UKWELI wa NCHI kuogopa KUCHAPISHA NOTI ZAO za KUTOSHA na kulipa MADENI,ZIMBABWE walijaribu na haya..

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 152

  • @nemankaran185
    @nemankaran185 3 ปีที่แล้ว +52

    Wanaopendaga kusikia "Sasa twendee kaziii" like hapa

  • @eligiusvitalis3504
    @eligiusvitalis3504 3 ปีที่แล้ว +7

    Asee nimejifunza sana, Hongera Mkuu

  • @felixrumisha5132
    @felixrumisha5132 3 ปีที่แล้ว +9

    Fedha ni zao la thamani, ile thamani unayoizalisha kwa watu (bidhaa au huduma) ambayo imekwenda kuboresha maisha ya watu, ndio inayofanya ulipwe zaidi au kidogo.. kwahiyo pesa ni kipimo tu cha thamani unayotoa kwa watu.. kwa hiyo jamii ikipewa pesa bila kutoa thamani, pesa hiyo inakuwa haina maana, na hapo ndipo uzalishaji unaposhuka kwani kunakuwa hakuna maana ya kutoa thamani kubwa ilihali pesa inapatikana kirahisi.. ndipo uzalishaji kama taifa unaenda chini.. uhaba wa bidhaa, mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya pesa inatokea.. twende kazi..

  • @dasilvajunior3016
    @dasilvajunior3016 3 ปีที่แล้ว +15

    Wa kwanza leo , sasa twende kazi namba moja ........ 😃

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 11 หลายเดือนก่อน

    NAKUAMINIA BONGO FASTA KWA STORY MZURI SANA 🙏🇹🇿🇬🇷

  • @amanimusenyi8217
    @amanimusenyi8217 3 ปีที่แล้ว +8

    Alishawahi kusema JPM uchumi kupanda sio lazima pesa ziwe nyingi bali hata zikipatikana kwa tabu pia nikupanda kwa uchumi

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante kwa kutujuza hili jambo Mkuu...🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @erickmichael3936
    @erickmichael3936 2 ปีที่แล้ว +5

    According to economists on qualities of good money firstly money must be scarcity so as to increase it's value

  • @seedbourne4860
    @seedbourne4860 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe Asante kwa Elimu Shed

  • @nicholasamosbakar6182
    @nicholasamosbakar6182 3 ปีที่แล้ว +1

    Nmekuelewa vzur Sana justin shed

  • @isaackmchelsea67
    @isaackmchelsea67 2 ปีที่แล้ว +1

    Bongo fasta Delarue iko kenya wewe tena Nairobi brother

  • @mbeyacity2858
    @mbeyacity2858 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaaah Kaka nimekuelewa sanaaa tupe nyingine

  • @Babaverah
    @Babaverah 3 ปีที่แล้ว +18

    Sasa twende kazi

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  3 ปีที่แล้ว +3

      Unajuaga kua comment yako inakujaga kupitia mlango wa VIP

    • @Babaverah
      @Babaverah 3 ปีที่แล้ว +2

      @@BONGOFASTA Ahaha mimi ni VIP MZEE

  • @pazzymo7904
    @pazzymo7904 3 ปีที่แล้ว +6

    Leo ndo nimepata majibu sahihi ya maswali yangu.

  • @antoinekatembo8520
    @antoinekatembo8520 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kwa mada nzuri sana

  • @djkbyofficial
    @djkbyofficial 3 ปีที่แล้ว +2

    Thank you ❤️

  • @AMJtiktok
    @AMJtiktok 3 ปีที่แล้ว

    Twende kazi . Justin shedi

  • @neemamollel9334
    @neemamollel9334 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbona hao Marekani na Uingereza wanachapisha za kwao na hakuna madhala kwao

    • @etrismshana
      @etrismshana ปีที่แล้ว

      Wao wanamitambo ya kisasa ya kulimia na mbegu za kisasa ambazo wanapata mazao mengi pia kwa muda mchache

  • @abdilehussen2123
    @abdilehussen2123 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri broo

  • @Dm-yq9wn
    @Dm-yq9wn 3 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa sifahamu bro asante sana ni maswali nilkuwa najiuliza sana spati jibu

  • @jumaamanandi4329
    @jumaamanandi4329 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Twewweeeendeee kaazi 💣💣💥

  • @patrickfestus8417
    @patrickfestus8417 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana!!!

