Kwanini noti za benki nchini Malawi zinaharibika haraka?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2020
  • Benki Kuu ya Malawi imesema imetumia dola milioni 16 kubadilisha noti za benki zilizoharibika mwaka huu. Benki hiyo inasema kuwa watu wanafaa kuhimizwa kutumia noti vizuri kwasababu matumizi mabaya yanasababisha fedha hizo kuharibika haraka. Raia wa Malawi wamehimizwa kuzingatia zaidi malipo ya kielektroniki ili kusaidia nchi kupunguza matumizi ya fedha za kigeni. Mwandishi wetu Nomsa Maseko alitembelea taifa hilo lililoko eneo la Kusini mwa Afrika kufahamu kwanini noti hizo zinaharibika haraka.
    #bbcswahili #biasharabomba #fedha #

ความคิดเห็น •