Akikusaliti Fanya mambo haya matatu - Madam Lailah Aboubakar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @user-bt9qc1pt5u
    @user-bt9qc1pt5u 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mashallah madam nimekukubali uko vizuri safii sana
    Allah akubark.

  • @user-io4dv1rv4p
    @user-io4dv1rv4p 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mm wawili wamenisaliti wakwanza baba wa Binti wangi mwengi ni WA pili amechaguwa dada angu inauma sana😔💔

  • @AbimeleckRichard-hy1mw
    @AbimeleckRichard-hy1mw 6 หลายเดือนก่อน +3

    We wajaze ujinga, wakiufuata 100% watjijua

  • @user-tq7dp3eh7c
    @user-tq7dp3eh7c 11 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @user-kn5bv3qj8p
    @user-kn5bv3qj8p 7 หลายเดือนก่อน

    Nakupongeza saana mm mukenya, mpwani......

  • @user-dw5mq6pr7y
    @user-dw5mq6pr7y 6 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akuhifadhi sana my love 💓

  • @user-tx6xq6fx6y
    @user-tx6xq6fx6y 6 หลายเดือนก่อน +1

    Waogea maneno ya hekma sanaa

  • @ARNOLDKARISA-fs3ht
    @ARNOLDKARISA-fs3ht 7 หลายเดือนก่อน +4

    shukran hata mie nmepata kisomo hapa

    • @TaarabChannel
      @TaarabChannel 7 หลายเดือนก่อน +1

      Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf 12 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @ashrafissa778
    @ashrafissa778 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam alykm warahmtullah wabarakatuh Dada yetu Leyla shukran kwaushauli wako wamesema vibaya mbona hawafundishi kazi yao kutukana

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dini yetu haijaacha kitu, kuhusu maswala y ndoa imeelea kwa kina zaidi.
    Tangu mtu anataka kuposa, hatua zimetajwa mpaka kwenye mifarakano mpaka ikifikia kuachana n baada ya kuachana,
    Utazungumza vipi suala hili kwa kutumia elimi y dunia au akili tu, hapo ndipo tunapo feli
    Baada ya kuelimishana inapelekea kupotezana.

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 7 หลายเดือนก่อน +8

    Kuishi na mzinifu ni kutafuta magonjwa

    • @alawimohd
      @alawimohd 5 หลายเดือนก่อน +5

      Tena magonjwa ya moyo na magonjwa ya ukimwi na kaswende

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@alawimohd
      Sana

    • @MariamObote
      @MariamObote 15 วันที่ผ่านมา

      Uyu mama anaongea anajimaliza yameshamkuta kweli?

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah tabarakallah

    • @naharhaji639
      @naharhaji639 6 หลายเดือนก่อน

      Asante sana madam yaan mm nlijua nikikaa kimya t nd ataelewa lkn kumbe apana ntajitahid nimwambie kwanza ndipo nikae kimya

  • @zayshabani5664
    @zayshabani5664 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe

  • @user-zu2dc2bj6z
    @user-zu2dc2bj6z 6 หลายเดือนก่อน

    Umesema kweli daa

  • @user-zw6vr8dw3s
    @user-zw6vr8dw3s 7 หลายเดือนก่อน +6

    Kiukweri dada unazungumza vizuri ,lakini jambo la ndoa ni jambo la kihisia na kimwili na sio jambo la kiroho ,na kesi za ndoa sio kesi za kupeleka kwa baba au mama ,muhimu ni wanandoa ni muhimu kwa wanandoa kuelekezwa namna ya kuboresha ndoa zetu ,na bila ya kusahau tukumbuke ktk mahusiano wa kwanza kupeleka kesi nje ndio mkosa ,muhimu mtu akikukosea ww lenga sababu ,kwanini amekusality huenda ww ndio umemfanya mwenzio akusaliti.tukumbuke daima ndoa ni jambo linalotakiwa kuendesha kiakili na kihisia ,tukizingatia hapo tutaishi vizuri ktk mahusiano ya kijamii na ndoa pia ,tukumbuke daima ndoa sio jambo la kiroho.asilimia 99 kesi za ndoa zikipelekwa kwa watu huvunjika.tuwe makini kuishi mtu ni kujitolea muhanga .

