#UNABII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2019
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

ความคิดเห็น • 239

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว +5

    Daaa, hapo kwenye kuolewa Nami nataman maombi 😭😭😭😭😭
    Mungu wangu nikumbuke nami🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina. Nabii wa Bwana tusaidie kwa karama na kipawa kilichopo ndani yako, Anisaidieekunifungua na mm

  • @noreenmchangila9914
    @noreenmchangila9914 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba unifungue mimi pamoja na mwenza wangu tuweze kuelewana tena in Jesus name amen

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 4 ปีที่แล้ว +5

    Amen,nabarikiwa nabii,though niombee baba nataka nionane nawe

  • @moseszakaria501
    @moseszakaria501 2 ปีที่แล้ว

    Nataman sana kimuona nabii, sijui nitafikaje huko, namii nipate mujiza wangu,

  • @AgreyMathias
    @AgreyMathias 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akupe maisha marefu baba nabii wetu amen

  • @DeborahSimkoko-cv1wv
    @DeborahSimkoko-cv1wv ปีที่แล้ว

    Amina mutumishi wa Mungu,, nikweli ukuwiwa muchunganji chunga basi 🥀🌷

  • @bambuguyasamuel3107
    @bambuguyasamuel3107 4 ปีที่แล้ว +1

    AMEN.Yesu ni BWANA.Tena ule Bwana Yesu Kristo anajua yote

  • @marthasilas3803
    @marthasilas3803 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabii nifungue na mimi niko pwani nasumbuliwa nauzazi nabii nisaidieeee nabiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @annkim2690
    @annkim2690 4 ปีที่แล้ว +2

    Wewe Nabii wa Mungu may God blessu

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    Powerful Anointing I'm Blessed

  • @witnesskindeketa4211
    @witnesskindeketa4211 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana baba Mungu akubariki

  • @alfredmutambuki716
    @alfredmutambuki716 4 ปีที่แล้ว

    Hi, your chat well received and acknowledged with thanks, Hope to hear from you soon.
    Kind Regards.
    Alfred

  • @paulinemathenge514
    @paulinemathenge514 4 ปีที่แล้ว +7

    I connect myself to this prophecy my boyfriend to tell me the truth about our relationship, IN JESUS MIGHTY NAME AMEN.

    • @karolshirima8935
      @karolshirima8935 4 ปีที่แล้ว +1

      Muishi Yesu acha kupenda ramli...ishi maisha masafi yenye kumpendeza Mungu...hakuna mbingu kwa wazinzi...Ufunuo 21:8

    • @heaven.love.foundation
      @heaven.love.foundation 4 ปีที่แล้ว

      Anasoma viganja mshenz huyu

  • @ndenitoriakimaro9631
    @ndenitoriakimaro9631 4 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU akuinue ZAIDI Nabii mkuu baliķiwa mno

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 ปีที่แล้ว

    Najiunganisha na unabii wa baraka za ndoa na uchumi kwa jina la Yesu

  • @saidakitisaida5969
    @saidakitisaida5969 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @zxcvzxcv1034
    @zxcvzxcv1034 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba nabii mkuu mungu Akulinde miaka mingi natamani nifike hapo

    • @hoseejack2077
      @hoseejack2077 4 ปีที่แล้ว +1

      Zxcv Zxcv hujasoma maandiko amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga yake,

  • @hildahmuia7595
    @hildahmuia7595 3 ปีที่แล้ว

    Dad ur one in a million, nimekuokea baba

  • @klystry1234
    @klystry1234 4 ปีที่แล้ว

    This is love mwanaume akiomba msamaha raha sana😍😍😍

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda upeo mtu wa Mungu. Unaongea fact mnoo yaani hatariiii. Wish to have rafiki Ngurumo ya upako

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni sawa Daddy

  • @michaelmkubwa7609
    @michaelmkubwa7609 ปีที่แล้ว

    Naomba mung unitoe katika kifungo kupitia nabii mkuu

  • @emmanuelmollel5636
    @emmanuelmollel5636 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mungu atukuzwe ndani ya mtumishi wake

  • @kajujukamencu1541
    @kajujukamencu1541 4 ปีที่แล้ว +2

    I receive this prophecy 2

  • @sixstarsmudavadi3440
    @sixstarsmudavadi3440 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen NABII baba

    • @upendolukio3816
      @upendolukio3816 3 ปีที่แล้ว

      Naomba no yakuonana nabii au mtumishi yyte

  • @fabiolaboniphas192
    @fabiolaboniphas192 2 ปีที่แล้ว

    Amina baba,nikombolewe na mm

  • @stellashawa9605
    @stellashawa9605 4 ปีที่แล้ว

    Napokea unabii huu kwa jina la yesu

  • @hellenmbage8895
    @hellenmbage8895 3 ปีที่แล้ว

    My God plez you and your family

  • @hellenmbage8895
    @hellenmbage8895 3 ปีที่แล้ว

    Hello pester thank kwa neno

  • @barikitv2838
    @barikitv2838 4 ปีที่แล้ว +1

    Hali ni mbaya sana acheni kudanganyika enyi wanadamu tubuni na muishi kulingana na neno la Mungu

