MAJUTO MAKUBWA BAADA YA SHULE (NA SULUHISHO LAKE)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
    • FIKIA MALENGO YAKO KIR... -~-
    Mara nyingi ukiwa shule kuna vitu wazazi wanapokusisitiza ufanye wewe unakuwa hupendi kwa kuona kwamba wewe ndio unazijua ratiba zako vizuri, lakini wazazi mara zote huona mbali,
    na mambo mengi ambayo huwaeleza watoto wao huwa ni katika yale ambayo watu wengi hujutia sana maishani kipindi ambacho hawawezi tena kurudi shule, lakini mmajuto hayafai kitu sababu huwezi tena kubadilisha ile hali.
    Lakini kwa kuwa maisha ni kama mbio za vijiti, tunapokezana basi wewe na mimi hii ni jukumu letu kuwaandaa watoto wetu wasijekuwa kati ya wale wenye majuto haya. Video hii itakusaidia sana. Ukimaliza kutazama tafadhali niambie wewe umepata majuto gani ambayo mimi sikuongelea ili tuendelee kujifunza zaidi....
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
    .
    NIFUATE MITANDAONI
    INSTAGRAM: / ezdenjumanne
    TWITTER: / ezdenjumanne
    FACEBOOK: / ezdenjumanne
    LINKEDIN: / ezdenjumanne
    .
    For Business please send me an email
    ezdenjumanne@gmail.com
    Whatsapp Group : (+255)759191076
    #SuccessPath #EachOneTeachOne #EzdenJumanne

ความคิดเห็น • 81

  • @johnjoseph9745
    @johnjoseph9745 5 ปีที่แล้ว +16

    Hii ni video inayohitaji kutazamwa na kila mtanzania..Is very deep video🙏..Success Path ni sehemu sahihi kuwepo..Mungu Azidi kukuinua Brother Ezden!

    • @mauwasafi4126
      @mauwasafi4126 4 ปีที่แล้ว

      Asante sana

    • @asheraidan1392
      @asheraidan1392 3 ปีที่แล้ว

      I know it's kinda off topic but do anyone know of a good site to stream new movies online ?

    • @alonsofelipe2021
      @alonsofelipe2021 3 ปีที่แล้ว

      @Asher Aidan I would suggest Flixzone. You can find it on google =)

    • @nyamwinukankwera3749
      @nyamwinukankwera3749 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaa

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante Mkuu kwa Elimu hii acha tufundishe watoto, sikuhizi ghetto langu kama makitaba aise 🙏🤝💪

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 3 ปีที่แล้ว +1

    باراك الله فيكم وجزاكم الله خيرا
    Brother Ezden Jumanne

  • @samymdundu
    @samymdundu 5 ปีที่แล้ว +7

    Aisee nakufatiliaga sana kaka pia nasave hizi kwa niaba ya wanangu kusikiliza natumai watajifunza vyema

  • @rickymonay9078
    @rickymonay9078 5 ปีที่แล้ว +4

    Bro,,,,,Nafatilia Saana video zako .lakin hii video kalii mno . umeipangilia vizuri na ujumbe wa kipekee sana, hongera.

  • @abelbenedicto5392
    @abelbenedicto5392 5 ปีที่แล้ว +4

    Sijawahi jutia ndani ya Darasa hili🙏🙏 Each one Teach one 🤝

  • @gastomgoya4146
    @gastomgoya4146 5 ปีที่แล้ว +5

    Broo umenibadilisha sana, Ahsante sana.

  • @amanigoah5148
    @amanigoah5148 ปีที่แล้ว

    Mashallah that was very cool....

  • @veronikaagustino874
    @veronikaagustino874 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwan kila ninapokusikiliza unanitia hamasa nanimejifunza meng nilikuwa siyajui

  • @fatumaahmmed6929
    @fatumaahmmed6929 5 ปีที่แล้ว +1

    Yani ukweli mtupu hongera sana kaka, allah azidi kuku ujuzi zaidi uwatoe watu gizani.nakufatilia sana kaka

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว +6

    Mmh! Shukraan brother ujumbe tumeupata Allah akubariki sana 🙏 🙏

  • @amanigoah5148
    @amanigoah5148 ปีที่แล้ว

    You though and your feeling create me alot you ceate my on universe's as you go along/thanks and thank you alot inspired me alot...

  • @asifiwelobwite9071
    @asifiwelobwite9071 2 ปีที่แล้ว

    Brother asante sana japo hata Mimi nimechelewa kidogo nazani chuo nitafata ushauri wako.

