Hongereni sana team new star hakika hawa vijana wanaweza kwaio tunaomba wapenzi wote wa filam hawa vijana tuwaunge mkono hakika ipo siku moja na wao watakuwa katika anga za kitaifa na kimataifa
Kidundo na Said Mjomba kazi mnaiweza lkn hamna ufadhili na Serikali hii haifuatillii Manani juhudi zenu ila nasminí Iko siku mtafanikiwa mtegemeyeni Mjngu lnshaallah kheri inakuja.
Said mjomba naona unastail ya pekeak ya kuvaa kofia 😂😂😂 nakukubali 💯💯💯💯💯
Hongereni sana team new star hakika hawa vijana wanaweza kwaio tunaomba wapenzi wote wa filam hawa vijana tuwaunge mkono hakika ipo siku moja na wao watakuwa katika anga za kitaifa na kimataifa
Said mjomba minungwini one
Wanaume mwakimbia majukumu yenuuu😂😂😂
😍😍😍
Masha ALLAH
Duuh nimeipnda sana wallah
Said mjomba unaeka kofia bordo 😂😂😂😂
Said mjommba nakukubal 100
Kidundo kila siku kesi😂😂😂😂
👏👏Hongereni team kidundo
😂😂😂jalo mama jalo
Kidundo na Said Mjomba kazi mnaiweza lkn hamna ufadhili na Serikali hii haifuatillii Manani juhudi zenu ila nasminí Iko siku mtafanikiwa mtegemeyeni Mjngu lnshaallah kheri inakuja.
Mko vzurii sana Maashaallah....ila Ramadhan inakuja hiyo mufanye mutuletee vya mfungo wa Ramadhan
😂😂
Haaaa eti nieke kofiya yangu kordo aa kidundo mfichiye siri mkeo kazi za ndani zote ni majukumu yenu haaaaaaaaaa