JICHWA LA DHAHABU -MAU MPEMBA NA KOMBO KICHWA - VITUKO VYA ZANZIBAR
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2020
- #MauMpemba #MakameNuhusi #ZmotionStudios
JICHWA LA DHAHABU -MAU MPEMBA NA KOMBO KICHWA - VITUKO VYA ZANZIBAR
Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini
KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO
-Mau Mpemba
-Makame Nuhusi
KUTANGAZA NASI TUPIGIE: 255774001600
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios - ตลก
Bwana mau mbona hatuoni vitu vipya umekwama wp
Mau kombo anajua kuliko makame nice
Sure
Asanter kwa alietunga mchezo huu
Asanter mau mpemba na walewote walishiriki ambao sijawataja na waliofanya kazi hii ikakamilia
Hongereni kwa kichekesho chenu kizuri
Jini bandari jiddeh.. said.. jamali yupo
Jamaa yangu chekaaaa
Huyu Kombo Jichwa kwa kweli jichwa lake linatisha sanaa...na anapoekti siku zote hunyoa para ili afurahishe watu na huko ndiko kujiongeza, naomba musimuache kombo jichwa kwenye clips zenu zote na movies mutazotngeneza.....tunaomb pia mujipange kuachia movies kadiri ya uwezo wenu....tunawakubali sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo ameumwa na allah acha dhatau
Halitishi
kazi yamungu aina makosa unakufuru bure nasote tumeumbwa na allah
Mhhh tuachiliiiee videoo 👨 kaka
Wakioga usiwachungulie😀😀😀
Jini bandarijide pambeee. Hahhahaha
Mau ulipomueka kombo kichwa mambo yamezidi kunoga kombo anakubalika sana zaid ya makame nuhusi
Ila huyu binti mjombaake Mau Mashaallah mzuri sana Allah amlinde,alhamdulillah!🙏🙏🙏
yaaan
Hongereni sana wapemba wenzangu mungu awabariki
Njoo tukuozeshe kama kushampenda
Daaa alo huyu kashaolewa au bado mana duuu tah bem linda
Mau nahitaji nikuone live nakukubali sanah
MAU MKE UYU NIPE
Uko sw mau
Hatari nimecheka mpaka wallah
Eti nawakioga uciwachungulie jini uyo hmm mau wee dal seknedi
mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo kiukweli kombo wewe ni maskini ndiyo kilema chako ila hilo jichwa ndiyo mwendo wako hiyo nihazina hujakosea ukijuwa kuitumia vyema utatokwa na kilema cha umaskini maana umaskini .ni kilema ila kinacho pona yaani kinachoondoka usikate tamaa kombo hongera kombo,mau mpemba your are legend bro mungu awabaarik mnazidi kutupa raha.
Mjomba njoo uonjee
Daagh kanauza dau na ngomve unrudi papoo unyongeee 👍😁 mau big up fadher
Babu juma kushakunya apa
Nawakioga usiwachungulie 😁😁😆😆😆
🤣🤣🤣
Njoo uonjeeee
Kombo kiboko wewe zahabu hiyo
🤣🤣🤣Kuna jini bandari jide
Kizomeo kimemshitua kombo jichwa kwa hofu ya kuibiwa dhahab😀😀😀😀😀😀😀
Sawa mau
Hahahaha hahahaha et mjomba njoo uonje mau utaniua mie
Jini bandari jide hahaha
Kushamtilia buhuri hahaha
Hahaaaaa
Zahabu nnawekwa kipemben watu waje wachezee 😁😁😁
Dem ni mali safi😅
Hahhhh😂😂 mau unafrahisha
Mwali sangapi tunaiona
Tatu asubuhi saa za Africa mashariki
Hahahhahha mzr sanaaa
Yee hehe jinni
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kombo jichwaaaaa
iko njema#
Nishantilia bughur
MAU NAMTAKA MJO.BA WAKO UYO KWA NDOWA VP
Wanawake wa pemba wazuri mashallah..wana asili za kiarabu..sio hawa wakwetu wanabandika mawigi2
Mungu aliyewapa wapemba nywele ndio huyo huyo aliyewanyima wa bara nywele we ulitaka wafanyaje nyoko ww
@@zuleyvendor6577 nyoko ni wazazi wako..sasa km hakuwapa nywele kuna sheria gani yakubandika?amelaaniwa mwenye kuunga na kuunganishwa nywele..ndo maana mnanuka mawigi. .shwain
Hhhhhhhhhhhhh
@@sudaissoud3670 nipe namba zako rafkiangu
@@mtumwajuma3906 no yng weye nishajua ni usalama wataifa..unataka unifunge
Jichwa la dhahabu aliloachiwa na wazee we Hahahaha
Nimejikuta nacheka kwasauti eti tumesha mtiya buhuri nibuhuri zawarabuni sasa🤣🤣😂😂🤣😃😃
Kichwa utafikiri hando ya maji.
😂😂😂😂😂😂 Jichw ladhahabu ni hatari
Kweli hicho kichwa mtaji 😂😂😂👍
Dhahabu hiyo
Hahahahah
Lengo lenu mufanye zina tuu na uyoo dem uko maporini
😁😁😁
😂😂😂😂 inafurahisha sana
Nachekaa jamaa yangu nacheka🤣🤣🤣🤣
dula nakuona mie da Busra
Kombo jichwa wakonde😆😆😆
ety haya njoo unipe koto tono mjomb njoo uwonje hahahahahaha
Ulikua wapi lafikiangu mau nilikua namuona makametu
Mau seriously U are talented,keep up na tafuta connection za bongo I believe in your talent mau
Mh
😁😁😁😁😁😁
😂😂😂😂
Hahaha
Hahaahahahaaa!!! 😂😂😂😂😂😂
Hahaha haha
Jamaa Yuna jichwa bayaa
Kwakichwa hicho dah ata mm nasema jini🤣🤣
Umenichekesha sana mpaka nimetoka machozi
🤣🤣
Mnapata dhambi 😂😂🤣 me simo🚶♂️
Hhhhhhh kichwa Cha tango anafrahisha
Hahahahaaaaa mau hunadabu kwel jide
"Mjomba, Njoo Uonjee" hahaahahhahahahha
😂🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣😂😂😂
Uko sw mau
Hahaha
Hahahaha