MALI YA BAHILI HULIWA MARA MBILI- MAU MPEMBA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 เม.ย. 2021
- #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
MALI YA BAHILI HULIWA MARA MBILI- MAU MPEMBA
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500 - ตลก
Hongereni mpo juu
Jaman mzee kombo😂😂😂
Sema makme lfdhi wajarib
Jamani raha mafundisho raha mungu awazidishiye
Tunawapata vyema hakika muko vizur
Hapa znzbr hapana soko la wasanii kimbilieni dar kama hadija kopa
Dah huyu kombo mnamlipa bei gn
😂😂😂😂😂😂
🇹🇿 Nawapenda sana na taifa linawapenda
Mbavu Zangu mau mpemba na kombo kichwa jamani 😂😂😂😂😂
Nice kake
vichekesho vya kipemba vitamu kweli
Saf sana
kichwa kigwaru oyeeee
🙄😍😍😍🥰
Nice
Muko vizuri
Hatariii
Wataka ubeseko🤣🤣mau mpemba
Tatizo Bando lakin tupo pamoja
We may BWANA mambo YAKO vituko tuu
Duh nyinyi muko pw kweli
Mwambieni kombo kichwa aache kuiba kuku
Hhhhhhhh, wanakitaka icho kichwa wakafukie kaburini
Hahahah akishapiga waliwe na nyama
Majani ya mkungu mekundu😂😂😂😂😂😂😂
Mau.we😂😂😂
🤩🤩🤩🤩
Funny from Dar es salaam We are together ♥️♥️♥️
😀😀😀😀😀😀😀 kweli Mali ya bahili huliwa Mara mbili
Eety nampa mia mia tu
Tizama lilejichwaaa
Mvuja mavi
🤣
Patasii haha
Kumbe pesa anazo hio iko poa sana
Mbavu zangu jamani😄😄😄
Mvujamavi🤣🤣
Mau akichagawa bhanaa ni hatarii
Elf2 haikubalik
😂😂😂😂😂asante
Misimbazi
eti tizama lile bichwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mau
Mwambie akarbu
Huo mpua wa makame sio poa 😅😅😅
Ama apo mganga kapatkana jatariii
😀
Tizama ile jishwa🤣🤣🤣🤣
🤓🤓🤓
😀😀
Kichwa kimenyambuka😂😂😂
Mambo
😀😀😀hahaaaaaa
Hahahah 😂😂
😃😃😃 hahahahaaa
😆😆😆💪
Majani yamkungu mekundu hhhhhhhh mbavu zangu
😅😅
Mkubebe🤣🤣🤣🤣
Fundi kwa hivi unavozidi kuchafukwa huwezekitena unguja napembaye
Haaaaaaaa
Hahahha
Watu waitaka hii patasi
😜😜😜😜😜😜😜😜😜
watu washamba hutumia mitishamba
😂😂😁😁
😂😂😂😂🌟
Mbona kama vile unanikimbie na ninakuamkua
Mm ee
@@alfanm.8221 Safi mambo vip
@@ruwaidaal-ismaily9099 safi
😂😅
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Hahahaha
Mambo
Mgangaaaaa😂😂😂😂
🥲
l
🤣🤣🤣🤣watu wanakita hicho kishwaa
Mvuja mavi 🙄😀😂😅😅 ?
lkn ubakhili nao ukizidi ni maradhi tosha.
Tizama ile jishwa🤣🤣🤣🤣
Hhhhhhhh🤣
watu washamba hutumia mitishamba
Hiyo elfu 2 ni nyingi
Ntampa mia tano tano tu
Hahah
Ila jamaa vifurushi ni ghali