  • @andrewezekiel7720
    @andrewezekiel7720 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakika kila muangariaji wa video zako lazima aongeze zaidi roho ya uthubutu brother God blessed you more

  • @mauwashila4969
    @mauwashila4969 5 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki sana aisee sijuwi kwanini sikukufahamu mapema nimejifunza sana

  • @abubakarikizamba8106
    @abubakarikizamba8106 5 ปีที่แล้ว +1

    @ezdenJumanne Ni vizur kk unazidi wasirisha kile kilicho sahihi katika jamaii.
    Binafsi mie mwenyew Huwa Nataman Familiya na Jamii Ijue NI KWANINI MTU ANAENDA SHULE, AU KWANINI MTOTO ANAENDA SHULE.. WENGI TUMECHUKULIA SHULE KAMA NI KIPINDI TU CHA KUPITIA AMA NI SEHEM TU YA MTOTI AENDE ILI AEPUSHE FUJO NYUMBAN..

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +2

    Hilo sahihi kabisa! We learn from each other pia we learn from our experience n mistakes 👍🏼

  • @mauwasafi4126
    @mauwasafi4126 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka yangu ubarikiye sana kwamafunzo yak mazuri

  • @ismailhussein1936
    @ismailhussein1936 5 ปีที่แล้ว +1

    Very true....books books books me binafsi naona matokeo makubwa sana ....thanks bro

  • @elishageofrey7262
    @elishageofrey7262 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante san

  • @jamesngongi1980
    @jamesngongi1980 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks brother clip zako zimenifanya nijione wa tofauti sana yan!!!

  • @johnmbegu1554
    @johnmbegu1554 5 ปีที่แล้ว

    kichwa cha neno kimehusu wanafunzi ila kiukweli somo hili linahusu jamii kwa ujumla hata kwa sisi ambao tumeshakuwa mbali na shule tunahusishwa bado maana tunayo nafasi tena yakutumia mbinu hizi hata katika jamii (kazini, ibadani, mitaani, safarini, mikutanoni nk.). chukua juice hapo ulipo bwana Ezden I hope one day tutaonana nitailipa tu; shukrani sana!

  • @maombigelard8045
    @maombigelard8045 4 ปีที่แล้ว

    Asante bro umenibadilisha kutoka division 3 to division 1

  • @rahemahrahemah2719
    @rahemahrahemah2719 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukraan Kaka Ezden Allah azidi kukuongoza in Shaa Allah

  • @barakamsigwa3819
    @barakamsigwa3819 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante brother kwa masoma mazuri

  • @jackycute2047
    @jackycute2047 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki broo

  • @Bombadear
    @Bombadear 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante bro ezden

  • @saplayamabula4095
    @saplayamabula4095 5 ปีที่แล้ว

    Nakubali mkubwa

  • @wemamuss
    @wemamuss 5 ปีที่แล้ว

    Mwanangu akirudi shule leo namuekea aisikilize. Shukran kaka

  • @labansogomba8753
    @labansogomba8753 2 ปีที่แล้ว

    brother uko makin sana
    we are together

  • @babalois7240
    @babalois7240 5 ปีที่แล้ว +1

    You kill it Ezden! Umenikosha saaaana leo..BigUp

  • @nyamwinukankwera3749
    @nyamwinukankwera3749 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe mzuri sana ndugu Ezden Barikiwa sana

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 4 ปีที่แล้ว

    Shukrani

  • @emmafrank5760
    @emmafrank5760 5 ปีที่แล้ว

    always najifunza kila siku vitu vipya kupitia wewe...keep it broo

  • @safiasuleiman3119
    @safiasuleiman3119 4 ปีที่แล้ว

    Kweli msaisha ya shule ni raha kweli

  • @aggreymwakipesile8609
    @aggreymwakipesile8609 5 ปีที่แล้ว

    Thanks brother ezden for giving us good skills on how to become good generation

  • @kamugishaemmanuel8015
    @kamugishaemmanuel8015 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏

  • @beatricepantaleo6282
    @beatricepantaleo6282 5 ปีที่แล้ว

    U really inspire brother nakupenda mungu akulinde daima nahitaj vitabu navipataje xaxa!

