SIRI nzito zilizofichwa kwenye MICHORO maarufu DUNIANI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 133

  • @brayansullyman2379
    @brayansullyman2379 4 ปีที่แล้ว +9

    mbona sound iko juu me unanipa taabu kuelewa

  • @fortunefrancis8893
    @fortunefrancis8893 4 ปีที่แล้ว +6

    Asant sana mungu kutupatia watu kama wew unayetuletea habari kama hizi asant brother

  • @yakinishasekwao5869
    @yakinishasekwao5869 4 ปีที่แล้ว +7

    kila picha ukiiangalia kwa pemben inakuangalia UA VP ndguzangun yenye macho wazi lakin

  • @farouqmimi8327
    @farouqmimi8327 4 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha mzee keep it up

  • @charleskilangi6624
    @charleskilangi6624 4 ปีที่แล้ว +4

    Upo vizur bro

  • @happysalva24
    @happysalva24 4 ปีที่แล้ว +18

    Kuna vitu vyengine watu uwaga tu mna imagine sometime

  • @lifeboymaladear2397
    @lifeboymaladear2397 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ametupa akili na maarifa ila siku hizi watu awataki kumiza kichwa , kila mtu wanatumia shortcut , ni heli wenzangu tutumie maarifa ipasavyo

  • @allykutenga2862
    @allykutenga2862 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sannaaa...

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 4 ปีที่แล้ว +8

    UNAJUWA NINI! hata mimi ni mchoraji nilisha chora picha nyingi kwa kutumia akili yangu tu bila kufikilia. Baada ya siku nikiitizama vizuri picha niliyoichora nahisi kama kuna vitu vingi wakati niliichora tu bila kufikili. Picha nilizo zichora zamani atakaye zitizama kwasasa lazima alete tafsili nyiiiiingi. Wakati mimi sikuwa na maana hata moja✍

    • @cinnamonstar808
      @cinnamonstar808 4 ปีที่แล้ว

      your whole being in different from them.

    • @ochiengomeno3675
      @ochiengomeno3675 4 ปีที่แล้ว

      ndugu yangu watu wameharibika kimaadili ndio maana kila kitu wanakitafsiri kwa ubaya yaani tukumbuke kuwa maji ya bahari ni chumvi hata ukisogea kwandani utapata ni machungu tu,walio zoea ubaya wabna zalisha mabaya yaliyo katika mawazo yao potofu

  • @jacklinembachenga1284
    @jacklinembachenga1284 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaan sauti yako nzito yakiume safi ila inanitisha najikuta nikiisikia naiogopa

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @jiongezehotnewstv7770
    @jiongezehotnewstv7770 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri mkuu

  • @stevenbugas7554
    @stevenbugas7554 3 ปีที่แล้ว +1

    great quality video

  • @jumajuma7794
    @jumajuma7794 4 ปีที่แล้ว +1

    Makini sanaa kaka

  • @baizoboy1719
    @baizoboy1719 4 ปีที่แล้ว +1

    Good job br.

  • @user-sq7pz9ex5g
    @user-sq7pz9ex5g 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah 🥰 Ila Mimi nipo nipo tuu 😔😃huwa sijui chochote

  • @nancepatric1863
    @nancepatric1863 4 ปีที่แล้ว +1

    Fantastic

  • @kevinbalongo9971
    @kevinbalongo9971 4 ปีที่แล้ว

    Video hii ni nzuri

  • @luobae4128
    @luobae4128 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri lakini work out on sound

  • @bilalissack7573
    @bilalissack7573 4 ปีที่แล้ว +7

    Yesu hakusulubiwa na yeye si Mungu yéyé n mtume wa Mungu

    • @brianchristian7535
      @brianchristian7535 4 ปีที่แล้ว

      Are you real?!!

    • @brianchristian7535
      @brianchristian7535 4 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ni muislamu au mkristo?

