MAKONDA NGORONGORO ASEMA 'SITASHIRIKI KUKANDAMIZA HAKI YA MTU' ATOA AGIZO KWA RPC, NITAPIGA NYUNDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 308

  • @DanosiImani
    @DanosiImani 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nakupenda sana bwana Makonda naninamuomba Mungu akulinde na kukuzidishia maisha marefu ili uzidi kutenda wema saizi niviongozi wachache wanaojari watu wa hari ya chini ila ni mfano wa kuigwa;

  • @simonleyan3389
    @simonleyan3389 2 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda❤ uko powa sana sana❤ kila unacho kifanya unaniliza sana ilove Makonda makonda Mungu akubariki❤

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 2 หลายเดือนก่อน +25

    Jembe 🔥🔥 tinga tinga ... Damu ya hapa kazi tuuu ... Limerudi kazini tayar kupiga kazi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 2 หลายเดือนก่อน +58

    Makonda unadalili nzuri sana za kuwa na Busara za uongozi huwa nakupenda sana na nakuombea sana kaka Allah akupe NUru Inshaallah

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 2 หลายเดือนก่อน +17

    Hongera sana Mh Mungu akulinde ubarikiwe Sana na busara zako

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera sana makonda unajua kuzungumza kwakutumia hekima

  • @AlfredDule-r6z
    @AlfredDule-r6z หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu akulinde na maadui

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mh MAKONDA wewe ni top top pafomanz wa kazi hapa Tanzania 🇹🇿 tunakuaminia na mungu hatokuacha kamwe

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde sana mpendwa wetu❤❤❤❤

  • @AlexTito-x6n
    @AlexTito-x6n 2 หลายเดือนก่อน +23

    Hongera sana mh mkuu wa mkoa wa Arusha, chapa kazi

  • @mauridjuma9650
    @mauridjuma9650 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU shukulani kwako narudi kushukulu Kwa kumpigania huyu mja wako karud Tena Asante! BABA

  • @marylema8937
    @marylema8937 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hongeraa sana mh jembee maaduii wasikuonee chapa kazi baba Mungu akutangulieeee

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde na akupe afya njema Makonda wetu Mungu ibariki Tanzania na wananchi wote

  • @ChitaiElish
    @ChitaiElish 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo team ikiwa Na Lukuvi na profesa Kabudi,that is a sure bet,.,very wise and competent personalities kwenye C.C.M

  • @OLEPARKIROWA
    @OLEPARKIROWA 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pongezi mheshimiwa Kaka yangu Makonda kwa kazi nzuri

  • @JacklinSwai
    @JacklinSwai 2 หลายเดือนก่อน +3

    Good brother ✅✅✅

  • @mengisthomadembwe
    @mengisthomadembwe 2 หลายเดือนก่อน

    Good,chapa kazi baba!!
    Mungu
    Akusaidie

  • @fatumapedersen193
    @fatumapedersen193 2 หลายเดือนก่อน +13

    Vizuri sana makonda kuzumuza na wamaasai wao pia niwanaihichi wa Tanzania. Mungu hakubarikie sana.

  • @AlexSagala-j5b
    @AlexSagala-j5b 2 หลายเดือนก่อน

    Chapakazi..kiongoziwawatu.nanimpendwawawatu.munguakubaliki

  • @Anoldi-yj7mf
    @Anoldi-yj7mf 2 หลายเดือนก่อน

    Jembe lakazi Mungu akulinde sana brother

  • @allykimbulaga8885
    @allykimbulaga8885 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana kutuliza na kulinda amani ya nchi🙏

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki naiwe kweli na haki mungu anaona barikiwa

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtihani mgumu sana huu kwa mhe. Makonda

  • @3leggedbird222
    @3leggedbird222 2 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu nakupenda sana

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 2 หลายเดือนก่อน +20

    ilimlad umeshika maiki na kucmama kwenye ardhi hiyo ya wamasai..naamini utalimaliza MAKONDA nakuamini wasaidie hao wamasai maskini me nawaonea huruma

  • @AlexisSooya
    @AlexisSooya 2 หลายเดือนก่อน +1

    💖💖🙏🙏🙏😭😭mungu akubariki sana mkuu wetu wa mkoa Arusha tupiganie sisi pia ni wananchi wako pia wananchi wa Tanzania kwa ujumla I love Tanzania❤❤❤❤❤makonda 💪💪💪💪💪🙏?

