HUU NDIO WIVU UNAOWEZA KUJENGA MAPENZI KWENYE NDOA (HUBBUL HALAL)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 28

  • @MohamedMzeeAli
    @MohamedMzeeAli หลายเดือนก่อน +1

    Kama wanawake wengi wangekuwa na uelewa kama ❤madam ❤Lei❤la ❤basi tungekuws na pepo duniani.

  • @nkurunzizaabdul-aziz7211
    @nkurunzizaabdul-aziz7211 หลายเดือนก่อน

    Madam leila hivi unajua junawangine ukimuliza sana anakuambia unakeraisha alafu unatumaneno kama wazee wakike hapo Sasa unasemaje ?

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj หลายเดือนก่อน

    Umbali madam wengi ndoa zao zavunjika hasa waume hawaezi kaa bila mke

  • @MwajumaAdam-e1v
    @MwajumaAdam-e1v 9 วันที่ผ่านมา

    Mnapatikana kwenye radio gan?

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hamja angalia wala kuchunga mda gani mwanamke anaweza kunvumilia mumewe hawapo mbali. Huezi kumuacha mwanamke ndani ya myaka 2. Huko nikupitiliza

  • @BihadijaJawad
    @BihadijaJawad 3 หลายเดือนก่อน +2

    hatamimi nipo omani lakini tunapendana sana namme wangu mapezi yamezidi kama ndotunaaza lakini tunawatoto watatu dada upo sahihi

    • @ndutweshomari1366
      @ndutweshomari1366 หลายเดือนก่อน

      Unahisi mwaname atakaa muda wote huo bila kuzini na hilihali ana Afya njema.

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 3 หลายเดือนก่อน +2

    Madam leyla iyo kisutu inaitwa ❤

  • @mwalimjuma5837
    @mwalimjuma5837 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani huyu dada ashaolewa

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Asante Madam wetu love uuu much love from UAE🇦🇪

  • @nkurunzizaabdul-aziz7211
    @nkurunzizaabdul-aziz7211 หลายเดือนก่อน

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh karibu sana madam leila tunawasikiliza sana

  • @lelaali8001
    @lelaali8001 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kanga ya kisutu hio inaitwa

  • @mwalimjuma5837
    @mwalimjuma5837 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda sana huyu dada

  • @hemedhemed8590
    @hemedhemed8590 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran san madam lelaa

  • @FatmaOmar-r1t
    @FatmaOmar-r1t 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mtangazaji Mbwana bin Ali umekimbiza .
    Ahsante madam leila kwa elimu yako tinaburudika na kuelimika unajua wanawake wengine au wanaume wanaona ni udhaifu kuwa na wivu lakin wala wivu ni mapenzi mtu kama hana mapenzi hawezi kuwa na wivu ,ukichelewa kurudi ndo atafurahia , shukran kwa mada mzuri.

  • @HawaAhmed-yj8wo
    @HawaAhmed-yj8wo 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo pa upendo kuhamishia kwa mtoto sio wote ndugu yangu

  • @safiasuleiman-t9d
    @safiasuleiman-t9d หลายเดือนก่อน

    Anaongea kama mama Rais Samia 🎉🎉

  • @MamiMohamed-c6l
    @MamiMohamed-c6l 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba hii kwa galary yangu nitaipataje? Kwa download siioni

  • @starpowerali7559
    @starpowerali7559 3 หลายเดือนก่อน +1

    Inakuwaje mwislam anapendekeza mtu mwengine ajengewe Sanamu? Watu wa nabii Idriss ndivyo walivyokufuru.

    • @ZainabIssa-v5u
      @ZainabIssa-v5u 3 หลายเดือนก่อน +5

      Justi Ni msisitize WA maneno yake sio kama sanamu kweli

    • @YussufJuma-i4v
      @YussufJuma-i4v 3 หลายเดือนก่อน +5

      Hamaanishi ulivoelewa wewe

    • @rahmayusuph9973
      @rahmayusuph9973 3 หลายเดือนก่อน +5

      Ni misemo tuu ya kisasa c kwamba ndo ajengewe kweli yaan kama pongez fulani ivi

    • @fatimasaid9469
      @fatimasaid9469 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kiswahili kizuri sana kuna watu wakisikia neno tu watatoa fatwaa. Kuma misemo kma ukisikia apewe mauwa yake ni kama pongezi tu.

    • @x7hia
      @x7hia 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe peleka usalafi wako huko usituletee mawenge yko apa uyo amekusudia km jokes tu au kutilia mkazo maneno yake .Ach ujinga

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 3 หลายเดือนก่อน

    Masha ALLAH ❤ ♥ 💖

  • @KabulaMalimi-es1jm
    @KabulaMalimi-es1jm 3 หลายเดือนก่อน

    Shukurani

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah Madam Leila.🎉🎉🎉