    • @bilalissack7573
      @bilalissack7573 4 ปีที่แล้ว +1

      Mimi n muisilamu

    • @bilalissack7573
      @bilalissack7573 4 ปีที่แล้ว +5

      Brian Christian Muisilamu pia sisi tunamwamini yesu kama mtume wa Mungu Bali yesu si Mungu wala mtoto wa Mungu

    • @brianchristian7535
      @brianchristian7535 4 ปีที่แล้ว +2

      My friend? Umepotea; no one will inherit the kingdom of God unless he/she is born again. Jesus chirist is lord and saviour to the glory of God the father. 🙏

  • @tiktokevent7013
    @tiktokevent7013 4 ปีที่แล้ว +26

    TUPE STORY YA ALEXANDER THE GREAT TAFADHALI BOSS

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +6

      Sawa mkuu nalishugulikia hilo.

    • @makongoroabdi313
      @makongoroabdi313 4 ปีที่แล้ว +1

      nataman kumjua zaidi uyo jamaa maaana nlimhelewa xana

    • @thenextmvp8568
      @thenextmvp8568 4 ปีที่แล้ว +1

      GODWIN FRANK kasome kitabu boss

    • @abednegomuendo3159
      @abednegomuendo3159 3 ปีที่แล้ว

      Kitabu gani

  • @scholahmwelange1406
    @scholahmwelange1406 ปีที่แล้ว

    Hongera sanaaaa

  • @patrickmkude9985
    @patrickmkude9985 3 ปีที่แล้ว

    Da vinc n hatari

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 ปีที่แล้ว

    We kaka noumah sana

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx 2 ปีที่แล้ว

    Daaaah noma sana

  • @edwardmenawezkuzamakwadaki4825
    @edwardmenawezkuzamakwadaki4825 ปีที่แล้ว

    xhukran xana kak kw kunifahamixh hay mamb nilikua xjui

  • @jijitumhagama
    @jijitumhagama ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @officialellymaughkine4420
    @officialellymaughkine4420 4 ปีที่แล้ว +4

    wapeeee wapeeee

  • @farihiamass8739
    @farihiamass8739 4 ปีที่แล้ว +5

    Love it

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa kutazama

  • @calvintheone299
    @calvintheone299 4 ปีที่แล้ว +3

    Hatariiii

  • @tatuathman1493
    @tatuathman1493 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheki na picha inayoitwa Davinch inaendana sana na hii

  • @samuelkerenke8640
    @samuelkerenke8640 4 ปีที่แล้ว +1

    heeeehe mna kizungumkuti hpa

  • @magidachimija5599
    @magidachimija5599 ปีที่แล้ว +1

    Siyo maiko anjelo ni MICHELANGELO

  • @maryamyuluka7775
    @maryamyuluka7775 4 ปีที่แล้ว

    Kaz nzur

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty ปีที่แล้ว

    Hapo kwa papà Julia’s 😂😂

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 3 ปีที่แล้ว

    Nyie kina kitu mnawatukuza wazungu tuu kila kilichogunduliwa bas wamegundua wazungu tu

  • @bwenyenyeallykahawa3737
    @bwenyenyeallykahawa3737 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @timothkabata7091
    @timothkabata7091 ปีที่แล้ว

    Kaka Justin naomba tutengenezee video kuhusu Imhotiep maana nashindwa kujua yupi alikua genius zaidi kati yake na Leonardo da Vinci