  • @najlazezynaji117
    @najlazezynaji117 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukran Mydia #Ezden j

  • @marygitau6594
    @marygitau6594 4 ปีที่แล้ว

    This video is more of me, cause me I was always alone at in school and till today I don't like associating myself with others

  • @ZezeZeze-ib3pu
    @ZezeZeze-ib3pu 5 ปีที่แล้ว +1

    Kutoa ni moyo na sio Utajiri. True kaka. Asante sana

  • @ntalindoleP
    @ntalindoleP 5 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 5 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa ujumbe nzur.
    Mtt wangu amebadilika sana kimasomo ameshuka mnoo awali alikuwa na maendeleo mazur sana tangia shule ya msing lkn alipofika form 2maendeleo 0.
    Yaan hata kujisomea ni shida naumia kwakwel na mm nipo mbali naye kwa sasa utanisaidiaje kaka yang please nijibu ujumbe wangu🙏🙏

  • @galaxykahalid3172
    @galaxykahalid3172 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka nimejifunz vitu ving sn

  • @ericjonstz3120
    @ericjonstz3120 4 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @yaseenjanja5420
    @yaseenjanja5420 5 ปีที่แล้ว +2

    It true bro

  • @seurykaaya1089
    @seurykaaya1089 5 ปีที่แล้ว +1

    Good my brother

  • @kingsimbahh8458
    @kingsimbahh8458 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kk jumanne

  • @markadam3743
    @markadam3743 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante kaka

  • @jacobedmar.yakobo4546
    @jacobedmar.yakobo4546 5 ปีที่แล้ว +3

    Vipi utaratibu wa WhatsApp group

  • @dullahkigoda478
    @dullahkigoda478 5 ปีที่แล้ว

    Asante kk nimekuelewa vzr

  • @hamzalibingai3227
    @hamzalibingai3227 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahdante kwa elimu

  • @alexanderndunguru1942
    @alexanderndunguru1942 5 ปีที่แล้ว

    Umenipa kitu cha ziada kwenye maisha yangu sitojuta tena bali nitamfanya mwanangu asipite nilipopita mimi

  • @joshinhosalu5036
    @joshinhosalu5036 5 ปีที่แล้ว

    Respect brother ezden

  • @mikehangaya6867
    @mikehangaya6867 5 ปีที่แล้ว +1

    I LOVE BROTHER

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kaka.

  • @zenjifitsolutions1529
    @zenjifitsolutions1529 5 ปีที่แล้ว

    Thank you Ezden ..

  • @uwotocrisent7494
    @uwotocrisent7494 4 ปีที่แล้ว

    Naitwa crisant atanazi nipo dar kwenye wasapu naomba kujua kila video mpya unaweza kunitumia Kama tafazari nijibu jumanne

  • @saidoo_6975
    @saidoo_6975 5 ปีที่แล้ว

    So incredible brother 💪🏽

  • @abdatikhamis7208
    @abdatikhamis7208 5 ปีที่แล้ว +1

    Asant sana

    • @ashirunah7469
      @ashirunah7469 5 ปีที่แล้ว +2

      Shukran jazila Alla akulipe kheri insha Allah

  • @Khamis-ev4uv
    @Khamis-ev4uv 5 ปีที่แล้ว +1

    Broo mungu akuweke uwepo wako hututoa kwenye giza nene

  • @jamesngongi1980
    @jamesngongi1980 5 ปีที่แล้ว +1

    Naitwa james...Brother ezden ninahitaji kitabu cha Dina marious nipo temeke dar es salaam nisaidie tafadhali naomba kaka

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  5 ปีที่แล้ว +1

      Hello James, naomba angalia ile video ninayoongelea hicho kitabu halafu nenda chini kwenye description uchukue namba za wauzaji.

    • @jamesngongi1980
      @jamesngongi1980 5 ปีที่แล้ว

      OK...thanks

  • @saeedal-husny9065
    @saeedal-husny9065 5 ปีที่แล้ว +2

    You're my Hero bro ❤

  • @paulally9304
    @paulally9304 ปีที่แล้ว

    Nisome vitabi vyaina gani kaka?..

  • @hamadsaid9021
    @hamadsaid9021 5 ปีที่แล้ว

    Kaka Eziden tuwekee link ya kujiunga na group lako WhatsApp

  • @nasoroamisi2168
    @nasoroamisi2168 3 ปีที่แล้ว +1

    number zangu izi za watssap +1816-803-3623 uni add emo please

  • @wilfredidangat768
    @wilfredidangat768 5 ปีที่แล้ว +1

    shukrani sana kaka nmejifunza vitu vingi sana.