KIJANA HUYU AJITOKEZA HADHARANI KUUZA FIGO YAKE MIL. 270, ANADAIWA NA WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 371

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 หลายเดือนก่อน +34

    Kikubwa hapo mim naona achangiwe tu ili aondokane na maden na changamoto za maisha

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 4 หลายเดือนก่อน +17

    Haya maisha ni bora uliye njaa kuliko madeni kakaangu pole sana mwenyezi mungu atakufanyia wepesi ila maisha magumu sana sana huku uswahilini tupo ishi watu kibao wanalia njaa maisha magumu sana sana 😭😭😭😭

  • @charlesobinya
    @charlesobinya 4 หลายเดือนก่อน +27

    Jikaze mwanaume hakuna kisichokuwa na mwisho. Kuuza Figo Ni ufinyu wa kufikiria, mlilie mungu, fanya kazi Kwa bidii Amini kabla ya mwaka huu kuisha Utayashinda.

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 4 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hakijakukuta ww shida isikie kwa mwenzio asilimia 90 sisi binadamu tunaingia kwenye viapo na kila kiumbe Kama uchawi au kuuza madawa nikwa sababu ya maisha magumu

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 4 หลายเดือนก่อน

      acha kbonga ovyo Mt kapta na mlion kazaa syo kt cha kawaida kwanza pongez kwake ad Sasa yupo hai

    • @LucyCornery
      @LucyCornery 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisaaa​@@deogratiusyudatadei5658

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 4 หลายเดือนก่อน +16

    Usikate tamaa mungu yupo pamoja nawew utafanikisha malengo yko Ila usiuze figo hatar sana

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 4 หลายเดือนก่อน +10

    Kulia huyu n ishara tosha maisha n magum kwa sasa jaman daaaa mungu atulinde kipindi hikii kigumu

  • @daudimwidimakihanda5386
    @daudimwidimakihanda5386 4 หลายเดือนก่อน +15

    Huyu jamaa namjua nilikua namuona, napishana nae kama anapitia haya kweli mungu amsaidie.

    • @marrykanyipa9699
      @marrykanyipa9699 4 หลายเดือนก่อน

      mm pia cjui nilimwona wap sura si ngen

    • @user-zt5cz4og2k
      @user-zt5cz4og2k 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@marrykanyipa9699huyu ni msanii wa komedi

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 4 หลายเดือนก่อน

      Msanii uyo ​@@marrykanyipa9699

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 หลายเดือนก่อน +20

    Subhana Allah chozi hilo uyo mwanamke ajirundi tu coz dunia duwara

  • @lameckaloyce1615
    @lameckaloyce1615 4 หลายเดือนก่อน +16

    Pole sana bwana makulusa Mungu akutie nguvu uanze upya

  • @saimonwantango9569
    @saimonwantango9569 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mzee makulusa pole sana,na wanawake wa kuokota okota wa mjini ni shida hawataki kuona hela ndo maana baadh yao hawafai hata kuomba ushauli,

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 4 หลายเดือนก่อน +18

    Aisee wanawake wengine mtian pole sana

  • @beratsanoo5778
    @beratsanoo5778 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu atakutia nguvu ndugu yangu,Kuwa na Imani,Na pole sana.

  • @samwelnaal7952
    @samwelnaal7952 4 หลายเดือนก่อน +9

    Napata huruma ila nimegundua mshikaji hana plan za maisha....mil 20 ndo pesa pekee uliyonayo lakini unataka kununua gari....hauko serious kwa kweli
    Then una 37 bado unalalamika huna wazazi! Hata wangekuwepo ungewategemea? Hii siyo sawa kwake
    Anahitaji kubadili mtazamo wake kuhusu maisha

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika kuna shida kwenye mtazamo wake miaka 37 unatakiwa uwe full independent aise

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 หลายเดือนก่อน +1

      Umeongea kama watu mia

  • @user-zs4qz4wm2n
    @user-zs4qz4wm2n 4 หลายเดือนก่อน +4

    Chifu mi nadaiwa balaaa na sijakata tamaa na naamini Mungu anatupenda na atatusaidia kuvuka.....mawazo uliyofikia ni umeruhusu akili yako kufika mwisho... Jikaze hakuna gumu linalodumu( ALAFU BORA WEWE UNADAIWA HUKU UMENENEPA MI MWENZIO NADAIWA NA NIMEKONDA😢😢)

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢 pole

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 4 หลายเดือนก่อน +2

    Subhanallah pole sana ALLAH akufanyie wepesi.

