VURUGU ZAIBUKA! MKURUGENZI na Wanachama CHADEMA Nusura WAZICHAPE, Akataa KUPOKEA FOMU za WAGOMBEA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2020
  • VURUGU ZAIBUKA! MKURUGENZI na Wanachama CHADEMA Nusura WAZICHAPE, Akataa KUPOKEA FOMU za WAGOMBEA...
    KATIKA hali isiyo ya kawaida, Mkurugenzi wa uchaguzi Moshi ameingia katika mgogoro na wanachama wa Chadema chanzo kikiwa ni fomu ya wagombea wa Chadema.....
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 602

  • @marymremi1241
    @marymremi1241 3 ปีที่แล้ว +2

    ,Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Baba ulieumba mbingu na nchi vyote vilivyomo Baba simama tusaidie uchaguzi wa amani tunakuangalia wewe hatutaona mwingine na jua unaweza njia zako hazichunguziki uliefanya njia ktkt ya bahari fanya njia zako Mungu wewe unatujua kuliko tunavyojijua unaona mpaka mioyo iliyofichika damu ya mtanzania yoyote ilindwe na wewe

  • @ramadhanimbulu6716
    @ramadhanimbulu6716 3 ปีที่แล้ว +14

    Daah! angekuwepo Adamu mchomvu angefupisha mazungumzo tu...!! huyu mkurugenzi ni jeuri Sana.

  • @damsonwillison435
    @damsonwillison435 3 ปีที่แล้ว +39

    Huyu mkurugenzi Ana kiburi Mi sio Chadema lakini kwa hili mkurugenzi unakera

    • @abassmtemekelemkovizuritv7231
      @abassmtemekelemkovizuritv7231 3 ปีที่แล้ว +3

      Piga makofii ya maan upuuz kama huo wanini mnanlea hvo

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 3 ปีที่แล้ว +3

      CHADEMA kwa kuzua maneno huwawezi. Unamsikiliza kuwa waliambiwa na NCCR mageuzi
      Wanachakachua mwenyewe kisha waanazua kesi hawa watu ni wajinga sana

    • @verdianabanabi5943
      @verdianabanabi5943 3 ปีที่แล้ว +3

      Kweli mkurugenzi anakela ila hajui cheo siyo dhamana

    • @mathiasmsese6128
      @mathiasmsese6128 3 ปีที่แล้ว

      hapana hawa wazee wanataka mbango mbona mkurugenzi amewaambia wapeleke tena aliwaambia muda mrefu tu

    • @amosikabalata6381
      @amosikabalata6381 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu yangu unajua hawa watu ambao wako upande wa utawala wana jeuri sana

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 3 ปีที่แล้ว +39

    Mkurugenzi tumia hekima na wajibika, ni accountability yake hao ni wateja wako kujua form ni feki a u receipt ni wewe, jua receipt inatumika ku-acknowledge payment, na wewe mkurgenzi ndiyo process owner, unavyo Tiba Shaka Nani wa kutoa wajibu hayo zaidi ya ofisi yako?

    • @mtengiefoya2835
      @mtengiefoya2835 3 ปีที่แล้ว

      Pmpmpm

    • @saidasimba9979
      @saidasimba9979 3 ปีที่แล้ว

      Kwani kawajibu nini si amesema wawasilishe vielelezo. Tatizo liko wap.

    • @mariamhassan1894
      @mariamhassan1894 3 ปีที่แล้ว +2

      Huyo anatak kichapo ajui hapo ndio kaskazn chadema ndio kwao

    • @denismassawe9255
      @denismassawe9255 3 ปีที่แล้ว

      Chadema mtakaa sanaa

    • @hassankurwa464
      @hassankurwa464 3 ปีที่แล้ว +1

      Waende Polisi Mkurugenzi Hana taaluma ya wanacho kidai

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 3 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana kina mama kwa ujasiri wenu.

