Kama huna IMANI,unaweza hisi kisa hiki ni UWONGO,lakini ndivyo ilivyotokea.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 70

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 3 ปีที่แล้ว +20

    Wengi Tulikata Tamaa Lakini Tuliamka Tena Baada Ya Kuamini Tunachofanya! Nilichekwa Wakati Natengeneza Video Kwa Smartphone Lakini Walionicheka Leo Wao Ndiyo Hawajaendelea 😀😀😀😀 Tupambane Ndugu Zangu.

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  3 ปีที่แล้ว +3

      Ni kweli kaka cha muhimu ni kujua tu ile ndoto uliyonayo kichwani,na kuisimamia mana watu lazima wakukatishe tamaa

    • @Mbeyaconscious
      @Mbeyaconscious 3 ปีที่แล้ว +1

      @@BONGOFASTA kweli Mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏✊

    • @manasadunia3458
      @manasadunia3458 3 ปีที่แล้ว +1

      @@BONGOFASTA Nikweli kabisaaa

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ambariki sana huyu kijana

  • @Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq
    @Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq 3 หลายเดือนก่อน

    asanti sana justine shedi kwakutuelimisha

  • @hopemallya7602
    @hopemallya7602 2 ปีที่แล้ว +6

    Tueshimu mawazo ya mwenzio kama unaona huwezi kutumia muda wako na watu wenye mawazo yakusonga mbele kaa pembeni .😎

  • @indivirabonnymatenje7290
    @indivirabonnymatenje7290 2 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Kenya 254

  • @joejux1380
    @joejux1380 3 ปีที่แล้ว +12

    Kwa maisha ninayoyapitia mm na hizi changamoto ambazo nakutana nazo
    Laiti kama una roho ndogo wallah
    Unaweza kukata tamaa kabisaa
    Na hata kuweza kumkufuru muumba wako ila naiamini sana kesho yangu
    Kuliko leo yangu😔

    • @luciahmwai567
      @luciahmwai567 3 ปีที่แล้ว +1

      Woiyee

    • @cocotz1892
      @cocotz1892 3 ปีที่แล้ว +1

      Inshallah Mungu ni mwema utapita tu muombe Mungu fanya kazi kwa bidii tu

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 3 ปีที่แล้ว

      Binadam karibu wote tunapitia hayo mazito kua na iman tu kua kesho ni bora kuliko leo

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 2 ปีที่แล้ว +4

    Tusome sana mafanikio yapo kwenye vitabu

  • @agiasaidi5294
    @agiasaidi5294 3 ปีที่แล้ว +4

    MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH

  • @666richking3
    @666richking3 3 ปีที่แล้ว +1

    Very well
    Sprt it supplies for others

  • @noti1k752
    @noti1k752 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ni mkubwa💪

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 2 ปีที่แล้ว +1

    Tambua unachokipenda kukifanya, tumia muda wako kukifanyia utafiti na usitazamie faida bali matokeo ya kile unachopenda kukifanya, kama unakipenda hata kikiwa ni cha hasara, kwako ni faida kwasababu kinakuletea furaha/ kinakufurahisha. Kisha amini katika unachokifanya haijalishi watasema nini wanaokuzunguka maana kelele zao zina nia moja tuu ya kukukatisha tamaa, Amini ! kelele na kejeli unazozisikia kwa watu usizitazame, maana ipo siku kelele hizo zitageuka na kukushangilia kwa kile unachokifanya na midomo iliyotoa kejeli awali itakusifia. Amini katika kile unachokifanya na umwamini Mungu Yeye huwapa heshima waliodharauliwa !! Na cha msingi jitihada huzaa matokeo chanya !!

  • @manasadunia3458
    @manasadunia3458 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah yupo vizuri sana

  • @jazilakaura7474
    @jazilakaura7474 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah story inasisimua sana imeniongezea imani

  • @mohdansari1006
    @mohdansari1006 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanaocheka wacheke mtu ako kwa kaburi juu hawajui kesho italeta nini.mtu ako hai MUNGU ako na yake kwa ghala atabarikiwa mpaka washangae

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema kila wakati🙏🙏

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaaan waafrica kwa kukatishana tamaa daaa

  • @jeanbb1385
    @jeanbb1385 3 ปีที่แล้ว +2

    Funzo kubwa Sana

  • @RONALDOTRUCKDRIVER
    @RONALDOTRUCKDRIVER 3 ปีที่แล้ว +1

    God is good all the time

  • @levinaustin4086
    @levinaustin4086 ปีที่แล้ว +1

    Movie ya the boy who harnessed the power of the wind

  • @therealfx_king8252
    @therealfx_king8252 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii movie ina itwa " a boy who harnessed the wind" ya 2019 nakumbuka nilikua nalia wakati naangalia ina gusa hisia Sana ni true story sema wame act tu

  • @thisboyisgreat
    @thisboyisgreat 2 ปีที่แล้ว

    Yani nimeshukulu sana jastin

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 2 ปีที่แล้ว +1

    AMEN AMEN.