  • @maulidsaid9448
    @maulidsaid9448 3 ปีที่แล้ว +4

    Duuuuh 🤔 aiseee

  • @franklyimony7497
    @franklyimony7497 3 ปีที่แล้ว +4

    Hayo ndio matatizo ya kua msomi kupitiliza.ma-digrii mengi maarifa hamna.akili nyingi huaribu maarifa.

  • @jeremiahkeko7618
    @jeremiahkeko7618 3 ปีที่แล้ว

    Ok twende kazi

  • @fahimafah349
    @fahimafah349 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @ramadhanially8932
    @ramadhanially8932 3 ปีที่แล้ว +2

    Good

  • @lutherkingchampion684
    @lutherkingchampion684 3 ปีที่แล้ว +1

    King 👑

  • @ericmkami7578
    @ericmkami7578 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli pesa makaratasi isipokuwa na thanani...Yani noti ya 1 billion duuh... Zimbabwe walitisha

  • @amour7693
    @amour7693 3 ปีที่แล้ว

    Sasa twende kazi broo

  • @erickbeatd1002
    @erickbeatd1002 3 ปีที่แล้ว +10

    Campun za kuchapisha pesa wanalipwann hizo hizo wanazochapisha

    • @maulidsaid9448
      @maulidsaid9448 3 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂

    • @gammamsagama7106
      @gammamsagama7106 3 ปีที่แล้ว +2

      Madini

    • @dasilvajunior3016
      @dasilvajunior3016 3 ปีที่แล้ว +4

      Hahahaha wao hawalipwi wakimaliza kutengeneza nao wanatengeneza zakwao 😄😄😄

    • @chenzenmaotsang4984
      @chenzenmaotsang4984 3 ปีที่แล้ว +1

      Dhaabu

    • @user-je1id1tx1u
      @user-je1id1tx1u 3 ปีที่แล้ว +1

      Kama unatengeneza pesa sasa kwanini ufanye biashara hapa mi ndo sipati jibu kabisa kwani akitengeneza nusu chumba cha futi tatu kwa tatu si anakula mpaka kihama na nchi yake sasa inakuweje anatafuta tenda

  • @josephodongomboya
    @josephodongomboya 3 ปีที่แล้ว +2

    THE ONLY THING THAT WE CAN HELP IS BY CHANGING ALL THE CURRENCIES

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 3 ปีที่แล้ว +15

    Ujatwambia je ikitengenezewa njee inasaidia nn???

  • @wanderenyeura9011
    @wanderenyeura9011 3 ปีที่แล้ว +4

    Mm ndo yule waliyesema mchumi

  • @dominicondieki7848
    @dominicondieki7848 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥i like listining to you, thanks sana kwa kuandaa video hizi, nimejifunza mengi bro. Mungu awe pamoja nawe kila kukija

  • @salumufaki220
    @salumufaki220 3 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kwa somo broo..... Huko zimbabwe hiyo not ya 1bilioni bado ipo na km ipo n sawa sh. Ngap ya kitanzania???

    • @ramadhanihudhaifani4376
      @ramadhanihudhaifani4376 ปีที่แล้ว +1

      Unataka majibu,bro!? Haya sasa,twende kazi. Bilion moja ya Zimbabwe ni sawa na elf 10 ya Tanzania kwa sasa. Tabu kweli kweli!😅

  • @ismailfaki4834
    @ismailfaki4834 3 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @hatibuabedi4393
    @hatibuabedi4393 2 ปีที่แล้ว

    Bongo fasta ipomakin san

  • @samsonkomba4769
    @samsonkomba4769 3 ปีที่แล้ว +1

    Twendeeee kaz

  • @ekkenerokoye
    @ekkenerokoye ปีที่แล้ว

    Yes off course kuhusu jambo Hilo la fedha ni wazi kabisa kwamba mwiba unapochomea ndipo unapotokea

  • @ogagoeric510
    @ogagoeric510 3 ปีที่แล้ว

    Twende kazii

  • @gloxglox8587
    @gloxglox8587 3 ปีที่แล้ว +1

    Ata mm nilikuwa najiuliza serikal inatak ushuru nawakati wao ndo wanaochapisha kwann wasitengeneze izo pesha zikajeng nchi bila yakukusanya ela zawananchi nilikuwa najiuliza saana ii kitu

  • @malkiawafizi2394
    @malkiawafizi2394 2 ปีที่แล้ว

    Naomba utuletee historia ya Prince wa morocco.

