NDOTO ZAKO MAFANIKIO YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
    • FIKIA MALENGO YAKO KIR... -~-
    Kila mmoja wetu ameumbwa ili kufanya kitu fulani maalum sana katika maisha haya. Na kama mtu atafanikiwa kukifahamu na kukifanya kitu hicho basi hupata pumziko kubwa au ahueni, au afadhali au urahisi mkubwa sana kwenye maisha kwa upande wa furaha na hata mafanikio ya vitu vya kumiliki.
    Lakini kama ilivyo kawaida ya vitu vyote vyenye thamani ya kweli, mara nyingi havipatikani kirahisi mfano wa dhahabu, almas, lulu, Tanzanite na Madini mengine yoyote.
    .
    Jitahidi sana kufuatilia mambo haya manne muhimu ili uweze kuishi ndoto yako ambayo ndiyo muongozo katika maisha yako ya mafanikio makubwa.
    .
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
    .
    NIFUATE MITANDAONI
    INSTAGRAM: / ezdenjumanne
    TWITTER: / ezdenjumanne
    FACEBOOK: / ezdenjumanne
    LINKEDIN: / ezdenjumanne
    .
    For Business please send me an email
    ezdenjumanne@gmail.com
    Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
    .
    #NdotoZako #YourDream #EzdenJumanneTV

ความคิดเห็น • 245

  • @elizabethpaul646
    @elizabethpaul646 5 ปีที่แล้ว +11

    Mim ni msikikizaj mzur saan wa vipindi vyako,lkn nakuw mgumu kuyatendea kaz sijui kwann😔😔

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  5 ปีที่แล้ว +11

      Unatakiwa kuamua na kuanza. Tunayo nguvu ya maamuzi na kufanya uchaguzi maishani mwetu. Ukishaamua jilazimishe kwa siku 7 za mwanzo. Then 7 za pili halafu 7 za tatu kwani tabia mpya hujengwa ndani ya siku 21 tu baada ya hapo inakuwa automatic

    • @silvestamalila1223
      @silvestamalila1223 5 ปีที่แล้ว

      Nakufatilia sana kaka ila sija fanikiwa kusoma vitab vya ko 0763168193 nipo mbya nitavipataje.?

    • @marconyasele8731
      @marconyasele8731 4 ปีที่แล้ว +1

      Nimependa san uxhauli wako mkubwa

    • @asetenyubenibaba6273
      @asetenyubenibaba6273 4 ปีที่แล้ว

      Kaa chini vikiri upya

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว

      Uko sahihi kabisa, lakini lazima ujishinde wewe mwenyewe lazima uamue, utabadilika tu

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 5 ปีที่แล้ว +1

    Oooohhhhhh my.mwenyezi mungu akujalie kila la kheri kaka kwa kutupa elimu.

  • @nuhumoreninkoko8639
    @nuhumoreninkoko8639 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana kaka Ezden

  • @oman3527
    @oman3527 5 ปีที่แล้ว +2

    Upp sahihi. Magundisho yko yananguvu ya Mungu ndani yke lazima Anayesikia kitu fulni kifanyike ktk life yke so Kazana kitufundisha kaka maisha yetu yawe sehemu salama.

  • @emanuelyalexsandar6493
    @emanuelyalexsandar6493 3 ปีที่แล้ว

    Napenda mafundisho yako pia nime nufaika kwa kiasi ki kubwa cz vile venye umenipa mwanga na maarifa katka njia na nia mungu aku barki popote ulipo aku inulie hekima forever nta penda mafundisho yako

  • @neemahonorath385
    @neemahonorath385 5 ปีที่แล้ว +13

    WW na joell nanauka n watu ambao mnanifanya nijione cko mwenyewe atakama wote wameni kataaa mnani fanya niishi ndoto yng c atuna chakuwalipa zaid ya kushukuru na kumwomba munda ilimzid kuwanyanyua walio kata tamaaa

    • @charlesmgina6264
      @charlesmgina6264 5 ปีที่แล้ว +1

      Neema Honorath nc

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana kwa comment nzuri. Naam @joelnanauka anafanya kazi nzuri sana sana pia.

    • @blessmoarusha1990
      @blessmoarusha1990 3 ปีที่แล้ว

      Yan mm huwa wananitia moyo Sana Hawa jamaa na ukiweza kuyaish maneno ya hawa jakaaa ahakkia utajikuta unakuwa wa tofaut sana aiseee.

  • @ulimwenguwamitimifupi5113
    @ulimwenguwamitimifupi5113 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Kaka! Ujumbe mzuri.

