KUMNYIMA HAKI YA NDOA NI UKATILI PIA (HUBBUL HALAL)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 13

  • @MussaJuma-nf3vg
    @MussaJuma-nf3vg 15 วันที่ผ่านมา

    Asanteni Mwandishi Mr RASHID na mwanasaikolojia wetu MADAM LEYLA.
    Nawapata vizuri.
    Kipengele cha mwanamke kumwambia mwanamme hana hisia naye. Kuna sababu hapo ambazo nyengine mwanamme ndio chanzo au ni makutano ambayo hayakua na maamuzi sahihi kwenye moyo bali macho na mihemko ilitumika kwenye maamuzi.
    DR MUSSA (PSYCHOLOGIST)

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran twajifunza pia kabla kuingia kwenye ndoa

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah najifunza Sanaa,hiki kipindi ni kama stress remover kwangu.Allah akupeni afya njema.

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Madam Laila Allah akujaze Kher unahikma Ya kuzungumza Allah akujaze kher🤲🥰🥰🥰

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 หลายเดือนก่อน +1

    Masha ALLAH

  • @rukiaussi2764
    @rukiaussi2764 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah jazakallah kheir

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3r 2 หลายเดือนก่อน

    Jazaka Allahu khairan kwa darsa nzuri Alhamdulillah

  • @user-oq6hb9hh2b
    @user-oq6hb9hh2b 2 หลายเดือนก่อน

    Ukatili uko wa aina tofauti moja mchepuko w mume huwawanatukana mke mkubwa ukishtaki kw mume mume anamtetea mchepuko wake huku nikumuonea mke mkubw

  • @IbrahimMohamed-vo9ls
    @IbrahimMohamed-vo9ls 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tuoe kwnza alaf ndik tuangalie izi video

    • @sadahamad6158
      @sadahamad6158 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ni sawa pia kujifunza kabla hujaingia ndoani

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Madam leila ilikuwa bado ana ugeni wa studio katika vipindi vilivyopita apo alfatah ila leo yupo vizur kama tulivyomzowea mashallah.

    • @user-iy7xy1np7c
      @user-iy7xy1np7c 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe itakua ndo una ugeni mana huyo Leiya ni mtangazaji professional km studio na media ashazizoea ana miaka kwenye media

  • @hilalalhabsi2047
    @hilalalhabsi2047 2 หลายเดือนก่อน +1

    HAYO MAMBO YA KUULIZANA SIMU IKIWA UTAKATAZA, JEE VIPI UTAMUONGOZA MKEO HALI TU MEONA MSANII WA KIKE MALAIKA WA TZ KWASABABU YA SIMU SASA NDOA PINDU PINDU, ALIACHIWA HUO UHURU JEE MBONA NDOA IMESAGIKA KAMA UJI?. UWAFUNZE WANAWAKE TU WAACHE TAMAA BASI NDOA ZOTE ZITAKUWA SAWA.