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 3 ปีที่แล้ว +36

    Huyu msimamizi anachokitafuta atakipata! Huu sio uchaguzi wa serikali za mitaa

    • @martinemaganga2546
      @martinemaganga2546 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo ni kwamba wanaochukua form wanamchanganya kwanini wao mara aliyechukua form siyo yeye

    • @givenkigahe8116
      @givenkigahe8116 3 ปีที่แล้ว +1

      @@martinemaganga2546 acha ujinga ww

    • @laghanganuwagi7602
      @laghanganuwagi7602 3 ปีที่แล้ว

      We ulijuaje kwamba wsnamchanganya?

    • @verdianabanabi5943
      @verdianabanabi5943 3 ปีที่แล้ว

      Mkurugenzi tumia busara katika kazi yako na hekima usije ukaleta shida

  • @lukagulagekidehele5788
    @lukagulagekidehele5788 3 ปีที่แล้ว +7

    Mkurugenzi wa Moshi ujue kuna utawala wa mpito nchi hii haina mwenyewe, mwenywe ni Mungu tu. Utakuja jutia kijana

  • @kibotvkibo7877
    @kibotvkibo7877 3 ปีที่แล้ว +10

    Duh shida nn wakurugenzi mbona mnawatesa sa wapinzani jmn!!!

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 3 ปีที่แล้ว +30

    Ndomana tulipendekeza kwamba msimamizi wa uchaguzi asiwe mkurugenzi mana ni walewale

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 ปีที่แล้ว +2

      Umeona eee

    • @barakanatus5676
      @barakanatus5676 3 ปีที่แล้ว

      Ujaelewa hapa yaani form yeyote wanasema feki sasa Mkurugenz ataongea nini

    • @williamkayanda603
      @williamkayanda603 3 ปีที่แล้ว

      Hali ii kuludisha fom kutangazwa je

    • @williamkayanda603
      @williamkayanda603 3 ปีที่แล้ว

      Hali ii kuludisha fom kutangazwa je

    • @jaksonjulius9010
      @jaksonjulius9010 3 ปีที่แล้ว

      @@williamkayanda603 hatariiy

  • @augustinemwalongo2580
    @augustinemwalongo2580 3 ปีที่แล้ว +17

    Mbona vizingiti vinakua vingi kwa wagombea wa chadema jaman!!!🤔🤔🤔

  • @philipgerald9646
    @philipgerald9646 3 ปีที่แล้ว +38

    Hawa wakurugenzi mwaka huu tutaimba nao iyenaiyena ama zetu ama zao

    • @aidanhamza4656
      @aidanhamza4656 3 ปีที่แล้ว

      Uwe mbele mbele ili wakutegue kiuno mkeo wakulele wenzio

    • @mwambamkombozi4672
      @mwambamkombozi4672 3 ปีที่แล้ว

      Aidan Hamza mbona jina alifanani na majibu unayomuandia mtu au jina bandia?!!

    • @nabothngailo6594
      @nabothngailo6594 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndo.maana.tulikataa.wakulugenzi.kusimamia.uchaguzi

    • @aidanhamza4656
      @aidanhamza4656 3 ปีที่แล้ว

      @@mwambamkombozi4672 jibu lenye uhalisia kabisa hilo yeye anasema ataimba naye iyena iyena wakat anao wapigania wao wapo makwao wanakula raha , sasa ndio namwambia awe mbele mbele kule kwenye kupamba ili akione cha moto c anataka kuimba naye

    • @hadija846
      @hadija846 3 ปีที่แล้ว

      Haahaaaahaaaaa nyimbo mzuri sana iyenaiyena ama zetu ama zao 👍😍

  • @solemba595
    @solemba595 3 ปีที่แล้ว +11

    Hawa Viongozi gani wasio na hekima, baadae wanasema tutangulize Mungu, yaan aibu tupu

  • @mussasualehe7146
    @mussasualehe7146 3 ปีที่แล้ว +14

    Yaani wametangaza kukubalika leo wameanza wizi.
    Si wanapendwa?
    Figisu za nini?