    • @ulimwenguwamitimifupi5113
      @ulimwenguwamitimifupi5113 5 ปีที่แล้ว +1

      Yaani hii Imenigusa sana katika maisha yangu.Asante sana Brother Ezden. Allah Akulipe kheri.

    • @eunicedavid1744
      @eunicedavid1744 5 ปีที่แล้ว

      Umenigusa sana

  • @azyzahyussuf6804
    @azyzahyussuf6804 5 ปีที่แล้ว

    M.mng akusimamie katika kila hatua. unaongea yale yaliondani ya mioyo yetu. kila m2 n m2 wa kujifnz kwa mwenzake. mm najifnza kupitia wewe. hongera sana Mung akubrk ktk kazi zako pia akusimamie ktk kila kona ya maisha yako. Upo juuu zaid💖

  • @markamwakibete7149
    @markamwakibete7149 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole ndugu kwakazi ngum naona wazi unatuelimisha bure nasema asante pia nashukuru kwakunikumbusha mengi maishani naona wewe nirafiki mzuri hasa ungekuapo tangu nikiwa mdogo,maana kila nilichoona hakifai kwangu leo naona nisababu hasa iliopelekea mimi kua hiv najilaum kwakutofata njia nilzoona hazifai leo ndio maisha halisi, NIKWELI NDOTO HUFA KUTOKANA NAKUTIMIZA NDOTO YA MWINGINE NAKUSAHAULIKA KABISA, Hofu yangu kuu nikuchelewa

  • @emmanuelmagese4323
    @emmanuelmagese4323 5 ปีที่แล้ว +3

    I love the statement "Everyone is born unique but most of us die copies" Ezden Jumanne.......

  • @selemanijuma546
    @selemanijuma546 3 ปีที่แล้ว

    Mamb..Ubarikiwe sana...umebadilisha sana maisha yangu nimejiajiri na nina ofis yangu kwasasa bt nilianza kukufatilia mwaka 2 iliyopita mungu akubarik sana Amin.

  • @zainabsaid2173
    @zainabsaid2173 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana mungu akubariki kwa hili hakika nimejifunza mengi kupitia wew na naamin nikiyafanyia kama nitafanikiwa

  • @abdallahmauka493
    @abdallahmauka493 5 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana broo nakufatilia sana nimejifunza vingi toka kwako na nitaenderea kuwa karibu ili nijifunze zaidi shukrani sana broo🙏🙏

  • @estergregorylugalama5731
    @estergregorylugalama5731 5 ปีที่แล้ว

    mim naendelea kukuombea zaidi uwe na afya tele na Mungu akufunulie zaidi vingine undelee kutufundusha zaidi

  • @jescanzaly6282
    @jescanzaly6282 5 ปีที่แล้ว

    Good good bless u unatufungua hakika

  • @leahjohn9038
    @leahjohn9038 5 ปีที่แล้ว

    Yan co tu kukuelewa bali nimekupenda pia, leo hii umenifanya kusimama na kwenda na sio kurudi nyuma.
    Asante sana bro

  • @zahirgomelo198
    @zahirgomelo198 5 ปีที่แล้ว +1

    Mentor thank you for all this good staff

  • @isuphusamweli3468
    @isuphusamweli3468 5 ปีที่แล้ว

    Honger unatuelimisha sana mungu akutie nguvu

  • @josephjames7926
    @josephjames7926 5 ปีที่แล้ว

    katika watu wew una utu ili watu wengine wafanikiwe kupitia wewe .penda sana brother

  • @halimaismailfungameza7990
    @halimaismailfungameza7990 5 ปีที่แล้ว +7

    Kwanza shukuraan zako zikufikie popote ulipo tunakushuru coz kila ufundishalo cjawai kusikia hamasa ambalo limenikatisha tamaa kila hamasa ufundishalo unazidi kuniweka niwe bora zaidi inshallah, Allah bless you naamini penye nia pana njia nasi tunatakiwa kumiliki business zetu Asanti🙏🙏🙏 Sana kwa hamasa unazotufundisha sijawai kujutia bando langu😂😂😂😂

  • @officialdillvan6815
    @officialdillvan6815 5 ปีที่แล้ว

    Tuna fanyia kazi sana. wanao kuponda akili azijafunguka
    Ziliko nimependa sana vipindi viako

  • @everadakayanda7885
    @everadakayanda7885 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri

  • @mwasitiathumani5580
    @mwasitiathumani5580 5 ปีที่แล้ว

    Mm nakukubali sana brother uko vzr na mungu atakulipa maana hakuna atakaeweza kukulipa Kwa kazi unayoifanya

  • @SalmaSalma-yc6dg
    @SalmaSalma-yc6dg 5 ปีที่แล้ว

    Shukran sana kaka nakufuatilia sana na iko siku nitakuletea majibu kwa yale nimejifunza

  • @swimcoachabel1105
    @swimcoachabel1105 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana madini yako nayapokea yanazidi kunijenga

  • @jarufuadam7272
    @jarufuadam7272 5 ปีที่แล้ว

    Topic nzur sana .

