mke alafu anakuonyeshea na dharau tena akiwa ana ka kitengo ndo kabisaaaa so watu tujifunze

  • @ShakiraAthumani
    @ShakiraAthumani 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole,sana

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 5 หลายเดือนก่อน +6

    Ujasiri Wake Umemuokoa Uyu Mama

  • @nurdinsalum7041
    @nurdinsalum7041 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mke wa mtu sumu ila hii imezidi 😢 pole sana.

  • @user-bz7gk2pu4m
    @user-bz7gk2pu4m 5 หลายเดือนก่อน +12

    Mama ana ujasiri huyu duh jaman na alkuwa anampenda mme wake

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 5 หลายเดือนก่อน

      Ampende nn , msaliti

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 5 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mwanaidimussamwanamke lakini huna akili Sasa usaliti ndo auawe!wewe umekamilika??

  • @user-rw2mm1jk6o
    @user-rw2mm1jk6o 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ila uyu mama anahatari je wangemzuru alafu kumbe ilikua usiku daah hao watu wa manyara noma sana

  • @judithminja6386
    @judithminja6386 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aiseeeee😊

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 5 หลายเดือนก่อน +5

    Daa boda na na huyo mama hawakutumia mbinu za kivita kwenda eneo la tukio na wahalifu .....walienda bila tahadhari hata wao wangeweza kudhurika.

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hio Tanzania imekidhiri mauaji yasiyonalazima.Yte hya nimapenzi uko tayari ukose amani ukose kuishi nawtoto wako yte ujinga nakujifanya hmjali Sheria hmjali kuwa Kuna Kuna maisha baada yhpo.Nivi nikitu Gani kikubwa kitakachokufanya umfanye binadamu mwenzio kma nyama.Embu uchukulie kwako.Unamuua binadu mwenzio kikatili hivyo.

  • @frenkfarm1139
    @frenkfarm1139 5 หลายเดือนก่อน +3

    huyuuu mama duuu inaonyesha anaroho ya kisasi ndani duuuuu huo ujasili unatoka wapi

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yani huyu mama anavyosimulia mm uku nasisimkwaa, haki me nisingeenda uo usiku anichinje na mm weeeh huku mama ni malaika sio binadam 😢

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 5 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu mama alichoka sana na tabia chafu za mume wake

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mhh huyu mama ni kasoro sana Kwa kweli

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 5 หลายเดือนก่อน +2

    Limwanaume lilikua halisikii likiulizwa linamuambia huyu mama ndio

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sna mama ww mhmm

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ila ww mama unaroho ngumu daaah sasa huyo muuwaji angekugeukia na ww mmmmm😭😭

  • @user-ky8zy5cv9c
    @user-ky8zy5cv9c 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wanawake tutulie kwenye ndoa zetu jamani mwanaume bora umuibie pesa kuliko kuiba tamu yake uwiiiii tusifanye ivo jamani

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 5 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa mwenye kiti tena kutongoza wake wa wutu? Rest in Peace mwenye kiti

  • @SGVBnewsSAMWEL
    @SGVBnewsSAMWEL 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mama ni over smart sana abanwe vizuri

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mama haliii mumewe kafa kwa sababu inaonekana alikua alishamchoka mumewe hata mission usikute na yeye yumo
    ................................................... .
    Hakupiga simu hata Police
    #Wazee wa #Cuba

  • @godlovemwakalinga
    @godlovemwakalinga 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wambulu ama wairaq wanaakili na ujasiri nyie msiwadharau wala kuwaita makaya ama kuwafanya chombo cha starehe mjini Mama hongera Kwa ujasiri na kauli zenye mashiko.

  • @ScolaMasanja-fg7hi
    @ScolaMasanja-fg7hi 5 หลายเดือนก่อน +2

    mama mujasli sanaa n zaid yajeshi upewe ulinzi

    • @bintiwayesu2226
      @bintiwayesu2226 5 หลายเดือนก่อน

      sidhani km ni ujasiri tu ni pamoja na usugu wa machungu mengi, pamoja na yote haikufaa kumuua baba wa watu kakosa ndio lkn kuuawa ni ukatili mkubwa

  • @Rachelnsanzu
    @Rachelnsanzu 5 หลายเดือนก่อน +5

    Manyara napo jamani

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 5 หลายเดือนก่อน +1

    Muuaji ni mtu katili ndio maana hata Mke wake alikua anachepuka, ukafie jela na roho Lako la ukatili, na Mke wako ataolewa na mwanaume mwingine

  • @furahasmart1516
    @furahasmart1516 5 หลายเดือนก่อน +2

    hv wanaume mnaumiga sanaaa mkifumania?mbona nyie mnachirt sanaa

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duh mama jasiri

  • @mmarycalvin6395
    @mmarycalvin6395 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maswali mengine hayana maana. Mtu Ana machungu una muuliza ataishije kweliiii hata msiba haujaishaaa ? Au ulikuwa umeishaaa ??? Mboreshe kidogo kuhoji.