  • @mjux4430
    @mjux4430 3 ปีที่แล้ว

    Nshajua

  • @ogagoeric510
    @ogagoeric510 3 ปีที่แล้ว +1

    Bongo Fastaa

  • @husseinmohamed4302
    @husseinmohamed4302 3 ปีที่แล้ว +2

    Je China na India mbona Wanatengeza wenyew na uchumi wao ni imara

  • @Louiskide
    @Louiskide 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @bashirufakiru894
    @bashirufakiru894 3 ปีที่แล้ว +2

    naomba ufatilia huyo jamaa wa kolombia nguli wa madawa ya kulevya pablo escobar story yake mzur sana huyu jamaa

  • @jacobluckiztv2648
    @jacobluckiztv2648 3 ปีที่แล้ว +9

    Unasikia who is the richest musician in Zimbabwe,is Abul Abdul with worth three trillion Zimbabwean money,kumbe hio doh hapa Kenya uyo jama ako na ten thousand Kenyan shilling,bure kabisa🤣🤣🤣🤣

    • @dominicondieki7848
      @dominicondieki7848 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂oooh my God..... niko na mipango ya kuamia huko na hizo Ksh 100k zangu, i will be the richest man ever

    • @ibrahimbyaese3777
      @ibrahimbyaese3777 3 ปีที่แล้ว

      😅😂😂

    • @loveaurora4830
      @loveaurora4830 3 ปีที่แล้ว

      @@dominicondieki7848 😂😂😂

  • @mitamayakemitamayake2011
    @mitamayakemitamayake2011 3 ปีที่แล้ว +1

    Kushinei babunji

  • @miamimiami527
    @miamimiami527 3 ปีที่แล้ว +2

    Uhakika kaka

  • @kb_mediatv
    @kb_mediatv 3 ปีที่แล้ว +1

    Mi sjaelewa

  • @kakamkubwa3210
    @kakamkubwa3210 3 ปีที่แล้ว

    Kaka una sound good

  • @hamisihassankengejr4375
    @hamisihassankengejr4375 ปีที่แล้ว

    Sijaelewa nasita elewa kwani Zimbabwe walitengeneza pasa zao
    Mbona Amerika na uingereza pesa zao kila siku zinapanda hazishuki

  • @pesangwasalim5258
    @pesangwasalim5258 3 ปีที่แล้ว +1

    Na je wanaotengeneza pesa wanapataje faida kwa wanaowatengenezea pesa?

  • @johncharles8612
    @johncharles8612 3 ปีที่แล้ว +2

    Aisee bado sijakuelewa kabisaaa

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 ปีที่แล้ว

    Ilo nalijuwe unasema ukweli sana

  • @luhendejishimbi1424
    @luhendejishimbi1424 2 ปีที่แล้ว

    Nasikiliza kutoka mheza songwe

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania one

  • @evarestjoseph8755
    @evarestjoseph8755 3 ปีที่แล้ว

    Unajuaaa

  • @alexarotichofficial981
    @alexarotichofficial981 3 ปีที่แล้ว +1

    huu ni ukweli kabisa
    yote msemayo hamna atakayepinga

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว

    Sijaelewaaaaa

  • @abezosneverdie9770
    @abezosneverdie9770 2 ปีที่แล้ว

    Lakini sawa, ila nilikusikia ukisema kuwa China, na marekani na zingine ambazo kidogo zimenipita kuwa wao wanachapisha fedha zao wenyewe. OK vipi wao wanasonga mbele?

