INASIKITISHA!Dubai walivyozamisha TRILION 32.4 ndani ya BAHARI katika VISIWA VYA KUTENGENEZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2021
  • Mwaka 2003 dubai waliishtua dunia kwa kutangaza mradi ambao utagharimu matrilioni ya pesa,kwa kutengeneza visiwa ambavyo vitakuwa na umbo kama la dunia na juu yake kulitakiwa kujengwa makazi ya kifahari,hoteli za nyota saba bila kusahau macasino na kumbi za starehe ambayo zingekuwa zikiwahudumia watu maarufu kutoka kote duniani,visiwa hivi vilitakiwa kujengwa maili mbili kutoka nchi kavu,na vingefikika kwa boti tu kutoka dubai.kutokana na kuwa na umbo kama la dunia mradi huu uliitwa THE WORLD yaani ulimwengu.Ulikuwa ni mradi mkubwa lakini si wakwanza na wa pekee,kwani tayari dubai walikuwa washaanza kufanya miradi mwingine,kwani kampuni ya ujenzi ya NAKHEEL ambayo inamilikiwa na serikali,ilishaona fursa katika biashara ya majengo,hivyo wakaamua wabuni miradi ambayo ingejengwa baharini na kuvutia utalii Zaidi,baada ya kupitisha miradi hiyo kazi ilianza na mapema kabisa kampuni hiyo ilikuwa imekamilisha mradi wa palm jumeira ambao ulikuwa ni mji uliojengwa majini ukiwa na umbe la mnazi.Lakini wakti huo huo kulikuwa na miradi mwingine iliyopo kwenye foleni kama vile palm jebel ali na palm deira.sasa turudi kwenye mradi wa the wolrd,mradi huu ulitangazwa sana na ilitakiwa kuwa kivutio kikubwa sana cha utalii huku watu maarufu wakikaribishwa kumiliki visiwa hivyo,lakini katika hali ya kusikitisha,mpaka hii leo,si chini ya asilimia 95 ya visiwa hivi viko wazi na hakuna kinachoendelea licha ya Zaidi ya miaka 10 kupita.
  • ภาพยนตร์และแอนิเมชัน

ความคิดเห็น • 80

  • @saidmungulu7053
    @saidmungulu7053 3 ปีที่แล้ว +10

    duh hii kalii kwel tembea ujionee. gonga like km unandoto ya kwenda Dubai.

    • @jovovichmedia9424
      @jovovichmedia9424 3 ปีที่แล้ว

      Karibu Dubai pesa yako tu

    • @saidmungulu7053
      @saidmungulu7053 3 ปีที่แล้ว

      @Fatma Ibrahim inshaallah xoon will come...

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Mchawi kibunda tu ukiwanacho popote unakwenda so wabongo wapo kibao huko semanao wakupe ramani ata za mishe

  • @queen_fatma01
    @queen_fatma01 2 ปีที่แล้ว +1

    Aki kaka unafanya kazi nzuri sana wallahi pongezi na naamini sana bila shaka lolote taarifa zako basi naomba " Watu wanaokuwa illuminati ndo wana-raise to fame kwa haraka sana hivi maajuzi hapa Kenya"....bcoz nashangaa kuskia eti mtu anakaa mhumble sana naambiwa amejiunga hivi maajuzi hapa Kenya mpaka nmeanza kuogopa na kutoamini matajiri hata moja au hata watufamous

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 ปีที่แล้ว

      Muamini yesu kristo tuu alimwaga damu msalabani na kafufuka

  • @bableeyzabdalla531
    @bableeyzabdalla531 3 ปีที่แล้ว +4

    Wewenzetu wanamipango yakweli sio sisi viongozi wetu wao ni siasa chafu na wizi kigamboni tuliambiwa kutakuja wawekezaje kutoka amerika tuliona michoro kumbe uongo mtupu

  • @jasminmylovejasmin2879
    @jasminmylovejasmin2879 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallaah ❤

  • @eliassospeter
    @eliassospeter 2 ปีที่แล้ว

    Justin sheddy, special kabwanga, Richard shio, annanias Edger hawa ndio wasimuliaji Bora kabisa kuwahi kutokea TANZANIA.

  • @amangervacy879
    @amangervacy879 3 ปีที่แล้ว +5

    Hawa jamaa wanapesa mpaka wanaumwa

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 3 ปีที่แล้ว

    Asante Justin

  • @mussamati5216
    @mussamati5216 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ameahid mukiwa muislam wakweli atawashushia neema ya mali baada yakuvumiliashida nakuto mkufur

    • @tandalesse4544
      @tandalesse4544 2 ปีที่แล้ว

      Sasa siye twakufuru kiasi gani kiasi eti tuishi kwa ufahari hivi?