  • @yustaarnold7643
    @yustaarnold7643 4 ปีที่แล้ว +1

    I connect myself in this

    • @irinemwambire6103
      @irinemwambire6103 3 ปีที่แล้ว +1

      Ata mm nmumoja wapo wakukutafuta baba nahitaji maombi n mm jaman

  • @emmymdenye4209
    @emmymdenye4209 2 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu barikiwa Sana kwa huduma,natamani niongee nawe kwenye cm

  • @EstherMulinda-mq5mi
    @EstherMulinda-mq5mi ปีที่แล้ว

    Namimi piya naitaji neema ya utambuzi iyi iikute ndowa yangu nabii mkuu. Ivi ndowa yangu inaelekea kwenye kuachana nasipendi hali iyi. Eh Mungu nisahidiye

  • @scolasticaadam7403
    @scolasticaadam7403 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @mchuumchu9801
    @mchuumchu9801 4 ปีที่แล้ว +16

    Huo uchawi unaowadanganya watu ninauwamuru kwa jina LA YESU uyeyuke.

    • @chalesnguyaine9991
      @chalesnguyaine9991 4 ปีที่แล้ว +3

      Aya tusubiri iyeyuke na ikishindwa utayeyuka ww

    • @hilarydaud5521
      @hilarydaud5521 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaaa

    • @mussasalum5993
      @mussasalum5993 4 ปีที่แล้ว +1

      Acha usenge bas umeona hapo Kuna uchawi gani

    • @mwana3887
      @mwana3887 4 ปีที่แล้ว

      Mchuu Mchu @Unajua biblia inasema Yamjahayo mtu nafsini mwake ndio humtoka kwa kifupi unadhani uganga ndio mkuu kuliko kwa sababu Umekua katika makanisa Ambayo hayana Nguvu ya Mungu kwa hiyo Akili yako imejengeka hivyo

    • @maryphilimon7370
      @maryphilimon7370 4 ปีที่แล้ว

      Usisahau hata yesu alikataliwa usiwakufuru watumishi wa mungu

  • @alexsambo1615
    @alexsambo1615 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe miaka Ming nabii

  • @shakilachaula8845
    @shakilachaula8845 4 ปีที่แล้ว

    Good

  • @anglephiripo
    @anglephiripo ปีที่แล้ว

    Baba naitaji neema yako kwenye huduma yangu

  • @mwambaebwatelogilbert6630
    @mwambaebwatelogilbert6630 3 ปีที่แล้ว

    Nabii. Natamani kuolewa Sina wakuniowa Naitaji nifunguliwe nipate Mine wakuniowa Naitwa Mawazo Mwamba
    Asante

  • @josephinealexander1058
    @josephinealexander1058 3 ปีที่แล้ว

    Shalooom baba na mm naitaji kusaidiwa

  • @samwelmollel3376
    @samwelmollel3376 4 ปีที่แล้ว +7

    Karibuni nqurumo yaupako arusha kisonqo

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila km nikweli umetumwa na mungu barikiwa ila km ni Mambo ya. Ng,ambo ya pili kiama Kinawangoja

  • @helenjonsob5718
    @helenjonsob5718 4 ปีที่แล้ว

    Aiseeee

  • @philipomgunda1009
    @philipomgunda1009 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama unaona bodigadi kama mm nyosha mkono juu. Hiyo kiboko hamuamini mungu hadi analeta walinzi kanisani

  • @silviak3013
    @silviak3013 4 ปีที่แล้ว

    God is the father

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 Hallelujah

  • @priskilamajengo8683
    @priskilamajengo8683 2 ปีที่แล้ว

    Napenda kuolewa Sanaa lakini sielewi shida ni Nini Mungu nisaidie

  • @wycliffekiplimo3915
    @wycliffekiplimo3915 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba nabarikiwa sana unabii wako tens naitaji maombi kutoka kwako asante Mimi natoka kenya

  • @pasteurandrechibuya2428
    @pasteurandrechibuya2428 3 ปีที่แล้ว

    Gloire à Dieu

  • @sophytairo6572
    @sophytairo6572 4 ปีที่แล้ว

    Acheni unafki yesu alipokua anawaambia nitawasaidia yy ni mungu ni nabii alotumwa kama uyu

  • @margaretkuvunangomengome1447
    @margaretkuvunangomengome1447 2 ปีที่แล้ว

    naomba number ya nabii 🇰🇪🇶🇦

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 4 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @elibarikieliatunawapatavzr7872
    @elibarikieliatunawapatavzr7872 4 ปีที่แล้ว

    Duhh jamani

  • @irenemwanaa8160
    @irenemwanaa8160 4 ปีที่แล้ว

    Bgp babaa!