  • @duoxmasisa6529
    @duoxmasisa6529 3 ปีที่แล้ว +5

    Hapa hakuna mkurugenzi,sasa FOMU c za kwako hutaki kupokea huyu itakuwa alitaka kuwachomekea ili bde aje awakatae sasa pale ishu ishabumbuluka atakufa nazo mwenyewe

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mambo ya kipuuzi kama haya tutawezaje kudumisha amani.Huyu mkurugenzi aache kucheza na haki za watu wa Moshi

  • @margarethalyimo5475
    @margarethalyimo5475 3 ปีที่แล้ว +13

    Kama CCM wanapendwa, hizi figusi zote za nn??

    • @mlapikauma7660
      @mlapikauma7660 3 ปีที่แล้ว

      Huku kwetu tumetiliwa mageti barabarani..Hahaaa hofuuuuuuu

    • @mathiasmsese6128
      @mathiasmsese6128 3 ปีที่แล้ว +1

      ukiondoa ushabiki wa vyama hawa wazee wamekua na mbango zisizo na maana. walitakiwa waendee kwa police waconfirm

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 ปีที่แล้ว

      Apo sasa!!!

    • @babylonyNgwembe
      @babylonyNgwembe 3 ปีที่แล้ว

      CHADEMA wanatakiwa wajfunze zama zmebadlka na siyo kama awali kutafuta kiki za kujiboost

  • @ndimesady7467
    @ndimesady7467 3 ปีที่แล้ว +22

    Hawa jamaa wanatutesa sana ila ipo siku wataumbuka tup pamja na chadema wawo wangake tunataka mabadiliko ccm tumeichoka jaman

    • @petermwacha9909
      @petermwacha9909 3 ปีที่แล้ว +2

      Vitu vingine vinatengenezwa na vyama vyenu kisha baadae wanaanza kueneza uongo. Angalia yule mtu wa ACT aliekamatwa kule KIBAMBA.

    • @timorpathsullusi7055
      @timorpathsullusi7055 3 ปีที่แล้ว +1

      Wapuuzi hao, si wafate taratibu za Tume, wenyewe wanabishania nje ya ofisi. Na majibu yao watapewa hovyohovyo

    • @victormneney8789
      @victormneney8789 3 ปีที่แล้ว

      Mnapo jibu humu comment mjue kuna vipanya pandikizi vyakutetea upuuzi kama vile vya hai leo vinanyea ndoo kisa buku ten

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 3 ปีที่แล้ว

      Tumeichoka,wasubil oct 28 ccm tutawanyoosha shenzy zao

  • @geraldgodsontv7982
    @geraldgodsontv7982 3 ปีที่แล้ว +12

    Huu uchaguz wa mwaka huu Mungu tuvushe😭😭

  • @msuo7215
    @msuo7215 3 ปีที่แล้ว +14

    Mwaka huu ccm wajiangarie sana

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 3 ปีที่แล้ว +1

      kbsaa kabsaaa
      maaana wanaaanhaika sanaaaaa!

    • @petermwacha9909
      @petermwacha9909 3 ปีที่แล้ว +2

      CCM wanahusikaje? Nyie mnatengeneza comed zenu mnasumbua WASIMAMIZI wa uchaguzi

    • @gideonstephen6879
      @gideonstephen6879 3 ปีที่แล้ว

      Hi Nicole mbinu mpya na sct juzi ubungo nao wakafanya wanapeleka barua haina hata reference namba halafu mgombea mwenyewe ni mwna sheria huu ni utoto

    • @msuo7215
      @msuo7215 3 ปีที่แล้ว +1

      @@gideonstephen6879 mh ni shida kwakweli

    • @naomimabula2660
      @naomimabula2660 3 ปีที่แล้ว +1

      Mkurugenzi uelewa mdogo sana jaman, hilo suala sio la kifamilia, ni dhamana tu umepewa, sikiliza Wananchi

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 3 ปีที่แล้ว +6

    Aisee kiukwel mm huyu mkurugenz ningkuwa hpo angerud nyumbani na maundu au meno hana

