Hizi ndo SARAFU (fedha) zenye THAMANI zaidi duniani, Fahamu makampuni ya TZ yenye HISA zenye thamani
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 มิ.ย. 2023
- Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali
Hii sns inafundisha vitu vingi sana na ubunifu sana asante mkuu wa kazi.
Inshallah namim nitawekeza,,Asante Kwa elimu nzur ya Isa nimeelewa na nataka namim niwekeze innshaala
Wakwanza leo naombeni like zenu😊😊😊😊
Shukrani sana kwa elimu ni nzuri hii. ((m'bora ni Yule mwenyekusoma na akasomesha)) al hadith
SNS FROM DRCONGO 🇨🇩🇨🇩
Kwa speed hii, am sure we gonna reach the target of 10M this month... God Bless..
Huyu kaka kafanana na kaka sky
SNS KEEP IT UP GOD BLESS U ALL😍
Nimependa sana hii kitu 🙏🙏🙏
Shilingi ya Kenya isikose kwenye list maaana 🤤🤤🤤🤤
Kampuni haliwa wingi wake bhn.
i need that book
Na jee nawez kupata jina lako inster njia yeyote ya kukufikia
Jamaa ni kichwa kwel
yeye iko marekani
Pesa ni nyenzo = tool kwa tafsiri ya haraka. Sio kila kitu ila inasaidia kujenga, kutatua na kusaidia mambo mengi ya mtu na mtu hadi jamii nzima.
Anaitwa nani?
Si watugawie sasa jamani
Ili tusibitishe
Kwani swala lakutoka nnje ni maendeleo
Kitabu hicho nakipataje?
Mimi sijamwelewa
Kama hujamuelewa utakuwa unamatatizo
Ilo soko la hisa unaend kweny kampuni husika mfano kma crdb unawez kwend crdb yeyote kununua au inakuaje apo naomba msaada apo kujua kaka
Na mm nasubilia majibu
kachemsha uyo ya pili ni oman sawa na dollars 2.5 ya tatu ndio bahrain
Kapitiwa kidogo