  • @hamisimwalabu9161
    @hamisimwalabu9161 3 ปีที่แล้ว

    Keep up

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 4 ปีที่แล้ว +3

    Bravo ✌✌✌✌

  • @magdalenamtei3799
    @magdalenamtei3799 4 ปีที่แล้ว +1

    aaa aise

  • @iddyshabani5942
    @iddyshabani5942 4 ปีที่แล้ว +1

    Lete na ya Mao ze dong wa china

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 4 ปีที่แล้ว +2

    Duh nouma❤❤🔥🔥🔥

  • @petermutuku8113
    @petermutuku8113 4 ปีที่แล้ว +4

    Good work

  • @billyonmacvon5666
    @billyonmacvon5666 4 ปีที่แล้ว +1

    Ok

  • @gravityworkout4748
    @gravityworkout4748 4 ปีที่แล้ว +1

    Michael angelo alikua mhuni

  • @fanjrviber3816
    @fanjrviber3816 4 ปีที่แล้ว +6

    Duuuh htriiii munoooO:-😾😾

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +2

      Balaa sana watu wa zamani walikuwa wanafikiria sana

  • @abdallahlastb5355
    @abdallahlastb5355 3 ปีที่แล้ว

    Twende kaz

  • @reginamhagama2421
    @reginamhagama2421 4 ปีที่แล้ว +3

    Duh!! Hatari sana: tuko pamoja.

  • @omarykingo7096
    @omarykingo7096 4 ปีที่แล้ว +2

    Mziki unazinguwa wa nini sasa

  • @edwardmenawezkuzamakwadaki4825
    @edwardmenawezkuzamakwadaki4825 ปีที่แล้ว

    xwal lang ni hl je? haw aliens wametokana na nn?

  • @ronnoxgen4154
    @ronnoxgen4154 4 ปีที่แล้ว

    Tafuta mziki mzuri bana hii ya haina hii inakela

  • @andrewmtalemwa6970
    @andrewmtalemwa6970 4 ปีที่แล้ว

    monalisa ndo. mchoro bora wa mda wote

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 ปีที่แล้ว

    Wangapi nmejarbu kama mimi

  • @eliazaripro5532
    @eliazaripro5532 4 ปีที่แล้ว +7

    Dkk 9... Background music inaznguaaaaa

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa feedback

  • @qbenadosirvaq8301
    @qbenadosirvaq8301 4 ปีที่แล้ว

    nc

  • @ramlapacisramla4837
    @ramlapacisramla4837 2 ปีที่แล้ว

    Tunamba history ya wafamle wa Roma

  • @azzeaazza6331
    @azzeaazza6331 4 ปีที่แล้ว +3

    Hyo ni michoro tuu

  • @habibayahaya3012
    @habibayahaya3012 4 ปีที่แล้ว +1

    Mh

  • @ibrahimmasasi5723
    @ibrahimmasasi5723 4 ปีที่แล้ว +2

    wow

  • @georgekilolo9134
    @georgekilolo9134 4 ปีที่แล้ว

    Punguza saut ya mziki

  • @ahmadmouddy7633
    @ahmadmouddy7633 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuh

  • @roshleslie2746
    @roshleslie2746 4 ปีที่แล้ว +3

    Tuelezee ukweli wa hercules

  • @edwardlupolaso2061
    @edwardlupolaso2061 4 ปีที่แล้ว +4

    Kwan monalisa ni nani adi tumjadil 🤔🤔

  • @mclevischegem5790
    @mclevischegem5790 3 ปีที่แล้ว +1

    HahAha

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila dunian kuna mengi mnavyotupa hizi hadithi tunajifunza sana asante

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 3 ปีที่แล้ว

    Kwani uyo mchoraji akimaliza haulizwi alichokichora

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 ปีที่แล้ว

      Njoo nikuchore ehh

  • @calvintheone299
    @calvintheone299 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii Dunia inasiri kubwa sana

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa kutazama.

  • @salimkalulu373
    @salimkalulu373 4 ปีที่แล้ว +2

    Alexander the great tafadhali

  • @NeemaKmussa
    @NeemaKmussa 4 ปีที่แล้ว +3

    Watu walikuwa na akili

  • @husseinmussa1597
    @husseinmussa1597 3 ปีที่แล้ว

    CHJ

  • @edwardlupolaso2061
    @edwardlupolaso2061 4 ปีที่แล้ว +2

    Sijaelewa kabisa

  • @yesunialamayakiama.9013
    @yesunialamayakiama.9013 4 ปีที่แล้ว +2

    No tano hiyo ni uongo, sio ugunduzi wa hali ya juu hata kidogo. Kila picha iliyochorwa namna hiyo yaani kwa kuonekana macho yote mawili lazima kila upande unaotokea mtu huyo huonekana akikutazama. Chunguza na picha nyinginezo utabaini hilo.