  • @noahmboma1759
    @noahmboma1759 3 ปีที่แล้ว

    Dah, lakini tukumbuke kuwa baada ya uchaguzi kuna maisha yanaendelea

  • @gaspermatee3970
    @gaspermatee3970 ปีที่แล้ว

    Kama ni kenya 🇰🇪 huyu jamaa sijui kweli form tu

  • @meshackngujati2905
    @meshackngujati2905 3 ปีที่แล้ว +14

    Mwacheni tu atawatambua tu

  • @kiandangulwi3546
    @kiandangulwi3546 3 ปีที่แล้ว

    Hatari sana. God help Tz, Tuondolee wahujumu haki wote hata kama wanania njema kwa mawazo yao

  • @jacksonolotu9318
    @jacksonolotu9318 3 ปีที่แล้ว

    Katibu uko vizuri

  • @emmanuelndaki7942
    @emmanuelndaki7942 3 ปีที่แล้ว

    Mkurugenzi ahahoja ya msingi. Msikilize anasema formu ziko sahihi. Kama unashaka nenda polisi wathibitishe theni rudisha lakini kwa kibali cha polisi. Sasas shida iko wapi? Mkurugeni uko vizuri sana kimaelezo hao wahuni achana nao wafate taratibu.

  • @shanelisessoa6319
    @shanelisessoa6319 3 ปีที่แล้ว +26

    Huyu niwakupiga na inatakiwa apigwe kabla ya uchaguzi na ikibidi akajue cheo nidhama siyo uungu

    • @shanelisessoa6319
      @shanelisessoa6319 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu zangu hawa Miungu watu ndio watakao tuleta vita vya wenyewe kwawenyewe,na mwisho nikuwa ng'oa mapema kwa nia ya kuleta amani ya nchi,
      Huyu niwa kushughulikia yawezekana nimaelekezo

    • @kaishozigodfrey3476
      @kaishozigodfrey3476 3 ปีที่แล้ว +2

      Hujielewi kwani maelekezo ya mkurugenzi hayajaeleweka? Tatizo tushajua tu kuwa CDM wazee wakiki. NCCR na ACT unamaana hawajielewi? Pumbavu CDM fuata kanuni na taratibu za nchi fala nyinyi

    • @fattyjoe1911
      @fattyjoe1911 3 ปีที่แล้ว

      🏋‍♀️🏌🏻‍♂🤸🏿‍♂🤺🤣🤣🤣

    • @willymgogo6975
      @willymgogo6975 3 ปีที่แล้ว

      Tendeni haki tulinde amani

    • @danielgiiti7295
      @danielgiiti7295 3 ปีที่แล้ว

      Wee fara tu

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 3 ปีที่แล้ว

    Hatareeeee sana.

  • @Tanzaniawildcats
    @Tanzaniawildcats 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah noma hii

  • @josefusamki8294
    @josefusamki8294 3 ปีที่แล้ว +13

    Huyu mkurugenz hatufai moshi tunaongozwaje na mtu kma huyu?

  • @allydilunga9621
    @allydilunga9621 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah 😯😯😯😯

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 3 ปีที่แล้ว +6

    huyo mkurugenzi ni mwizi kama mwizi mwingine yoyote muiba kuku pumbavu zake

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 ปีที่แล้ว +2

    NCCR- waliwambia form siyo sahihi indeed 🤨🤨🤨

  • @kingtommdogo6232
    @kingtommdogo6232 3 ปีที่แล้ว

    Nikupe kazi nikupe nyumba nikupe gari Kisha mtangaze mshindi! Nakufuta kazi

  • @ezekielrutendeli1325
    @ezekielrutendeli1325 3 ปีที่แล้ว +4

    Hivi huyo mkurugenzi anafanya hivyo kwa ili iweje ?.Au anatekeleza maagizo toka juu?.Yale yale ya uchaguzi wa serikali za mitaa yameanza.

