@@CollisBill-mu3zpDavido ana utajiri binafsi wa $mill 30 ila baba yake ana utajiri wa &mill 700-$bill 1 mkuu.Kiufupi Davido anatamba na utajiri wa baba Ake mkuu.
@@GeorgeAkasha-zx2rj Sio kweli kama ana Utajiri wa Milion30$ Privet jet anapata kuanzia 10$ kwenda mbele so anaweza Kumiliki without Support ya Baba yake
Bora choppa aisee, unajenga tu helipad unaiweka hapo 🤣 running cost zije kwenye fuel, maintenance na pilot. Private ziko costly sana hata kama ni kadogo kama Cyrrus au Honda Jet elite ii.
Daah afadhal nimefahamu ngoja nianze kujichanga sasa 😊
Oyaa DAVIDO so poa... na anamiliki ndege mbili mamaeee ...DUNIA AIKO FAIR...🙌
Yes Davido ni level nyingne
@@CollisBill-mu3zpDavido ana utajiri binafsi wa $mill 30 ila baba yake ana utajiri wa &mill 700-$bill 1 mkuu.Kiufupi Davido anatamba na utajiri wa baba Ake mkuu.
@@GeorgeAkasha-zx2rj Sio kweli kama ana Utajiri wa Milion30$ Privet jet anapata kuanzia 10$ kwenda mbele so anaweza Kumiliki without Support ya Baba yake
Mm wakwanza nataka like1000
😂😂 et like 1000
Amepata likes 2000
Ndomaanà mwanetu mondi kakimbia
Oyoo brother wacha kusema domo ww mshukuru mola kwani bado hujakamilika kkkk😅😅😅😅
Balaa tupu 🙌🔥
yule aliesemaga studio wanaijelia hawanizidi Mimi Kwa Hela yako wapi Domo kaya Yan kwisha habali yake
Twende kazi
Hizo sio gharama sana kwa watu wenye utajiri wa kuanzia $bill 1 na kuendelea mkuu.
Alooo ya mondi Bdo iko rangi 😂
Kutoka nairobi
Nomaaa
Bora choppa aisee, unajenga tu helipad unaiweka hapo 🤣 running cost zije kwenye fuel, maintenance na pilot. Private ziko costly sana hata kama ni kadogo kama Cyrrus au Honda Jet elite ii.
Diamond ni tajiri😂😂
Ivi inamana mwanamke anaye nipenda Mimi bado hajazaliwa kweli 😢
Duh!!
UMENIFRAISHA APO MWISHO KAMA UKIONA UNAFINYWA SANA PRAVET. JET TUBANANE PUBLIC AIRWAYS 😂😂😂😂
Mondi alisema anataka kununua private jet 😂😂😂
👊✌👍.
Binafsi mimi sijaona sababu ya baadhi ya watu kuendelea kujaji why baadhi ya watu hawana private jet zao mumeona kazi hiyo
😂😂😂Aaaa..kumbekaziipo duh
Du! Sio poooa! Kabisa😂😂😂😂
Mamae kumbe😂😂
Nilikuw nina plan ya kununua boeing 737 max 9
Ila acha tu ntapanda uber😂😂
Nimekupata vema nahata sasa ngoja nitunishe machekelesho ya uchumi
Mh oa mond endelea kukod bro
Mi ndomana nimeshindwa kununua😂😂
kazi kumbeee
Bro ungeandaa channel ya movie recap ingekua poaa xana 👍
Ni waZo 2🤔
Kama ndio hivo ni ngumu Sana kumiliki ndege binafsi
Wanunuwe tu sisi bado tupo.
Tupo pamoja
Mtume na Nabii Josephat Mwingira anamiliki Private jet, GONGA LIKE KWAKE👍
Mimi binafsi nitabaki na edicopta yangu tu
Hiyo ni hala
Duuh 😂😂😂😂
Hawana pesa
Tanzani bado tutasubiri kwa wasanii wetu
Kabisaa yani hata mond bado ana safari ndefu sana
F
ili mradi inaruka 😀😃
🤣🤣🤣🤣🤣
Domo ndomana anaikwepa sana😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😅😅