#UNABII
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2019
- SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
Bwana Yesu uliyehai naomba ni bariki na mume ambaye ni mume wangu, pia Bwana Yesu kumbuka mahitaji ya kijana wangu, IN JESUS MIGHTY NAME AMEN.
Mungu wetu tumekuwa wakosaji kila siku,hats hapa tumekosea kujiona sisi ni bora kuliko wewe Mungu,Tumejivika utukufu tusiostahili,Kifupi nabaki na safina yangu,sitoki nilipo,Nasimama na Yesu wangu.
Ashukuriwe Mungu kwa kutupatia Nabii Mkuu nchini Tanzania,Twakupenda sana Baba yetu
Aki dad uwa nakuangalia kila siku nimeangaika sana watoto wangu vivyo mimi ni mkenya nimeshidwa vile naeza kukufikia jameni dad
Nabalikiwa sana Nabii naomba MUNGU Anipe Neema nikija Tanzania nifike ulipo Balikiwa mno Nabii
Nabii,nakupenda xn,napenda huduma yako.naomba unisaidie wanangu wanamagonjwa sugu.
daa mungu atupe macho ya rohon bila HVO kujua ni vigumu
MUNGU aliyeumba ulimwengu akazidi kuwaponya wengi, HURUMA YA MUNGU itawale ulimwenguni kote ili sote tukaone ufalme wake MTAKATIFU. Amina
Senior prophet jua Mungu anakuona unavyopotosha watu
Mungu agupe maisha mulefu nabi mkuu nagupenda saaaaaana
Tungekua namacho yaloho tungejuwa au tungeona jamani fungukeni mubarikiwe ngonga like yangu kma umeelewa
Sielewi kabisa Mungu ndie anayetakiwa kuliliwa kiasi hiki sio mwanadamu nashindwa kuelewa jamani nashindwa
Amen mungu atusadie
Wow,Thank you Holy Spirit
May God bless u Nabii wa Mungu
Naomba unisaindie tafadhali Nabii was Mungu
Paster,nawapenda,sana,munitinye,pinya.
Napokea uponyaji kwa jina LA yesu,Amina
Nabii Mkuu nionekanie ,nimefungwa na Ibilisi ni siolewe na kuzaa. Naomba muujiza kutoka kwako Unifunguwe Naitwa Mawazo Mwamba Asany
Amen,sifa na utukufu ni kwako Jehova.