  • @khamissnassor1462
    @khamissnassor1462 3 ปีที่แล้ว

    CCM mnachokifanya mungu anawaona

  • @wolframkifaru5885
    @wolframkifaru5885 3 ปีที่แล้ว

    Utajibu mbele za Mungu wako

  • @medicalamon908
    @medicalamon908 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hizi ni dalili mbaya

  • @xerxespersian1384
    @xerxespersian1384 3 ปีที่แล้ว

    AIBU KUBWAAAAAAA
    ME NAWAOGOPA BINADAM MAANA WALIMUUA YESU PIA WALICHUKIWA NA MARAIKA MKUU WA BODI YA MASIFU YA MUNGU NA NDIO MAANA NAWAOGOPA BINADAMUUUUUUUU🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🛌

  • @robertsemaganga9168
    @robertsemaganga9168 3 ปีที่แล้ว

    Tunduuuuuuuuuuuuuu.😂😀😁😂😀😁🚵🚵🚵🚵 kubwaaaaaa sana

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 3 ปีที่แล้ว

    Ndio matatizo ya kuwa na makurugenzi makada ya ccm !! Unazi wala hana sifa za kiongozi!! Magufuli umetukosea sana kwa huu mtindo wa kuteuwa nafasi za utendaji kama ukurugenzi makada wa ccm !! Haibu!!

  • @johnsonkiwia6577
    @johnsonkiwia6577 3 ปีที่แล้ว +28

    Mkurugenzi anaongea na kupangusa mdomo kwa ulimi kama nyoka😁😁😁 dalili za hila. Unavuruga uchaguzi kwa sababu za kijinga kabisa. Kwani hizo formu hazina number? Pokea formu kwa number ya copy uliyobaki nayo kwenye copy book eti kwa kuwa wameshaenda polisi hupokei tena real?

  • @magrethsomi4318
    @magrethsomi4318 3 ปีที่แล้ว

    Ndugu haya ni maisha tu, kila apandacho mtu ndicho atakachovuna. Tutendeane wema.

  • @tareqhilal6750
    @tareqhilal6750 3 ปีที่แล้ว

    Aina hii ya watu wakipewa nafasi huww ni viburi Sana,

  • @jeremiadaudi5780
    @jeremiadaudi5780 3 ปีที่แล้ว +7

    Hao wapumbavu wa pigeni hata mawe maana washenzi kweli

  • @isaacsongoro6278
    @isaacsongoro6278 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimemfatilia sana mkurugenzi, nimegundua chadema mnakwenda kwa mihemuko, na jazba mnatakiwa kuwa watulivu mpewewe maelekezo sahihi

    • @charzwilson9494
      @charzwilson9494 3 ปีที่แล้ว

      Chunguza akiriyako Kisha Pima ujue Kama hujanasiriwa na maisha

  • @agneskigongo217
    @agneskigongo217 3 ปีที่แล้ว +9

    Mwaka huu hakika tutashuhudia mengi

  • @alphonsengowi9503
    @alphonsengowi9503 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mjinga ni wa kuondoa hapa Kilimànjaro. Mpumbavu mmoja anaweza kuhatarisha amani ya nchi yetu.

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 ปีที่แล้ว +7

    kwanini form zenye utata ni za wapinzani tu!!!!!!?????

    • @fattyjoe1911
      @fattyjoe1911 3 ปีที่แล้ว

      Jamani eti hata mitambo nayo risiti inaprint ya ccm tu yani mpizini akifika zinagoma ,ccm je mitambo inazindiku🤣🤣🤣🤣🤣 jamani tusubiri movie

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว

      Mkurugenzi anasema muda imeisha hatoi huduma

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 3 ปีที่แล้ว

      Hapo xx

    • @yusuphmohammad1385
      @yusuphmohammad1385 3 ปีที่แล้ว

      Sababau wanakihoro cha kujaza wenzao wametulia na wamepewa semina juu ya hizo fomu

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 3 ปีที่แล้ว

    Mteule huyoooo, halafu ana kiburi sanaa. Cheo ni dhamana.

  • @hossainom7632
    @hossainom7632 3 ปีที่แล้ว +19

    Flance. Naselemani. Chungeni. Vinywa. Vyenu. Kwani. CCM. Hapoimefkaje

    • @givenkigahe8116
      @givenkigahe8116 3 ปีที่แล้ว

      Kusoma hujuwi je hata picha huwoni acha ujinga ww

    • @monicachoga5878
      @monicachoga5878 3 ปีที่แล้ว

      Rais ni Mmoja tu Mh J PM CCM

    • @victormneney8789
      @victormneney8789 3 ปีที่แล้ว

      Kwani chadema wanaongoza serikali we vipi mtz kweli?