  • @mgonja12abubakar49
    @mgonja12abubakar49 4 ปีที่แล้ว

    Brother upo vizuri tatizo huwa unajisahau sana unakuwa mzito wakwenda direct kwenye point

  • @mbekiclinic
    @mbekiclinic 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana booos!!!!!!

  • @jacksonkinange4605
    @jacksonkinange4605 5 ปีที่แล้ว

    Kweli Kaka nimechoka kuishi maisha yasiyo yangu nafanyia kazi kuanzia sasa

  • @pazetv5639
    @pazetv5639 2 ปีที่แล้ว

    asante sana mkufunzi wangu nimepata shule! !!!

  • @sifanicholas5454
    @sifanicholas5454 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana brother unafungua fahàmu za wengi

  • @erickmunishi1780
    @erickmunishi1780 5 ปีที่แล้ว

    Vizur sana elim unayotupa tunaipenda san kk tuko pamoj siku zot

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ 5 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru kwa elimu nzuri

  • @elizabethben2342
    @elizabethben2342 5 ปีที่แล้ว +1

    thanks bro ezden,mungu akuongoze

  • @tegazaina7236
    @tegazaina7236 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo zuri na lenye faraja ndani yake, Allah akulipe inshallaj

  • @silasjoseph9220
    @silasjoseph9220 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana bro ni elimu nzur

  • @kevinmwemezi5374
    @kevinmwemezi5374 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki brother message zako zinatia moyo sana na kunifundisha

  • @amaniminja1890
    @amaniminja1890 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah
    Now days kabla sijalala. Nasikiliza one of your video ili nikilala nifikirie nmepata nn from it. 🙏🏽

  • @nizigamabosco2095
    @nizigamabosco2095 3 ปีที่แล้ว

    God bless you l love you so much, from burundi.

  • @everlinekawawa5759
    @everlinekawawa5759 5 ปีที่แล้ว +1

    Dhaaa salut kwako bro

  • @betramkomba2140
    @betramkomba2140 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki unafanya poa sana

  • @eng.anoldkishumu3080
    @eng.anoldkishumu3080 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kaka

  • @jephsaimon1865
    @jephsaimon1865 5 ปีที่แล้ว

    Upo vizur kaka... leo ni tarehe 5 kuanzia leo nimejiunga kuwa mwanafunz katika darasa ili

  • @emotionalvoice972
    @emotionalvoice972 5 ปีที่แล้ว +1

    Kujifunza na kukiweka katika matendo, watu wanaweza kukudharau leo lakini kesho wakaheshima matokeo ya kile unachokifanya yakionekana,
    Allah azid kutupa afya njema ya mwili, akili na nafsi tuendelee kujifunza zaidi

  • @celinedaniel6330
    @celinedaniel6330 5 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana Kaka ezden kuwa motivational speaker si mchezo mchezo!.... hongera sana hata kwa speech hiii imesimama!

  • @nuhumoreninkoko8639
    @nuhumoreninkoko8639 2 ปีที่แล้ว +2

    Sauti yako hakika brother imebarikiwa na mungu ahsante Sana natumaini nitaanza sasa na nitakapo fikia ndoto zangu nitajisifu kwa sauti yako iliyobarikiwa Brother Ezden Jumanne?

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 ปีที่แล้ว +1

      Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!

  • @salimaalphonsine448
    @salimaalphonsine448 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante sana brother napenda sana kazi zako from belgium +32🇧🇪

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  5 ปีที่แล้ว +2

      Nashukuru sana sana. Please keep sharing this message kwa wale unaona hii channel inaweza kuwa msaada. Be blessed!🙏🙏

  • @vuaihukum8384
    @vuaihukum8384 5 ปีที่แล้ว +1

    you're teachin' us many things about success
    So inakuwa ni vizuri sana kwetu sisi kwani tunapata ushauri na mawazo mazuri kutoka kwako
    WEWE SASA NI KIONGOZI JUST LEAD US TO GET SOMEMORE😍

    • @salimsaid6998
      @salimsaid6998 5 ปีที่แล้ว

      I am so impressed with your lectures full of inspiration and thoughts our life

    • @atubeka9317
      @atubeka9317 4 ปีที่แล้ว

      Safi Sana Kiongozi big up

  • @mwamvitakituka2994
    @mwamvitakituka2994 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante J4, una ni encourage sana. Mungu akuzidishie afya.