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤tutapata majibu mungu akutunzee akupe maishaa marefuu tunakuombeaa kaka

  • @MashineMashine
    @MashineMashine 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa ndg,mwenyezi mungu akuzidishie umri mrefu

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 2 หลายเดือนก่อน +5

    Amina baba.

  • @NeyMsuya-d8x
    @NeyMsuya-d8x 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Mungu akutunze na familia Yako 🙏🙏🙏🙏

  • @jeremiahmakoye6340
    @jeremiahmakoye6340 2 หลายเดือนก่อน

    God bless you brother Paul Makonda

  • @Afrikalove736
    @Afrikalove736 2 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda Mungu azidi kukubariki.

  • @PartimayoNyoroi-om9hq
    @PartimayoNyoroi-om9hq 2 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akupe Maisha marefu father ❤❤❤❤

  • @barakamisila
    @barakamisila 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde upiganie hakizawatazania

  • @elizabethmakaranga218
    @elizabethmakaranga218 2 หลายเดือนก่อน

    Christian mwanawa makondo mwanangu mmni mmyako ww ni stress free maana siyo kwa ugumu wa kazi ,kupigania haki ni kazi maalumu kwa watu maalumu,inamaana huwezi kufanya kazi hiyo bila wito mwenyezimungu alikuumba tayari kwa kazi ya uchungjaji ambao uchungaji huo niwa kipekee barikiwa sana libarikiwe pia TUMBO lililokuzaa bbyangu mwenyezi mungu akulinde na unapowapongeza wengine na basi na ww pongezizako pokea amen ninakufurahia sanaa bbkigan mjukuu wangu na familia yako ni kanisa. linalofanya maandalizi yakuingia ktk mji mpya wa jerusalim

  • @MamiAkejoo
    @MamiAkejoo 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akufunike na mabaya dunia

  • @jilatushija8369
    @jilatushija8369 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzur sana viongozi wangu wa muhimu

  • @RamboDotto
    @RamboDotto 2 หลายเดือนก่อน +3

    Aaaaaa! Duuuh , nyie ndo selikali mnasumbua wananchi alaf baadae ndo mnakuja kujisafishaa aise kweli wanasiasa bana , kwahyo waliokuwa wanafukuza watu ni wakinanani, alafu pia samia mbn Yuko hvyo aliombwa na watu wa ngorongoro aje mwenyewe lakini hajaja, wanaimba tuu uko na mwana FA kizimumkazi , ccm oye samia mitano tena😢😢😢😢

    • @AllyDaudiNgoyeji
      @AllyDaudiNgoyeji 2 หลายเดือนก่อน

      Wanarubuniwa tu ili wapige kura Kwa CCM 2025.
      Baada ya hapo Uchaguzi ukipita,watakiona Cha mtema Kuni!
      Mbona walizuiwa hata kujiandikisha ktkdafyari la wapiga kura,na majina Yao kudsemekana kupelekwa huko Handeni.
      CCM ni sawa na"chatu"ambae hujifanya anamnyenyekea mbuzi au mnyama yeyote anaetarajia kumnyakua.Huonyesha na kujibadilisha rangi pamoja na madoadoabuzi akiona hivyo,hujongea Hadi karibu kabisa na huyo chatu.Nypka huyo akiona hivyo,haraka hujirusha pamoja na kumbana huyo mhanga wake,Kwa kujizungushia Kwa mkia Hadi kumvunja mbavu mbuzi huyo.Hatimae kumeza.
      Ndivyo CCM inavyofanya Kwa Hawa Wamaasai.
      Mwisho wa siku wataisoma namba,na kujuta.Watafurushwa,Tena Kwa nguvu nyingi Kwa kutumia vyombo vya Dola.
      Watakaokuwepo hai baada ya Uchaguzi MKUU,mtaukumbuka Utabori wangu huu.
      NB:-Mimi so mpiga-ramuli au mganga wa jadi,Bali ni mtu ninaesoma alama za nyakati.
      Ni Mimi Ally Daudi Ngoyeji wa Itilima Kishapu,Shinyanga.