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 4 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani mnaomdai msameheni lakini unauza figo unajua afya yako inaruhusu kutoa figo jamani mwee hapana kaka omba msaada mwingine sio kuuza viongo vyako uwiii naogopa mweee

  • @mwarabuofficial5241
    @mwarabuofficial5241 4 หลายเดือนก่อน +9

    Makulusa miaka 37 unasema huna baba wala mama huko ni kutia huruma sasa mtandaoni maana hata wangekuwepo wewe bado ungekuwa ndio msaada wao mkubwa maana wangekuwa tayar age agooo! All in all huyu mwamba asaidiwe jmn pia Tz ni nchi ya watu wenye huruma sana ukiachana na watu kila jambo kuchukulia utani ila hii talent tusiipoteze asaidiwe kwa namna yoyote ile iwe kwa kupewa misaada au kupewa kazi mean aajiliwe.

  • @marychuwa8159
    @marychuwa8159 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nakuelewa Kaka😭😭😭natamani sana Walichofanya kwa ajili ya fomu ya Urais basi tusaidiane kwa watu kama hivi

  • @hajially4527
    @hajially4527 4 หลายเดือนก่อน +10

    Heheheee fingo elfu 7 watu wadharau

  • @annaezra2344
    @annaezra2344 4 หลายเดือนก่อน +47

    Jamani mungu akusaidie kaka, lakini pia wanaomdai huyu tumsamehe tu hatutapungukiwa

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 4 หลายเดือนก่อน +1

    Inavoonesha uyu jamaa anashida kubwa sana Naweza kushilikiana naye kubadilisha mtazamo.
    Naomba tushilikiane jamani kumnusuru uyu jamaa hata kwa miatano miatano tu atapona.
    Aweke namba yake tumchangie chap.
    #Tanzania is for real Love.

  • @allybinnseif1816
    @allybinnseif1816 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamke kumbe hakuwa wa ndoa mmeokotana tuu mitaani mkawa mnazini mbaya zaidi unamuachia pesa zoote hizo utadhani kwao wanakutambua
    Poleee Sanaa rejea kijijini ukaanze kulima utapata pesa za kulipa madeni na mambo mengine

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 4 หลายเดือนก่อน

      Ni tabia mbovu sana kwa watu weusi kuishi bila ndoa imekua kitu cha kawaida innalillah wainna ilayh rajioun😢😢😢

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akusitiri hilo ulokaa nalo n jizi Pole,jipange, Mzee baba cm haipatikani, jipange,

  • @beratsanoo5778
    @beratsanoo5778 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwanamke alaaniwe na mwenyezi mungu,

  • @HASHIMUMKUNDA-pz1wd
    @HASHIMUMKUNDA-pz1wd 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hama huko na ukatafute maisha sehemu nyingine. Kuuza figo sio suluhisho la kutatua hizo changamoto, hata ukiuza bado unaweza kujisababishia kifo na hizo pesa zisikusaidie chochote

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wanawake wallah machozi yamtuy ambae ka dhulumiw unaweza pata mtihan san unaweza kupata shida san

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 4 หลายเดือนก่อน +3

    Pole saana, Allah akuruzuku kikubwa zaidi ya ukichokipoteza inshaallah, ila pesa milion 20 kweli unashindwaje kuweka Bank, hata iwe mnamipango ya biashara! Huo ni uzembe tosha bro. 😢

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 4 หลายเดือนก่อน

      usiongee ivyo man unaweza ukamuamn mkeo ndyo akakzr

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 4 หลายเดือนก่อน +2

    Haya maisha magumu sn ndg zangu ukicheki heka heka za kifamilia bora mtu kujitoa muhanga ili kupushi familia mimi mwenyewe nikipata mteja wa figo nauza nibadili upepo wa maisha ya familia yngu

