Shairi Zuri MashaaAllah. Mjomba mke wa pili mtihani, dini imekubali lakini Sharia zake ndo hatuziwezi Sisi wanaume. Kila wakati twatumia tu ubunifu Wetu WA kutongoza Kama kipaji lakini ni hoja Nzuri kiizingatia.
@@bujramohamed1352 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣we mwenye shauriyo tunagataka lkin tunalola pha kudzitiya pia nzala hino uyalolwa mchetu wa phiri n mlume kana kazi... Kee uenzaye kuirika n nzala kpwan alume osi asira kulola😝😝😝😝😝😝😝😝
@@bujramohamed1352 😝😝😝😝😝😝kogoyo nkaamba ye mlume atakaye mchetu ipho n masikini kana ta shati sikaamba alolao achetu airi n achiya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uchireya nzooo unimyole singo
shairi tamu hili jamaniii kiswahili safi ....Mashallah Naskiliza nikiwa Tanzania hongera kwa watunzi na waghani
Yani nalipenda Hadi naumwa hilo shairi🤗🤗🤗
MaashaAllah, , , MaashaAllah, , , MaashaAllah, , , kazi nzuri sana ndugu zangu, , ,
Hongera Sana mashllh😘kila mke ana riski yake
Ukewenza mimi mwenyewe siutaki😢😢😢
Masha Allah uko vizuri asia.....nmepnda
kwa hiyoooo unaoa wafanyakaxi waje kufanya kazi
sauti mashaallah
Damaaaani Asia wakeeeee nampendaaa bure si hio sauti mashaallah mashaallah 🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥
Nakuona siz ,nakupendraa sanaaa kisunzi.wangu
Mashaallah 😍😍😍 kazi nzuri sana
#Ali Mwakaga
#mlio wa cherehani
AL-ghareeb Niko ndani💯.....ShaBBash!!!🔥
Mashallah wifi mie huyo🥰
Mashalla nimeipendaiyo
MashallAh.Hongera.safi.sana
Nimelipenda shairi lenu sitaki uke wenza tunzi nzuri sana mna weza na mna stahili pongezi ❤👏👏👏👏
Iko dope Sana. Asia Allah aku hifadhi
Shairi Zuri MashaaAllah.
Mjomba mke wa pili mtihani, dini imekubali lakini Sharia zake ndo hatuziwezi Sisi wanaume. Kila wakati twatumia tu ubunifu Wetu WA kutongoza Kama kipaji lakini ni hoja Nzuri kiizingatia.
Uminena kweli wengi waoa tu kwa sababu flani kaoa lakini sharia bdo hawajui
In file
Mashallah shairi nzuri hili jamani keep up
Masha'Allah napongeza mimi pia nataka kuwa na mke mwenza🤪
Mimi mwambie mumeo aje aniowe😂😂🥰
Kama hujaolewa Wacha nikuongeze mimi
LIES😂
Hakuna mwanamke hawezi uke wenza mdomo thuu,allah swt alikuwa akijua na ndo manake akatujalia nguvu na moyo wa uke wenza na ndo maanake akaweka 4....
MashaAllah kazi nzuri Asia.... congrats sana kaka mwakaga
Shukran kaka hassan
The girl ako na sauti qute
Mashallah Allah awazidishie.muzidi kuendelea
MashaAllah asia uko vizuri 🔥. Nakukubali
Shukran
Mashaa Allah tabaraka Allah uke wenza ni mzuri mkija kuwa kitu kimoja nitaujaribu nami pia inshaa Allah Allah anizidishie subra na Imani
Masha Allah shairi zuri lakini uke wenza hata mimi siwezi
Astaghafil llah
ukewenza raha jamani mambo kupokezana
🥰🥰🥰🥰TALENTED MWAKAGA
VOCALIST ASIA😃😃😃mashaalah
Mashallah❤❤❤
Asia wetu mashaallah 😂😂😂😂😂
Ii maashaalla barikillahufiki
Mashaallah nimependa kaziyako mwagarashi
Dah MashaAllah shairi nzuri kwa kweli...
Mashaallah
Asia amani u killed it mammie
Nice. ..work
Kazi nzuri kaka, nimeifwatilia vina na maudhui vikanijenga ...
