HARUSI YA TOTO DOGO - MAU MPEMBA NA TOTO DOGO -VITUKO VYA ZANZIBAR 2020
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 มิ.ย. 2020
- #MauMpemba #MakameNuhusi #ZmotionStudios
HARUSI YA TOTO DOGO - MAU MPEMBA NA TOTO DOGO -VITUKO VYA ZANZIBAR 2020
...............................................
TANGAZA NASI KWA KUTEMBELEA
www.biashara.ltd
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios - ตลก
Wa ole naomba like apa 😂
hahahaa
Nakukubali anko mau
Hii nimeipenda sana
Nayoya
Mau makame mhunim mrejeshe makame
Hawa wengne wanacheka waweken sana ktk filamu
Mau mpemba baada ya kuharusika alipotea,uharusi umemfaaaa
Huyu dogo talent mashalla
Hongera dogo umetulia na camera
Hkuna ole wla Tunda ua
Masha Allah
Aaaah mau unazngua vi clip vidogo
Ahh huyo dogo mau usimuacha ni staa baadae
Mau mpemba umepotea kwenye ramani.
Dogo kanataka yoyaaaaaaaa. 😂😂 Mumuyozeshee
😄😄😄😄hamna kaziii..
Tume kumsi sana mau
Hapa hamna ole wala kangagani
Huwez kusonga mbele km huna maadui nyuma yk wt wanaokuponda jua wanakupa changamoto ya kusonga mbele zaid hongera mau ingawa ckufaham kiviile pambana broo hakuna anaekubalika na watu wt dunian 😯
Eti hapana ole wala kangagani😁😆😅🤣😂
😂😂😂😂kali hii
Safii iyo
Mtt ataua uyoo
Haaaaaa jamani mwa nichekesha
Hhhhh mau
Good
mau umepotea kwenye gemu vp
Hahaha namuona fundi kwa mbaali
Duhh
😅😅😅
Hapo ndio tumejifunza nini
Mau dah umepotea mda tulikuwa tunakusubir kwa hamu
Dah kaz nzur Toto ndogo
Chake chake hp ndo kwenu
Hhhhhh dah poa
Dahhh hatar
😁😁😁😁😁
mau wewe hodari kaka
Msu.mpemba
kushaishiwa mau huna tena kazi yakufanya tafuta shamba ukalime uko upumbavu gan huo ulotuonesha
😂😂😂
Hhhhhhh
Mau ulijiskiaje baada huyu dogo kukuambia atayoyaa
😂😂😂😂😂
Sijaipenda iyo filam upuuzi mtupu
Hii ni filam ya vichekesho usione km upuuzi zinasaidia kupunguza stress Dada 🤣🤣
@@hassanabdalla2741 Kabisa ndugu mm nimecheka Sana nyengine ni Kwa ajili ya entertainment Tu sio kila kitu ni serious mm kiukweli nimeikubali sana
Binafsi nimeipenda sanaaa. Siyo kila kitu ni kwa ajili ya watu wote... Tuache tuenjoy siye
🤣🤣🤣🤣❤❤❤
Kuyoya ndio nn sasa
Kuowa
@@shabnaalii4524 duh asante
Kuowa
Hhhhhh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahhahahahahah hii ni kaskazini Pemba vs Kaskazini Unguja
Hapana iyo ni kusini Pemba na kaskazini unguja
Hii ni makunduch
@@oparetionmaalum9030 Mau anatoka Mchangamdogo ambayo ni Kaskazini Pemba na huyo Dogo anatoka Tazari Kaskazini Unguja
@@fatmaaly3056 Dafatma Mau anatoka Mchangamdogo kaskazin Pemba na huyo dogo anatoka Tazari Kaskazini Unguja
@@tutafikaali3235 Sisi tumekuelewa before ya kuelezea uliposema Tu Ila kuna watu wengine akili zao huwa wanaweka mkobani mpka wazitoe kwanza
XXX
Ahh huyo dogo mau usimuacha ni staa baadae
Hhhhhhh
Haha
fund
Ahh huyo dogo mau usimuacha ni staa baadae