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 4 หลายเดือนก่อน

      Hata mm jman nimechoka nam haya maisha

  • @UPAKOMINISTRYTV
    @UPAKOMINISTRYTV 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ee mwenyezi Mungu mruhumie mja wako uyu hakika ukiona mwanaume analia ujue ana wakati mgumu sana uyo mwanamke machozi hayo hayatamuacha salama

  • @ommimg2467
    @ommimg2467 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ni darasa unapita ili uache kuwa kilaza bank zote zimejaa, vyanzo vyote hivyo unaenda kumpa mwanamke hela yote! ila kwasasa huwez kushaurika tukio ushapigwa tyr, ila inshu ya wazazi achana nayo kbs we umeshazeeka

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu Jamaa kama niliwahi kumuona Akiigiza na Timamu Comedy.

  • @hajially4527
    @hajially4527 4 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu nimsanii sasa hata wanii wetu hawana ushirikiano ila wangemchangia tu

  • @merckmdamu2942
    @merckmdamu2942 4 หลายเดือนก่อน +13

    Jamani tukiwa mjini maisha yakatushinda njooni mashambanihuku kujitafuta tena😢😢

  • @asiahamis7893
    @asiahamis7893 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kaka ang naomba usifanye kitu km hicho fanya kaz kwa nguvu zako zote achana na hilo ndugu yang

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano 4 หลายเดือนก่อน +9

    Bandugu acha hakili nyepesi kudaiwa ni jambo la kawaida kwa kuwa wanao kudai ni binadamu si unawambia tu una muona mungu mjinga kuweka Figo 2 mdaiwa afungwi

    • @salekhvidal8346
      @salekhvidal8346 4 หลายเดือนก่อน

      Ungekuwa ww ungeweza kumvumilia na jua ili

    • @azuma7166
      @azuma7166 4 หลายเดือนก่อน

      Na wenye matatizo ya Figo na wenyew pia wanahitaji

    • @Ambeniwatano
      @Ambeniwatano 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@azuma7166 kiungo alichokujalia mwenyez mungu ni halamu kuudha ni Halali kusadia Bure kwa binadamu mwenzako rejea watu waliuza Figo Leo wana Nini?

  • @user-dm4uu9mi5m
    @user-dm4uu9mi5m 4 หลายเดือนก่อน

    pole kaka angu mungu akusaidie

  • @saidjelani1566
    @saidjelani1566 4 หลายเดือนก่อน +1

    Akili kama sima unachukua pesa unampa hela zote halafu baya zaidi unakopa ili umtafute sasa waoza figo mungu ataku saidia

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 4 หลายเดือนก่อน

    Dah pole sana

  • @HajiOmary-jz7ce
    @HajiOmary-jz7ce 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allah atakujalia kila la kheri kk

  • @RickshabyVlogs
    @RickshabyVlogs 4 หลายเดือนก่อน +5

    Uliwekewa dawa hadi ukampatia mwanamke pesa duuh pole sana

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 4 หลายเดือนก่อน

      Hapo sasa yani angenunua kiwanja saiv asinge waza sana

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole san

  • @noelphilipmollel6355
    @noelphilipmollel6355 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tuache maigizo.....lengo la hiyu jamaa lilikuwa lipi kuchukua hela kwa watu tofauti tofauti kwa kiwango cha laki mbili hadi tatu mpaka kufikia milioni 12? Inamaanisha hakuwa na mpango au mkakati nazo. Hapo anatafuta huruma kwa watu....aseme tu alikuwa na matumizi makubwa kumuhudumia mwanamie na ndio sababu iliyomfanya akope kwa hao watu.. pengine alitaka kumuaminisha mwanamke anauwezo wa ki super star ukizingatia yeye ni muigizaji...haya sasa mfano angenunua gari ikapata majanga au angefungua biashara ikafa je, asingelipa hela za watu? Asikwepe wajibu wake.

