NIPE NIKUPE, RAHA TUPEANE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Dada mazungumzo yk nimazuri naunafaidisha mujtamaa wakibinadamu but wakati mwengine ujitahidi kujihifadhi na kujistiri mwiliwako vizuri mashaallah ww mwenyewe bomba
Mashaallah kipindi kizuri 💖💖
Dah mtihani mazungumzo mazuri ila kuongelewe kwa kuchanganyana hvi ni mtihani
Mie nasemaje wanaume wazanzibary hawaji kupenda hasaaa. Bora mtu akitaka kuoa bora aende school .hawajui kupenda wajeuri hawana maneno ya romantic hawajui .
Huyu dada anaelezea uzuri sana. Nyie wanaume hata msuguliwe kea za miguuu hawajui love is . Wao wanajuwa kuwa na mke mtumwa .
sio woote unaweza ukapata mwemaa ukabaki unashangaaa❤
Shukran kwa taaluma, ila huyu Dada, Somo Mtoto, anatukera kwa kutostiri mikono yake yenye mapambo ya hina. Ama angevaa gloves au asingelipaka hiyo hina
Kumridhisha kila mtu ni jambo ambalo halijafanikiwa hata na mitume. Nadhani mngezingatia zaid ujumbe kuliko mtu alivo. Huwez kujua alikw na situation gni hadi apo alipofika kwenye kipindi usipende kuhukumu tu kumbuka hata ww sio mkamilifu hivyo kila siku ni kuendelea kujifunza ukihic unakerwa na huyo somo bas usimuangalie hujalazimishwa. Busara itumike kuliko chuki
@@AttiyaHassan_somomtoto hakika Ukhty umenena vyema🤝🤝🤝❤❤
Ahsanteni
😂😂😂 hiyo kalii huu huuu
😂😂😂😂huuu huuu
Ya leo kali😂😂😂😂
Km mmeoga pamoja pakeneni loshen ,vishaneni chupi n.k hamna anaeeeza kuchomoa hapo
Nipe nikupe raha tupeane
Mh mnawajua wanaume wa enzi hizi nyie? Dharau nyingi na utafanya yote hata hajali
Kwenye wanaume 100 wanaojua ni nani mke ni mmoja tu
Kuna mambo hamuongei uhalisia jamani sheikh Suleiman Rashid mwanamke anajiandaa lakini wanaume wanaporud wanaingiaje ndani?????Nina mengi ya kuchangia hapa naona hapatoshi
Jee huyo alie kaa na hena wazi. Ina faa ? Mana ni mapambo ya ndani Sasa hapo anafundisha nini?
😂😂😂😂😂