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 ปีที่แล้ว

    Nyinyi chadema hamridhiku n'a chochote pahali mlipo mnaleta balaa

  • @babylonyNgwembe
    @babylonyNgwembe 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu jamaa mpuuz sana wewe mnapeleka shda police alafu unataka urudishe sasa msimamz atapokeaje form so lazima ithibitshwe tena na police ivyo wamejchanganya wenyewe na wakat mwngne wanapga goli la MKONO wenyewe kwa upande wapli kwan wao nani mana malalamiko n mbwembwe kbao kla siku

  • @exuperiusmutabuzi7218
    @exuperiusmutabuzi7218 3 ปีที่แล้ว

    Huu ni ushuhuda tosha kuwa Tanzania haijawa tayari kwa uchaguzi huru. Tume ya uchaguzi ni upuuzi mtupu. Bila katiba mpya tutakuwa tunawalaumu bure hawa wakurugenzi. Wapo kutimiza matakwa ya chama chao tawala. Inasikitisha sana.

  • @dullahdullah5499
    @dullahdullah5499 3 ปีที่แล้ว

    Aiseh

  • @kisiriryoba710
    @kisiriryoba710 3 ปีที่แล้ว

    Tunakoelekea Si kuzuri. mtaingiza nchi hii kwenye matatizo kwa kujitia upofu.
    mkurugenzi wewe ndiye kiongozi unayesimamia zoezi hilo alafu watu wanakuja kwako kama kiongozi badala ya kushughulia malalamiko yao unafanya upuuzi mizaha na kujitia upofu. kesho mahakamani utajibu nini? au fujo ikitokea usalama ukaharibika utasema nini hapo.

  • @titosaid9027
    @titosaid9027 3 ปีที่แล้ว +4

    Hatima ya nchi yetu imekuwa mkononi mwa wateule kweli tunahitaji katiba mpya bila hvo tutabuluzwa Sana ??

  • @africanhunter1245
    @africanhunter1245 3 ปีที่แล้ว

    hapa kazi tu

  • @francisrogears528
    @francisrogears528 3 ปีที่แล้ว +4

    Hawa macccm yalisha shindwa wana tumia dhambi

  • @petsmore9955
    @petsmore9955 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hilo kurugenzi ni lichawa. Li chukuliwe hatua za kisheria.

  • @richardnjau9706
    @richardnjau9706 3 ปีที่แล้ว

    Duuh! Hapo kuna kazi!

  • @user-zl5gw2rv8h
    @user-zl5gw2rv8h 7 หลายเดือนก่อน

    Mnapoteza Muda Hapo Uyo Nii Ccm

  • @afredyohana356
    @afredyohana356 3 ปีที่แล้ว

    Kwakweli cjui hiki kiburi wanakipata wapi wakurungezi ira Mungu atawahukumu tu

  • @BIG-HILLTV
    @BIG-HILLTV 3 ปีที่แล้ว

    Hiv chadema kila kitu nikulalamika tu

  • @geofreymollel6973
    @geofreymollel6973 3 ปีที่แล้ว

    Kipindi iki wakurugenz mtakula mlikopeka mboga mmezoea kutupeleka mnavyotaka ss mtajua hii nchi ni ya watanzania wana haki yakudai haki zao

  • @mussahuyya7775
    @mussahuyya7775 3 ปีที่แล้ว

    Hivi katiba yetu IPO wazi kuwa kila MTU anahaki ya kuchaguliwa na kuchagua sasa hata mambo yanayoletwa ya kuwanyima watu haki ya kugombea kwa kigezo cha fomu ni batili kabisa mgombea amepita kwenye mchakato wa chama na kimewapitisha mkurugenzi anaonekana ameandaa mgombea wake lazima apite,Hii ndiyo inaleta tafasiri kuwa maamuzi mengine ya MAHAKAMA unaona Hana shida yanaleta migongano inaonekana wazi wasimamizi wengi wa uchaguzi ni wana chama wa chama kilicho kwenye kinyanganyiro ni vipi haki itatendeka,hili majaji wa MAHAKAMA ya rufaa ndiyo kwenye majibu

  • @ephraimrugabandana773
    @ephraimrugabandana773 3 ปีที่แล้ว

    Uongozi wa juu tafadhari angalieni haya mambo yanatia aibu nchi yetu pia inaonyesha picha isiokua nzuri kwataifa letu!!! Machafuko mengine mtasababisha wenyewe na sio wapinzani!!!