    • @user-xz2yu4hv4w
      @user-xz2yu4hv4w 4 หลายเดือนก่อน

      Acha kujifanya unajua hata wewe unahitaj watu ili kuishi... Litakurudia kwa nduguzo

    • @noelphilipmollel6355
      @noelphilipmollel6355 4 หลายเดือนก่อน

      @@user-xz2yu4hv4w hongera na wewe kwa kujua maisha ya pande zote

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wekeni numbr tuchangia 😢😢Allah akutaksdiaa kakngu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pole.sana kaka Allah akufanyiewepesi apatikane wakukusaidia au wakusamee. tu Omba Mungu sana imeniuma sana😢

  • @HashmanMakungu
    @HashmanMakungu 4 หลายเดือนก่อน

    Daa pole sana kaka maisha ni magumu sana lakini isiuze Figo kwani unajizulumu

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 4 หลายเดือนก่อน +14

    😒😒😭😭mpka Mwanaume analia hivi dah😪😪😪😪so sad

    • @RickshabyVlogs
      @RickshabyVlogs 4 หลายเดือนก่อน

      Mlaini huyo si aje migodini kwenye kazi za kiume hata aibu hana alitumwa ampe huyo dem wake

    • @user-tg2mn3xu1y
      @user-tg2mn3xu1y 4 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi wanawake ndio chanzo

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 4 หลายเดือนก่อน +7

    Pesa.hiz zina mashaka san utampaje mtuy pesa naumri huu

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mzee makulusa

    • @user-tg2mn3xu1y
      @user-tg2mn3xu1y 4 หลายเดือนก่อน

      Ukiuza figo kweli bado uko hai

  • @mellahbrain295
    @mellahbrain295 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu doctor sijamuelw hajaelezea efect

  • @SalumuRamadhani-ct2iv
    @SalumuRamadhani-ct2iv 4 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana kaka mkubwa

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 4 หลายเดือนก่อน +15

    Huyu si yule yupo kwenye comedy

    • @abdibilali4186
      @abdibilali4186 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ni yeye

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio ni yeye

    • @Jacklinejohn7
      @Jacklinejohn7 4 หลายเดือนก่อน

      Daah aisee kweli maish haya

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 4 หลายเดือนก่อน

    Dagh mtihani Allah akusimamie

  • @vagashappnecy4850
    @vagashappnecy4850 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana makulusa

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 4 หลายเดือนก่อน

    Pole kaka

  • @judithminja6386
    @judithminja6386 4 หลายเดือนก่อน +1

    Me nadaiwa hela kibao lakin hapana jaman ntalipa ivo ivo kidogo dogo ila syo kuuza kiungooo😊😊

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani viongozi WA serikali msaidieni huyu kijana kulipa deni mama Samia msaidie huyu kijana mungu atakuwrka katika pepo ya jannat firdaus mama

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 4 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu jamaa anahitaji kusaidiwa kwanza huyo mwanamke atafutwe pia Asaidiwe. Kimahitaj nk

  • @stellamsokwa6785
    @stellamsokwa6785 4 หลายเดือนก่อน

    Dunia inamapito sana😭 acheni tu jamani,ee Mungu naomba mwisho mwema🙏🤲

  • @rahmaismaily3358
    @rahmaismaily3358 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanamke ....sio mke wake....hela ukampa ....ukaanza kumtafuta.....
    Ukaamini utampata ....
    Duh pole sana...lakin ungeoa huyo mwanamke ungempata....

  • @stevenjoshua5866
    @stevenjoshua5866 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @khadijahamisi5561
    @khadijahamisi5561 4 หลายเดือนก่อน +6

    Maisha magumu Tanzania akuna ata viwanda vyakutosha hatar san kwahaya maisha😢😢

    • @abdulymaeda2697
      @abdulymaeda2697 4 หลายเดือนก่อน

      We ndo unsmaisha magumu

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameona kujihuwa kwajili yadeni bolaaseme kijacho musibu serikali itazameili watuwengi wanamambo mengi nawanakufa kwakutunza sili yeye kasema ukweli naona asaidiwe kabula ajajiuwa

  • @ayubleo
    @ayubleo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mdaiwa afungwi mzee tafut kazi acha mambo ya ajabu

    • @lodrickmwambene133
      @lodrickmwambene133 4 หลายเดือนก่อน

      Acha kuzinguwa bro waambie wanaokudai waambie umewadhurumu

  • @ernestmhina7399
    @ernestmhina7399 4 หลายเดือนก่อน

    pole xana jamaa yangu

  • @EsteR-dt9iw
    @EsteR-dt9iw 4 หลายเดือนก่อน +2

    Daaa nilikuwa nakupita tu ila jamani wa Tanzania hatushindwi tumchangie naamini tunaweza