  • @nasibukihonda9561
    @nasibukihonda9561 5 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana brudha mii nilikuwa napenda sana kuigiza lakin sina kila kitu jeee naweza kufikia malengo yangu

  • @salomekombo6166
    @salomekombo6166 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sanaa broo

  • @alexnkya5624
    @alexnkya5624 4 ปีที่แล้ว

    Napenda vipindi vyako.

  • @husseinkatalika353
    @husseinkatalika353 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali kutoka ujerumani

  • @rehemabdallah9205
    @rehemabdallah9205 2 ปีที่แล้ว +1

    Heshima kwako brow unafanya vitu vizur sikuzote

  • @rashidsaid2840
    @rashidsaid2840 3 ปีที่แล้ว

    Napenda unachokifa kaka mungu akupeuhai mrefu inshaa allhwah

  • @swalhaprettyswalha7154
    @swalhaprettyswalha7154 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante brother kwakaziako nzur naimani utawasaidia wale ambao wanaitajikusaidiwa kimawazo shukrani zote zikufikie popote ulipo asante mungu akubariki 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @emmachrist6249
    @emmachrist6249 5 ปีที่แล้ว

    Napenda mafundisho yako

  • @aishakulani4374
    @aishakulani4374 4 ปีที่แล้ว

    Bro you are good I like every thing of you like every thing don’t care about those who don’t know nothing keep it up , tuko pamoja sote

  • @muutasimrashid135
    @muutasimrashid135 3 ปีที่แล้ว

    bomba mkuu

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah akubariki sanaa kwa kutufunza vingi

  • @jamesdastan5588
    @jamesdastan5588 5 ปีที่แล้ว +1

    Eeeeh bhana bro saf sana

  • @matirdamussa6343
    @matirdamussa6343 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante kaka kila siku napata jambo jipya kutoka kwako

  • @rahmamusemuse6526
    @rahmamusemuse6526 5 ปีที่แล้ว

    ManshaAllah Jazakha Khaira Allah akuongoze uzidishe kutuelimisha... Mi pia nimmoja Kati yawanafunzi wanao kufuatilia kwa ukaribu .

  • @erickerickmboge2403
    @erickerickmboge2403 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante barikiwaa sana

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana Erick Erick mboge kwa kufuatilia. Pamoja!

  • @kinlee8035
    @kinlee8035 4 ปีที่แล้ว

    Broo uko vizur saana ✊👍

  • @tatuatut7542
    @tatuatut7542 5 ปีที่แล้ว

    Hili Somo sichoki kukisikiliza.waoooi!

  • @patrickmlelwa6816
    @patrickmlelwa6816 ปีที่แล้ว +1

    asante bro

  • @mdudutv4535
    @mdudutv4535 5 ปีที่แล้ว +2

    Dah endelea kunipa madini kk one love

  • @user-qu6bv7dm3c
    @user-qu6bv7dm3c 10 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa ujumbe mzuri

  • @officialdillvan6815
    @officialdillvan6815 5 ปีที่แล้ว

    Thank you so much do you teach the pleople
    That good I LIKE 👍👍👍👍

  • @veronicakaunda330
    @veronicakaunda330 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sanah nmepata fundisho

  • @suzan638
    @suzan638 5 ปีที่แล้ว +1

    saf sana bro nakuelewaga sanaa

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 5 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza vitu vipya kwako hakika wewe ni mwalimu mzuri

  • @abdatikhamis7208
    @abdatikhamis7208 5 ปีที่แล้ว

    Asante bro nimefaidika sana ktk kipindi chako ,kwa ufasaha

  • @jacksonchimomo554
    @jacksonchimomo554 5 ปีที่แล้ว +1

    Vizur Sana kijana unafanya kazi nzur

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +1

    Napenda kukusikiliza whenever i get time. Asante kaka Ezden. We learn a lot.You r one of a kind. Mola akubariki 😘👍🙌