  • @nianaalphonce2309
    @nianaalphonce2309 3 ปีที่แล้ว +1

    Unamaana ela zikiwa nyingi ..hakuna mtu anae fanya kazi mashambani wakulima hamna njaaa ndo inapokuja

  • @kingsteven7358
    @kingsteven7358 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka tuletee sitory kuusu kodak black

  • @suleimankhalfan6938
    @suleimankhalfan6938 3 ปีที่แล้ว

    Note ya Trillion 1

  • @nature_world1
    @nature_world1 ปีที่แล้ว

    Usa 🇺🇸 inachapisha ela Yao wenyewe sindio ? Mbona ela Yao bado Ina samani na ?

  • @kingsteven7358
    @kingsteven7358 3 ปีที่แล้ว

    Kaka tuketehe sitory kuusu kodak black

  • @allanalex8822
    @allanalex8822 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanalipwaje sasa hao wanaochapisha

  • @othman2894
    @othman2894 ปีที่แล้ว

    Maisha ni kila siku.ila pesa ndio kila kitu.

  • @koisrinitv3668
    @koisrinitv3668 2 ปีที่แล้ว

    Koisrini tv in you tube ndo chaguo letu

  • @shariffkareem8045
    @shariffkareem8045 ปีที่แล้ว

    Pesa ndio maitaji ya Kila taifa kwa muwonekano wa Kila mtu

  • @misetv6219
    @misetv6219 3 ปีที่แล้ว +5

    Swali langu je, Nchi inajuaje kiwango hiki kitawatosha wananchi waliopo nchini kwa matumizi yao ya kila siku? (Naongelea hapo kitu hiki kwa maelezo ya awali kama nimeenda mbali sana ni kwamba kutakuwa na ukomo wa kuchapisha kiasi cha fedha kwa mwaka ,je wao wanajuaje kiwango hiki kinatosha?)

    • @chillaxybeatz4273
      @chillaxybeatz4273 3 ปีที่แล้ว +1

      wanapima kwa kutumia price index yaan nguvu ya bei ya kila bidhaa sokoni then regulate kwa kutumia fiscal na monetary policies hizo huwa zinatungwa na benki kuu so mzunnguko wa hela huwa unajibalance wenyewe japo sio accurate

    • @braystuskibassa3077
      @braystuskibassa3077 3 ปีที่แล้ว

      Oooh

    • @rajabumohamed5637
      @rajabumohamed5637 2 ปีที่แล้ว

      Sasa twende kazi!!

  • @ibrahimkambi9288
    @ibrahimkambi9288 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwani wenye Nchi zao wenyewe wanasemaje?

  • @abuumwinyimkuu1261
    @abuumwinyimkuu1261 5 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @expert5898
    @expert5898 3 ปีที่แล้ว

    Mpo vizuri sana aise.

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana Mtaalamu

    • @expert5898
      @expert5898 3 ปีที่แล้ว

      @@BONGOFASTA yap yap mpo smart mno...

  • @magrethpeter2607
    @magrethpeter2607 2 ปีที่แล้ว

    Ss tanzania inatengeneza wenyewe noti ama

  • @moudboss8981
    @moudboss8981 3 ปีที่แล้ว

    Pesa za Zimbabwe uki change huku inakuwaje?
    Kiwango Cha Pesa

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 ปีที่แล้ว

    Maswala haya kila siku yakizungumzwa mm nakuwa siyafaham sijawahi kuyafaham na nabaki na mswali mengi kichwani

  • @msangij.h4593
    @msangij.h4593 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata sielewi

  • @user-zy5wv8yu2t
    @user-zy5wv8yu2t 8 หลายเดือนก่อน

    kwahyo pesa ya zimbabwe 2008 sahv haina kazi

  • @ymusic1299
    @ymusic1299 3 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza sanaa

  • @muzneali387
    @muzneali387 3 ปีที่แล้ว +1

    INA maana huyo mtoto kashika sent kumi

  • @frankmgunjimgunji9261
    @frankmgunjimgunji9261 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe Mambo huw magumu hiv hapo nmeelewa