  • @a.856
    @a.856 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jazakallah khayran

    • @TaarabChannel
      @TaarabChannel 7 หลายเดือนก่อน

      Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤

  • @user-sn4lf7cj3z
    @user-sn4lf7cj3z 6 หลายเดือนก่อน

    Jamn kma muislam unazijua hukum z ndoa n sheria zake pamoja n hukum y mzinifu alieoa n ambae hajaoa huwezibi kulumbana juu y hili jambo wasie n elim n hilo jambo wanakuaga nwachambuz wazur n wabishi sana nadhani mwenye elim n haya hawezikua mwenye kupinga zaidi kuelekeza kw busara n hekima mwenye kuelewa falhamndulilah

  • @charleslupenza3879
    @charleslupenza3879 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kimsingi sijapaona pahala Laila Alienda TOFAUTI na misingi ya UISLAM.
    LAILA ANAELIMISHI NA KUSHAURI. TUWACHE ATUMIE KIPAJI CHAKE TUSIMKATISHE TAMAA NAFASI HIYO HAIPO.
    BINADAMU NYIE HAPANA NA NIKISEMA ROHO YA HUSUDA HIYO SIKOSEI.
    MWACHENI LAILA

  • @muridundhikri
    @muridundhikri 6 หลายเดือนก่อน +1

    Katika uislamu ukifumania kwa ushahidi jambo linalopewa kipaumbele ni kuacha

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran my dear sister leyla ❤

    • @TaarabChannel
      @TaarabChannel 7 หลายเดือนก่อน

      Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤

    • @user-kn5bv3qj8p
      @user-kn5bv3qj8p 6 หลายเดือนก่อน

      @@TaarabChannel ,kwani unalipi??faida ya Akhera au hasara ya Moto

    • @TaarabChannel
      @TaarabChannel 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-kn5bv3qj8p utayaangalia wewe sabasi mayubu usikucha aibu

  • @AmriAmri-hy6sg
    @AmriAmri-hy6sg 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hamnaga heri mtu anajitoa kwakile alichonacho atuelekeze nyie wasomi mpo kimya kukosoa2

    • @TaarabChannel
      @TaarabChannel 7 หลายเดือนก่อน

      Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤

    • @user-cd1hr2cx3i
      @user-cd1hr2cx3i 7 หลายเดือนก่อน

      Yaan comments usitegemee chanya tu wengine ni wabishi waasili,,but naamini hazitomyumbisha mfundishaji

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dada yangu nakushauri kasome dini, kwa sababu umeelezea vitu vinaenda kinyume kabisa na dini.
    Km mtu hujui bora nyamaza na jikubalishe kia hujui ili ukajifunze,
    Na sio ukajiona unajua kwa udhoefu wako ukapotosha watu.
    Mwisho
    Tuma muomba Allah atuongoze sote na atujaalie elimu yenye manufaa.

    • @nuruhassan9707
      @nuruhassan9707 6 หลายเดือนก่อน +4

      Naomba unukuu point moja aloieleza inayoenda kinyume na Dini?Niko pale nasubiri jibu lako

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@nuruhassan9707
      Mwanamke haruhusiwi kumnyima mumewe tendo la ndoa,
      Mtume swalallahu alyhi wassalm
      Amesema mwamke atakae itwa n mumewe kitandani kumtakata kufanya nae tendo la ndoa halafu mke akamkatalia, basi hulaaniwa na malaika usika mzima.

    • @nuruhassan9707
      @nuruhassan9707 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@zulekhaa6817 Soma uelewe,usikariri,unajua moja ya mambo yanayoweza Fanya mwanamke ajivue Ndoa?Jibu hilo afu ntakuelewesha namna alichosema madam kinavyooana na sheria ya kiislam

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 6 หลายเดือนก่อน

      @@nuruhassan9707
      Mtu akisema kweli anambiwa anakariri.
      Mm sishindani, na mlengwa sio ww,
      Ww unataka kuongea yako ungea
      Ila usihalalishe lililo haramu.
      ,

  • @user-cd1hr2cx3i
    @user-cd1hr2cx3i 7 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo la wanawake wengi mnatuhitaji zaidi wanaume kuliko mahitaji ya wanaume huo ndo ukweli

    • @user-lt7kk4ye9c
      @user-lt7kk4ye9c 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 wengine wanafikia hatua had kuoa wanaume ndo Kila kitu kwao Yan mtu anaona huyo mwanaume ndo familia ya pekee aliyonayo utafikir alipotoka hakua na familia.. waswahil wanasema anaekulisha ndo huyo huyo atakaekushindisha njaa

  • @abdullahsaid4072
    @abdullahsaid4072 5 หลายเดือนก่อน

    Aslm aleikum dada nmekuelewa ila mm Kama mwanaume hapa umechemka sana na nahisi wanawake wakiiskia hii habari yako bc talaka zitaongezeka
    Sababu mm Kama mwanaume sifuati kupendwa na mwanamke
    Mm nataka mke anaenikubali sana katika maisha hasa katika kua kiongozi wa family kuwa provider kulikubali jasho langu katika utafutaji na kuifurahisha family pia
    Nafuata wema wa mke na ukarimu wake kwangu
    Kuniheshimu pia
    Hayo mengine ya kwako yatazalisha ushindani na yatamfanya aone mm anaweza kunidhibiti kwa adhabu na mwanaume ukishindana nae ndio unamfanya azidishe anachokufanyia
    Na unachomnyima atarudi kwengine atakipata kwa mapana
    So hamna dawa hapa kwa mwanaume tafuta nyengine au tuulize cc jinsi YETU tutakwambia