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 5 หลายเดือนก่อน +11

    Watu wa kanda ya kaskazin akiri hawana kabisa wanawake kuwen makin kuolewa na makabila ya manyara.😢arusha na Mara

    • @theresiachacha5180
      @theresiachacha5180 5 หลายเดือนก่อน

      Eeh Mara Tena?😢

    • @tinaminja5500
      @tinaminja5500 5 หลายเดือนก่อน

      My dear dunia imeharibika Ni kumuomba tu mungu....

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 5 หลายเดือนก่อน

      @@theresiachacha5180 ndiyo Yan uko mara ni mapanga TU bira huruma hamna tofaut na Arusha na manyara

    • @musicheals1545
      @musicheals1545 5 หลายเดือนก่อน

      kwa nn ukule wake za watu babuuuuuu

    • @SefrozaMafuru
      @SefrozaMafuru 5 หลายเดือนก่อน

      Sasa Mara imekujaje hapa na wewe..hii ni mtu kabila lolote inaweza kumpata,kikubwa kaeni mbali na wake za watu..simple hamna kanda katika hili

  • @benjaminchakwe9815
    @benjaminchakwe9815 4 หลายเดือนก่อน +2

    MUWAGE MNAACHA UMALAYA NA TAMAA

  • @swalehesaidi5600
    @swalehesaidi5600 5 หลายเดือนก่อน +9

    Mama jasir Mashaallah ❤

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 5 หลายเดือนก่อน +1

    POLISI WA MAMA SAMIA OYEEE👀👀👀!

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 5 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu mama alijiamini nini kwenda mwenye na niusiku itakua aliwatuma ndo wakamwita akatoe malipo itakua uyo mama anajua kila kitu mwanzo mwisho eti mzoga 😢

    • @ZubedaHussein-it7nf
      @ZubedaHussein-it7nf 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ata mm nmewaza km weww ushujaa wakwenda mwenyew Tena usiku ata asishirikishe jeshi la police uyu mama apana

    • @Boniphaceshayo5
      @Boniphaceshayo5 5 หลายเดือนก่อน

      @@ZubedaHussein-it7nf kuna kitu ndani yake usikute na yeye aliusika kikamilifu

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 5 หลายเดือนก่อน +10

    Me namwangalia TH-cam tu namuogopa uyu mama wallah maana mkavu aisee kweli uyo baba marehemu alikua anakaa na jarisi wa moyo wa mwanaume 😢😢😢

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 หลายเดือนก่อน +7

      Alishamuumiza moyo baadaye ukafa ganzi

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 5 หลายเดือนก่อน

      @@trophywilson7211 so kweli Kwa uyo kama ayo mambo yalisha muumiza angesema hana subra kabisa ujasiri tu amejaghaliwa me siwezi ata kama iweje ni Bora niondoke kama ni ivyo ata kuua anaweza

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@trophywilson7211upo saii maana uyu aandka iv kama s mwanamke na mgen wa waune

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 5 หลายเดือนก่อน

      @@trophywilson7211 umenene vyema, mwanaume anakpig matukio mpk unakuwa komando

    • @jacklinemyala8194
      @jacklinemyala8194 5 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa ulitaka afanyaje?!

  • @festusmakanja3645
    @festusmakanja3645 5 หลายเดือนก่อน +5

    Lakin ukiwakuta makanisan,utafikili watakatifu wa Mungu,kumbe......????

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 5 หลายเดือนก่อน

      Yaan umegong penyew Festusmakanja

  • @judithminja6386
    @judithminja6386 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba alikufa kwa maumivu makali sanaaa

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 5 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh Mungu tusaidie na tuepushie majaribu kama haya

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mke wa mtu sumu😢😢😢

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani namimi mwenyewe nashangaa unaongozanaje namauwaji halafu hustuki Mimi nahisi hata huyo mwanamke alifurahi mumwe kufanyia hivo au walishauriana yaani huyu mwanamke alishirikishwa katika haya matukio yote

    • @ShukuruHassani-mw3uo
      @ShukuruHassani-mw3uo 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kama aliweza kuja na boda alishindwaje kwenda kuchukua police

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 5 หลายเดือนก่อน

      Siooo kweli, sema Hana elimu yakutoshaaa ndo maan hakuwa na hofu anaenda enda tu

  • @user-bg1uf8ws6p
    @user-bg1uf8ws6p 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mama kuna kitu anajua

  • @user-on3yb2vz1n
    @user-on3yb2vz1n 5 หลายเดือนก่อน +6

    Jmn😢😢mama moyo ulishafunga kabisa.wanaumeeeeee

    • @musicheals1545
      @musicheals1545 5 หลายเดือนก่อน

      oyeeeee

    • @user-dx4ow8vq1c
      @user-dx4ow8vq1c 4 หลายเดือนก่อน

      Janaume litakua lilikua malaya mno ndomana anaujasiri

  • @judithjulius5993
    @judithjulius5993 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hila mama pia ulikuwa umeshachoka na matendo ya mmeo,sababu ungeitwa ungeenda na polis,basi ulikuwa tayari umechoka na matendo ya mmeo

  • @mwitajoseph8315
    @mwitajoseph8315 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duhhhhh kiuno kiuno kiuno

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z 5 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU tulinde Babayetu

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama kwanini hakwenda hata na Maaskari au hata Wagambo?