  • @thescop1003
    @thescop1003 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pesa zangu nitaweka mwenyewe

  • @hallin9561
    @hallin9561 4 หลายเดือนก่อน +7

    Ukiona adi mwanaume analia ujue kuna jambo zito mno ndani ya moyp wake

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawakee tuish nao kwa akil sanaa

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 4 หลายเดือนก่อน +2

    Linda sana moyo na akili yako kuliko vyote uvilindavyo..... Shida akili na moyo vinachanganywa na vitu vingi

  • @lyidiajuakaly3335
    @lyidiajuakaly3335 4 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 dar mungu awe pamoja na wewe ila usiwaze kuuza kiungo chako jipambanie na mungu atakusaidia 🙏🙏

  • @twahahamidu6246
    @twahahamidu6246 4 หลายเดือนก่อน +4

    Usiamin mwanamke wadau

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 4 หลายเดือนก่อน

      Sio mwanamke tu ndugu yangu usiamini mtu

  • @neemakiria4416
    @neemakiria4416 4 หลายเดือนก่อน

    Duh... Mungu wangu

  • @hatjjuma6150
    @hatjjuma6150 4 หลายเดือนก่อน

    Ndo maana mnambiwa muoe kuna busara maana baraka kwa Allaah na kingine familia itakujua.

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 4 หลายเดือนก่อน +12

    Hali ni ngumu jmn mpk mwanaume analia hivi

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa na wewe kaka utampaje huyo mwanamke ml 20 ulishindwa kuweka banca, isitoshe hunabudi kuuza figo kwaajili ya madeni, omba watu wanaokufahamu wakusaidue kupata ajila ili upate pesa ulipe kidogo kidogo, sio unajiliza muda wote uku muda unakwenda.

  • @rehemaomary3493
    @rehemaomary3493 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana jamani

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 4 หลายเดือนก่อน +4

    Iyo ndio faida ya kushobokea wanawake

    • @user-tg2mn3xu1y
      @user-tg2mn3xu1y 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani apenda wanawake

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 4 หลายเดือนก่อน

    Kudaiwa hakujufanyi upate shida hivo😅😅😅tunadaiwa na tunainjoi tu😅😅

  • @user-in4bj9zf5x
    @user-in4bj9zf5x 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wa hovyo sana et nipakilie kwenye bas😂😂

  • @saidthuwein7950
    @saidthuwein7950 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dah! Eti figo yako inakaa na chaji mda gani😂😂😂😂

    • @GoodluckAmos
      @GoodluckAmos 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 dah Weee jamaa wewe mm nimecheka bila kutaka banaaa😂😂

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka nakusihi Tafazali soma comments zetu bora tuombe Mungu awajalie watu wakusaidie feza kuliko kuuza Figo utatatakuzoofika zaidi ya 12 million

  • @ImanSaid-ox3po
    @ImanSaid-ox3po 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kuwa Mwislamu ndani ya uislam Zipo dua ukisoma Unalipiwa madeni hata yawe makubwa kiasi gani

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa Duuh Kwa Mungu nimjuaye si Hivyo ,Na labda Muislamu wa Africa mbona Wa huku niliko wanatafuta misaada ya kupata pesa walipe madeni wao hawajui hiyo Dua??

    • @ImanSaid-ox3po
      @ImanSaid-ox3po 4 หลายเดือนก่อน

      @@trophywilson7211 Si kila Muislamu amesoma na si kila aliye soma anajua kila kitu {Huwenda sisi tunajua ktk elmu kile wasicho kijua wao nawao wanajua kile tusicho kijua sisi} Na ndomana kutafuta elmu kwa Muislamu ni wajibun {nilazima, hatukai kibubusa}