    • @habibadaudi8242
      @habibadaudi8242 ปีที่แล้ว

      @@tandalesse4544 Tanzania Ina Mali nyingi sn Ila serekali ndo Inashindwa jinsi ya kutumia

  • @AcroBantu
    @AcroBantu 3 ปีที่แล้ว +4

    Sio umbo la mnazi, ni umbo la mtende

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 2 ปีที่แล้ว

    Good job Mzee

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

    wapo vizur wenzetu wa rangi rangi kimbembe wanaojiita black beautiful kazi kujivisha maringi chen bangir eleni mablack complain ndio maisha aisee kazi hipo

  • @athumannurdin1524
    @athumannurdin1524 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana story zako

  • @karnerashid9504
    @karnerashid9504 3 ปีที่แล้ว +2

    Watamalizia tu ...miladi mikubwa kama hii inachukua mda mrefu

  • @snazzyfranz1874
    @snazzyfranz1874 3 ปีที่แล้ว +5

    Its 254 representing...🔥🔥🔥

  • @cholozagaro1325
    @cholozagaro1325 3 ปีที่แล้ว +2

    Angalau kwa siku video 3. Itakua poa

  • @shabansamwi9891
    @shabansamwi9891 3 ปีที่แล้ว +2

    na sisi one day 2tafika tu inshaallah na ndiyo raha ya nchi yote kufika kilele cha mafanikio

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      utafika vipi na siasa nyingi

    • @pikanaauntzuu1466
      @pikanaauntzuu1466 ปีที่แล้ว

      Mtqfika wapi km bwawa la uneme la magufuli alipokufa tu wakaanza kubishana bungeni waliache wataweza kufika huko

  • @barakamwabu1809
    @barakamwabu1809 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuh....

  • @mapyamajengomapya1538
    @mapyamajengomapya1538 3 ปีที่แล้ว +1

    Kilimanjaro na burj kahlifa jawapidevu

  • @MwitaNyairaha-ng3ee
    @MwitaNyairaha-ng3ee 4 หลายเดือนก่อน

    Hiz mbwa zinachimbaga hela

  • @hassansultan6511
    @hassansultan6511 3 ปีที่แล้ว

    Sasa twende kaz

  • @evaristirazalo7459
    @evaristirazalo7459 3 ปีที่แล้ว

    Duu

  • @Humble.....
    @Humble..... 2 ปีที่แล้ว

    Acha ushamba sio umbo la mnazi ni mtende....

  • @makondegeneration2967
    @makondegeneration2967 3 ปีที่แล้ว

    Aipingwi

  • @Nakomotosimfukwe
    @Nakomotosimfukwe 3 ปีที่แล้ว

    telegraph hatukupati

  • @busta_malik5971
    @busta_malik5971 3 ปีที่แล้ว +4

    Sasa twende kazi namba moja 😂😂

  • @PATRICKPPWELE
    @PATRICKPPWELE 3 ปีที่แล้ว +2

    Bongo fasta ningepanda utupe history ya Abraham Li... raisi wa marekani

  • @tandalesse4544
    @tandalesse4544 2 ปีที่แล้ว

    Ni muonekano wa mtende siyo mnazi.

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 3 ปีที่แล้ว +5

    Hawa kenge wana hela

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 ปีที่แล้ว +6

    Ninyi wanadamu naona mnahangaika sana, haya heb hangaikeni vyema, nawaangalia tu, kisha nitakuja kama mwivi kuwachukua, sasa ole wenu niwakute mko na huo upuuzi wenu. Mtanijua mimi ni nani. OLE WENU.

  • @mapyamajengomapya1538
    @mapyamajengomapya1538 3 ปีที่แล้ว

    Natakaku zumugumuzija

  • @yvonnekashaigiri7880
    @yvonnekashaigiri7880 3 ปีที่แล้ว

    Duuuu this is foolishness

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 ปีที่แล้ว

    Wamejiongeza maana mafuta siku hizi kila sehem wanachimba

  • @shubuOfficial_
    @shubuOfficial_ 3 ปีที่แล้ว

    Teach me how to make a story you will be bressed

  • @Jovitha1994
    @Jovitha1994 3 ปีที่แล้ว +2

    Nipo Dubai hapa hawa jamaa wana hela chafu ila wana roho mbaya sana

    • @omarmhmammed216
      @omarmhmammed216 3 ปีที่แล้ว +2

      Ukiwa na roho nzr hufanikiwi kwa haraka

    • @Jovitha1994
      @Jovitha1994 3 ปีที่แล้ว

      @@omarmhmammed216 Ndio hivyo

    • @jovovichmedia9424
      @jovovichmedia9424 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha uongo wewe katika waarabu wazungu wa Roho basi ni Hawa jamaa acha kupotosha watu

    • @jovovichmedia9424
      @jovovichmedia9424 3 ปีที่แล้ว

      Mimi nipo Dubai Tangu 2008 hiyo Roho mbaya ni ipi hebu eleza hapa

    • @graceramadan5396
      @graceramadan5396 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jovovichmedia9424 tunaoishi nao ndani tunawajua vizuri ila ww unaishi nje huwezi wajua

  • @khamissalmankhamis1587
    @khamissalmankhamis1587 3 ปีที่แล้ว +1

    AZAM BAKHRESA kafukia Mtoni Zanzibar pia kajitahidi Africa nzima hajatokea mtu muekezaji kufukia Bahari ila ni ZNZ tuu ZNZ mpaka sasa.
    Hoteli ya Verde
    Mtoni Zanzibar
    Tanzania.
    Huo ni mtazamo wangu.....

    • @deusrobart8181
      @deusrobart8181 2 ปีที่แล้ว

      uku mwanza yupo kitana kasogeza ziwa mbele akashusha mjengo