#UNABII
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ส.ค. 2019
- SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
Asante kwa Huduma hii
Mungu wa GeorDavie fungua maisha yangu
Wewe ni nabii mzuri sana nimekupenda unasema ukweli na nimeamini na leo ndio siku yangu ya kwanza mungu anipaliki sana
Thank you geodevei
Baba mungu akuinue akuwezeshe akuneemeshe akuvushe hatua nyingine ukaangaze zaidi
Mungu akupe maisha marefu BABA
Mungu tupe macho ya rohoni
Amen
MUNGU ANIHURUMIE MM MAANA BILA YESU SISEZI NA MUNGU ANIHURUMIE
Thank you Lord Jesus ❤️🙌🙏👏
Muogope mungu wewe ipo siku utakutana nae kujibu huu uwongo unaopotosha watu
Watu wengi wana mpenda NABII MKUU bb wamani kote duniani kote
Thank you Lord Jesus christ for. For saving this wife thank you GeorDavie God bless you I wish you the best
Thank you so much
Thank u lord
Yesu tunaitaji msaada tumechoka kuongozwa na wanadamu wanaojiinuwa kinyume chako.
Haya msubiri huyo YESU atashuka atajibu hitaji lako🤗
Huyu ndiyo nabii wakweli dunian
Amen,thank you lord,,
Someni maandiko izi.ni.nyakati.mbaya
Kazi kubwa maneno machache
Yesu akuinue uzidi kusaidia watoto wa Mungu
Thanks you
Npo hapa Yesu nitetee nakuomba
Amen Amen Amen
Wajinga wataumiya iyoniuwongo
Mungu anisaidie mm nahitaji kufunguliwa
Kweli level za utimishi hazitoshani,unabii uheshimiwe jameni
Powerful Daddy
Safi sana
May the lord continue using you in a mighty way
Nyota yangu na mke wangu zinarudishwa kwa TAMKO la Kinabii Leo Leo.
Baba
Need a prayer
I love u papa bhado nina kumbuka vile mungu alikutumia kufungua maisha yangu
Naomba no yao niwez kufika bas dada
Naomba nisaidie namba ya nabii
Nabii naomba nionekanie Na mm Na ndoa yangu nahitaji msamaa Na huruma
Nabii ww Muogope Mungu
Mchungaj unapatikana wapii
Many who can see even herbalist, witch doctors et_cetera but few who can see deep and bring solutions and these are prophets
Sure
Nitumie za mucungaji mnabi
Naomba namba yako baba wa nabii
Niguse namm mungu wageordavie
Amen
Niguse na Mimi mtumishi nafanya kazi ila ela sizioni sema neno moja kwangu
Nabii anaye takasa ni Mungu peke yake, siyo mtu.
Amina
Aisee siji na mume wangu Yaani nabii akishika file langu nitajikuta segerea gerezani nitakuja mwenyewe baba unisomee mashtaka nikiri basi
Hahahaha baba Ana hekima Usjal
Hakika Mungu anamtumia saña huyu mtumishi cjawahi ona,amejaliwa nguvu kubwa ya Mungu
.
Shamimu Shittindi 😂😂😂😂Unawaza kama mimi uwiiiii🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Njoo classmet,watu wa Canada kibao wanakuja
Mtumishi wa Mungu huyu anapatikana wapi ? je, naweza kupata namba yake ??
Mtumishi wa Mungu Anapatikana Arusha mji wa kisongo nchini Tanzania
mafile yanasomwa siyo polepole mpaka naogopa, cjui Mimi nikifika hapo itakuwaje??! Mimi nitakase nikiwa huku huku naamini hata km niko mbali
Twende embu me yangu yakisomwa ntaomba yacrushwe TH-cam maana ntahama nchi
fadhila ngao hahahaha kwani umeolewa?
Bado sijaolewa
@@fadhilangao5756 mwenyewe naogop hivohivo
La ajabu lipi?kwani shetan ana aibu?Poleni ambao mlikuwa hamjui
Huyu jamaa nguvu anaitoa wapi na hana Yesu
I like the pastor Sana but I never hear him mentioning Jesus,
Kweli
Je ujasikia akitaja Mungu?
Hapo unafaa kujiuliza
Nenda mahosipitalini bc magonjwaniwengi hivi jamani hamoni aibu kuiba kilasiku
Amen mtumishi huyu wa mungu anapatikana wapi please nawesa bata namba yako