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa 6 หลายเดือนก่อน

    Hapana dada kuomba taraka ni haramu

  • @swalehsalim5569
    @swalehsalim5569 6 หลายเดือนก่อน

    Kwani mwaowana nyinyi twaona wengi wamewekana tuu

    • @MariamAlly-hk7io
      @MariamAlly-hk7io 20 วันที่ผ่านมา

      Kwa I hatujui dini
      Wajua wewe yu

  • @FatumaMuzamil
    @FatumaMuzamil 2 หลายเดือนก่อน

    Dada mm nimefumania kiukwel sikufanya kitu niliamua kuondoka na nikawaacha na mambo yao,alipo rud sikumwambia kitu ila dada haluwa na haha

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa 6 หลายเดือนก่อน

    Dada umesimama kama muubili wa kiisilam lakini mamemo yako hayana hata aya wala hadithi yaani unatoa mawaidha kulingana na maono yako na mitazamo yako mmmmmm jamani

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 6 หลายเดือนก่อน

    Mtu unatakiwa usome kwanza kwamza ndio usomeshe, usiingilie mambo ya dini km hukujui, dini inapatikanwa kwa kusoma n sio kutumia akili.
    Tudikurupuke tu haswa sisi wanawake, tunatakiwa tujistiri n tusijianike, m
    Mfano himu mitandaoni

  • @user-xx1rj2pb5j
    @user-xx1rj2pb5j 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yawesekana wanawake ndio vichaa ndio wanaharibu familia mara nyingi undani wamambo yamejificha je mwanamke kimfumania inakuwaje sema unajaribu kusema wanaostahiki ninani nanini cha kuomua hadisi katika ndoa sio kweli wanawake ndio waharibifu wafamilia

    • @TaarabChannel
      @TaarabChannel 7 หลายเดือนก่อน

      Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤

  • @nasramusaro
    @nasramusaro 7 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini hapa unataja usaliti na pia unataja uoaji hii imekaaje? Na pia dini imeruhusu wake mpaka wanne

    • @EgallSamsam
      @EgallSamsam 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mi naona bora nikimfumania naenda muita Imamu namfungia ndoa kwani sitaki usinzi iliakome kuzini

    • @mamii7935
      @mamii7935 7 หลายเดือนก่อน +1

      Msaliti ni mume au mke alie kwenye ndoa Kisha akachepuka ndo "usaliti"

    • @TaarabChannel
      @TaarabChannel 7 หลายเดือนก่อน

      Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤

    • @TaarabChannel
      @TaarabChannel 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@EgallSamsamPitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤

  • @user-uh9sl8pc2z
    @user-uh9sl8pc2z 7 หลายเดือนก่อน

    Swadka

  • @user-zw6vr8dw3s
    @user-zw6vr8dw3s 7 หลายเดือนก่อน

    Ndoa ni jambo la kimwili na akili ni muhimu zaidi kuwapelekea wataalam ndoa mean wanasaikolojia lakin sio kuwapelekea watu wa kiroho ,hapo kuferi lazima.twaambiwa hivi kuishi na mtu inabidi uishi nae alivyo ,ila kumpenda mtu inabidi umpende ulivyo.so hauwezi kumpenda mtu alivyo utaferi ,maana watu huwa tunabadilika utamkataa,so ndoa ni jambo la akili ,tuwe makini na mafundisho munayo tupa

  • @user-vj9zx2yv5k
    @user-vj9zx2yv5k 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwnamke hajielewi anaongea kufuru kumbe mtume wake ni kichaa ipi hukumu hii mpaka muumba wake anamtoa akili

    • @user-kn5bv3qj8p
      @user-kn5bv3qj8p 7 หลายเดือนก่อน

      Wapi kakufuru eleza ,,kwani kichaaa si niugonjwa tuu,,, au kamunasbisha wapi na muumba wetu. Una FAA upelekwe muhimbili.

    • @nuruhassan9707
      @nuruhassan9707 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-kn5bv3qj8pAmekariri uyu mjinga,ulicho muuliza Hawezi kukujibu

    • @ibrahimmalabeja3692
      @ibrahimmalabeja3692 6 หลายเดือนก่อน

      Mie naona Madam Leila yupo vizuri tu. Kwa kuwa anachotoa ni Ushauri Kwa jamii nzima (waisramu na wasio waisramu) M/Mungu akubariki Sister. Japo muda mfupi tangu nimeanza kukufatilia lakini naona manufaa makubwa Kwa jamii itakayochua Ushauri wako.