  • @khamisikhamisi7225
    @khamisikhamisi7225 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mh MAKONDA kigamboni akulinde mungu!!!!!!

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka makonda Pole sana.mungu akuvushe salama

  • @baraka-zz7uq
    @baraka-zz7uq 2 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana makonda kaz uzuri sana

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo sawa makonda,unafaa kua kiongozi

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 2 หลายเดือนก่อน +17

    Nguvu nyingi sana inatumika. Ngoja tuone. Maana hawa ndiyo viongozi wa juu wa ccm. Kinana hayupo, mangula, nk.

  • @AmosiLazaro-i5i
    @AmosiLazaro-i5i 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mhe makonda mungu akubariko sana mtetezi wa wanyonge kwani mungu hatukuacha kamwe kwani wee wanyonge hukuwaacha .

  • @maimunakassim8413
    @maimunakassim8413 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awe pamoja na wewe mdogo wangu

  • @MohamediMrisho-rn9xx
    @MohamediMrisho-rn9xx 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka angu

  • @barakamisila
    @barakamisila 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri mkuu

  • @amosmachibya1800
    @amosmachibya1800 2 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana uongozi wako mh.Makonda.

  • @mengisthomadembwe
    @mengisthomadembwe 2 หลายเดือนก่อน

    Goo
    d

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤Mungu akutunze , Baba!

  • @CharlesBudeba
    @CharlesBudeba 2 หลายเดือนก่อน

    Ugar wa sembe ni tatizo jingine linalopunguza ufahamu wa mtu.Bro makonda you should know that
    . other factors remain constant but keep God first

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Makonda

  • @PeterRaymond-t8f
    @PeterRaymond-t8f 2 หลายเดือนก่อน

    Vizuri sana

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera mtumishi

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hapo kunamqjibu kweli kama mmekula vya waraabu mvirudishe hqtutaki mahubiri ya kinafiki mrudishe mlicho chukuwa kwa mwaraabu! Kwa nini mnajificha kwenye majeshi yetu ndani ya uhalifu wenu?

  • @farajasamwel_56
    @farajasamwel_56 2 หลายเดือนก่อน +1

    Big up bro

  • @OlodediaSindima-x7s
    @OlodediaSindima-x7s 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yes of course this show's hope 😢😢

  • @NunuiMpogomi
    @NunuiMpogomi 2 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi huwa anazaliwa big up kiongozi

  • @MASSEYMEDIA-1
    @MASSEYMEDIA-1 2 หลายเดือนก่อน +24

    KAMA MAKONDA KAFIKA KULE BASI LEO TUNAPATA MAJIBU SAHIHI KABISAA SISI WATU WA NGORONGORO

    • @Benny318m
      @Benny318m 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu wa haki na amani awasimamie

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 2 หลายเดือนก่อน

    Mh. Makonda unasomamia haki Kwa Kila mtu. mungu akusimamie Kwa Kila jambo.

  • @mariamshabani7107
    @mariamshabani7107 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @IsayaMasesa-r2i
    @IsayaMasesa-r2i 2 หลายเดือนก่อน

    Kama in hivyo muheshimiwa chapa kazi mungu akusaidie

  • @EnezaMmbando
    @EnezaMmbando 2 หลายเดือนก่อน

    big up

  • @GodwinKamanija
    @GodwinKamanija 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera RC,lakini natitizo litatuliwe.

