SANITAIZER | MAKAME NUHUSI |AdilAbdallah
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ค. 2020
- #AdilAbdallah #HarusiyaJirani#AdilAbdallahQaswida#AdilAbdallahMakameNuhusi
Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza.
Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246 - บันเทิง
corona fanya mambo yako yooote lakini kwenye mapenzi usiingie
Makame noma ww
Big up.
Nieke mawilii ehehehe subutuu😂😂😂
Corona mwenyewe hakai kwa ulivyo soft
Sandeo 😁😁😁😁
Sifunguwi tena dukaaaaaa 😁😁😁😁
Nc
Makamee ni hatari
Santeo
The glory ramadhan
Na itawaua kweli makame😂😂
Namie niuganishien jamaniiiiiiii
Kulif
Duuur korona
Unakufa na Corona na Mke unakosa
Sifungui tena duka
Me nimeaka maji kwenye duka langu ila nipo na mama mtilie BC wateja wake wingi wananawa kwangu
Sadaka yako iyoo
Utapata thawabu 😂😂
🤣
Makame umekaa kma msengee
Mumbe radh
@@fatmaaly3056 wala cmuombiii mm namjua a to zz
Mhhhhhh🙄🙄
Kwa wale ambao watahitji mnanda kwenye shuhuli z harusi bc tupo chake chake pemba wasiliana nasi 0777955225
Poa mucjali