HISTORIA YA SARAFU NA MAAJABU YAKE TANZANIA JIONEE......
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2019
- Hii ndio Historia Ya Sarafu na Maajabu yake Katika Nchi ya Tanzania na baadhi ya Nchi zingine ikiwemo uingereza, ujerumani, na India
Follow us on instagram @Bongo_trendy_tv
Like facebook page Bongo trendy online
#Kuwa #Wakwanza #kuhabarika #Kuelimika #Subscribe #Like #Comment - บันเทิง
Amazing history
Le0 Zanzibar tumepoteza hadhi eti vichogo ndio wenyee pesa
Salafu, histolia,nyelele mtangazaji mhhhh!
Dahhh nasikitika sana..sh zetu kila kukicha zinaendelea kushuka thamani. Wakati wenzetu wa Kenya zao hazishuki thamani kabisa. Bado wanatumia senti. Yaan senti. Leo hii senti hata kuiona huwezi. Hazina maana..zimeshashuka thamani. Tujenge viwanda..tusiwe na uvivu. Tutazidiwa mno. Wala tusimtafute mchawi. Machawi ni sisi wenyewe. JPM tunakuamini.
Mica Mathew ninazoo izo ela
Karibia zote ulizozitaja ninazo
👍
Salafu au sarafu
Nitumie namba
Mimi ninazo
Muziki unazidi
ais mtangazaji hzo machiling ninayo mengi sana 1914 kfupi tu ninazo za kutosha
Mimi nazihitaji
Hazina hata Bei
Mm ninazo za mwaka 1888 ilikuwa yatumika Mombasa
Guin halizapet
Kwapi
Cent 5 .1966 na 1976 ninazo
Ninayo one cent
Ninasenti tano
Sio rial ni baisa
Cuánto vale un billete de 200
Mimi nnazo
Ninashida nazo nitakupataje
Ninayo deutsch ostafrika nitafute
.
Mimi nina senti hamsini ina matumizi gani??
Medar ya vita ya pili yadunia inayo famika kama the star 1939 -1945 inauzwa wapi
Unayo?
Dalala lilitokana na Taxi Driver maarufu anaitwa black moses alikuwa naichaji sh tano kwa abiria kutoka posts mpaka magomeni masipa ndie alienzisha neno la dalala wakati ilikuwa inatoza sh moja mpaka chuo kuku UDSM nakumbuka mpaka 1981 nauli ya uda ilikuwa dh moja
NAOMBA UTULETEE NA HABARI ZA SARAFU YA KIDGITAL MAANA WATU WENGI WEMESHINDWA KUILEWA
Sawa
Balid
pesa zipo wateja tunawapate tupate mawasiliano ya wanunuzi
Njoo inbox
Sokolakelikowapi
Soko. Lake Iko wapi
Mimi ninaqueen Elizabeth na George kama unahitaji nitafute kwa 0754542155
Za mwaka gani
@@mikeyozil1617 kaka ninazo titafute
Le0 Zanzibar tumepoteza hadhi eti vichogo ndio wenyee pesa