  • @blues4life633
    @blues4life633 3 ปีที่แล้ว

    Brother hujafafanua vzur kwa nn China India na America pesa zao hazshuk thaman? Kwann uchapishaj wa pesa usifanywe ndan kwa kiwango kilekile kinachochapishwa uswiz nakuletwa kwetu? Bro bado kunasili tusioijua mbali nahoja hiyo ya kichumi naam naam

    • @YusoufMjr
      @YusoufMjr 3 ปีที่แล้ว

      Sir ipo ila technology pia n changamoto lkn je utunzaj wa sir katika kiwanda husika pia

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 3 ปีที่แล้ว

    Bado sehemu B ,je zikichapishwa nje kwa makampuni na kuingizwa kwa wingi na serikali kwann pesa haishuki thamani,vipi kaam serikali ikiamua kuziagiza pesa nying haraf walipie madeni yote ya taifa kwann hawawez kuzalisha pesa kulipa madeni ya Taifa?

    • @eliyakisebengo5071
      @eliyakisebengo5071 2 ปีที่แล้ว

      Madeni mengi tunapaswa kulipa kwa USD, EUROPE au POUNDS na sisi kisheria hatuwezi kuzalisha hizo fedha.

  • @BONGOLEO
    @BONGOLEO 3 ปีที่แล้ว +1

    Wakwanza

  • @Ezeakutelevision
    @Ezeakutelevision 3 ปีที่แล้ว

    Delarue

  • @gloxglox8587
    @gloxglox8587 3 ปีที่แล้ว

    Ila mm naona kuchapisha ela ningumu saana ingelikuwa inaweza nchi kuchapisha ela kiolela kipindi cha uhai wa magufuri angezitengeneza ela mwenyewe asingekubali kwenda kuchapisha ela nje

  • @Izkonka
    @Izkonka 2 ปีที่แล้ว

    Sebuleni baba😂😂😂🤚🤚

  • @jumachabanda2891
    @jumachabanda2891 2 ปีที่แล้ว

    Treu.

  • @danisergio2881
    @danisergio2881 3 ปีที่แล้ว

    Nimekukubali mkali,nimejifunza kitu

  • @saviourmanpeace4016
    @saviourmanpeace4016 ปีที่แล้ว

    Inakuaje vitu vinapanda bei alafu mzunguko wa fedha ni mdogo

  • @sandewillymusic5615
    @sandewillymusic5615 3 ปีที่แล้ว

    Marikani wanachapisha zao,,,,,,

  • @khalef.al.sawafi941
    @khalef.al.sawafi941 3 ปีที่แล้ว

    Mambo mazur na yanaeleweka

  • @malizimakomelo9104
    @malizimakomelo9104 3 ปีที่แล้ว

    Wanalipwa nini wao

  • @salehsalum5308
    @salehsalum5308 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwanini inchi zisichapishe pesa zak wenyewe kwa wingi ili kulipa madeni yake? Ukiachana na kuzitia ktk mzunguko wa ndani ya nchi yenyewe

    • @YusoufMjr
      @YusoufMjr 3 ปีที่แล้ว

      Swal zur sana

    • @sir_akyoo
      @sir_akyoo 2 ปีที่แล้ว +1

      Na kunjb kama hvi,,, " serikali ikichapisha noti nying za kwetu afu ilipe madeni hzo noti znatumika wapi na Nchi gani"? Yaan jibu ni kwamba ikizalisha ni za kwetu so lazma ziingie kwene mzunguko wa kwetu na hapo ndo inashuka thaman maan ata tukiwalipa bado znarudi kwetu tuh yaan ndo iko hvo

  • @babuizi4424
    @babuizi4424 3 ปีที่แล้ว

    Poa twende kazi

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 ปีที่แล้ว

    Sasa nimeelewa.

  • @khamissaid1156
    @khamissaid1156 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini marekani wakichapisha wao ,hakuna shida lkn waafrica wakichapisha zinashuka thamani why?

    • @magangajames4644
      @magangajames4644 3 ปีที่แล้ว +1

      Waafrika wengi sio wahadilifu lazima watachapisha zaid na kuzipeleka mtaani

    • @dasilvajunior3016
      @dasilvajunior3016 3 ปีที่แล้ว

      @@magangajames4644 😁😁😁