    • @Kendra_panda
      @Kendra_panda 4 ปีที่แล้ว

      Hii ni kweli try it

    • @yesunialamayakiama.9013
      @yesunialamayakiama.9013 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Kendra_panda Sijasema sio kweli, nimesema kwa kila picha iliyochorwa namna hiyo lazima hilo jambo lionekane, hivyo sio ugunduzi wa hali ya juu uliogunduliwa kwenye picha ya Monalisa. Sawa ee?

  • @kizakadafiomar2067
    @kizakadafiomar2067 4 ปีที่แล้ว +1

    Eh niatar san

  • @bernadetanyendo1650
    @bernadetanyendo1650 4 ปีที่แล้ว +5

    HIZI NI HISIA ZAKO TU HAMNA HATA FAIDA MOJA UNAYO TUPA

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Asabte kwa maoni yako.

    • @applekidoti8158
      @applekidoti8158 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante bro story kama hizi mie binafsi yangu zinanitoa mawazo. Pia zinanifundisha nisivyovijua

    • @nicholausthomas2308
      @nicholausthomas2308 4 ปีที่แล้ว

      Kumb unaakili

    • @jamesmasanja1963
      @jamesmasanja1963 2 ปีที่แล้ว

      Jitikise dada na kama bado unakaa kwa mjomba, Shangazi, au kwa kaka ondoka Haraka au bado upo kwa wazazi Eeeh, eti havisaidii chochote Ulikuwa Unamjua LEONARDO DAVNCH we nenda kaangalie bongo movie ndo saizi yako

  • @jacklinesamwel2457
    @jacklinesamwel2457 4 ปีที่แล้ว +1

    Unaongea vitu vinavyosadikika na sio ukwel na kama ni kwel una ushahidi???? Au kuja kuleta porojo na kutaka kuuza jina kupitia hayo maneno yako ......think twice bro😎😎😎

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Asante kwa maoni yako,tutayafanyia kazi.

    • @tresollamary6146
      @tresollamary6146 4 ปีที่แล้ว

      Jama anajuwa big up sana bro

    • @jamesmasanja1963
      @jamesmasanja1963 2 ปีที่แล้ว

      Kwa Hiyo vya ukweli unavyovijua wewe tupe basi, tuviache vya Justin eti think twice, toka hapo alipoolewa dada yako jitikise bro

  • @ahmedyak3793
    @ahmedyak3793 4 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye kalamu ya mwisho "The Last Supper" pia kuna siri inaonesha Maria Magdalena yule aliandikwa kama kahaba kwenye bibilia ...inasemekana aliikua mke wa yesu na alizaa nae ila aliishi mafivhoni kwa mda mrefu kutokana na mayahudi kutaka kupoteza kizazi cha yesu.

    • @lainessmwombeki7919
      @lainessmwombeki7919 4 ปีที่แล้ว

      Ahmedy AK Embu tuache kidogo

    • @ahmedyak3793
      @ahmedyak3793 4 ปีที่แล้ว

      Soma The Da vinci code kimeandikwa na Dan Brown...ukimaliza uje unambie tena nikuache kabisa.

    • @jeremiahmutunga6899
      @jeremiahmutunga6899 4 ปีที่แล้ว

      wah

    • @ahmedyak3793
      @ahmedyak3793 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jeremiahmutunga6899 nimetafsiri picha tu kwa ujuzi niliopata kwa Dan Brown si vinginevyo.

    • @yassermakame6398
      @yassermakame6398 4 ปีที่แล้ว

      Hahahwhwhw

  • @billyonmacvon5666
    @billyonmacvon5666 4 ปีที่แล้ว

    Ok