  • @duketv7924
    @duketv7924 2 ปีที่แล้ว

    Kaka me na appreciate unachokifanya...... JUSTIN SHED

  • @abray9808
    @abray9808 3 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations

  • @khalidkhaan5688
    @khalidkhaan5688 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akiandika jambo dogo tu unapaa.kama white masai mavazi yake tu kapendwa na mzungu.

  • @sisye1
    @sisye1 2 ปีที่แล้ว

    Daa mpaka history za malawi unazipatia

  • @sebastianmwalewa7731
    @sebastianmwalewa7731 2 ปีที่แล้ว +1

    I appreciated

  • @edisonjoseph4087
    @edisonjoseph4087 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Sana

  • @justinmwanyonga1112
    @justinmwanyonga1112 2 ปีที่แล้ว +1

    Sanaaaaaaaa J

  • @akhamedimaster6400
    @akhamedimaster6400 2 ปีที่แล้ว

    Story nzur
    shabiki namba 4 wa Justin shed piga Kaz Kaka tupo pamoja

  • @lilymatoli7117
    @lilymatoli7117 3 ปีที่แล้ว

    Xasa twende kaziiiiiiiii

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 ปีที่แล้ว

    MashAllah

  • @waziriomar1414
    @waziriomar1414 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata mm Kuna baadha wananidharau Ila Kuna siku wataona maajabu 😂😂😂

    • @westcijosh
      @westcijosh 2 ปีที่แล้ว

      Mkuu kila mtu anadharaulika .hata matajiri wanazaraulika tu cha msng kila mtu aishi maisha yake

    • @Venitraveller-dn3sd
      @Venitraveller-dn3sd 6 วันที่ผ่านมา

      Mmmmmmh mkuuu wew hakuna atakaeekuheshimu tutakuzarau daily

  • @eray5446
    @eray5446 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @philipgurtu9306
    @philipgurtu9306 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii story ninkam ina movie yake moja hiv true story

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว

    Sasa twende Kazi 🇹🇿 justin

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbk kisa hiki Kam niliona kweny movie ila OK kisa kizur

  • @djmtengwatz1099
    @djmtengwatz1099 3 ปีที่แล้ว

    Sasa Twende Kazi

  • @lulually5209
    @lulually5209 2 ปีที่แล้ว

    Story ya kweli au hadithi

  • @kelvinfungo119
    @kelvinfungo119 3 ปีที่แล้ว

    Sasa twende kaz

  • @mwajumariami2997
    @mwajumariami2997 ปีที่แล้ว

    Kisa cha majaliwa usije ukakisahau

  • @musakihama7205
    @musakihama7205 2 ปีที่แล้ว

    Oscar Oscar,kama.

  • @xhampoza_25
    @xhampoza_25 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naitwa justin shed sasa twende kazi

  • @themaquin5952
    @themaquin5952 2 ปีที่แล้ว

    Imetolewa movie story ya uyu jamaa, inaitwa THE BOY THAT HARVEST THE WIND

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @salumsalum5712
    @salumsalum5712 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi n Albert Einstein Sasa twende kazi

  • @hassaniboy1287
    @hassaniboy1287 3 ปีที่แล้ว

    Kaka shed huna mpinzan brother

  • @anthonysindabaha7517
    @anthonysindabaha7517 2 ปีที่แล้ว

    Hii story umeitoa kweny movie bro...ilaa ni kisa cha kwel

  • @drlembele2552
    @drlembele2552 2 ปีที่แล้ว

    Ni William au michael

  • @salumlibaba9500
    @salumlibaba9500 2 ปีที่แล้ว

    Nilichek movie yake kali sn

  • @williamnamende7691
    @williamnamende7691 2 ปีที่แล้ว

    William sisi wenye majina haya niwatu wakubwa sana

  • @dashcombokinondoni1992
    @dashcombokinondoni1992 3 ปีที่แล้ว

    Hawa watu ni picha zao au unajiongeza tu brother

    • @petermulenga8402
      @petermulenga8402 2 ปีที่แล้ว

      N kweli tafuta movie inaitwa boy harnessed the wind

  • @swahilimagnet
    @swahilimagnet 2 ปีที่แล้ว

    Inavutia sana