  • @user-wd2bc7bf5x
    @user-wd2bc7bf5x 5 หลายเดือนก่อน +3

    😭😭aisee una roho ngum jamani uwii wew mama

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 5 หลายเดือนก่อน +2

      Simlaumu wanaume wanatutesa sana ndani ya ndoa so inapofika imetokea kama hili unaona kawaida tu

    • @sharkiiy236
      @sharkiiy236 5 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni manyara watu ni wagumu

  • @sadikingitu
    @sadikingitu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wajina mapenzi yamemuua 😢

  • @festokastory5282
    @festokastory5282 5 หลายเดือนก่อน

    Mama yuku fiti sana duuh

  • @mropetv7034
    @mropetv7034 5 หลายเดือนก่อน +1

    mama jasili ila aisee mke anauma weweee

  • @pendo8082
    @pendo8082 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @user-sp1jz5pz1r
    @user-sp1jz5pz1r 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanza huna roho ngumu sana ww mama kumbe taarifa ulikuwa nayo kwann usitoi taarifa kituo cha police kabla ujaenda uko daaaaah😢

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @rossemaryeliya6113
    @rossemaryeliya6113 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU tuepushe na muepushe mume wangu na vifo kama hivi kama atateleza ,na mnusuru na tamaa ya nje ya ndoa

  • @danielpeter8085
    @danielpeter8085 5 หลายเดือนก่อน

    Uyu mama mshamba sana!! Asa kwann kabla ya kwenda angepiga yowe aende na vijana!!! Amezingua uyuuuu

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 5 หลายเดือนก่อน +2

      Mshamba ni wewe, hivi angejuaje kwamba angekuta mazingira hayo? Hayajakukuta, hiyo hali ni ngumu mnoo. Huyo mama bado hajaelewa kilichotokea,maumivu atayapata baadaye

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 4 หลายเดือนก่อน +1

      Usizin wewe harafu alaumiwe mkeo jinga kabisa, mjiepushe na wake za watu

  • @mosesmnyantope9534
    @mosesmnyantope9534 5 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 5 หลายเดือนก่อน

    Eeh mama by professional we ni nesi au doctor?

  • @user-wd7ji6mn5b
    @user-wd7ji6mn5b 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tsjiri wimbo

  • @MiriumWajey-lr1tq
    @MiriumWajey-lr1tq 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman si angepiga simu polisi😭

  • @faridithomas4859
    @faridithomas4859 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mama jasiri sana, kuna wanaume wengi hawawezi kufanya alichofanya huyu mams

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli lakin haijamsaidia chochote

    • @user-mn7zq7cd5t
      @user-mn7zq7cd5t 5 หลายเดือนก่อน

      Huyu mama ameumizwa sana hivyo hata uchungu sio sana

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 5 หลายเดือนก่อน +2

    Duuh ila mama kwanini uende mwenyewe jamani ? Au ndio kupagawa? Je ulimtaarifu hata jirani au ndugu yake yeyote?

    • @zuhurasaid
      @zuhurasaid 5 หลายเดือนก่อน

      Atakuwa alishapokea kesi sana, huoni muuaji alimwambia njoo umuone mtu wako kama atakufaa umchukue? Kuna kitu kabla ya mauaji

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 5 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mama alichoka na mume wake khaaa

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ujasiri

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaa mama unaujasiri sana unaenda seem ya tuko usiku wa saa tatu na vijijin uko sasa na wewe ungekuuwa ingekuwaje jmn mhhh kuna la kujifunza hapa aise

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 5 หลายเดือนก่อน +2

    Inalilah wainaillah rajion 😭😭😭anaroho ngumu mme wake hata chozi

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 5 หลายเดือนก่อน

      Aliye Kwa kipi? Mtu mzinifu kauwawa uzinzi na alimuombea mpaka msamaha na amemshuhudia hajafa mpaka amefariki kamfunika mwenyewe ulitaka aangue kilio mda huu? Hebu muacheni

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 5 หลายเดือนก่อน

      Yaani kuna watu kazi yenu kujaji watu, mtu akifiwa asipolia basi inakuwa shida, kuna wengine wanalia lakini sio kama wanauchugu na huo msiba wanalia nayao wanayopitia au walishayapitia na wengine hulia kwakuigiza tu ili waonekane wamelia. Ila huyu mama anachpoitia yeye ndiye anayejua na Mungu pekee usimuone hivyo ndugu.