  • @mtatiromgeka7270
    @mtatiromgeka7270 4 ปีที่แล้ว

    Soma biblia kisha beza sio kulaumu mwanadamu ana mamlaka km atajitambua pia Imani yk pia.

  • @mdhakirukashakara3953
    @mdhakirukashakara3953 4 ปีที่แล้ว +2

    Bwana u pamoja nasi kupitia unabii huu.

  • @sampoogdfry153
    @sampoogdfry153 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki ila Mie na babaangu mpaka NW hajawahi nisaidia chochote mpka umli w miaka 26

  • @samweligawa5247
    @samweligawa5247 4 ปีที่แล้ว

    Its pain ila care lzma bfor that

  • @aidanongole9341
    @aidanongole9341 4 ปีที่แล้ว

    AMEN.

  • @plasdamhagama5217
    @plasdamhagama5217 4 ปีที่แล้ว

    kweli we mtu mungu ublikiwe sana

  • @samtelah7578
    @samtelah7578 4 ปีที่แล้ว +16

    Usanii mtupu daah ama kwel watu wang wanaangamia kwa kukosa maarifa

    • @witnessjoseph7564
      @witnessjoseph7564 4 ปีที่แล้ว

      Mtu usiyemjua usimzungumzie vibaya

    • @shitobelosanane5498
      @shitobelosanane5498 4 ปีที่แล้ว

      Sam Telah kweli kabisa mungu mwenyewe anaitwa Huyo jamaaa
      Halafu jina LA yesu halitumiki hapo
      Mungu tufumbue macho tuone hata kama siendagi kanisani lakini namwamini yeye YESU na MUNGU mkuu
      Ameen!!

    • @mwana3887
      @mwana3887 4 ปีที่แล้ว

      Shitobelo Sanane @Heri yako unamwamini yesu kuna wengine hawamwamini hata huyo yesu wako ambaye unamzungumzia Ambaye Atendi chochote imebaki tuu kusoma biblia na kuhubiri Maneno mengi bila ishara yoyote

  • @jumannehamisi5838
    @jumannehamisi5838 2 ปีที่แล้ว

    Jamani watu wanapenda matabiri kuliko mungu dah

  • @joycechacha7344
    @joycechacha7344 3 ปีที่แล้ว

    Naomba nitabilie na mimi

  • @milemo604
    @milemo604 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkomnaoana namba hatujuwi nizahukweli au Mana hatujibiwi.

  • @marrybalack9491
    @marrybalack9491 4 ปีที่แล้ว +3

    ama kweli watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa yan jehanamu inakusubiri ucdanganye watu wew mpuuz mkubwa wew

  • @joyceangara5185
    @joyceangara5185 3 ปีที่แล้ว

    Baba naridhika naunabii wako Dk Goedavie ,naomba uniombe. , Kupitia unabii wako ni pone visirani ziniodokee ni pate kubarikiwa , na. Toka inchi kenya

    • @mcn7106
      @mcn7106 3 ปีที่แล้ว

      Nabii wa mungu ata mm nisaidie kuniondolea vizuizi from Kenya Amen

  • @user-bj4br4ts5l
    @user-bj4br4ts5l 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya nabii jaman

  • @khexuploads2220
    @khexuploads2220 3 ปีที่แล้ว

    Mm namuogopa kusema ukwel .sijui lini ntakuja kwa madhabau hyo

  • @joycefocus1934
    @joycefocus1934 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli na Mimi hiyo inanitesa sijapata wa kunioa

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 ปีที่แล้ว

    Nasumbuliwa na kiuno baba

  • @uwrtvuwrtv3575
    @uwrtvuwrtv3575 4 ปีที่แล้ว

    Ww NABII mkuu

    • @chalesnguyaine9991
      @chalesnguyaine9991 4 ปีที่แล้ว +1

      Duu tusameh mtumishi wa Mungu kwenye ndoa tumekua waaminifu sasa da.

