FILAMU YA UNYANYAPAA - MAU MPEMBA , KOMBO KICHWA, KITATANGE, DONGO, BENA BENA NA KIGWARU -ZANZIBAR
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 มิ.ย. 2020
- FILAMU YA UNYANYAPAA - MAU MPEMBA , KOMBO KICHWA (JICHWA LA DHAHABU) , KITATANGE, DONGO, BENA BENA NA KIGWARU -VITUKO VYA ZANZIBAR
#MAUMPEMBA #VITUKOVYAZANZIBAR #WIZARA YA AFYA
Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini
KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO
-Mau Mpemba
-Makame Nuhusi
KUTANGAZA NASI NA KUJUA BEI ZA MATANGAZO TEMBELEA: www.biashara.ltd
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios - ตลก
Nipo nacheki comment zenu hapa chini kama kuna wabongo wanaicheki hii movie ili kuonesha ushirikiano like yako hapo chini tafadhari.
Filamu ni nzuri na ina mafundisho ndani yake. Ila kuna kosa moja tu ambalo nimeliona, wakati Kitatange alipoenda chafya hakupaswa yeye kunyanyuka na kutaka kukimbia, ilitakiwa abaki amekaa na kuwashangaa wanaokimbia.
Lengo la kuinuka ilikua ni kwenda kutema ugoro. Ndio maana aliinuka ili asiteme mbele y baba...
Kama unamkubali dongo weka comment yko hapa
Dongo yuk sw
Hi mau mpemba
Mau hiyo ndizi wanitoa rohooo❤
"p
Tuekeee no zako za simuuu
Igizo zuri lenye mafunzo. Tunaona ushirikiano wa wasanii wetu, ni jambo jema na pekee kuunganisha nguvu na kuwa na sauti moja katika malengo yenu wasanii👍
Mh nice
Amin
Miaika ishirini sasa sijawahi kulamihongo nduguzagu wa zanzibar salam zagu kutoka USA marekani naipenda. Yumbani pemba
Jamani si kila kitu kipo uko
Njooo basi ndugu yangu ila vipi jamani mbona mumetuacha peke yetu huku pemba
Beautiful home zanzibar pemba tuko pamoja
Kombo jichwa acha nicheke
Hawa jamaa ni noma sana😂😂😂
Mashallah mafundisho mazuri nikweli hayo niyakawaida tuu huku nilipo mie walikuepo waginjwa na wamepona
Sana bhanaà
Sasa naibu wa shekha kavaaje barakowa
Kazi nzuri mashallah...... hongereni sana
Mau namkubali sana! Dongo nae anatisha
😂😂😂😂nimecheka kwa sauti wallah kitatange alipopiga chafya
Kazi nzuri ina mafunzo ndani yake
Habarii
Eti akisimama nlimani chamanangwe kijiji chote akipindua kwa kukohowa hee dongo weee kazi nzuri shukran zimoshen
Hhhhhh wanavtuko sna
Hongerenii mmejua sana kua pamojaa
Masha'Allah nimeipenda
Maa shaa Allah nzur
Hongereni na wapenda Sana nipo Omani ila nikimuona kombo kichwa najisikiya kama nipo kode mungu awabariki
Haliyako mzima mmi pia nipo omani wwe upo wapi omani
zanzibar imekwishaaaaaaaaa dah adi nyinyi dah siamini
Home sweet home ❤❤❤💯
Naona yumo jichwa au mpori pori
Nawapata kutoka Saudi Arabia 🤣🤣🤣Hongerenii sana watu wangu
Igizo zuri sna
jamaa siwafichi huyu kombo anahazina moja safisana nihilo bichwa maana hizi comed zake nahilo bichwa wallahi niraha tupu ninampenda mno huyu jamaa kwaajili ya Allah.
Hahahaha
Mashaallah
Dongo mm nakushauri ugombee udiwani 2020
Niko omani ila nikiangalia filamu hizi nacheka sana natamani kurudi kwetu mchanga mdogo
karbu
big up kwenu
Kaz nzur
Muko powa
Mau kachukue fomu ya uraisi tunakupenda uwe raisi wetu wa zanzibar.
Hko ikulu ataenda kucheka tu
@@saidhamad7504 Ikishakuwa tunampenda anafaa uraisi. Wazanzibari hatutaki makuu, sie tukicheka tu Alhamullilah. Tunashida na tunacheka kama kawaida. Mataifa mengine wakiwa na shida wanakamata bunduki.
Umempendaa peke yako awe Rais wako
Mbona cjamuona kiswabi jaman😴
Kombo kichwa
Iko poa
Sawa nimekumbali kazi
Hayo marathi siku hizi hayatoshi
Mtu aweza umwa njino
Akasema mbora aumwe na jicho
Dongo bhana umetuona watazania kwa maraz ya ukaidi
mau unaweza yniukopoa
Kombo kichwa bd labisa kwa kuekt
maalim wangu Amour salum
Nambie mkuu
@@amorthaniy6950 safi tu sheh .... jusk keep moving.... art pays the best interest.
Mau wew skuzote izo ulikuwepo wapi
Mau umerudi nakukubali broo
Nawapenda sana wazanzibar wenzangu
Munguyupo nasi
Aliowa uharus ulimficha
Mau hujawah kuniangusha
Vodacom
Jamani nyumbani hasa kuzuri yaani mawili unanisisimk nikiona mazingira ya nyumbani penda sana pemba japo nipo mbali.
💯💯💯💯
me too . home sweet home .
Eti myaka 100 halafu hii timu yote naikubali %90
Kake mau wanteng ila nzr
Tunataka kiswabi arudi
Ahah asilihaizidi
😀 😀
Mjomba mau mm nataka mkono wa tembo
😅
ivi vihogo nataka nivigawe kabisa😆😆
Itrust island being
@VuaE
Playlist:
01. Ya Maulana
02. Deen Assalam
03. Ya Jamalu
04. Ya Asyiqol
05. Ya Habibal Qolbi
06. Ahmad Ya Habibi
07. Rohman Ya Rohman
LIKE, COMMENT, SHARE & SUBSCRIBE.
Video Original by @ Sabyan Gambus
Namuona kombo kichwa hapo n upara wake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁🙏
Mau fazila ndo mkewako ?
😂😂😂😂mm siaminiiii
Jamani hili Bichwa la Kombo hahahahaha
😂😂😂
Nimeutia ugoro tu ,Sina corona😄😄😄
😅😅😅 kitatange katika ugoro2
Anapindua Gombe ume😂😂😂😂
😁😀😂
Shekha kajifunika n domo puwa iwazi jamaa hivi nsawa?
😆😀😀😀
Allah akubarikin
Barakoa mfukoni duh😆😆
Skondi
Hahaha haha
😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣
Hahahahaha
🤣🤣🤣🤣🤣
Kombo kichwa
@VuaE
Playlist:
01. Ya Maulana
02. Deen Assalam
03. Ya Jamalu
04. Ya Asyiqol
05. Ya Habibal Qolbi
06. Ahmad Ya Habibi
07. Rohman Ya Rohman
LIKE, COMMENT, SHARE & SUBSCRIBE.
Video Original by @ Sabyan Gambus
@VuaE
Playlist:
01. Ya Maulana
02. Deen Assalam
03. Ya Jamalu
04. Ya Asyiqol
05. Ya Habibal Qolbi
06. Ahmad Ya Habibi
07. Rohman Ya Rohman
LIKE, COMMENT, SHARE & SUBSCRIBE.
Video Original by @ Sabyan Gambus