  • @theodosiaadrian3072
    @theodosiaadrian3072 2 ปีที่แล้ว

    Ongea baba nakuelewa sana

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 ปีที่แล้ว +1

    nakukubar#

  • @felisteravija1901
    @felisteravija1901 4 ปีที่แล้ว

    Thanx bro,yan saiv siwaambichochote maana kila jojayangu wana ignore

  • @festorymlekwas4050
    @festorymlekwas4050 5 ปีที่แล้ว

    Hubarikiwe sana bro kwakwely umekuwa shule kwangu kwa muda mfupi nilikufahamu kupitia hapa

  • @davidkakaa1001
    @davidkakaa1001 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana bro

  • @muhsinyahaya5822
    @muhsinyahaya5822 5 ปีที่แล้ว

    Thanks brother kwa mafunzo yako

  • @yumbujackson869
    @yumbujackson869 3 ปีที่แล้ว +1

    I have learn a lot today, much respect bro

  • @anickwilliam1237
    @anickwilliam1237 5 ปีที่แล้ว

    nakukubali sana kaka

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 5 ปีที่แล้ว

    Asante kaka kwa ujumbe,Mungu akulipe kher inshaaAllah

  • @festoamos_tz
    @festoamos_tz 5 ปีที่แล้ว +2

    Bro Ezden! Unafanya vizuri sana ktk hii industry, kuna namna nikisikiliza na kutazama video zako huwa kuna namna najiona kuifikia ndoto yangu,
    Ila kwa nyongeza hapo kuna kitu umesema kwamba kuna watu wanaishi maisha ya kukopy ila nahisi tatizo kubwa ni kwamba #wao wenyewe hawajijui ni akina nani.......
    So njia zifuatazo zinaweza kumsaidia mtu kujijua yeye ni nani
    1.fikiria ni kitu gan kinakuchukua mda mwingi kukiwaza? Kwa siku nzima wiki mwez au mwaka
    2.hear the voice that defines you in you, yani kuna saut ya ndani ya mtu ambayo huwa inamwambia yeye ni nani so itii hiyo saut na uifanyie kazi
    3.try everything that is in your ability, fanya kila unachoweza kufanya mwisho utajikuta kuna kitu kimoja unachoweza kukifanya zaid na kikakubalika
    4.dont fear to fail, usiogope kufell maana kufel ni sehem pia ya kujifunza never fear to failure because the fear to failure is an absolutely failure
    5.listen to what people say about you, and medutate what they say kwa sababu watu wanakuona na wanajua ni nn unafanya hivyo wakikwambia kwmb wanaona unaweza kufanya kit fulan. Usipuuzie kakifikirie huenda ikawa kwel
    6.assess your ability, by yourself what are you capable to do.
    Bro Ezden nafikiri hiki kinaweza kuwasaidia watu kujijua wao ni akina nani AHSANTE NAITWA FESTO AMOS 0766181367

    • @pazetv5639
      @pazetv5639 2 ปีที่แล้ว

      thanks brother we can add value to the life if we're positive may God bless you! !

  • @shauricaptain4619
    @shauricaptain4619 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah,,, hii iko poa balaa

  • @gladmboya2385
    @gladmboya2385 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana brother,

  • @ganettsofa7015
    @ganettsofa7015 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli mtupu kaka asante

  • @alicemzaza8460
    @alicemzaza8460 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka mungu hakubariki Sana kakang

  • @official_rayob.8351
    @official_rayob.8351 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤pamoja bro

  • @harounpaul4514
    @harounpaul4514 5 ปีที่แล้ว

    Great!

  • @teoraskasasila696
    @teoraskasasila696 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana bro
    Kweli naona faida ya kukufolo!

  • @bincy7840
    @bincy7840 4 ปีที่แล้ว

    Full respect I really appreciate your teachings. Long live successful path each one teach one.

  • @keyvogad1421
    @keyvogad1421 5 ปีที่แล้ว +1

    Thank broh Kwa kunikumbusha

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 5 ปีที่แล้ว

    asant kaka je naweza jua ni vitabu gan nawez visoma

  • @richarvalsn7944
    @richarvalsn7944 5 ปีที่แล้ว +2

    Makubali💯

  • @babuu4098
    @babuu4098 5 ปีที่แล้ว

    Bro nakukubali sana tangia nianze kukufuatilia nimeji funza vingi sana sana

  • @geofrayreuben1090
    @geofrayreuben1090 5 ปีที่แล้ว +1

    I like it Bro God bless you

  • @mubamdetele6055
    @mubamdetele6055 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa