HADAA - MAU MPEMBA NA MAKAME NUHUSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 มิ.ย. 2021
  • #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
    HADAA - MAU MPEMBA NA MAKAME NUHUSI
    Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
    Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
    Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
    +255 777 001500
  • ตลก

ความคิดเห็น • 22

  • @rashaso7564
    @rashaso7564 9 หลายเดือนก่อน

    Hahahaa😂 hapo mpango umeenda vzr

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 2 ปีที่แล้ว

    duh hii kamu aloo mau kammuuza mwenziwe😀😀

  • @allyhafidh405
    @allyhafidh405 3 ปีที่แล้ว +4

    Wa 1 mm leo 😁😁😂🤣

  • @mzeevuai
    @mzeevuai 3 ปีที่แล้ว +1

    makame daima apigwa yeye tu😀

  • @abubakaromar1301
    @abubakaromar1301 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm wa kwanza

  • @chibudangote9116
    @chibudangote9116 3 ปีที่แล้ว +2

    Aaaaa weeechaleee

  • @halimahomar9474
    @halimahomar9474 3 ปีที่แล้ว +1

    😀😀 Allah awafanyie wepesi insha'Allah awape umrii

  • @alimsellem4024
    @alimsellem4024 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee mau huo muhogo umechumwa mboga au

  • @BinShariff
    @BinShariff 2 ปีที่แล้ว

    Pole cn makame

  • @mamymamy7938
    @mamymamy7938 3 ปีที่แล้ว

    Leo WA mwanzo 🙄🙄🙄🥰🥰

  • @luknasmasakour8703
    @luknasmasakour8703 3 ปีที่แล้ว +1

    Uhakika

  • @ledoncrazy
    @ledoncrazy 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣pumu impata nkohoaji

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 ปีที่แล้ว

    Huhuhuhuhu 😅😅

  • @rnationalcamp4609
    @rnationalcamp4609 3 ปีที่แล้ว

    Hee

  • @mohdrahma5145
    @mohdrahma5145 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaa janja na jajawi

  • @chibudangote9116
    @chibudangote9116 3 ปีที่แล้ว

    💯💯💯💯😄😄😄😄

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 3 ปีที่แล้ว

    Fundi toa kituchauhakika

  • @fahmiy6197
    @fahmiy6197 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 ปีที่แล้ว +4

    Comedian wakubwa
    Zanzibar MAU MPEMBA vs MAKAME
    na wengineo wanakuja vzl tuh
    Ndugu zangu Kazan zaid

  • @malikhabibali4651
    @malikhabibali4651 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🌃

  • @zainabally9283
    @zainabally9283 3 ปีที่แล้ว

    😂🤣