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 3 ปีที่แล้ว

    Inauma sana unapoona mtu Kwa mamlaka aliyopewa, anataka kusababisha vurugu bila sababu. Very sad.

  • @saymongwaltu9546
    @saymongwaltu9546 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh

  • @allenmeta1851
    @allenmeta1851 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mkurungenzi yuko sahihi ,yeye ndiye aliyewapa hizo fomu wao wanadai ni feki na wameripoti kituo cha polisi,hivi,swali LA kujiuliza kati ya mkurungezi na hao wagombea ni nani mwenye ujuzi na hizo fomu,isitoshe hakuna aliyeiona hiyo fomu,tuwe na akiba ya maneno itatusaidia!

  • @mulangilakabwarebenson5128
    @mulangilakabwarebenson5128 3 ปีที่แล้ว +4

    TATIZO WA CHADEMA HAMKO WASKIVU HATA KIDOGO.

  • @jaksonjulius9010
    @jaksonjulius9010 3 ปีที่แล้ว

    Kiraza mkubwa sana huyu mkurugenzi.Polis wanausika na nini hapo.

  • @gideonmwalyego466
    @gideonmwalyego466 3 ปีที่แล้ว +22

    Kilaza hyu mkurugenzi

  • @festusgwota2998
    @festusgwota2998 3 ปีที่แล้ว +2

    Hili Ni kada ndani ya koti la mkurugenzi

  • @hilarykinyekile7433
    @hilarykinyekile7433 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ingilia Kati Mambo ya hovyo kabisa haya,nimambo aibu kwa taifa,huu mchezo mchafu,haki itendeke Kama wanadamu,Kweli Kuna binadamu na wanywadamu,Mungu anawaona!

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 3 ปีที่แล้ว

    Huyu Mkurugenzi gani kiazi,tunawatoa wapi Hawa aina ya wakurugenzi .mnatuabisha Sanaa ktk serikali.
    Huwezi kujianika km umeharibu

  • @kasalimareju6052
    @kasalimareju6052 3 ปีที่แล้ว

    Watanzania wenzangu tulieni tudhuma aijawai kushinda kwamwe ina mwisho naisi mwaka huu Mungu kaisha tuandalia Daudi alie muua goriati watu wakafulaihi

  • @OLELEMBRICE
    @OLELEMBRICE 3 ปีที่แล้ว

    Chadomo vilaza mnaimbiwa muwasilishe receipt manaleta longo longo,ka mmetengeneza receipt na form zenu atajuaje,sasa form mmepeleka police unataka zipokelewe na msimamizi mlio mtuhumu,kwann msirudi police wawape mwongozo,alaf mna bahati hamja kutana na mtu kama mimi,mmekutana na mtu mpole kidogo.

  • @denismassawe9255
    @denismassawe9255 3 ปีที่แล้ว

    Wewe ndio uliowapa walipoona haziko sawa kwanini hawakurudi kwako wakaenda polisi ??? Kwani polisi ndio waliowapa?? Wangekuja kwako kwanza wakuoneshe uzione kama sio zenyewe ndio aangeenda lakini sasa wameshaenda huko halafu ndio wanakuja kwa mkiirugenzi kulalamika waendelee na polisi kelele za nini si ndiko walikoona watapata msaada. Hawa chadema bwana hawaa taabu sana

  • @frankedwardingingo3397
    @frankedwardingingo3397 3 ปีที่แล้ว

    hii nchi ni ya kwetu sote mtaivuruga amani

  • @rehemamdoro5165
    @rehemamdoro5165 3 ปีที่แล้ว

    Wewe mkurugenzi jarabu kumuogopa Mungu kwanini mnapenda kudhurumu haki

  • @innocentnkya5916
    @innocentnkya5916 3 ปีที่แล้ว +3

    Mkurugenzi kaswaki mdomo unanuka🥱

  • @adammbaruku4434
    @adammbaruku4434 3 ปีที่แล้ว

    Sikuona sababu ya kugombana na mkurugenzi kabla ya kujaza hizo form alizowapa na kuzirudisha akizikataa ndiyo muanze kesi , sasa mnaanza kulinganisha na za vyama vingine sijui mliziona wapi, tulizeni mizuka ndugu!!