  • @HumphreyKarua
    @HumphreyKarua 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hi Rc Makonda wewe ni jembe la kutetea haki za wamyonge mungu akulinde kuwa n maisha mema

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 2 หลายเดือนก่อน

    Rc MAKONDA ❤❤❤❤

  • @tusekilemwakatobe7763
    @tusekilemwakatobe7763 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda.hoyeeee❤❤❤❤❤

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 2 หลายเดือนก่อน

    Safi Mama katuma watu wakazi Mungu ajalie Amani Inchi yetu hawa wachawi wanasiasa wanaotaka umafufu kupitia matukio hawana chao tena watoe ujanja ujanja na kuminya haki kwenye vikundi vyao wanavyo viongoza

  • @saidijohn7911
    @saidijohn7911 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda kaka safi sana

  • @AbisaiMsewa
    @AbisaiMsewa 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 2 หลายเดือนก่อน

    Mwambaa ❤❤❤

  • @MathayoJoseph-lr6it
    @MathayoJoseph-lr6it 2 หลายเดือนก่อน

    safi mkuu

  • @rosejohn8494
    @rosejohn8494 2 หลายเดือนก่อน

    asant mheshimiwa makonda cku zote kuona kimya nlipata mashaka

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 2 หลายเดือนก่อน

    Safi mheshimiwa ngorngoro ni haki ya wamasai

  • @RobertMgore
    @RobertMgore 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja

  • @josephmbeya5973
    @josephmbeya5973 2 หลายเดือนก่อน

    Binafsi sijaona sababu za kumwagia Makonda hata kidogo,hv swala la wamasaai wa Ngorongoro limeanza lini??

  • @GeorgeSikazwe-mm7nn
    @GeorgeSikazwe-mm7nn 2 หลายเดือนก่อน

    Siasa nying nenda Kweny point

  • @frednyangwechi774
    @frednyangwechi774 2 หลายเดือนก่อน

    Mtu huyu safi sana

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 2 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda kaka yangu nakuamini sana naomba uwasaidie ndugu zetu wamasai wanaonewa

  • @TausAbasi-jf2xx
    @TausAbasi-jf2xx 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona Kama sasa ni siasa😢😢😢

  • @mwambaimara1950
    @mwambaimara1950 2 หลายเดือนก่อน

    You deserve to be our president .....

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 2 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @Kwarasi
    @Kwarasi 2 หลายเดือนก่อน +21

    Wamasai wameng'atwa na ccm sasa wanapulizwa watarudi Tena mwaka mwingine.

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 2 หลายเดือนก่อน +1

      Alikaaa kimya Sasa ametumwa kujisafisha baada ya kuwa yamewashinda

    • @AugustinoSirong-eo3yj
      @AugustinoSirong-eo3yj 2 หลายเดือนก่อน +1

      Alizuiliwa na wale wakubwa. Yamewashinda ndo wakamwachia

    • @christinainnocent3184
      @christinainnocent3184 2 หลายเดือนก่อน

      Kala sumu na bonge ya warning Sasa ana adabu anaongea kama kiongozi sasa

    • @AbisaiMsewa
      @AbisaiMsewa 2 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@christinainnocent3184uko nashida ww!

  • @RomanusBussa-g7q
    @RomanusBussa-g7q 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ makonda uwasaidie

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah AKULINDE mh RC MAKONDA. ASANTE SANA KWA UMAKINI WA KAZI ZAKO.

  • @jacobmollel7036
    @jacobmollel7036 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana nakupenda sana makonda,wateteee wanyonge usijali cheo inatoka Kwa Mungu Wala siyo Kwa mtu

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 2 หลายเดือนก่อน

    Ila mnawakosea mungu yupo ataj

  • @IzzyBakari-mb6ks
    @IzzyBakari-mb6ks 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu ni Zaidi ya kiongoziii 🎉🎉

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 2 หลายเดือนก่อน

    Moja ya zao zuri la chama cha mapinduzi hongera comedy Paul makonda

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 2 หลายเดือนก่อน

    Nawashangaa sana binadam wanaosema makonda ana mungu,hivi waliowafurumua hawa masai ni akina nani haswa au ni vyama vya upinzani siyo ccm?kama siyo ccm haohao mtwambie,siyo huyo bashite kwenda kuanza kuwahadaa wamasai tena kama vile hajui kinachoendelea huko ngorongoro.mungu awalaani kabisa hawa wote wana ccm wanaoigiza,huu ni uhuni kama uhuni mwingine.

  • @salama1113
    @salama1113 2 หลายเดือนก่อน +13

    Masai washajisahau kamawameumizwa wanapiga makofi sasasubilini kiwalambe😂😂😂😂

    • @shaamemchauru1365
      @shaamemchauru1365 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂NINI KIWEMBE?

  • @RahimRashid-u9j
    @RahimRashid-u9j 2 หลายเดือนก่อน +20

    Rais hakuna kitu kaka ongea wewe kwani nani kawapa waarabu ngorongoro

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 2 หลายเดือนก่อน +4

      We unaona kama Mimi,watu wanaitaji ngorongoro yao sio ya waarabu ni ya wamasai nyie ongeeeni yooote lkn eneo ni la wamasai

    • @farajaMezza-qn4be
      @farajaMezza-qn4be 2 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@OmmyJames-xn7ji kuhususu kuuziwa am not sure lakini ndo kuna wale waarabu wenye kampuni ya uwindaji wenye mkataba wa miaka 100 tangu uongozi wa Mwinyi sio kwamba wameanzia kwa mama Samia!

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@farajaMezza-qn4be Hiyo ni LOLIONDO

    • @AmaniNdaserwa
      @AmaniNdaserwa 2 หลายเดือนก่อน +3

      Nakumbali sanaa makonda na ninaimini nae hatakubalina na wangamizi wa haki wanangorongoro

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@OmmyJames-xn7ji
      Acha kiburi ommy una dharau
      Maneno yako ni ya kiburi
      Shobo tu huheshimu watu

  • @Innocentnyika-ml5tr
    @Innocentnyika-ml5tr 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉 unajua sanaa Yan ww ni really reader mungu akulinde sanaa daa lait ungekuja rais tungekua mbali sanaaa

  • @SosJosephat
    @SosJosephat 2 หลายเดือนก่อน +5

    Uyu jamaa ana. Mungu kwel

  • @Agnessangayao
    @Agnessangayao 2 หลายเดือนก่อน

    😮

  • @GeorgeSikazwe-mm7nn
    @GeorgeSikazwe-mm7nn 2 หลายเดือนก่อน

    Siasa t..nothing more

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 2 หลายเดือนก่อน

    wamasai simamieni msimamo wenu wa maelezo hayo yawe Kwa maandishi na warudishe huduma za kijamii soon maneno mengo SEMA point he yule kijana wapi?

  • @paulinef.millanzinana8279
    @paulinef.millanzinana8279 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu Baba azidi kukutunza CR P Makonda ❤❤❤❤

    • @Sharifa-e7y
      @Sharifa-e7y 2 หลายเดือนก่อน

      Love❤ wewe unamtambua Mungu barikiwa sana jamani. Jamani mimi ntakutafta uwiii

  • @mohdhussein4548
    @mohdhussein4548 2 หลายเดือนก่อน

    Saf kaka

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 2 หลายเดือนก่อน

    Ktaa huo ni mtego kwako brother, KAA MBALI , Hilo tukio ni aibuu mbona vijiji vingine hawajahamishwa Kwa Nini Ngorongoro???