    • @udatuonna905
      @udatuonna905 4 หลายเดือนก่อน

      Lipieni sasa nchi madeni😅

    • @ImanSaid-ox3po
      @ImanSaid-ox3po 4 หลายเดือนก่อน

      @@udatuonna905 Nenda kabadilishe Mfumo Badala ya Dola ya kidemo clasia iwe dola ya kiislam ili tuiyombee Allah ailipie Madeni yake {ili uondoke ktk shaka na uthibitishe tuliyo yasema}

  • @magdalenajoel4409
    @magdalenajoel4409 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU mfanyie wepesi huyu baba jamani daah😢😢😢

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka pole Sana apokinacho mutesa nideni analodaiwa 😢😢😢😢😢

  • @kheiramour2973
    @kheiramour2973 3 หลายเดือนก่อน

    Docta kaulizwa madhar kazunguuka mwsh tumetajiw kaz za figo

  • @SarahElias-kv2fu
    @SarahElias-kv2fu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Madeni madeni madeni😭

  • @sharifajamal5764
    @sharifajamal5764 4 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah maisha haya😢😂😢😂

  • @shefukoro6968
    @shefukoro6968 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu msanii wa comed anaitwa mzee makulusa anafanya vichekesho na mkaliwenu

    • @josemangula8806
      @josemangula8806 4 หลายเดือนก่อน

      Kumbe hata wewe unamjua

  • @Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin
    @Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin 4 หลายเดือนก่อน

    Uyy jamaa sijui niseme nini ila mm naona upumbavu tuu kama shida na matatzo watu wanapia magumu zaidi yakee .. kwaiyoo maisha ayanaga balance ⚖️ tokea hapo kikubwa uhai tuu na kuomba mungu lia na mungu wako pambana una viungo kamili alfu unalia na maisha mungu amekupa akili telee unashindwa itumia .why . Je unge kuwa mlemavu . Daaah . Mm sina uruma na mtu mvivu wa maharifa.

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 4 หลายเดือนก่อน

    Life goex on 🚶

  • @feyxalbarry4595
    @feyxalbarry4595 4 หลายเดือนก่อน

    Lakin Analia mm wakat mtu anaviungo vyote vizima anaweza hta kubeba zege asa Analia nn na istoshe kipaji anacho aendeleze kaz zake na pia Kwa nn uishi na mwanamke AmBAR hujamuoa na hata kwao hukujui Wacha yakukute wabongo mmezoea sana mtelezo Yan mtu uwezo wa kuoa unao ww unafuga demu tu alafu kwao hukujui

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 4 หลายเดือนก่อน +1

    ukiona mwanamme analia hadharani ujue kuna jambo

  • @bijou5038
    @bijou5038 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa mzee Kama wewe unasema huna mama na baba

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiona mwanaume analia ujue kuna jambo 😢😢

  • @JulesWilondja
    @JulesWilondja 4 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kelosi_mapesa
    @kelosi_mapesa 4 หลายเดือนก่อน

    Kayataka mwenyew unampaje hela shetani mwanamke

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 4 หลายเดือนก่อน

    Nyie nampenda saana uyu kaka anachekesha saana haki😊 allah amsaidie🤲

  • @BonifaceJoseph
    @BonifaceJoseph 4 หลายเดือนก่อน

    Watanzania wengi bado wanadhani unaweza kuuza kiungo chako kama Karanga, Elimu inahitajika sana aisee

    • @user-ye4iy8jy2z
      @user-ye4iy8jy2z 4 หลายเดือนก่อน

      Wangapi unaowajua wewe wamejitangaza kama hivi ! Oya kama halijakukuta usimlaumu mwenzako mzee mshukuru Mungu kwa kila aliliokujaalia

    • @BonifaceJoseph
      @BonifaceJoseph 4 หลายเดือนก่อน

      @@user-ye4iy8jy2z Halijanikuta?? How can you be so sure lil bro? Kuna binadamu asiye na changamoto dunia hii?

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee makulusa anakwenda kutoboa iviivi yani kwa figo tu ila uyu mzeee ukute anaekti comedy

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona uyu kaka kama msanii ivi 😢😢😢

  • @karibunyumbani3824
    @karibunyumbani3824 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani serikali iingilie kati imsaidie huyu kaka jmani Kuna namna moyo wake umeumia hata akiuza bado moyo wake haupo sawa maumivu hayatamuisha