  • @saantz5135
    @saantz5135 3 ปีที่แล้ว

    Form zimefifia

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo la watanzania tukipewa maagizo hua hawataki kufwata mnaambiwa kama kuna hoja wasilisha mnazidisha maelezo meeengi

  • @philemonmachange1853
    @philemonmachange1853 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani ndy mnategemea huyu mtu awatangaze kama mkishinda 😳😳 nisawa na kusubiri Meli airport

  • @wolframkifaru5885
    @wolframkifaru5885 3 ปีที่แล้ว +6

    Polisi sio watoaji wa fomu

    • @wahidkombokhamis4330
      @wahidkombokhamis4330 3 ปีที่แล้ว

      Tume ndiyo inayoanzisha vurugu na sio polisi, mtazamo tu

  • @rammyrichtv6913
    @rammyrichtv6913 3 ปีที่แล้ว

    Mkae mkijua mnaishi na wanajamii ambao mnawaletea miyayusho.Huyu mkurugenzi mpumbavu sana

  • @salumuhamissi3492
    @salumuhamissi3492 3 ปีที่แล้ว +2

    Ccm inakata roho bado kuzikwa tu

  • @zubeirali6323
    @zubeirali6323 3 ปีที่แล้ว

    Zichukuwe mkurugenz km ishu kuchukuw half uzitie debe la taka basi kazi ishaisha si anatk uipokee tu.

  • @josurelauwo7104
    @josurelauwo7104 3 ปีที่แล้ว

    Kilichobaki ni vita tu
    Ili ufike wkt wa kuheshimiana hakuna njia nyingine zaidi ya iyo tu

  • @salumuhamissi3492
    @salumuhamissi3492 3 ปีที่แล้ว +5

    Ccm waoga cjapata kuona

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 ปีที่แล้ว

    Mkurugenzi mama ana kichwa kigumu sana haelewi anachokifanya, yupo yupo tu na kiburi kazi itamshinda.

  • @magaumasiaga3120
    @magaumasiaga3120 3 ปีที่แล้ว +1

    Aibu sana ila kumbuka hakuna mwenye hati miliki ya hii inchi

  • @sandraasafisana811
    @sandraasafisana811 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiongozi Kama huyu hata Sijui niseme anafaa au hafai maana kid ngozi wetu wa nchi kashasema sheria zitekelezwe ili kusiwepo malalamiko sasa huyu anataka kutuchafulia jina.

    • @kissirukuba6538
      @kissirukuba6538 3 ปีที่แล้ว +1

      Wanapokea maagizo kutoka wap?????

  • @mashakamwashilindi5607
    @mashakamwashilindi5607 3 ปีที่แล้ว +2

    Viongozi wa dini semeni na hii,AMANI ipo apo kwa mkurugenzi.

    • @ambasonkalenga2047
      @ambasonkalenga2047 3 ปีที่แล้ว

      Wasemakweli nimashehe waliopo kifungoni tu wengine wote wachumia tumbo kula zaka za masikini tu kumbuka wengine walipewe hata pesa za escro

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 3 ปีที่แล้ว

    Mungu aningilie Kati cheo ni chakupita hizo nidharau

  • @shaibuhassani7431
    @shaibuhassani7431 3 ปีที่แล้ว

    Shida iko wapi

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 3 ปีที่แล้ว +4

    Hekima na busara zinahitaji

  • @geofreymollel6973
    @geofreymollel6973 3 ปีที่แล้ว

    Nyie wakurugenz mnatupeleka makosa mtajua mwaka huuu