Mpaka raha jamani
Wajibu umsaidie mana kaz n haki ya mwanaumme kufanya
Mashallah mashallah mumeweza
Mashaallah kazi nzuri🔥✔
Shukran
Kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti.Ukishaoa mke wa pili na ukakolea mapenzi unamsahau mke mkubwa.Kuoa sio kazi bali uadilifu ndio kazi
Masha Allah
HK Asia makas ma sha Allah kW kipaji
Thanks
Mashallaaaaaaah
Santhaaaaa utunzi kuntu sana
Mashaallah😘😘😘Uke wenza raha shishthaa 😁Asiah nataka kuwa mke mwenzio 😍😍😍😘😂
Haaaaa utayaweza
ali wa mwakaga kazi safi sana @ramzah
MashaAllah
Mashalla mashalla
Mashallah 🤝
Masha Allah malenga wetu
Mpo vizur
Asante
MASHA ALLAH 💕💕💕💕
My boy Mwakaga on this one 🔥
Cherehani Mashallah 🔥
#MalengaWaKaya
Amba Nawe act
Ntafute tutoe comedy 😂😂😂
@@RemmyKeshComedy in shaa Allah tutaftane
Ffff
Ardge1
Nyc one guys
Masha allh
Duuuuuh dunia banaa maisha yenyewe niayo ya pesa8 alafu mke wa2 tusidanganyane..
Gaone nawe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@aminahema9714 Gombani tamgataki msisingizie maisha
@@bujramohamed1352 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣we mwenye shauriyo tunagataka lkin tunalola pha kudzitiya pia nzala hino uyalolwa mchetu wa phiri n mlume kana kazi... Kee uenzaye kuirika n nzala kpwan alume osi asira kulola😝😝😝😝😝😝😝😝
@@aminahema9714 Nzala ilunga atu a mathna tu? Ela mwi enye. Hivi maskini osi duniani
Umaskini wao nkpwasababu ya kulola achetu airi
@@bujramohamed1352 😝😝😝😝😝😝kogoyo nkaamba ye mlume atakaye mchetu ipho n masikini kana ta shati sikaamba alolao achetu airi n achiya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uchireya nzooo unimyole singo
Ma Shaa Allah it's so great
wooow! i like it
MashaAllah 💕💕💕💕
Mwanamke saut mashallah mpenz
Mashallah
Nice👍🏼
Jamani ukewenza mtihani kwakweli kwa maisha ya sasa wanaume wanaolea tamaa
Safiiiiii shairi
Mashaallah 🥰🥰
Madam ana sauti nzur MashaAllah 😘😘
Asantee
Maa Shaa Allah, Ukewenza Mtamu Mkipendana Nyinyi Wenza.🤣🤣🤣 Eti Ukimleta Atamtibua.Usije Tibuliwa Wewe Ukahama Mji.
😂😂khatar na nusu
Hewallah maana hao wajao nyuma uwa ni vijego vyenyewe waeza kutibuliwa kweli 🤣🤣🤣🤣🤣 ukama jiji machezo🤣🤣🤣🤣
@@aminaissa9709 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Halloooooo Swahiba Umenichekesha, Si Ndio Usijisifu Una Mbio.Msifu Na Akukimbizaye.
@@khaulatrashid3535 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
@@mwanahalimamwachili9679 kabisaa hao wajao uwa ni moto wa kuotea mbali wako tayari kivyovyote🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mashllah..
😝😝😝😝😝Bujra umasikin huo wataka ongeza mwengine🤭🤭shat lenyewe huna utamvisha nn huyo mwengine 🤣🤣🤣🤣🤣
namshangaa
@@fajarfajar7855 huhuhuhu
@@aminahema9714 Nshawahi kukuomba unga sima kwani 😀😀😀 nshawahi kukuomba Pesa nnunulie mke wangu dera... Hamtaki uke wenza wacheni kusingizia maisha
@@fajarfajar7855 Hamtaki uke wenza wacheni kusingizia maisha
@@bujramohamed1352 ok tumekubali muoe basi wawe kama bibi wa daktari mwala maisha kibanda cha kuku😂😂😂😂😂😂😂😂
MashAllah 💚💚💚🧡🧡🧡
Mke wako mwandikie maid amsaidie 😂😂
Asiongeze mke
Mashallahu imeshika kaka
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mashallah jamanii
Shukran
File
like sana did
Kma unaoa oa usisingizie kaz za nyumbni
We normally call new generation.... Inaweza lkn
Fity
💞💞💞💞
Kuowa sioshida shida niuadilifu munao kero tu
😂
Tuko
Pamoja sana
Masha Allah
MashaAllah
MashaAllah