  • @karolshirima8935
    @karolshirima8935 4 ปีที่แล้ว

    Palm readers...!!!
    Mke alimsumbua akaachana naye...
    Nabii alionya watu na kuacha dhambi...
    Kufungua bila kuelekeza watu kuishi maisha masafi ni uganga tu kama waganga wengine

  • @alfredmutambuki716
    @alfredmutambuki716 4 ปีที่แล้ว

    Alfred from kenya

  • @jumajulius7916
    @jumajulius7916 4 ปีที่แล้ว

    watu watakuwa wenye kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 4 ปีที่แล้ว

    Hata mimi ni hivyo hivyo sijui jmn

  • @saidmosh2695
    @saidmosh2695 4 ปีที่แล้ว

    Mkononi kavaa grups au weusi tu mana naona usoni mweupe sana au anajichubua

  • @nestoryjuma2127
    @nestoryjuma2127 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekukubali hata ss tupo wenyeshida nabii

  • @ernestonesmo405
    @ernestonesmo405 4 ปีที่แล้ว

    Duuuuuuh nabii mda wa sadaka ukifikaa kama nakuona

  • @ibrahimaman4625
    @ibrahimaman4625 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh mchungaji ana bodgad mh atari

  • @margiekaaya3544
    @margiekaaya3544 4 ปีที่แล้ว

    Duuh hii ni hatari sana maandiko yanatimia wakristo tujitahid kusoma sana biblia 😢😢😢

  • @lowasandukai7403
    @lowasandukai7403 4 ปีที่แล้ว

    Kazi kubwa unafanya nabi mkuu

  • @irineshoo5356
    @irineshoo5356 4 ปีที่แล้ว

    Nabii Mimi Niko dar nipe unabii niwe na pesa tajiri

  • @evajohn7001
    @evajohn7001 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkiwa nyumbani eti aaa sisomi SMS haya ngoja wakusomee .

  • @christinaalli6819
    @christinaalli6819 3 ปีที่แล้ว

    Nahitaji msaada wako wako nabii, nipo Iringa Tz

  • @ushindieliya278
    @ushindieliya278 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaa

  • @simonmbilinyi1386
    @simonmbilinyi1386 4 ปีที่แล้ว

    yesu mwenyewe Kama kielelezo alisema tubuni kwamaana ufalme wa mungu umekaribia ila nabii injiri yako na moja tu kuwamvia watu nimekufungua nimekusafishia nyota kwann huwaambii waokoke hapo tunamashaka Sana na wewe imeandikwa mtawatambua kwa matunda yao maana yake unawafanya watu kuwa wa jehanam Mara mbili hubiri injiri watu waokoke kisha waponywe unawasaidia wilini rohoni wanadhambi Hakuna kt

    • @mwana3887
      @mwana3887 4 ปีที่แล้ว

      @Simon Mbilinyi Lakini pia yesu alisema Waponyeni wagonjwa waliopo na kuwaambia ufalme wa Mungu umewakaribia Na unaposema hivyo wakati efeso 4:12 kila mtumishi alipewa karama yake Au kama ujui kazi za Nabii sema nikuelekeze

  • @angelinankoja9272
    @angelinankoja9272 4 ปีที่แล้ว

    Nikihitaji huduma yenu nitawapata wapi?

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 4 ปีที่แล้ว

    Never mention Jesus

  • @rogersgeorge2920
    @rogersgeorge2920 4 ปีที่แล้ว +1

    I wanna talk with you soon

  • @amosnajib4530
    @amosnajib4530 3 ปีที่แล้ว

    Naombi na mimi maombi hayo kwa ndoa yangu

  • @jacklinejames9307
    @jacklinejames9307 2 ปีที่แล้ว

    Naomba na mm kupitia nguvu ya na bii mkuu nipate mme

  • @issaadamo7336
    @issaadamo7336 3 ปีที่แล้ว +1

    Helleny

  • @aminarumanyika628
    @aminarumanyika628 4 ปีที่แล้ว +9

    Watu wangu wanakifa kwakukosa marifa

    • @georgiabacky5828
      @georgiabacky5828 4 ปีที่แล้ว

      Mie kanifufua kupitia mateso niliyokua tayari kujiua..wat are u talking about that tunaangamiaaaaaa...

    • @zuberigasper6493
      @zuberigasper6493 4 ปีที่แล้ว

      Amina Rumanyika amina upooo huku

    • @hancybeny
      @hancybeny 4 ปีที่แล้ว

      @@georgiabacky5828 means kuangamia kiroho siyo kuangamia mwili kama unavojua wewe

  • @upendolukio3816
    @upendolukio3816 3 ปีที่แล้ว

    Jmn nipewe no ya nabii

  • @davidmaithya574
    @davidmaithya574 4 ปีที่แล้ว

    My question is is palm reading biblical

  • @sophytairo6572
    @sophytairo6572 4 ปีที่แล้ว

    No zake twaziomba

  • @eudisiaalexzanda1730
    @eudisiaalexzanda1730 3 ปีที่แล้ว

    Natamani cku nikutane na ww nabii ana kwa ana.

  • @thobiasmosha60
    @thobiasmosha60 4 ปีที่แล้ว

    kamera anacheka umeona eee